Mie sioni kosa hapa. Ukiwa ni mtaalam wa afya utanielewa sana.
@restallen5581 Жыл бұрын
Me nimekuelewa kabisa maana sioni shida maana kasaidiwa
@meddy4 Жыл бұрын
mimi sion shida kabisa. Mm nimeelewa 💯
@africayetutv329 Жыл бұрын
Nikweli wasiojua mazingira ya wauguzi na kazi wanazifanya ni sahihi wakiona hivi lazima walalamike ila serikali ikae chini iangalie kwa upande wa wauguzi pia na wao pia wanapata shida ila hawana watetezi evaluation inatakiwa hapo.
@kastorkidumu6579 Жыл бұрын
Kabisa
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Watanzania kazi kubwa kulalama tu. Ila hakuna kosa hata kidogo
@robbynyamriba251 Жыл бұрын
Jamani mbona umehudumiwa na wahudumu?au mi ndo nasikiliza vibaya?aisee wauguzi mna kazi ngumu Mungu awasaidie
@salimmalaka256 Жыл бұрын
WAONGEZWE WAFANYA KAZI 2 HAPO HAKUNA MWENYE MAKOSA.
@elispiuselias1339 Жыл бұрын
shida sio wingi hata waliopo wanakidhi vigezo!
@maulidihassani8324 Жыл бұрын
sasa tatizo lipowapiii makabila mengine nishiiida ulitaka upeweninii acheni maneno ya mihemko
@iddmwendotanzaniteexp5050 Жыл бұрын
Mzee hongera sana kwa kupaza sauti...umekuwa sauti ya wasiothubutu kufanya ulichofanya... Tungekuwa nao hata 1000 Tanzania nzima kama wewe...huenda viongozi wetu wangefahamu ni namna gani wananchi wao wa hali ya chini tunavyokerwa na huduma za afya za sasa hv... Tayari watanzania tumejisahau katika kuwajibika kwenye majukumu yetu.... Paka tusimamiwe..na ndivyo tulivyo.... Kama hutujasimamiwa, hutujatenda haki... Inna llah wa innalaihim lajiun....!!!!@%%
@josephmuhoji3813 Жыл бұрын
Hakuna kazi ngumu kama yakuokoa maisha ya mtu lawama zipo direct Mungu atusaidie tu
@Maconcepty Жыл бұрын
Ofcourse kak kaz n ngumu sana na kam wew n mtumish na ukawasilikiza hao watu hapo hakunatatizo kabxa
@zayanazayana5353 Жыл бұрын
Sbb hamna ujuzi wa kutosha wl huduma wala vitendea kazi na ujinga juu
@laurencemassawe9100 Жыл бұрын
Mmepewa kazi na Mungu pinguzeni zarau kazini
@mercymwimi1188 Жыл бұрын
Sasa kumbe umesaidiwa vizuri,bado unalalama nini jaman mbn mnawachafua,
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Ubinadamu kazi sana
@elinemfanga2081 Жыл бұрын
Binadamu
@mariamusiraju3289 Жыл бұрын
Mercy umemsikiliza vizuri?
@elinemfanga2081 Жыл бұрын
Watu sijui kwa nn hawana shukran...Mungu awasaidie manesi na wauguz wotr
@elizabethclement3583 Жыл бұрын
Hiyo familia waongo wote kabla waongelee kuhusu wao wanaingiza ya wengine nyie binadamu punguzeni midomo kazi ni ngumu usidhani hiyo ni sawa na uongozi ulokuwa nao acha mdomo baba wewe utalaaniwa
@gastorsirima5761 Жыл бұрын
Njia pekee yakutatua hilitatizo sisi akina baba tujitahidi pale wake zetu wanapokua wajawazito tujiandae kuwapeleka privet hospital maana unaweza kuwakosa wote ukicheka na hospital za serekali
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Kabisaaa hapo umenenaa kujiandaa ni muhimu sana
@cleverkifaluka4337 Жыл бұрын
Kabisa na tutafute pesa tuwakatie bima kubwa ili kule private wahudumiwe kirahisi huko private...
