The polygamous police officer I have been dating has ruined my life | Tuko TV

  Рет қаралды 108,040

Tuko / Tuco - Kenya

Tuko / Tuco - Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 615
@Tuko
@Tuko Ай бұрын
You can get in touch with Peris Njeri Njeru via +254742 624153 If you would like to share your story with us please WhatsApp Tuko Video Team on 0115 106407 email kingori.wangechi@tuko.co.ke and or eucabeth.mukami@tuko.co.ke Thank you for being part of this wonderful community.
@RITAGITHINJI
@RITAGITHINJI Ай бұрын
let her go and report to IPOA, they will assist her
@bizmanagement8226
@bizmanagement8226 9 күн бұрын
Yanii 😂aaa tuko??.. I was Soo ready to listen to this traumatizing story vile mumeweka thumb nail moto then boom another naive woman holding on to a toxic man ndio apewe kitu kidogo ,n who does not love her self aki...please advice her aanze kujua kujitaftia .... Let him go n focus on yourself n that child,the more Yu keep on following up on him the higher the chances of Yu getting depressed even deeper n risking your life even more.
@TheMillenialClub
@TheMillenialClub Ай бұрын
I feel sad for her… when you are young and poor you are so vulnerable. I hope life turns around for this young lady.
@lilyandama5930
@lilyandama5930 Ай бұрын
Nipitie pia❤❤
@joanmbugua9966
@joanmbugua9966 Ай бұрын
My dear me niliolewa nikiwa 19 years nikazaa Moto wa Kwanza nikiwa 20yrs na wa pili nikiwa 23yrs, nikaachwa na watoto on 2019, now I'm 32 years niko Saudi Arabia nimeachia mama yangu watoto na mimi nawatafutia. Mamaa nhoja uzae na mungu akisaidie uzae salama then after like an year tafuta njia na utatoboa mamaa mungu mbele
@mercynjoki8618
@mercynjoki8618 29 күн бұрын
😂😂😂😂😂hiyo ndio jia yetu aombe hakuolewa ukendi she can move on to gulf
@raphaelnjenga3423
@raphaelnjenga3423 11 күн бұрын
Hello tuko, have been watching your episodes, which sometimes are long and your guests talk for a long time, if possible be having a glass of water for them.
@brilliantmind9729
@brilliantmind9729 Ай бұрын
This is why men generally love younger women...they're so innocent, naive and gullible.
@satialoice4316
@satialoice4316 Ай бұрын
Very true. They can easily manipulate them.
@jadapi100
@jadapi100 Ай бұрын
Very true...she looks very naive and vulnerable .They like such so that they can take advantage.
@lizbecky4699
@lizbecky4699 Ай бұрын
Exactly and they can't play around with mature women, bt that's very wrong to take advantage of young and innocent people, and yet you are a parent, think before you destroy someone's child 😭
@georgejuma9221
@georgejuma9221 26 күн бұрын
She was promised going to heaven trekking with a policeman bull to all female cows😢😢😢
@MissJacqee
@MissJacqee 22 күн бұрын
And parents or guardians are not preparing them for the real world out there
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women Ай бұрын
Lakini as a lady its so easy to note a married man, wale madem hawawezi jua a married man ni 15yrs - 23 yrs old. 😮😮 Sisi wa past 24 yrs old , huwezi tudanganya ovyo ovyo , tumekapitia , 😂😂😂😂 Madem in their late 20s, and early 30s, habari zenu, wenzangu.😊😊My sister shika line sasa shule ya ulimwengu ata ukose kuingia darasani lazima usome, na ni ile ya the hard way ,😢😢 Anza kushughulikia mtoto wako mapema ndio best na God akulinde tu. ❤❤❤
@CarolineKwamboka-cl6df
@CarolineKwamboka-cl6df 27 күн бұрын
Haha eti 15-23 ndo hatwezi nini 😂😂😂 you have just made my day
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women 27 күн бұрын
@CarolineKwamboka-cl6df ndio wanadanganywa ovyo ovyooooo , 😂😂😂
@berylfaith7812
@berylfaith7812 22 күн бұрын
Hapo umesema ukweli mtupu dadangu
@annkariuki1108
@annkariuki1108 Ай бұрын
Ningekua wewe siwezishindiliana na story ya support..bora niko hai nalea mtoto wangu..juu already nishaona si kizuri
@Lydia-Martin949
@Lydia-Martin949 Ай бұрын
Kabisaa.....at 1st hali hukuwa ngumu bt with time utawezana
@annkariuki1108
@annkariuki1108 Ай бұрын
I mean't si kuzuri *
@JosephinePendo-j2y
@JosephinePendo-j2y Ай бұрын
Hawa ni watu hupenda sympathy na hawataki kuchoka
@zachariahmaithya6572
@zachariahmaithya6572 Ай бұрын
I have children with a wife we have separated but we haven't resolved issues. I can't date a young lady like this. Men take advantage because the ladies don't have jobs and money.
@Mayellah19
@Mayellah19 Ай бұрын
Hata kisheria hawezi pata support na hajazaa,the guy can't feed him ni yeye akulishe alijifungua ndio aanze court case na pia it's 50/50 so hata yeye she needs to bring something to the table mwanaume hata pewa majukumuu yote times have changed sikuhizi hiyo energy ya child support angetafuta tu hustle after kujifungua aachie mamake mtoto awe akituma pesa
@Mayellah19
@Mayellah19 Ай бұрын
That guy is a big liar kwanza he is not 34 he's older than that,A polygamous man and police in one sentence busy manipulating and you because your naive,At 20yrs hadi ukaamua kupeana tamu instead of building your life jameni Anyway u learnt the hard way now focus on the baby coming and your growth usikimbilie ndoa tafuta hustle uachie mama mtoto ukijifungua ju hata ukianza court case majukumuu ni 50/50 na hauna kazi and sahii u ain't entitled to anything hata hiyo pesa ya clinic jipange hadi uzae ndio ukashtaki.
