Majungu yapigwe kwa saana na wenye jicho la husuda ni upande huu wa pili wenye kuiba kura na kuwauwa watu. Watakuja kushangaa pale Mwenyekiti atakapokuja na hoja kuwa yeye na Timu yake wanamuunga mkono Makamu wake kwenye nafasi hii kubwa. Mwenyekiti anahitaji kipumzika awe mshauri mkuu.
@edgarmbegu197423 сағат бұрын
Sasa Lissu huwezi kugombea na Mbowe ukamwangusha? Maana naona kama hutaki kugombea naye. Unamwogopa.
@deomtekele316618 сағат бұрын
Twende tuone
@breymbasa34513 күн бұрын
2015 ipi?
@healingsschool46302 күн бұрын
Duniani Kuna ulinzi 3.Mungu,shetani, police wanajeshi dola, wewe huna ulinzi na mdomo.Mdomo ndio ullinzi wako hautoshi ndo maana wakakupiga risasi
@aidankakulu398Күн бұрын
Kwani wewe ni kijana
@davidchipongo13763 күн бұрын
Yaonekana anamhofia Mbowe vile vile hajiamini kwa kuwa Mbowe ana watu wa maana
@hamzakimaro37642 күн бұрын
wewe fupi achana na mbowe!!ukiona vyaelea vineundwa!! mbowe!!mbowe!! Kwa hiyo mbowe ndiye amekuwa sera kwako!!!
@jumakapilima72952 күн бұрын
Hatimae Mbowe amegeukwa na jini alilolifuga yeye mwenyewe
@tibbsminja25752 күн бұрын
Sio kweli bado hujajua kwa kuwa uko upande wa pili!