@hakizimanantawundi9369 Жыл бұрын
@@cleverkifaluka4337 hapo kwenye bima ndiyo matatizo kweli kweli. Labda tuu Mungu atupe pesa.
@wisperfect5320 Жыл бұрын
Umenena broo
@cleverkifaluka4337 Жыл бұрын
Hakizimana pesa sio shida shida ni maandalizi ya mama kukifungua hayafanyikagi perfect...
@tracyyusuph5466 Жыл бұрын
Jamani mbona umehudumiwa vizuri tu acheni kuharibia wenzenu kazi shida kuolewa na wazee wenye makasiriko 🤣🤣🤣
@senseiamani4684 Жыл бұрын
Acha ujinga wewe ngoja yakukute ndio utajua
@luisdamianojekapu7136 Жыл бұрын
Ipo siku yata kupata, ili uone uchungu🤦
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@senseiamani4684 WAHUDUMU NI KIDOGO SIO MAKOSA YAO.
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@luisdamianojekapu7136 HAWANA MAKOSA
@esabelfadhili8432 Жыл бұрын
Kabisa. .nimeshangaa eti kichwa nimesukuma mwenyewe Sasa angesukuma kichwa nesi? ??Ashukuru MUNGU labour yake imeenda vizur sio kujilalamisha
@agnestemu8382 Жыл бұрын
Mrara manesi wanna madharau sanaa hasa upande wa kujifungua unatukanwa matuc huku unaumwa na wanapenda kurahisisha maisha kwenye operation
@elipidiuskweyamba1394 Жыл бұрын
Jamani kosa la wauguzi liko wapi?
@happynessnoah6005 Жыл бұрын
Hpa kwa Hawa sijaona kosa Mimi binafs Kama walikusaidia kosa liko wapi labda kuna makosa mengine
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KWELI WAJINGA KAZI KUROPOKA 2
@esabelfadhili8432 Жыл бұрын
Me sijaliona hapo kabisa..
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Muwalipe vizuri hao wauguzi nyinyi wanasiasa mnalipana mamilioni ya pesa
@simplyfay5308 Жыл бұрын
Ila Mungu ndo anajua wauguzi tunapitia changamoto gani😥
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
changamoto hakuna asie jua kuwa zipo, ila nyie manesi mna kuwa na roho mbaya sana, hivi una mwambiaje mgonjwa eti una jidekeza? unalialia? ndivyo mnavyo fundishwa huko chuo?
@simplyfay5308 Жыл бұрын
@@sleeprelaxation8431 me sina ata Cha kukujibu kwenye hii dunia kila mtu kaumbwa na nafsi yake usikariri kila nurse anafanya kitu kimoja wapo wazuri na wapo wabaya ivo tu
@tumainimatembo8688 Жыл бұрын
@@simplyfay5308 iyo tabia imekomaa ktk hsptl nyng APA tz ata mkomaindo hsptl ya mtwara tabia iyo ni kawaida kwaoooooooo
@paulinakawishe7210 Жыл бұрын
Hayo in majungu kwanini mazuri hayasemwi pia jueni kazi wanayoifanya wauguzi in ngumu sana
@simplyfay5308 Жыл бұрын
@@paulinakawishe7210 umeona ee ni Mungu tu atatulipia
@mchungulekegwalaone4797 Жыл бұрын
Hao manesi ambao munawaajili sasaiv awana huruma ata kidogo wanawatesa wagonja hao baada ya kuokoa maisha ya wamama wajawazito ila wanawatesa ila nyinyi manesi munaoyafanya mabaya mungu anawaona na malipo yenu yapo apa apa duniani.