@Lillylilothefirst
@Lillylilothefirst Күн бұрын
Mungu akutetea msichana and much thanks to ur mum for showing love to her daughter
@nancyngetich6582
@nancyngetich6582 Ай бұрын
😢so sad,shestill so yiung and naive..she needs help😊and more so peace of mind,all the best dear, everything will be ok,will support you 🙏
@caroltony7107
@caroltony7107 Ай бұрын
Am a doctor sister to 6 military men ,mama choose yourself these guys are heartless.
@marylineanyango2010
@marylineanyango2010 Ай бұрын
And they've multiple women...I don't know what wrong with them.
@vituvidogo8563
@vituvidogo8563 Ай бұрын
@@marylineanyango2010yup military men world wide are like that smh
@gracy2545
@gracy2545 Ай бұрын
​@@marylineanyango2010It's cz they keep moving from one camp to another
@karehat5241
@karehat5241 Ай бұрын
Huyo jamaaa anakucheza emotionally. Hii issue ya child support ukicheza utakufa na maisha yake isonge kama kawa. Love urself and ur unborn child then Lea mtoi wako na Mungu hatafanya ukose chakula ya huyo mtoi. Peris, let the joy of the Lord be ur strength!!!
@lilyandama5930
@lilyandama5930 Ай бұрын
Nmekupitia nipitie pia❤❤
@evasavai956
@evasavai956 Ай бұрын
true alafu alikua anaficha now mimba ndio inafanya atoe sauti hata kama ni shinda angetumia protection
@judymulewa9302
@judymulewa9302 Ай бұрын
​@@lilyandama5930nipitie nimekupitia
@mercynjoki8618
@mercynjoki8618 29 күн бұрын
True and we women should know and love live to understand men don't want kids
@gracekamunya6823
@gracekamunya6823 Ай бұрын
A very humble question ⁉️ hii mimba ingekua ya "Kamau wa makara"angekua anamfuatilia?with all due respect the answer is a big NO!yakimwagika hayasoleki,uko na ball and after 9 months utapata mtoi pls let this stick to your mind.In less than 10 months mmedate,uko na ball,mmepelekana mpaka Kwa OCS woooote wa county,umenyongwa and still holding on the same man?I think this is beyond repair,accept and move on
@salomeomashibo1971
@salomeomashibo1971 Ай бұрын
Shakuru MUNGU Aja kuua Uko Muzima👍👍 Na tuko Wengi huku inje Tume tupwa na watoto na wana lshi Na wawe bado mdogo kuzà Sio ugonjwa Uta Jifungua Kwa Majaliwa Ya MUNGU NA MUNGU ATA KUPA KAZI Uta Lea Mtoto Wako🙏🙏
@kellymikae5766
@kellymikae5766 Ай бұрын
Pòlice ni wakora wote nà familia zao ziko na shida sana pole.police hutawezana nao omba mungu akusaidie ulee mtoto.But run foŕ ur life hio ndio kazi yao.wangu alinitupa mimi ni mke wake wakwanza but.. nimungu tu.
@charitykawirambaabu9747
@charitykawirambaabu9747 Ай бұрын
Amekuwa mkora after mmeachana 😂😂😂
@bettiejoy-mtotowamama
@bettiejoy-mtotowamama Ай бұрын
Atleast wewe uko na mahali unaitwa kwenu, haulipi nyumba Mamako ameku accept, mtoto utamleta hapo hapo tu mnaishi bora hamlali nje. Alafu kama mzee amekataa mtoto wake bona unam force.. just assume alikupea mimba na akadedi unengefanya?🤷‍♀️. Wewe zaa mlee kwa mda tafuta kazi maisha poa itajipa huko mbele. Wengine wetu tuliachwa na watoto na tumewalea peke yetu na Mungu sasa niwa big 💪💪
@prettybrenda
@prettybrenda Ай бұрын
You are right
@JOSTINEKIMANI-h8n
@JOSTINEKIMANI-h8n Ай бұрын
Ongeza volume
@kamwende
@kamwende Ай бұрын
Hapo umeongea ukweli sis, sisi tulipewa mimba na tuaachwa saa hii tuko gulf tunachukumana na makelele ya wainguru, wewe mchisana uko sawa juu uko kwenu, wengi wetu tuacha watoto kwa rental house
@Sophie-ke-029
@Sophie-ke-029 Ай бұрын
Mm nliachwa na mkubwa akiwa 4 na twins a yr,na sai ako 10 and 7, nalea pekee,siezi mforce alee watoto,na naishi ka watu wawili wako kwa ndoa, Mungu siku zote
@sosnesmadoya4409
@sosnesmadoya4409 Ай бұрын
OCS was right, lazima mtoto azaliwe ndio DNA ifanywe.
