Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@vickyshayo78806 ай бұрын
Asante Mhe Mungu akubariki sana unajitoa sana kwa wananchi Raisi hakukosea kukichagua kwa kweli Mungu ambariki.
@noelbryson78406 ай бұрын
Mh Waziri huyu mzee anahitaji msaada mkubwa na siyo maneno mengi..
@jumanesaidi76356 ай бұрын
Huyu waziri, alitisha sana alipokuwa wizara ya afya, sasa kaja kwingine na kivingine na wembe ule ule ! ! ABARIKIWE SANA Mama Tz.anao watu wengi wa aina hii,tumuombee mh.Raisi azidi kuwaibua na kuwakabidhi nyadhifa mbali mbali,hapo mambo yatazidi kunoga. MUNGU AMBARIKI.
@MwakasegeShukuru6 ай бұрын
Hongera sn dr kwa kujari na kusikiliza watu,Mungu akubariki sn
@siaammo11046 ай бұрын
Clobal tv mungu awabariki kwakuwasaidia wanatanzania wenye matatizo kama haya.
@MerryRenatus-ck4lz6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi mama huyu 😭😭pumzika kwa amani
@AfricaQueen6 ай бұрын
Huyu mama mungu akuweke siku zote napenda kazi zake anajua kusikiliza wananchi lakini kuna watu kweli wanaiharibu ccm kwa matumbo yako ! Hawa polisi futa kazi kabisa wauwaji ✍🏽
@OfficialA836406 ай бұрын
Hakuna lolote anafatilia hapo hapo mwanzo tu huko mbele mtakuja kuona km kuna kitu kitaendelea mmesahau yule dd aliyeua mtoto wa mdogo wake kule Ubungo na kwenda kumfukia mtoto kwenye mto wenye maji mbona hakusimaishwa mahakamani na katolewa huyu alienda hd kwenye tukio juzi tu watu wameandama kwann mtuhumiwa katolewa mbona yy yupo kimya mnafki tu huyu hana lolote mbele ya camera ndy anataka mumsifie
@damariszuckschwert94896 ай бұрын
@@OfficialA83640 Kweli usemayo. Wanafuatilia mwanzo mwisho watuhumiwa wanatolewa wanazagaa mtaani. Wapo wengi tu
@rukayaoman14936 ай бұрын
@MariamWiliam-z8k6 ай бұрын
Hongera da doroth gwajima napenda unavojitahid kufatilia ila da doro ww uko vzr lkn kes zikienda mahakaman au kituon watuhumiwa baada yamiez miwili au Moja unawaona mtaan. je kama ukimkuta mtuhumiwa wako katolewa ukimnyonga hadharan wew ndo unafungwa maisha jamanajaman tuhurumieni
@ayshasaid15476 ай бұрын
Asante wazir leo nimefurah pamoja namajonzi kweli kuna baadhi ya police wanaichafua selikari yetu
@mwanaikaomar86286 ай бұрын
Mungu akulipe kila la heri.mheshimiwa waziri
@ZainbAbubakary6 ай бұрын
Hii Familia imepata pigo sana Mwenyezi MUNGU awatie nguvu nshallah 🙏🙏🙏🙏 😭😭😭😭😭
@munirhassan15596 ай бұрын
Tunaomba mtume picha ya mtuhumiwa na jina lake kamili ili watu wakimuona watoe taarifa
@khadijamasoud39366 ай бұрын
Tukimuona tunamnaliza tu watakuja beba mzoga wao
@aminrashid9916 ай бұрын
😭😭😭Mkimshika mniachie makende tu tu yena mtoto ndio anfaa afanya hivyo
@ericinnocent-c9e6 ай бұрын
Natoa siri hii,Kituo cha magomen usalama moja mkuu wa upelelezi afukuzwe au ahamishwe anamambo mengi sana pili chumba iki cha upelelezi wapanguliwe ni atar mbona mburahati wapo vizur sana
@PhilkevinFelix6 ай бұрын
Mama yangu umeonyesha cheo hakijakuvaa. Maana wengine wakipata vyeo kama vyao au chini ya cheo chako hawangeweza kujitoa kwa jinsi ulivyojitoa na kuyafuata mateso wanayopata wananchi. Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
@noelbryson78406 ай бұрын
Mh Waziri sidhani kama kuna haja ya maneno mengi kiasi hicho .. Hiyo kesi ni kubwa sana na kuna uzembe mkubwa umeshafanyika na ukapelekea mama kupoteza maisha..Ishu ni kwamba aliyehusika akamatwe na hao polusi waliosababisha uzembe uliopelekea mpaka mtuhumiwa akatoroka wawajibishwe pia..