@gracemusa31 Жыл бұрын
Mrara nawakumbuka vizuri Sana mnahuduma mbaya sana
@taufikisalumu7639 Жыл бұрын
Ujuaji mwingi uyu mzee
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Yaani km Baba Levo🤣🤣
@sophiaalexandersophia8610 Жыл бұрын
@@salomewandya7257 haya jawakuta ndo maana mnasema hivyo
@clintonarnold6291 Жыл бұрын
Asa wamemtelekeza vp na kasema wamemsaidia kuzaa
@eliakitungo8642 Жыл бұрын
Wee mzee boya kweli unacholalamikia chenyewe hakijulikani, umepata msaada mkeo kajifungua safi then unaanza kubwabwaja. Pumbavu sana
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Tatizo wamevamia fani. Hiyo.fani inataka.moyo. siyo waisomee ili wapatr ajira
@dorismzumbwe8921 Жыл бұрын
Kama wauguzi wanaonewa Mungu ndo anajua lkn Kama hujapitia huwez ona......hospital za serikali wito umepungua mnoo
@zainabwage4658 Жыл бұрын
Km alijakukuta iki kitu km mzaz shukuru mungu uyu mama alichoongea ivi vitu vipo sana
@fatumaabasi777 Жыл бұрын
Hatari kweli mbn hamueleweki, kila kitu na ujuzi wake sio mnalaumu tu, uzembe kwa wahudumu pia nyinyi wazembe tu, hatar kweli yani, eti anaambiw asizibe mdo sas hilo ni kosa? Mnajua y anaambiw asizibe mdomo? Na isitoshe muuguz c mungu, yeye kuwambia mwende mkoani ni kwa usalama, na kuzalia hpo ni mungu kaamua tu,
@pascalinajames9117 Жыл бұрын
Kusema kweli huyu mama kasaidiwa hapa wanataka kuchafua kada za watu..aliekekezwa vzr sababu ya hali yake aende hospital kubwa lakini ubishi na kukosa uelewa kunapelekea haya naomba serikali iwasaidie manesi ukisikiliza maelezo hapo hamna kosa ni unafki na uchochoze Mungu awasaidie wauguzi wote mashetani kama hawa wanapojiibua awatete kwakweli..naamini haki itatendeka
@leahmlagwa284 Жыл бұрын
Hivi wauguzi hawatakiwi kula, kazi ya lawama sana hii
@luisdamianojekapu7136 Жыл бұрын
Mungu atawalipa kwa walicho nifanyia, 😭😭 hawana utu hata kidogo, maana skuizi baadhi ya hospital hawaruhusu hata ndugu kuingia chumba Cha kujifungulia, matokeo yake naambiwa nkatafute mwili wa mwanangu mochwari😭😭
@maindachausa3912 Жыл бұрын
Pole sana mumy janam, inaumiza sana
@Graceyusuphh Жыл бұрын
Pole sana, wasamehe mwachie Mungu ndo ajuaye kulipa kisasi
@محمدالقايد-د6ب Жыл бұрын
Pole ndo manes walivyo😭😭
@omaryabdallah5931 Жыл бұрын
Ila swala la Ndugu kuingia labor Hilo haliko sawà kinachopaswa ni ukishamkabidhi mtoa huduma mama mjamzito inabid utoke nje wahudumu wafanye Kazi yao
@omaryabdallah5931 Жыл бұрын
Sio kila kitu kulaumu mambo mengine yanabidi yafate utaratibu
@zebedayodiganyeck2046 Жыл бұрын
Hawan hatia kabisa ni siasa tu hapo Sasa daktari afanye nn Badala ya kushukuru mama kajifungua vizuri hapo kwa Hali ya operesheni aliyofanyiwa awali ungempoteza ungejiongeza na kufuata maelekezo maan hapo hapatabiriki isitoshe kauli kinzani hapo mama anasema amepimwa Mara mbili baba anasema hajapimwa
@leahnjinge7136 Жыл бұрын
Mie cjaona kosa la manesi hapo,umefika vzuri wamekupokea wakakupima wakaona ni Kama una shda na wakamuita daktar ,Mungu mwema ukajifungua vzuri Tena nesi kakusaidia kujifungua ...wameongea na wewe vzuri tu shida iko wapi??au makasiriko ya maisha ndo yanawachanganya😏😏
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Kwa kweli wa mama wajawazito wanakutana Sana na changamoto wakati wa kujifungua hadi lugha chafu zipo kule leba
@mohdnasser894 Жыл бұрын
dada yangu usishangai hao manasi ni wakristo waliisha fundishwa mfumo kristo wanajuwa sana kama waislamu wanazaa sana sasa hawapendi kuona waislamu nazidi kila siku
@floramlowe7078 Жыл бұрын
Yaani hawa wauguzi wa Tanzania wanachangamoto sana.
