Waah aki tusitumia wanaume doo kama unajua una watoto na yeye kama unatuma tuma juu ya watoto lakini bure hiyo inaenda kwa wanawake wengine pole sana dada
@Justin-yh1bm2 ай бұрын
Thanks for getting the helper
@XaviourChelimoo2 ай бұрын
Waaah watu wanatoanga wapi nguvu y kutumia Chali doo
@FaridaKikiz2 ай бұрын
Nizikute natumia mwanaume dooh zangu n heri mom yangu akule kuliko mwanaume, na nyinyi team strong acheni kubebwa ufara na wanaume unaeza amini mwanaume azh na dooh zako surely
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@DorcasWanjiku-vi9mg2 ай бұрын
😢😢wacha kusema hivo saa hii aki navenye nmejam ju ya kutumia husband 5k aede kuona watoi arafu akaenda kulewa zote aki ill never dare again
@ChalohChaloh2 ай бұрын
Ukweli
@gracelacha162 ай бұрын
@@levynetv.Awe mbuzi na yeye bwn nn kuumizana😢😢😢😢😢😢 mpe pole Queen
@FaridaKikiz2 ай бұрын
@@DorcasWanjiku-vi9mg🤣🤣🤣🤣 pole dya
@Josephinelatin2 ай бұрын
Aja wapatane kule wakikula yasi na matawi mmoja matawi mwengine nyasi huyo sasa waja akae ng'ombe levyne. Thank you so much levyne and your director be blessed
@myunaniniahmad64632 ай бұрын
Hiv mbona wa dada hamjifunzi? Matukio haya ni yakila cku.
@PhilesOngono2 ай бұрын
N Hii n nyumba gan
@LeonidahKemuma-mu3go2 ай бұрын
Hiyo nguvu ya kuita ghasia kama hii beb unatoa wapi !!?
@OdetteNduwayezu-m5k2 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮acha nahuyo akule nyasi
@Arisa.collins2 ай бұрын
😮😮💜
@KANDIEJOYOCLA-j5y20 күн бұрын
Afanyiwe Ile kitu ya dan😅😅😅😅
@nyokskinyah82462 ай бұрын
Naona mbuzi ingine ikiload hapa karibuni aki
@nakyejwemargie65512 ай бұрын
his time is coming the same to his bro
@ZxnsWbak-gj1rv2 ай бұрын
Call doctor
@FridahMugambi-h2f2 ай бұрын
Wacha mbuzi zikuwe mbili na mzilete huku kwangu zikule nyasi iko hapa
@mumblessed0012 ай бұрын
Huyu dem aulize doo zake achane na mambo ya kuitana beb 😢 Levine huyu atoe doo za team gulf no money no mercy 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
@johnorina59522 ай бұрын
FBI Dan ni bro yake sasa huyu akue she goat
@SusanSuzzy-dz8bm2 ай бұрын
Levyne huyu pia akue goat
@CONSOLATANECHESA2 ай бұрын
Wacha wote wakule nyasi na wakuwe mbuzi nkt
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@roseayieta23452 ай бұрын
Mtu ale nyasi Asap! Wamezoea
@TabithaLucy-xv7ks2 ай бұрын
Na hana nguo huyu mchunga mbuzi 😅😅😅😅bado ako na zile nguo zenye alikua anchungia mbuzi aya yeye huyu karibu pia anakua mbuzi na vile anajibu rude akule nyasi tena
@JaneMomanyi-mh5kk2 ай бұрын