@zenahpaul423
@zenahpaul423 21 күн бұрын
Am married to a narcissist kdf .....let me tell u it hasn't been easy.....I want to divorce for the safe of my mental health 😢😢
@Lilianmuthomi-z1p
@Lilianmuthomi-z1p 17 күн бұрын
In box me dear we talk
@celestinas_world
@celestinas_world 11 күн бұрын
Just get out mwanzo mummmy
@NaomySerugways
@NaomySerugways Ай бұрын
Now you r safe babygirl.... Wachana na hiyo story ... Akili kichwani Sasa.... Hatakimaliza
@mabelmatilda774
@mabelmatilda774 Ай бұрын
Huyu naye umeona mtu si responsible from the word go unazurura ukitafuta support badala at least utafute job before ball ikue kubwa ya kuchokesha at least upate ata nguo na clinic yako first. You have to be creative and awake early enough ❤
@stevybill
@stevybill Ай бұрын
Guts ya kuolewa na mapolisi😢😢 inataka moyo😢😢😢😢
@MamaMichelle-j6d
@MamaMichelle-j6d Ай бұрын
@@stevybill sure!! Naamini pia hao wanajiita mabibi wa mapolice hukapitia weeeeeh.
@veronicahnyambura1696
@veronicahnyambura1696 Ай бұрын
They are No go Zone, they are 🔥🔥🔥🔥
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Ай бұрын
​@@MamaMichelle-j6dakii Mimi tukutane Tu Kwa traffic JAMA ama Kwa ob
@kamwende
@kamwende Ай бұрын
Hakuna malaya kama police hata nikipewa hao watu free siwezi
@Truthfulmen_women
@Truthfulmen_women Ай бұрын
😮😮😮​@@MamaMichelle-j6d
@DamarisWangui-xq5wd
@DamarisWangui-xq5wd Ай бұрын
Team strong 💪 helllo better niamini waiguru kuliko police woie usijali mamii ni life
@ZUURAOSUNDWA
@ZUURAOSUNDWA Ай бұрын
Kabisaa..better waiguru 1000 times😅
@Mary-c7x
@Mary-c7x Ай бұрын
Kabisaaa😂😂😂😂😂
@beatricekasudi4743
@beatricekasudi4743 12 күн бұрын
😅😅😅😅😅🎉🎉ukweli
@annkariuki1108
@annkariuki1108 Ай бұрын
My dea girls, nawaomba tu muache kuingia kwa mahusiano kwa urahisi...take your time dea once.
@Hotshrimps
@Hotshrimps Ай бұрын
They listen to the sweet nothings and are blinded by "love" other than taking time to learn the man and watching for his actions
@evasavai956
@evasavai956 Ай бұрын
This was a married man plus Kuna family planning,
@annkariuki1108
@annkariuki1108 Ай бұрын
True​@@Hotshrimps
@Hotshrimps
@Hotshrimps Ай бұрын
​@@evasavai956Ni peer pressure ya kupata mimba
@kadzo6614
@kadzo6614 Ай бұрын
​@@evasavai956married yes, but he didn't disclose that until he impregnated this girl.
@nellykilonzo2
@nellykilonzo2 Ай бұрын
Weh hata mi ningekuwa OcS ningeshidwa vile ,,, nitasaidia,,,,,,,ladies surely why are we entertaining men,,, juu ya kuambiwa tu i love you.......tujipende jameni
@Hotshrimps
@Hotshrimps Ай бұрын
Wanaambiwa I love you Leo Kesho washaoana😂😂😂😂 women can be so naive
@veronicahnyambura1696
@veronicahnyambura1696 Ай бұрын
" I Love You" has Destroyed so Many People, if you tell me that, I ask you " What Do you want"
@juliamugane7777
@juliamugane7777 Ай бұрын
In fact hakuna kitu ocs angefanya coz she was not raped and alikuwa above 18yrs.
@emmaInyele-w7d
@emmaInyele-w7d Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂kasusu​@@veronicahnyambura1696
@hellenangejo4129
@hellenangejo4129 Ай бұрын
Ulitafuta nini kwa polisi aliye na familia yake!!you are soo young and beautiful, God has a better plan for you, ladies please learn from other people's mistakes
@clintonobegi8458
@clintonobegi8458 Ай бұрын
Usikiii alikua mature na anamapa advice
@kadzo6614
@kadzo6614 Ай бұрын
​@@clintonobegi8458was this a ticket to sleep without protection? 😭
@skinnyzebra8626
@skinnyzebra8626 Ай бұрын
I feel sad for her,majority of men who are cheaters are sweet talkers, She did not know due to lack of exposure & naivety
@chepngenoviola5468
@chepngenoviola5468 Ай бұрын
Sorry girl for what you've been through ,achana na huyo jamaa atakuua.
@gladyswayua987
@gladyswayua987 3 күн бұрын
Exactly 💯 even when worse will be when she starts court cases with him na hatamweza
@edinahmokaya8347
@edinahmokaya8347 Ай бұрын
Young ladies be very careful, what were you thinking ? A difference of 14 years. Couldn’t you think the guy was married or do investigation. Your life is ruined and you are alone my dear. You were supposed to build yourself not dating. Let the rest learn from you.
@kenyshabellen3240
@kenyshabellen3240 Ай бұрын
Problem is when women think men are there to solve their problems or complete them. Was she taken to school to depend on a man. Ladies tujipende
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Ай бұрын
BT she looks older than 20years
@kamwende
@kamwende Ай бұрын
​@@user-cg3vf2bl6bako na 20 years ni vile amezeeka juu ya stress ya mimba
@niceblessings234
@niceblessings234 Ай бұрын
This gal is too young, God will give her another chance to greatness
@mabelkagika3647
@mabelkagika3647 Ай бұрын
​@@user-cg3vf2bl6b Maybe amelelewa na ma shida...