@evalenad6256 Жыл бұрын
Mungu wangu.!!!!😢
@zebedayodiganyeck2046 Жыл бұрын
Yupo kweny uchungu aliwezaje kupiga simu
@charlesmakuri792 Жыл бұрын
Jaman elimisheni Jamii mi sijaona tatizo ni kupenda kulalamika na nyie manurse mjishushe
@mariasafari1004 Жыл бұрын
sasa kumbe umejifungua salama na wamekusaidia ulitakaje sasa mwaya,acha kuwachafua manesi wanakazi ngumu sana hao japo na wao wanakosea na kuchoka pia.
@momboss3656 Жыл бұрын
Shv ni mwendo private hospital hizi hospitali za serikali zina ushenzi mwingi kila kona. Bora Magufuli angekuwa hai
@kainimlowe7555 Жыл бұрын
mbona kama alihudumiwa ungepigwa na makofi je si mngepiga simu kwa samia
@emanuelysehaba1006 Жыл бұрын
Mama amekiri kuwa kasaidiwa Hayomengine ni ujuaji tu na kashifa Kwa wahudumu wa afya
@tumainilaizer6517 Жыл бұрын
Sa shida iko wapi apo jamani??
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Wauguzi wengi wajeuri sana.
@kamlkaml4509 Жыл бұрын
Manessi wa tanzania mjifuze sana mnawanyanyasa sana wajawazito ndoo maana vifo vingi san kwetu mbona omani akuna izi mambo jamani
@petermboje5839 Жыл бұрын
Mpaka angelikuwepo magufuri
@veronicachristopher524 Жыл бұрын
Dah hawa wauguzi wetu changamoto sana,
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Muwalipe vizuri wanalipwa vibaya na Kwa nini wanasiasa wanalipana hela nyingi
@anastaziamlungu9871 Жыл бұрын
Kumbe ulisaidiwa acha uchonganishi et tunasoksi xa ya nn yote hayo kuongea
@mariamgodfrey53 Жыл бұрын
Siwasahau manesi mm mwaka 2016 walimuua dada yangu kizembe kabisa hatukupata mtoto wala mama tulizika wote wawili. Kwa sababu ya uzembe wao na nyodo nyodo zao manesi mnajisikia sana mnatunyanyasa sana pindi tunapofika hospital kwa ajili kujifungua
@leiratykisura6718 Жыл бұрын
Manesi na ma dkt wa tz wanazarau sana na hawajari wala hawasamin kaz zao wakiachishwa kaz wanaria jmn hawana Hutu wala huruma na wanamajibu ya kunya sana tofaunti na nchi za wenzetu wanajar wagonjwa sana lkn tz mtihan mbaka utoe rushwa ndio mgonjwa wako ataudumiwa vzr Hutu hakuna kabsaa mtu hanasamin kula kuriko kumuangaria mgonjwa na matusi juu
@naah884 Жыл бұрын
Yaan kuwa na namba za waziri ndio imekua shida sasa hapo kafanyiwa kibaya kipi yan mnawapaga hao manesi lawama kila siku chenyewe kina jiumauma...yan kuingia leba na dada yake ndio shida sasa hao manesi wangembeba?
@mercymwimi1188 Жыл бұрын
Ni kweli kabsaa,wanawapa lawama sana,kumbukeni wanahudumia watu wengi,na mbna amehidumiwa vizur
@ashangonyani7989 Жыл бұрын
Anapaza sauti kwaajili ya wengine wanaonyanyaswa. Au wewe hujaelewa maelezo ya huyo baba?