Kai xx wote wapatane uko wakure tu uyo nyasi 😢
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@adelinaomani90122 ай бұрын
Najiona kabisa kukiwa na mbuzi mbili
@halimashaban70382 ай бұрын
Akasaidiane kula nyasi na mwenzake huko😂😂😂😂😂
@حسنا-ض3ز2 ай бұрын
Akule nyasi 😮😮😢😢😢
@siderscquad2 ай бұрын
Lavyne wageuzwe mbuzi
@maryodongo-r4r2 ай бұрын
Daktari afanye ile kitu
@harmonayesa-ke2gm2 ай бұрын
Hii familia iko n kosoro kubwa sana ata uenda n laana kutoka kwa wazazi wao sisi cha muhimu aggrey n uyu dem wapata hski zao n kila mtu asahau yote n wahazishe msisha yso kila mtu juu hii familia ukurudiana wanakaa watu wa kupenda cha bure sana
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@naomybokid90882 ай бұрын
S laana wamesoea kufanyia wasichana hivyo siku zao zimefika
@JoyceMutindi-bk9wl2 ай бұрын
I said it,,hii n laana,
@j.w.m-lp3kg5 күн бұрын
Cheating is bad never trust anybody
@annetabbymwai73202 ай бұрын
Dan and his brother they're thesame
@BarasaObby2 ай бұрын
Ukweli
@gakyjaklin4502 ай бұрын
Masi avae nguo juu watu wame saa toka uko pila nguo kitambo
@LeonidahKemuma-mu3go2 ай бұрын
Huyo ako na kipuri kama bro wake levyne leta daktari
@RehemaMukhwana-l2c2 ай бұрын
Uyu sasa akule nyasi pia kama Dan
@Stella-b3q2 ай бұрын
Gulf sio rahisi
@PurityKemm-st8dn2 ай бұрын
Akule nyasi😅😅
@MaryamJum-yl2mk2 ай бұрын
😮😮😮😮😮hiyo familia Iko na laana
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@AminahMuhammad-e5q2 ай бұрын
Musitwangane, Masai said
@MelisaJustus2 ай бұрын
Hiyo boma sasa inaitaji tu mbuzi wakike wawili coz naona ndume mbili
@ChristineArumba2 ай бұрын
Wakule nyasi
@levynetv.2 ай бұрын
😊😊
@adelinaomani90122 ай бұрын
Naona masai akijinyakulia bibi
@dennismukuru2 ай бұрын
jaluo ni tv fridge na woffer kubwa but hao ni ya 2k
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@gracemanyonge44492 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@PurityKemm-st8dn2 ай бұрын
😂😂😂 kwa mpigo alafu ushago hakuna choo
@graceotieno21222 ай бұрын
Kwani wakina Dan ni wajaluo
@tiffah12562 ай бұрын
😢😢😢😢akiii hii iko too much
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@MillicentFuraha2 ай бұрын
Hii family laana tupu kbsa
@annwamaitha59962 ай бұрын
Daktari amepata kazi
@NaomKwamboka-p7y2 ай бұрын
😂😂hamefunga mbuzi Dan wapi na haliwekea mbuzi nyanzi😂😂😂😂
@KennedyFinah2 ай бұрын
𝑁𝑎 𝑙𝑒𝑣𝑦𝑛𝑒 𝑢𝑘𝑢𝑛𝑒 𝑢𝑛𝑜𝑛𝑒 𝑏𝑎𝑛𝑎𝑒
@levynetv.2 ай бұрын
Kwani unataka ninone uchinje unikule nguruwe hii?
@esthermuyoka2 ай бұрын
😂😂😂😂@@levynetv.