@dotnatajoseph26206 ай бұрын
Miheshima gwajima mama mwenyez mungu akuhifadhi kwa jiri ya wanyonge inshallah 🙏
@DominicaShio6 ай бұрын
Mungu akubaiki mama msalimie samia mama yetu mungu ampe nguvu
@yukundapeter82006 ай бұрын
Liuwaji Mungu atakuchoma mchana kweupee.
@aminatambi98316 ай бұрын
I wish you all the best.
@lilianwaflotina12886 ай бұрын
Huyu mama Huwa nampenda sana mungu amjalie afya njema aendelee kutetea wengine
@subirajohn7286 ай бұрын
Kweli kabisa Mimi niliwaelekeza watoto wangu tokea Wana miaka 3 na waliniletea kila taarifa na walikuwa wajanja hawataki kuitwa Mchumba! Jamani inasaidia Sana Sana tukiongea na watoto wetu tuwaelekeze wasikubali kushikwa na mtu yeyote hata na wanafunzi wenzao wajilinde! Pia tuzungumze na Watoto wetu kirafiki tusiwe wakali Kwa watoto wetu hapo tutawalunda haya mambo yatapungua au kuisha kabisa!
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
Hakika 🤝🤝
@neemareuben3116 ай бұрын
Waoooo jamn nimefurahi sanaaaa kumuona mh gwajimaaaaaaa😢😢😢😢Mungu akuzidishie mama yetuuuuuuu😢😢
@KabulaMichel6 ай бұрын
Sheria ipitishwe anae lawiti au kubaka apigwe risasi auwawe tuu ili watu wote waogope hili
@yukundapeter82006 ай бұрын
Dini xote kwa imani xe2 tuombeeee,hilo shetwani lichomwe moto.Nyie police mitoto yenu itaolewa mkiona kweupeee,ole wenu.
@AlbertThadeo6 ай бұрын
Jamani mungu atunusuru tutapata wapi watumishi wa umma wadilifu
@Lundege_Hips6 ай бұрын
Hatuna imani na jeshi la Police
@MosiHassan-dx6gc6 ай бұрын
Watoto jamani watoto watoto ewe mola wangu we are in great pain jamani watu wengi ni waadhirika WA ukatili huu tunashukuru serikali kuweka uwazi
@hawamohammed97406 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢naumia sana moyo wangu naumia haswa jaman kueni na huruma musiharubu wtt wa wenzenu jee mukifanyiwa nyinyi mutalichukuliaje
@zayumar29556 ай бұрын
😢😢😢inasikitisha mnoo jmniiiiiiiiii 💔💔💔 Ila tunashukuru huyu mama gwajima kwakweli anashuulika vizur ktk sekta yake amekua akifuatilia masuala mbalimbal yanayotokea ila pia jmn serikali ingefuatilia kwa ukaribu zaid masuala hay maana kila siku yanazidi kwa kiwango kikubwa mnoo 😢😢💔💔
@sabrinasabrina83956 ай бұрын
Gabo m Tanzania unafanya kazi nzuri
@Byme64346 ай бұрын
Mahomeni Polisi Pameoza Rusha Wallah Daaah Najaribu Kuvaa Viatu Vya Huyu Baba Lakini Hakinitoshi
@ruqaiamohammed3456 ай бұрын
Hawa police ni dhulma / rushwa tu ndo mana ht wakistaafu maisha yao.huwa sio mazur mpk kufa kwao maana machoz ya wanyonge huwa hayadondoki bure 😢😢
@blandinamwarabu50256 ай бұрын
Hiyo ni shida kubwa watu wanapoelezea kuhusu mfumo hawajakosea mifumo ipo inawezekana ni mizuri lakini utekelezaji na anayepashwa kutekeleza ni nani ni watendaji wa Serikali na wafuatiliaji ni …… hapo ndio kuna shida tunatatatua tatizo hatutibu channzo.