@salimmalaka256 Жыл бұрын
@@ashangonyani7989 HATA MIMI SUJAMWELEWA BASI ANGESEMA WAONGEZWE WATU WA KUHUDUMIA.
@ashangonyani7989 Жыл бұрын
@@salimmalaka256 Ishu sio wafanyakazi wachache,bali ni uzembe na kutokujali wagonjwa pia majibu ya hovyo.
@naah884 Жыл бұрын
@@ashangonyani7989 hapo nn ambacho hajahudumiwa wakati mwingine mnatoa lawama bila sababu sikiliza maelezo ya huyo mama sio baba coz nyie ndio mnaenda hospital kwa ubaya hata ukifanyiwa zuri unaona baya
@nursechunga4470 Жыл бұрын
Iyo namba ya umi mwalim na mimi naiomba tafadhari, maana namimi nilipoteza mwanangu kwa uzembe wa manesi, inaumiza sana 😭😭
@salomewandya7257 Жыл бұрын
😰😨😨😨😭
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Siku hizi hata kibanio cha kitovu unatakiwa upeleke ni hatari sana.
@neemaelias1323 Жыл бұрын
Sasa Nani akununulie nahuku serikali haitoi vifaa
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Mzee uko sahihi kabisa nawashangaa Sana wanao kubeza ni kwa vile wao hayajawakuta siku yakiwakuta ndo watakuja kukuelewa.ashum Kama dada wa uyo mjamzito asingekuwepo je ingekuwaje mtoto si angefariki pale alipo anza kusukuma pasipo sehehe sahihi??
@charlesmugisha6529 Жыл бұрын
Sehemu sahihi??
@hassanimussa2154 Жыл бұрын
Uelewa kazi kichwa Cha habari tofauti na maelezo ya huyo mama ,
@temlatele1053 Жыл бұрын
Mmmmmm
@mohdnasser894 Жыл бұрын
mfumo kristo lazima uwakomoweni chunguzeni sana
@johnjoycemalusu4886 Жыл бұрын
Uelewa kazi sana, sioni kosa la wauguuzi hapo!!! DMO hili swala mbona ni dogo sana, ulishindwa kutatua, mtu ana previous scars, BOH wauguuzi wana kosa gani kumwambia aende mkoani??? Hili swala halikupaswa kufika mpaka kwenye vyombo vya habari , pengine DMO ameshindwa kutatua changamoto kwa sababu ya uelewa mdogo wa mgonjwa na ndugu zake na labda hawakuwa tayari kuelimishwa!!!!
@fatumaabasi777 Жыл бұрын
Kwani hapo si wamepima njia ikawatatiza? Dah wew mume pamoja na kua ulikua mfanyakazi ila unatia mashaka maana hauna point, kuwepo viitanda shida? Vtanda vinatoa huduma?