@CarolineChepkemoi-fp4lw
@CarolineChepkemoi-fp4lw Ай бұрын
She needs counselling inorder for her to love her baby once the baby comes because she's hate that guy for ruining her life
@peroshazzshazzu2121
@peroshazzshazzu2121 Ай бұрын
Pole name this is crazy how we share the name and same situation,but jipe moyo my daughter is 14 years now na izo tu jinga,ukiskia police wa kenya run ,get mtoi utafute job umlee mtoi wako.
@celestinas_world
@celestinas_world 11 күн бұрын
Murifeee Ruuuuuuuun for your life
@mercynjeri6070
@mercynjeri6070 14 күн бұрын
The signs were all clear the man is not interested in her na yeye ni kuforce tu..but she appears so naive. Wipe off dust and concentrate on your unborn baby . You are not the first nor last single mum. Ni life lesson
@misscesty5817
@misscesty5817 Ай бұрын
Women's let's love yourself even before we start dating we should be independent juu si kama kukosa pesa this young lady hangejipata is such situation.we should look for money not mens ,mens are allover but when we have our own things we will meet with gentleman not jst a man who doesn't no the value of a woman.
@maggiem8869
@maggiem8869 Ай бұрын
This lady should back off completely,pushing this guy for child support you might end up underground sorry to say.Hii ni stori inaeleweka ,he doesn't want anything to do with you gal,jipende aki.Your mum should be your strength asikulazimishe kuongelesha huyo jamaa.
@wambuitracy4487
@wambuitracy4487 Ай бұрын
Huyo ataua mtoto ndio usipewe child support. Can you remember Major yule wa Nanyuki Airbase aliua watoto wawili na mama yao ndio asikatwe 20k ya children support 😢😢😢😢😢😢 Lea mtoto wako.
@lydiahbosibori2189
@lydiahbosibori2189 Ай бұрын
My mom used to tell me in parable (kina okage mbide)😂😂😂😂20yrs wueh nowadays akuna wanaume kama kitambo who use tolerat nonsense, before you set your mind on dating be financial stable for anything 😂😂😂😂
@danielamicheal4680
@danielamicheal4680 Ай бұрын
Hii ndio nashangaa unapanua tuu minguu unaekwa mimba how do you get that comfortable kwanza shaaaaa young girls of nowadays
@PrincessKay-g6v
@PrincessKay-g6v Ай бұрын
Huyo askari angenijaribu Mimi angetia akili, this sweet twenties can't handle a police officer well, ask me I have one askari😂😂
@onesmasmuema-n4d
@onesmasmuema-n4d Ай бұрын
yaani tuseme wewe ndio ndawa yao...
@rebahmatanda8669
@rebahmatanda8669 Ай бұрын
😂😂😂
@carolinewambui146
@carolinewambui146 Ай бұрын
U have a job mentor her she is not ok tell her how to overcome
@Mary-c7x
@Mary-c7x Ай бұрын
Mama yao😂😂😂😂😂😂
@Glorykathambi-k7v
@Glorykathambi-k7v Ай бұрын
If you love yourself dear,.just stay with your parents mpaka uzae as long as you are in good health the future is bright.. otherwise you will regret it my dear,.these people are bad
@kadzo6614
@kadzo6614 Ай бұрын
Advise her to also use protection in future or totally abstain. She sounds naive 😭😭
@maishafrance96
@maishafrance96 13 күн бұрын
I hope things get better young lady.Devastating situation caused by poverty.Stay away from this life threatening situation and be safe. You are still young and you have your whole life ahead of you
@njokim9505
@njokim9505 Ай бұрын
This girl is so young and naive.She needs a lot of guidance and mentorship..May the Lord help her to have a safe delivery and focus on raising her child.She should forget that man completely.He is a monster taking advantage of young girls.Karma will catch up with him very soon.
@IrenesConcierge
@IrenesConcierge Ай бұрын
There’s no karma. They were two adults she’s not a child. She was looking for an economic solution which has turned into an economic problem. How do you sleep with someone that’s not even known by your family?? If she keeps following up the man might kill her. She just needs to look for a way to fend for herself and her child, otherwise poverty is doing press up waiting for her. May God open her eyes.
@melsaotieno1833
@melsaotieno1833 Ай бұрын
We listen we don't judge..... But ladies mjipende,weeeeeeuuuh😂😂😂
@maureenashlynr2031
@maureenashlynr2031 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@JOSTINEKIMANI-h8n
@JOSTINEKIMANI-h8n Ай бұрын
Very true
@YucyYucither
@YucyYucither Ай бұрын
😂😂😂
@violawanjiru8493
@violawanjiru8493 Ай бұрын
Yani tuko wamefikia hapa😂😂😂
@elizabethnechesa
@elizabethnechesa Ай бұрын
Just pray to God akupee safe delivery,ulee mtoto wako gal.You can't force a man to take responsibility..Alafu achana na yeye, after all you went through hata hungekuja tuko,this man might harm you na hii Kenya kama huna pesa ,kiluo chako huwa bure.. Anyway pole sana
@GloriaMutungi
@GloriaMutungi Ай бұрын
She's still young I hope she learns from this Focus with your life and your baby
@EmmaculateMakori-t7l
@EmmaculateMakori-t7l Ай бұрын
Mummy don't worry pia Mimi nilifall in love nikapewa ball baadaye mtu anasema akona familia 😢. please don't give up in this life for good umelearn . I wish you all the best but ukitaka tuongee niambie
@JACKLINEWAMBUIMAINA
@JACKLINEWAMBUIMAINA 11 күн бұрын
Young and naive I have seen a similar story 😢 God will come through for you gal
@milkachepkurui857
@milkachepkurui857 22 күн бұрын
Shukuru mungu ujapewa HIV movement on mum mtoto moja utashindwa kulea
@hellen-z2t
@hellen-z2t Ай бұрын
Maried or not relationship na police is a no go zone wenye masikio wasikie 😮😮
@jadapi100
@jadapi100 Ай бұрын
I now see why men love these young women...they are so vulnerable and innocent.