@Bouncy-u2u2 ай бұрын
Mbuzi iko nakua mingi hapa kwa kina dan 😅😅😅😅😅😅😅
@SurprisedBirdBath-qh2nn2 ай бұрын
Waah wasichana kama mtu unamtumia doo anakublock jua anakukula doo
@Stella-b3q2 ай бұрын
Levin pia yeye apewe mguu ya ngombe
@RoseKamiti-t3h2 ай бұрын
Na vile Dem wa majuu ni Mali safi
@MARTHACHRISPIN2 ай бұрын
Naona mbuzi ya pili hapo😢😢
@jombamrashwamwea81442 ай бұрын
Hii familia imelaaniwa aki
@IreneKadesa-g1k2 ай бұрын
Hii familia ikona shida uyu ageuzwe kuku
@nancyakinyi71652 ай бұрын
Mtu akule nyasi
@Africanqueen362 ай бұрын
Ile siku nitaota kutumia mtu dooh zake ka si wazazi wangu mnizike nikiwa hai I swear 😢
@BRENDAHMOMANYI-mb9eb2 ай бұрын
watu wako desparate mpk wananunua mapenzi😂😂
@Africanqueen362 ай бұрын
@@BRENDAHMOMANYI-mb9eb walai tena I once asked my friend alikuwa ametumia boyfriend wake 1k iliniuma hadi nkamliza ka alimlipa ndio ampende nijikute
@shamimuAthuman2 ай бұрын
Levinny love u 🎉🎉
@joycekambuga62862 ай бұрын
Huyu ageuzwe paka ale panya
@GraceWanyonyi-mv8bp2 ай бұрын
Mtu wa laana ni mtu wa laana,nyumba ya mtu anapewa 95 percent ya gulf money😂😂😂
@rukiyyarukiyya63172 ай бұрын
TunVyotesekahuku mnapatawap nguvu yakutumia wTupesa
@Malin20012 ай бұрын
Mwendo niuleule akue mbunzi kama kawa
@rosemwikali55622 ай бұрын
Nafikiri uyu ni bibi mbuzi Dan ama
@BRENDAHMOMANYI-mb9eb2 ай бұрын
nguvu ya kumuita beb anatoa wapi let her focus on how she will get her cash
@EliudGichohi-zx8mz2 ай бұрын
Apana bebeleza watu washa wakule nyasi
@lystrajoel86092 ай бұрын
Huyo demu wa Gulf ndio ako na makosa
@MagretAndeka2 ай бұрын
Bado uko na nguvu ya kumuita babe🥲
@dianaatieno39222 ай бұрын
Uyu pia akule nyasi
@shanickshitsila52512 ай бұрын
Tuko kupata ngombe😂😂😂😂😂, tuko n mbuzi already😅😅
@marggiekarikamaina21872 ай бұрын
😂😂😂 ageuzwe mapema anone vizuri b4 Christmas 😂
@SharunAa2 ай бұрын
Pia yy hakule nyanzi😂😂😂😂
@MarthaMoraa-vb1gz2 ай бұрын
alidhani block inatosha😅😅😅akapatikana waaah chazo la mtu ni sumu kwanzia sasaivi juna sikio😅😅kadama kadama kadama😂nimeita mara tatu kaa samwel 😅tumia akili
@ZolufaMas-ie4un2 ай бұрын
Akule Nyasi
@MaryAgesa2 ай бұрын
Huyu sasa awekwe kondoo 😅😅😅😅😅😅😅😅 wakule nyasiii na huko
@JeridOigo2 ай бұрын
Team strong si tujidate sisi wenyewe mwachane na malaya wa kenya kakae pekee yao
@mesa-he2tt2 ай бұрын
Afanyiwe ile kitu
@aishaaisha45492 ай бұрын
Wanapenda vitu za bure
@levynetv.2 ай бұрын
😢😢
@MERCYmercy-rl3lu2 ай бұрын
Tena naona huyu atakula nyasi😂😂😂
@Christine-c4c2 ай бұрын
Sasa kzi iendelee watu wakule nyasi kabisaa 😅
@kevinkambini-zn7ks2 ай бұрын
Mbona namm nisipate dem mpoa kama huyu ak,, wanaume wengine weeeh 😮.. Failure
@NorahGatwiri-co5zq2 ай бұрын
Tafuta utapata too ni wengi🤣🤣🤣
@jacklinendunge-x4m2 ай бұрын
Kuja nikupede❤ata mm natafuta mtu genuine 😂😂
@MetrineNyongesa-f6s2 ай бұрын
Weeeh wanawake siku hizi
@marggiekarikamaina21872 ай бұрын
Anaother goat 🐐 laoding😂😂😂
@MarthahGloriah-ys3bl2 ай бұрын
Huyu akue mbwa sasa malaya wakubwa
@marthalumbasi34662 ай бұрын
Miguu za kuku loading😂😂😂😂😂😂
@ruthmomanyi10852 ай бұрын
Wakae mbuzi wote mmoja wa kike na mwingine wa kiume wazae mbuzi wengine wanzee meeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂
@OGKINGWISE2 ай бұрын
Uyo kijana WA akonq Dan awe mbuzi wote na Dan wawe mbuzi na uyo mwanamke awe mermaid kama Mitchell Sasa mapenzi iwe ya mbuzi na mermaid mandugu