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Jamn hili tazito ni kubwa Sana piteni hospital zote za serikali
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Nchi hii inawaza kujivutia pesa kwao na family zao, 🤣 uku. Masikini kama mm tunahathirika😭😭😭
@denisimaliyaweni9183 Жыл бұрын
Hbr ilivyotolewa ni kwamba mzazi kasaidiwa na dada ake kuzaa , huku manesi wakiwa wanasema et wanakula kwanza ... Kumbe tofauti kabisa 😳😳
@aminahussain3058 Жыл бұрын
Wanajisikia sana manesi wanajali mshaala tu basi
@aishahussein4645 Жыл бұрын
Duuh jamani Tanzania yetu uuh, mm nipo Kenya nakumbuka niliumwa uchungu siku ya kwanza ya pili, polisi walionipokea siku ya kwanza siku ya pili usiku wakanipata bdo naumwa, waliitwa madaktar wakuu wa upasuaji na wakaambiwa nafaa kupasuliwa kwa haraka Sana watoto wanaezafia kwa tumbo, na nikapasuliwa nikatolew vitoto vyangu vi2, na ni hosi ya serikali tuu, magufuli wangu alienda na heshma yote ikaenda
@acquelinapissa2968 Жыл бұрын
Wapuuzi wakubwa nyie uzazi ni nusu ya kifo na hyo kitengo haikufai we mama utolewe haraka huna
@oliverjason4335 Жыл бұрын
Bora uende hospitali za kishua izi zingine ptuuh
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Saana
@salhamohamed9240 Жыл бұрын
Jamani mie huwa sielewi hivi mtu akiumwa uchungu atakiwa kuachia mdomo wazi amaa afunge mdomo
@rodgermusa6845 Жыл бұрын
Mzee hana akili kabisa yaani mtu anapewa transfer kwa ajili ya uhai wake ww anasema alazwe tu hapo
@jestokissambale9355 Жыл бұрын
Dunia hii
@mecksonmlewa4410 Жыл бұрын
Manes wanajikuta miungu watu. Hao
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Pole sana
@bibianachomba1585 Жыл бұрын
Mm niliambiwa mwanao amekufa wakati ajamshika kaenda uko nje kama dakika kumi anakuja kumshika mwanangu akalia kapigwa na baridi wee ilikuwa asubuhi saa babe ucku mwanangu akafariki naumiaga Sana jamani mungu tu atusaidie
@angelinamsemwa5592 Жыл бұрын
Maneno meeengi huo muda ungetafuta hela upeleke mke wako private hospitals hizi za Serikali mtapiga kelele sana na kwa Rais wenu huyu aliyepo hamna kitu kitabadilika .....huduma zishakuwa mbovu kila kona kwa kifupi tumerudi kule kule tulikokuwa miaka 2000s.
@sabrinamchipu7657 Жыл бұрын
Hao wauguzi wafukuzwe
@titonkwabi7430 Жыл бұрын
Hapo hakuna cha kufatilia,hata kama kuna uzembe ulifanyika mtalindana tu.
@daktariwakitaa Жыл бұрын
Muachage mambo ya hovyo. Hata sioni kitu cha ajabu.
@moshifrank9622 Жыл бұрын
Jamani uamuzi wa daktari mgonjwa aende mkoani ni sahii kwa bahati nzuri alijifungua kabla ya kuondoka na manesi walimsaidia tuwaonee huruma wakati mwingine wanazidiwa
@sylvetermtunga4587 Жыл бұрын
All in all kapata msaada,mengine nichangamoto za kikazi ,kazi ni ya wito tho wateja naowanapaswa kujua kila binadamu anahulka yake so tujue kuishi nao🙁
Ila wee mama acha chokochoko mbona sioni kosa maropoko uawauguz mbona kila mahali yapo?huwa wanachoka jamani alafu wagonjwa wengine niwanoko sana🙄🙄
@niwaelally1579 Жыл бұрын
Ikitokea au imeshatokea. Mbona nnchi imetuchoka hii
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
Baadhi ya wauguzi wengi skuiz hawajari
@rahimramadhani4618 Жыл бұрын
Huuu uzembe upo hadi hospitals ya chalinze
@saidamkondo5859 Жыл бұрын
Lawama nyingine hazina mashiko mgonjea amehudumuwa shida ikowapi? Kama mgonjea kaambiwa ande mkoani ni kwafaida yake ili apate huduma nzuri zaidi shida iko wapi? Kazi ya uuguzi jamani ningumu haishi lawama wauguzi poleni
@zebedayodiganyeck2046 Жыл бұрын
Sasa hapo Kuna issue gani hapo akili yetu haiposawa hapan issues yoyote majungu tu
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Uchafu Kama huu Ni mwingi Sana kwenye hospital za serikali Mungu atusaidie sana
@evaakyoo3009 Жыл бұрын
Wafukuzwe tuu ni wapuuzi sana
@mariasafari1004 Жыл бұрын
mmmm mrara kabs duhhhh
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Naomba kupitia kibindi hiki no ya waziri wetu wa afya mpendwa wetu Ummy Mwalimu iwekwe .