@flavianaephraim15216 ай бұрын
Ukipatwa na tatizo km huna hela kuhusu kupata haki, sahau, mpk unajiuliza hv askari wana ubinadamu kweli, hv wana,watoto kweli, hv walilelewa na wazazi kweli, wanajua uchungu wa mtoto, aisee Mungu saidia uzao wa mwanamke, hawako salama
@NoelaJohn-p5d6 ай бұрын
Mam anakuf kwa mstuk mapolic nao wamechagia kif cha uyu mama maan wangemsikiliz yot hay yasingetokea kabisa
@MwantumRashidi6 ай бұрын
Duuh huyu baba kaibua tuhuma nzito mungu wangu hao police hawana bahati na muda huu matumbo joto kwann baadh ya police mnawaharibia wenzenu wasafi jaman ona leo mlivyochafuliwa wote.jifunzen kutupa ushirikiano jaman
@radhiaaboubakari46196 ай бұрын
Wanyongwè jamani wana walawiti watoto
@NuruMfaume6 ай бұрын
Ndo mjue mnakula mishahara lakini watu wanateketea! Kupata haki na huduma bora imekuwa ni ndoto! Hivi swali la kujiuliza kwanini hawaogopi!inamaana hakuna uongozi unaoogopeka! ukatili umekuwa kawaida!inatia uchungu sana!
@demicratia40716 ай бұрын
Yaani nimejisikia kulia baba aliyesema kuna mtu anakuja kumsaidia duu
@NoelaJohn-p5d6 ай бұрын
Jaman kwan hii dunia imekuwaj jaman
@Lundege_Hips6 ай бұрын
Jeshi la police limeoza sana kanakwamba wameajiriwa na serekali kupiga madili tu ya pesa na sio kushulikia matatzo ya wananchi
@momylaviel6 ай бұрын
Hawa police wa tz mmmh hapanaaa waangaliwe upyaa
@johnmushi87776 ай бұрын
Jeshi la police limeoza jaman nchi haina maadili ya uongozi,maneno yamekua mengi kwa viongoz siasa imekua kila k2.Amebaki makonda peke yake
@israelmkaka28076 ай бұрын
Kusikitika kwa MASAUNI MPAKA MAMA ANAFARIKI,,,KUSIKITIKA KWAKE NI UPUUUZI ULIOPITILIZA
@hamzakimaro37646 ай бұрын
Binadamu wamekuwa makatili sana!!
@abdallahmmary85916 ай бұрын
Polisi polisi nikansa kwa wanyonge na burudiko la wenyenacho wasio nacho utakufa kwa mzigo wakesi. DHULUMA nikubwa mnooo😢😢😢
@bakariomari87586 ай бұрын
Suala hili la ulawiti tz limekua sugu sabab serikali imezembea mtu analawiti leo kesho unamkuta mtaani hana hata habari. Hili swala wazazi wanafaa waandamane ili itungwe sheria anaebaka au kulawiti hakuna dhamana wala appeal
@omanoman20446 ай бұрын
Wallah binadam tumekosa utuy unawafanyia watt ukatili mpaka mam amefariki duuuuh
@MariamWiliam-z8k6 ай бұрын
Jaman polisi woote nikama mama mmoja baba mmoja nawakubwa wanasikia malalamiko yapolisi lkn wanaangalia tu. Polis mnatakiwa kuuwawa popote mkikutwa mbwa nyie jeshi la polis polis polis mnatakiwa nanyie tuwe tunawafira watoto wenu ndo mtaijua dunia
@mwalimumstaafu85296 ай бұрын
Mama tunakupenda lakini tunaomba mpe Mh Masauni kazi ingine.