@rechomunini2730
@rechomunini2730 29 күн бұрын
Mtoi wa kwanza is a blessing.... don't regret ...ishafanyika
@MamaMichelle-j6d
@MamaMichelle-j6d Ай бұрын
Kwanza huyo maybe ni mgonwa...he mighty not be okey...all this women? What for?...likuwa anatafuta maids wa kulea watoto wake huko mashinani.😮
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Ай бұрын
😢😢 woiye usiseme hivo akii ,Yani MTU anajipata Kwa life ingine very dangerous,na huyu pia mrembo anarisk Sana kufuata MTU ako na bunduki
@IrenesConcierge
@IrenesConcierge Ай бұрын
He’s probably sick but she was quick to sleep with him. How many times will young women be told to use protection?
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Ай бұрын
@IrenesConcierge wanasema si tamu ,wanataka raw,sai HIV iko juu Kwa this age 15 to 27 na kina kitu inaitwa 3sam inamaliza young generation,plus Nigerian men
@KABWEM
@KABWEM Ай бұрын
Very sad story 😭😭😭 but Kwanini (tuko team) wasimsaidie kwa kesi hii ili the crazy police uchukue responsibility for the baby? Watching you guys from Congo 🇨🇩 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@charitykawirambaabu9747
@charitykawirambaabu9747 Ай бұрын
Alijua ako na familia,,wacha ajipange
@susanmuthoni5482
@susanmuthoni5482 27 күн бұрын
Kairetu you are very naive🥲🥲 Madem walikuwa wanadaganywa hivio kitambo sio siku hizi.
@tanjiro-rh2bn
@tanjiro-rh2bn Ай бұрын
You people should assist this lady find justice... You are exposing her yet not telling us of the whereabout of the culprit..
@goldenchoiceproperties8302
@goldenchoiceproperties8302 11 күн бұрын
Sina ubaya lakini hutu tusichana tudogo tukiona tuvifua tumesimama tunadhani tuko better than anyone else. Unfortunately hii ni dunia
@niceblessings234
@niceblessings234 Ай бұрын
She is destined for greatness!
@PaulineNyambeki
@PaulineNyambeki Ай бұрын
He promised you heaven on earth 😢men, men, men, when are you going to say the truth if nikukulana ikue kukulana now the child girl ako stressed... Never give up zaa Kuja gulf we hustle ulee mtoi wangu saa hii ako university and high school... But I will never give up for remarrying my the love. of my life.
@clintonobegi8458
@clintonobegi8458 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂I can marry you am the love of your life
@melankoli1225
@melankoli1225 29 күн бұрын
Shindwe pepo😂​@@clintonobegi8458
@prettybrenda
@prettybrenda Ай бұрын
Top 1 kwa comments munipitie
@lydianjeru4136
@lydianjeru4136 Ай бұрын
Shukru Mungu uko uhai na uache mambo mingi, wasichan hundanganywa hivo ulindanganywa kula ile mamako hukula na uendelee na maisha
@alicekenyaneedchangenotold7970
@alicekenyaneedchangenotold7970 20 күн бұрын
Aki wasichana asiesikia la mkuu huvujika guu
@varinialuvega9503
@varinialuvega9503 Ай бұрын
Peris, do not loss hope. It's not the end of life but just the beginning of a beautiful story in your life. Your life will change for the best.