@daktariwakitaa Жыл бұрын
Kwamba hamtaki watu wale ama ni nini
@edwardkimathi1861 Жыл бұрын
Huko kwenye hosp za serikali changamoto ni nyingi mno watendaji ni wavivu wanataka kka tu na kulla hasa ucku na majibu mabovu ndiyo mahali pake.kinachotakiwa ni kuwachukulia hatua tu ili na wengine wajifunze
@dannywiston6391 Жыл бұрын
Tunataka tumwone dr kweka
@محمدالقايد-د6ب Жыл бұрын
Pole dadaa 😭uliumia sana
@evalineamady6810 Жыл бұрын
Uchungu inauma jamani acheni uzembe
@wilsongewe4354 Жыл бұрын
Hospital ya mrara hamna huduma rafiki kwa wamama wajawazito! Kuna ndugu yangu alijifungulia chooni maana alijisikia kusukuma akaambiwa njia Bado toka kwenye kitanda mwingine ahudumiwe! Na ni uzao wa kwanza aelewi chochote so alijisikia Kama anataka kujisaidia akaenda chooni kumbe ndo mtoto anatoka! Mrara kiujumla jmn hapafai kunifungulia Bora privety!! Ilikuwa mwaka 2016!
@salimmalaka256 Жыл бұрын
KUNA WAJINGA WANASEMA ETI ENZI YA MAGU HAYA HAYAKUWEKO.
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Watawafuatilia kuwadhuru. Iweniakini
@dativaabraham481 Жыл бұрын
Jmn nurses wangu akija hats kichwa kinauma huyuu Mzee ni referral tuu 😃
@leahnjinge7136 Жыл бұрын
Sanaaaa pumbavu huyu Hajui hata analalamikia nn,ugumu wa maisha yanawachanganya🤣🤣
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Yaani ni shida.
@saidimkombe9842 Жыл бұрын
Sema ingekuwa uongozi wa gpm Asee angekuja kabisa
@shomitz1885 Жыл бұрын
Mama hawezi kwenda majukumu mengi hahahahahaha😭😭😭
@adventinangamba5917 Жыл бұрын
Sasa unalalamika Dr kutojulishwa umejifungua hayo ya Dr na nurse kutowasiliana nalo lako? unapiga umbeya tu habari za wodini nikajua hujahudumiwa! Yy na mmewe wambea Sasa kuambiwa nadeka Ni shida!
@naah884 Жыл бұрын
Yaan jaman washazoea lawama ndio tatizo alitaka apetiweje yaan watu wanatafta tu kujulikana
@richardmrosso976 Жыл бұрын
Awa manesi kama wanajulikana Rai fundisheni adabu serekali imelala aina mda na Walala hoi
@isackmosesmabula3648 Жыл бұрын
Hizi habari sio za ku intertain kabisaa hakuna mantiki ifike hatua tuheshimu taaluma za watu mbona mazuri yao hamyafatilii na kuyatamgaza wanawake wangapi wamesaidiwa kunusurika kifo mbona hatuoni mkiyatangaza
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Mbona mi sioni kosa kwamanesi
@stanleyalfredy1938 Жыл бұрын
Mbona sioni tatizo, jamani hizi kazi ni ngumu sana labda walipishana kauli.
@eliakitungo8642 Жыл бұрын
Hakuna ubaya mliofanyiwa makelele ya nini? Mkeo mwenyewe ni mtoto wako huyo!!! Miaka 65 kwa 36.
@sylvetermtunga4587 Жыл бұрын
All in all kapata msaada,mengine nichangamoto za kikazi ,kazi ni ya wito tho wateja naowanapaswa kujua kila binadamu anahulka yake so tujue kuishi nao🙁
@shaneshane4175 Жыл бұрын
Kazi hizi ni wito ila sikuizi wanaingia2 ndio ivyo