@rizikiabdalla25016 ай бұрын
Sahihi kabisa
@KhoulaAlMahrazi6 ай бұрын
Lakini mimi nashangazwa na sheria za police wa Tanzania eti apelekewe barua tuhumiwa amende kituoni huyo mtuhumiwa si bwege kwa nini asifatwe tuu. Eti gari za police hazina mafuta kunfata mtuhumiwa je serikali iko wapi?
@MariamWiliam-z8k6 ай бұрын
Pia mke wa mtuhumiwa angenyanganywa cm wanawasiliana nammewe
@Noah-se3ni6 ай бұрын
hao watu wanao wafanyia watoto hivyo wawe wanafungwa milela na sio kuwa tolea P R C, kwasababu wana haribu vizaza vyakesho, serekali fanya nguvu kwa huo uhalifu,
@رقيهالخصيبي6 ай бұрын
Sahihi wangefanya hivyo wengine wasingeendelea
@namsamson34436 ай бұрын
Vituo vya police vina pokea rushwa sana hata huko Arusha. Fuatilieni sana. Police wamekuwa wanyama
@khadijarashidy93046 ай бұрын
😭😭😭😭binadamu tumekosa huruma kiasi hiki kweli??
@Bashitetako6 ай бұрын
Unajitahidi sn kwenye hii wizara
@samiraabdimahamed44496 ай бұрын
Maneno mengi 😡😡😡😡 anavyomlazimisha sasa mzee kuwa mama alikuwa mgonjwa , serikali iwe inatoa fidia kwa wahanga wa serikali
@bongo396 ай бұрын
Ni kweli kabisa polisi ni wauwaji wakubwa mie nilienda kutoa taarifa nimetumiwa msg na matapeli huyo mdada alienipokea hapo pilisi eti ananiambia kwani wamechukua pesa nkamwambia hapana ila natoa ripoti ili wengine wasije kupata tatizo hilo ananibia wewe nenda tuu na karatasi hatuna sasa hivi na ndio wao wanacahangia matatizo
@bongo396 ай бұрын
Mama hayajukukuta usichukulie poa polisi wotee pesa tuu wao
@neemanziku54036 ай бұрын
Watanzania hatujui tuka shitaki wapi? Mama samia watazame vzr police tunalia na police
@josephineokama22006 ай бұрын
police ifutwe jeshi ndo liwe linafanya kazi manake police hawana maadili na kazi Yao wamekaa kirushwa rushwa tu yaani unampa mlalamikaji barua akampe mtuhumiwa kweli dar
@Hussein-gx4qu6 ай бұрын
mama Samia atakusaidia Nini huyo kapooza kama nini
@Mkemia..Kirigiti6 ай бұрын
Huyu mama analeta masihara kwa anachokiongea hapo mwishoni😡
@demicratia40716 ай бұрын
Hugo baba apewe ulinzi
@angelanaftael79656 ай бұрын
Pole sana familia
@edsonnelson44646 ай бұрын
Sheria ndiyo iwe na makali, pamoja na yooote chamsingi ni sheria iwe na makali, bila ya hiyo sheria mtaongea maneno menghiiii?
@ashuranda69346 ай бұрын
Umezungumza kweli sana bado africa tunaceza nahili jambo. Lazima pawe sheria nzito ngumu africa nzima kuhusu uyo ucafu
@mariamusaulo44296 ай бұрын
pole sana baba
@gowekogoweko58036 ай бұрын
WALIOSABABISHA MTUHUMIWA AKATOROKA WASHUGHULIKIWE SANA...MAMA NGWAJIMA ASATE SANA ILA TUNAKUOMBA HILI JAMBO ULIVALIE NJUGA. WAZIRI WETU MPENDWA