@Bellah-c3m
@Bellah-c3m Ай бұрын
I married an officer 👮‍♀️ since 2013 to 2021 innocently luckily I didn’t get pregnant for him . The guy was married a father of 3 nilikuja kujua in 2021 mazishi ya mamake sikutaka case after mazishi niliingia gari straight to kambi packed my belongings and left but ile vita huyo jamaa aliniekelea ile siku alijua kwenye nilieka bar hadi mbele ya customer ile kijiti ya police wa traffic alinichapa nayo hadi kidole yangu waleo haiwezi smama straight. Nikirepot no action was taken against him he even told me atanishot ikabidi nikauza hiyo kazi nikatoroka. Am safe in foreign country than in my country
@WambuiKibanya
@WambuiKibanya Ай бұрын
😂😂😂😂polee
@Bellah-c3m
@Bellah-c3m Ай бұрын
@@WambuiKibanya wambui nilikucheka unacheka aki 🤣🤣 unajua huyu jamaa tulijuana akiwa shule kwetu koz ndie alikuwa anasmamilia exams class of 2012 🤣🤣 hata ndio maana nilianguka exam koz akipita tu everything in my head evaporated 🤣results zikitoka 2013 Feb nilikuwa kwake mind you am from kiambu I schooled in kirinyaga and the guy is from Nakuru. In 2017 akapewa transfer to mwiki hii time yote am in darkness jamaa ananionyesha vile ananipenda but nikimshow akienda ushago kwao tunaenda na yeye that is where he drew the line. Nikaekewa club kasarani ya kunikeep busy niache story za kutaka kwenda kwao . Mamake akidedi ndio akanishow let’s go ushago but chenye utapata please ukubali I was like Oky me thinking aty amesema ivo koz hajajenga or his mom house is shagarabara nilikuta kumbe ni bibi number one ndie niliambiwa I accept chenye nitakuta . Kuzikana tulizikana but sikulala hata mchanga sikungoja ifike shimo nusu nilikuwa nimechukua mata mbio sana on my way to nairobi walae hadi key ya bar ya kasarani niliacha kwa meza Wacha asiskie nilieka bar kimbo wueh alikuja na ile double cabin zao GKB ya cream nilionwa war counter mzima akavunja vunja akafunga na akaenda na key tukakata mlango nikafungua tena hata wiki mbili hazikuisha tena ndie huyu na kijiti ya trafik mateke ya mbavu . Next thing niliskia " Niite kihii kama sitakupiga risasi " niliuza hiyo kazi haraka sana na nikatravel saa hii naskia ako meru
@usiniletee
@usiniletee Ай бұрын
Waaa, they are murderers, run for your life
@aar7061
@aar7061 Ай бұрын
8 yrs na hukujua na ladies are good DCI
@Bellah-c3m
@Bellah-c3m Ай бұрын
@@aar7061 I was only 18 hapana guchesa
@beccacheruiyot8138
@beccacheruiyot8138 Ай бұрын
Kuteleza sio kuanguka you will rise again l was their l gave birth at 19 it was not easy but l thank God my daughter is 12 now no support from the dad but we are strong, na huyo police hawezi chukuliwa atua ama yeye ni serkali ?
@DominicMuandikwa
@DominicMuandikwa 28 күн бұрын
Waliponda raha pamoja... Leave boy child alone to enjoy life.... women never learn 😊
@lydiakorir6612
@lydiakorir6612 Ай бұрын
Wewe jipende..you won't die from raising that baby alone. Not unless unataka kifo..
@switysalim9910
@switysalim9910 Ай бұрын
Thats why am working day and night so that my girls aren't lures into small traps😢😢 Madam lea mimba uzae mama na uwachane na huyo mnyama i have 3 girls struggle is real lakini tunakazana tuu dada life continues
@fridahlucas7002
@fridahlucas7002 Ай бұрын
When dating police officers chunguza kwanza , most of them have families, ni kuchezea tu young ladies
@IREENKAIRUTHI
@IREENKAIRUTHI Ай бұрын
Hata uchunguze unless Samuel kukuambia ukweli
@lilianwangila4429
@lilianwangila4429 Ай бұрын
Kukuwa mpangoo Wa kando pia Ni kazi kivyake
@annnjoroge4308
@annnjoroge4308 Ай бұрын
Very true
@MukuluPaul-n3l
@MukuluPaul-n3l Ай бұрын
Ukona energy ya kufuata polisi from one place to another but kutafuta kazi uwezi😢😢😢
@elizabethnamisi7639
@elizabethnamisi7639 Ай бұрын
Nisaidie number yako ukue wangu😅😅😅😅
@mercynjongoro4329
@mercynjongoro4329 27 күн бұрын
Accept and move on... Hapo hakuna mwanaume.. Gene Z mko lucky Sana your sharing your stories ss tulikua tuna pambana na Hali yetu in silent... Jipendee mtoto Hua wa mama
@pykyalo9965
@pykyalo9965 Ай бұрын
I know someone going through this. She is scared of getting help because the karao is threatening her
@moniqueamondi5158
@moniqueamondi5158 Ай бұрын
Thats unfortunate
@richardmongare2341
@richardmongare2341 Ай бұрын
Be very careful otherwise bad things will happen to you. You can make it on your own.
@davinabts1150
@davinabts1150 Ай бұрын
Wewe lea mtoto wako wachana Na huyo MTU if you value your life , You have a bright future ahead
@Alicekomen
@Alicekomen Ай бұрын
Thank God you are alife mama,God will give grace to raise your child,God will provide,forget ,forgive and move on.
