Nimefurahi sana kuona hili limefikia hapa tumepambania sana Hongera Mkuu wa Malaigwani Africa Mashariki kwa kazi nzuri
@thomsmollel1280 Жыл бұрын
Kopkop nawapenda Sana mnatoa taarifa za uhakika nawafuatilia Sana from Nairobi 🇰🇪 ❤️❤️
@devidkipaipai Жыл бұрын
hongereni kopkop tv kwa kutpatia habari hizi mungu awabariki Sana kwa tukio hili la kihistoria la kuwaelimisha eng,ajang emaa kwakweli nimefarijika moyoni nipo Uganda lakini nawapata vizuri
@elishavasha6628 Жыл бұрын
Mungu ibari jamii yetu ya MAA , tuungane kwa pamoja kulinda na kutunza mazingira yetu kwapamoja tutashinda .
@kisaiwasimango6253 Жыл бұрын
So nice I proud to be masai
@simonkipondo1453 Жыл бұрын
Nimefurahishwa sana kuwaona viongozi wetu wakuu na watu maarufu kuja na jambo hili la kuchunguza mienendo za maa kama bado ipo au tumeibiwa tamaduni yetu, kwakweli kilicho tugharimu sana ni hili la kuzarau Mila yetu ya maa na kutukuza za wengine, sisi kama maa wengi wetu walio kimbilia makanisani aslimia kubwa sana wapo tuu Kwa ajili ya kijitenga na Mila na ilihali hawajafit huko walipo pia, nataka kuishauri jamii yangu Kwamba hebu tujichunguze je! Bado mienendo yetu inampendeeza Mungu? Maana sisi ni taifa teule la Mungu sisi ndio tunu ya Mungu duniani. Enkaiyiai narok enkaiyiai nanyokie enkaiyiai ormasai taretu iyiook siyaake
@piniellaizer5753 Жыл бұрын
Baraka ole maikaa aiseee huyuu Mzee anajuaaa Sanaa
@sammytokore9386 Жыл бұрын
Metamayiana Enkai ilmaasai pee esha.. kiomon Enkai metadamu yiook. Janice Mutui nakuona my friend. Thank you for the vision my sister
@robertelias7934 Жыл бұрын
Mungu awe nanyi daima
@danielmkulat1598 Жыл бұрын
Injoo emayan indae engai eshumata nileipunye nasema mungu awabariki sana lakini mimi nawashauri uwamasishaji huu iwafikie malaigwenani wote popote walipo Tanzania na Kenya
@jacobpongoli6763 Жыл бұрын
Mungu awawezeshe kabisa kabisa ❤❤
@devidkipaipai Жыл бұрын
nashukuru pia kwasababu siku moja nilisikia bilionea wetu laizer akihojiwa na kopkop alizungumzia pia Jambo hili la kutuelimisha kuhusu Alana za nyakati nawashukuru Sana mungu awabariki
@NdeyoAlabara4 ай бұрын
Mungu awabariki sana kopkop tv kwa kazi nzuri baba zangu na mama zangu engai tamayana engaji emaa ❤❤❤❤❤
@loshipangoipa5810 Жыл бұрын
Sidayolege.mungu wasadee. Kopikopo tivii
@meshacktome3109Ай бұрын
Amazing facts, should you need creation of accurately timed subtitles, notify me.
@lasaronjasi874 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana koopikopi
@EliasMoyo-g3pАй бұрын
Yaani mm najaribu sana kuwaaelimisha waafirica kwani kuwa wakirisito sio isabbishe tuwache mila zetu maan mila ilikuja nyuma ya ukirisito kwaiyo ingekua vyema tuwe wakirisito lakini mila zetu pia tusijali tusiwache mila muacha mila ni mutumwa na ndio maan bado tuko kwenye utumwa kwa wazungu,kweli wanasai na mungu awapokei kwa kurufisha mila zenu
Turudisheni mila zetu maan mila akuna kitakacho tunyima jamani jamani tuwacheni kupteza hasili yetu wamasai nasema wamasai maan kabila mingi zingine walipoteza mila zao muda mrefu basi wamasai musikubali kupotoshwa na mila za wazungu ambazo ata ndio zinafanya dunia kuaribika na pia watu kuto kumuabudu mungu wamekua wakiabudu wazungu na wazugu sio mungu jamani
@EliauMtishbi-os5ky8 ай бұрын
Tujitahidi kuzingatia Mila zetu . Tupande miti tupunguze mifugo ili turejeshe uwoto wa ASILI unaopotea cku Hadi cku. Mishoo eñk Ai natii shumata kibaiki eñduata cdai.
@mosesoloshiro8216 Жыл бұрын
Wow
@EliasMoyo-g3pАй бұрын
Menapita yook kanisa ata kidogo ijo akegira inye kanisa aiminie dunia tenebo wornganyyit
@EliasMoyo-g3pАй бұрын
Wamasai munafanya mambo nazuri kwani kuwacha Mila ni utumwa turudisheni mila zetu tuwache kupotezwa na mila za wazungu jamani