@LydiaKevoi
@LydiaKevoi Ай бұрын
Before nishushe bendera mpaka nijue MTU vizuri , this is so sad to this girl 😢😢 team kupitiana pitieni kwangu tugrow pamoja
@carolinematianyi5212
@carolinematianyi5212 Ай бұрын
Even if you know him for ten years, they still change to worse
@lilianwanjiku7260
@lilianwanjiku7260 Ай бұрын
Done❤
@evasavai956
@evasavai956 Ай бұрын
POverty inafanya but wa mama ongea na watoto awe kijana au wakischana kama feelings ziko juu use protection
@carolynekwambokamosoti1640
@carolynekwambokamosoti1640 Ай бұрын
Leave this man we have many single mothers outside here. Safe your life hugs na pole sana
@clintonobegi8458
@clintonobegi8458 Ай бұрын
She is forcing things the day alijua ameenda transfer angemfuata ni upuzi to
@mariam52186
@mariam52186 26 күн бұрын
Mungu saidia wasichana wadogo juu kwa bad luck ukiangukia mikono mibaya utaimba hallelujah!... niliangukia mikono ya ibilisi nikiwa mdogo akanizungusha kama tire ya gari but thank God alikufa!... he really messed me!...😢😢
@Janemuthoni289
@Janemuthoni289 Ай бұрын
Ubaya mkiingia kwa dating mnaanza kuwahubiria mashida za kwenu na shida zako then na siri zote za umaskini hapo wanaume wanatake advantage maana wanajua sasa umeangukia huwezi muacha,then msifikirie kuolewa kutapunguza mashida ndio mnaongeza,then mnaanza kuishi na mtu since mwezi wa kwanza unashika mimba na hutaki kujua kwao or anybody na mnaona mko safe????hiyo ni first red flag ondoka uanze kuchunguza unakaa na nani
@mercyG78
@mercyG78 Ай бұрын
Aki vile unaongea mambo ya kutoa mimba wah😢
@ireriimmaculate
@ireriimmaculate 28 күн бұрын
Yamaanisha she's nows well about abortion..juu if she was naive as they say hangekuwa na hiyo option ya kutoa from the start
@Mwarabukoko-s4t
@Mwarabukoko-s4t Ай бұрын
Uyu dem akubali tu ametokwa lbda alkua amejiwekea hopes apo bt akubali amechengwa, a move on atapata mtu atampenda na mtoi wake ,hi yake ni shadow madem uku inje wamepitia, awache kjiforce kwa mtu ataki story zake ataji pressure bure ,kwanza kwa mtu akona familia
@LizKamau-c9h
@LizKamau-c9h Ай бұрын
Always put yourself first this men wueeeh ni macousins za shetani
@shifta81
@shifta81 Ай бұрын
Be nice, some men are born and raised well
@dorcaskarah9546
@dorcaskarah9546 Ай бұрын
I have 3 kids and am struggling alone. please usiwahi regret huyo mtoto ni blessings , mama yako amewalea mkiwa 3, so u will make it ❤❤❤ . Zaa mungu atafungua njia. Na usifikirie juu ya huyo jamaa, try to delete him in your mind kabisa
@jennihjose8133
@jennihjose8133 10 күн бұрын
Galfrend with a police officer na unataka support i was married for years and i get no support..fanya kazi msichana tafadhali 🙏
@Ngossmann_254
@Ngossmann_254 Ай бұрын
We also need to hear the Story from that Police officer labda unadanganya Ogopa wanawake na story za shisha
@charitykawirambaabu9747
@charitykawirambaabu9747 Ай бұрын
Waah 🙆🤦🤦
@graceakinyi8448
@graceakinyi8448 28 күн бұрын
You should be ashamed
@lucykatuku3306
@lucykatuku3306 Ай бұрын
Hii Kenya kumearibika Sana ! Tunasema tuko na serikali but akuna. Pole madam.
@massykgaassfghjkkl5364
@massykgaassfghjkkl5364 Ай бұрын
Be strong young lady, May the Lord find way so she may nurse her pregnancy as a single mother.. She will manage otherwise let her not go back to that idiot.
@diashi4522
@diashi4522 Ай бұрын
Pole dada. My dad did the same to my mum. He married so many wives after my mom until she decided enough is enough,akaenda akiwa na mimba yangu. He didn’t care about our education . I saw him when I was almost 30yrs. Since now Niko majuu,ananiitanga mom, I love you😅, don’t forget my birthday, send me some cash za dawa, embu niongee na my grandkids,mpakanashindwa alikuwa wapi?
@sharonlorna8255
@sharonlorna8255 Ай бұрын
😂😂😂😂akwende huko
@charitykawirambaabu9747
@charitykawirambaabu9747 Ай бұрын
Usimpee nafasi,,akwende huko,,mamako aliteseka na wewe saa hii ndio anakutambua
@marymsiko8365
@marymsiko8365 24 күн бұрын
Akwende na huko jinga hii😂😂😂😂
@sharonelekisha2722
@sharonelekisha2722 Ай бұрын
Baby girl as long as your parents accepted you don’t worry about material things . Wewe zaa tafuta kazi hata kama ni ya nyumba
@nancynancy2468
@nancynancy2468 Ай бұрын
Hizo Keys zilikuwa kwa nyumba huo mda wote na hukuwa umziona?🤔🤔 halafu hata hiyo simu ulipata yani battery haikuwa imeisha ilikuwa imekungoja tu?🤔🤔🤔
@ellyjoymuriithi6418
@ellyjoymuriithi6418 Ай бұрын
Ficha hii akili wasikuibie😂😂
@nancynancy2468
@nancynancy2468 Ай бұрын
@ellyjoymuriithi6418 😂😂😂 ni swali tu🤣🤣🤣
@annengumbi5551
@annengumbi5551 17 күн бұрын
Wewe umeponyoka. Usirudi kwake. Chunga maisha yako. Atakuua vile alisema.
@SeraphimGraphics
@SeraphimGraphics Ай бұрын
I am very sure she dumped her boyfriend for the police officer ,tumwambie ukweli .The policeman was enjoying himself forget him ulee mtoto wako wacha stress.
@mileafedha9786
@mileafedha9786 Ай бұрын
If you love your life forget about that guy! The same happened to my cousin,Kwanza vile alienda Kwa station yake kumripoti ,jamaa aliskia vibaya akakuja home akaambia mamake hataki story ya mischana wake na akiendelea kumfwata atamuua!!
@bilharwambui2035
@bilharwambui2035 Ай бұрын
Yani unaforce mapenzi kama dawa.
@veronicahnyambura1696
@veronicahnyambura1696 Ай бұрын
Khaaai, Kuwa Mpole, the Gal is Hurting coz of Love 😂😂😂🤣🤣🤣
@DalilahRashid
@DalilahRashid Ай бұрын
Hiyo yake hata si mapenzi ni ujinga​@@veronicahnyambura1696
@angellahnyaboke6828
@angellahnyaboke6828 Ай бұрын
Merecen is dawa
@chepngetichdiana4708
@chepngetichdiana4708 Ай бұрын
For her she taught the cop will elevate her from poverty, but I think we should also think before acting, dating in march and getting pregnant in just two months.. that was sooon!
@clintonobegi8458
@clintonobegi8458 Ай бұрын
He had several ladies and you expacted to respect you and not to talk to other ladies and yes he is marriee to three other women anyway ladies who bewitched you who said 34 year old man is mature than 24 one but i know ni hii upuzi ya kupenda uniform ya police na kufikilia mtu ako na miaka mingi ni mature na mtu anaongea vizuri he is good like angels kitawaramba na bado watu wajipende waaje upuzi mtu hakutaki hana haja na wew why should you force issues hadi unamfuata mtakufa vbya nyinyi😮😮😮😢😢😢😢😢
@carolinewambui146
@carolinewambui146 Ай бұрын
Niko Embu i will came to consul you dont give up its happens and there is a way out.
@esyy_kariuki
@esyy_kariuki Ай бұрын
Kairetu wacha kuforce mapenzi you can do it
@charitykawirambaabu9747
@charitykawirambaabu9747 Ай бұрын
😅😅😅
@leahnjoki5177
@leahnjoki5177 Ай бұрын
Young girl nakuhurumia but please wachana na hiyo child support,anaweza kukuua,vumilia tu ukijifingua utafanya kazi ulee mtoto nauweze kujisimamia hata kusoma utasoma,your future is bright.
@CarolineChepkemoi-fp4lw
@CarolineChepkemoi-fp4lw Ай бұрын
Neighbour is one in a million god bless her
@ritaroggs
@ritaroggs Ай бұрын
Kwa nini tunachangia mjinga kama huyo mwanamme???? The police HR system shd be deducting and amount grm.his saloon n give this gal. What is wrong with Kenyan system's???? Alipe child support.they deduct direct b4 paying him.
@mabelkagika3647
@mabelkagika3647 Ай бұрын
ln countries like Seychelles the law gives alimony almost fifty percent child support of the accused salary to victim as child support, no compromise otherwise jail....
@georgeonzere7946
@georgeonzere7946 Ай бұрын
Police wewe Mungu anawaona mm nliambiwa the same thing kumbe bibi Ako home I feel u baby gal but nlizaa mtoi Ako 17yrs sahi huyo jamaa hataki nione mtoi 😭😭
@roselynekwamboka6869
@roselynekwamboka6869 Ай бұрын
Weuh 😅, mungu akuonekanie
@AfrikanischeKeramikPerlen-n6k
@AfrikanischeKeramikPerlen-n6k 4 күн бұрын
"If this girl were my daughter or sister, I would have given her a reality check. Why get pregnant after knowing someone for only three months? And why ask him for permission to have an abortion? She should take full responsibility for her poor decisions and seek therapy; otherwise, she will continue making bad choices in life and blaming others. You can't control another person's actions. Both you and the policeman are red flags."
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Ай бұрын
Pole sana don't force him let him be Mungu atakujaalia ulee mototo wako huyo jamaa Alikua na plan ya kukuua na kukutupa Kwa forest
@JaneWasike-zs2mj
@JaneWasike-zs2mj Ай бұрын
Why would someone ruin innocent young girls 😢 the world is so cruel
@maureenmaureen330
@maureenmaureen330 Ай бұрын
Zaa mama lea mtoi afike 1 yr tafta namna ukuje tusungue hamamu na ni shua bet end month utalipwa utapata kakitu kulea mtoi .....just my mind juu kupata job kenya ni ngumu
@MuthoniPurity-me9bt
@MuthoniPurity-me9bt Ай бұрын
My sister achana na huyo mwanaume unaforce nini mtu Hana kazi na wewe na mtoi ako innocent zaa mtoi na all will be OK saa hujue juu ya mimba na sisi tungangane tuko na 4kids na bado tunasonga acha ujinga
@magutmagut-xq8uo
@magutmagut-xq8uo Ай бұрын
Mama mtoto mmoja ashakunda na hapa wengine analea hata watatu pekeyao. Unakaa tu lazy yani umeskia mtu ni poligamous na bado uko hapa kunyambia watu eti support. Jitume nanii acha za Bure.. Mm ni elea wangu wawili Sai ni wakubwa na Sina haraka na mwanaume.. Jua nlizaa na army yani nyuki. Sai anataka kuon atoto but hawezi Pata hata space ya kuchungulia hadi watoto wa mtafute wenyewe. Sai hatuna haraka. Saudi hoyee🎉
Losing my two marriages, surving GBV and picking myself up | Tuko TV
1:26:48
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 107 М.
He would take off my clothes and smell me for cheating evidence  | Tuko TV
1:05:50
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
He slept with another woman as I watched
1:00:08
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 220 М.
Ruth Kamande’s Journey to Graduation and Justice
2:16
Justice Defenders
Рет қаралды 23 М.
I would share multiple men with my mother, for money  | Tuko TV
1:12:32
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 172 М.
He would go shower from his mum's place when we disagreed | Tuko TV
1:28:45
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 42 М.
Saudi boss tied me up and captured it on camera | Tuko TV
1:15:31
Tuko / Tuco - Kenya
Рет қаралды 198 М.