Tume ya NCIC imehofia kuzuka kwa machafuko iwapo naibu rais Gachagua atatimuliwa

  Рет қаралды 6,708

NTV Kenya

NTV Kenya

Күн бұрын

Tume ya uiano na utangamano nchini NCIC imehofia kuzuka kwa machafuko ya kijamii iwapo naibu rais Rigath Gachagua atatimuliwa afisini.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Пікірлер
@Chr196
@Chr196 7 сағат бұрын
Hakuna michafuko itayotokea katika taifa letu katika jina la Yesu Kristo Amina
@johnsigei5869
@johnsigei5869 5 сағат бұрын
The new NIS ..... Giving Intelligence report
@ericmuthui6549
@ericmuthui6549 8 сағат бұрын
Hio wakati ya kuchafua ndio Iko wapi...Wacha kuuzia watu uoga
@Donald-o3x
@Donald-o3x 9 сағат бұрын
Hakuna machafuko, let individuals carry their own cross.
@davidchepkwonykiptoo9464
@davidchepkwonykiptoo9464 8 сағат бұрын
Washa kuhuzia watu uogo kwani Kuna malipo?
@franciskiarie3396
@franciskiarie3396 4 сағат бұрын
Opposition mnajua kujibu Sana tumieni hekima probability of skirmishes is high tuko Kwa ground daily and we are observing.
@kevinwendo1718
@kevinwendo1718 9 сағат бұрын
Chebukati was warned about denying Raila victory coz that would lead to "machafuko" but nothing happened. Let Senate do it's job please NCIC.
@robertmarwa2750
@robertmarwa2750 3 сағат бұрын
When is NCIC going to be disbanded??? Useless
@ismaelabdallah8804
@ismaelabdallah8804 4 сағат бұрын
Bure kabisa Simon Kobia ulikuwa wapi Gachagua akiongelea Murima hakuna machafuko we also put you on notice na hii githeri media yenu KWENDA.
@aronsirma9357
@aronsirma9357 7 сағат бұрын
Bure nyinyi
@lenoxkipondah
@lenoxkipondah 2 сағат бұрын
Nonsense... why should you guys wait untill things happen!!! What are you doing in the offices??
@jameskabuchi1599
@jameskabuchi1599 7 сағат бұрын
Wasitwambie ,kama wamefanya uchunguzi then tell the president to leave d.p Rigathi alone.
@daniceochieng1948
@daniceochieng1948 9 сағат бұрын
Akuna mchafuko kuani ,abebe musalaba yake alibomua ma club ya watu akifiri kenya ni yake akuende
@b.9811
@b.9811 4 сағат бұрын
Gachagwa needs only 23 to survive Hizi hatapata
@simonmiyoyo6984
@simonmiyoyo6984 8 сағат бұрын
Ukifanya makosa beba msalaba peke yako
@titus1846
@titus1846 8 сағат бұрын
Bure kabisa ,c walikuwa 282 vs 44.c wangepigana tuwaone? Kula mshahara bila kutiaha wakenya..
@peterkaoga1831
@peterkaoga1831 7 сағат бұрын
Where were they when Gachajua was spiting venom 1:21
@Goodmorning254-w2f
@Goodmorning254-w2f 3 сағат бұрын
Mimi najua mapanga zitafanya kazi hivi kalibuni
@itsTheTruthTeller
@itsTheTruthTeller 2 сағат бұрын
Mtapigana na nani? Wameru?😂😂😂hio ni sawa hio ni shida ya Mount Kenya sio shida ya kenya
@salimmashjary8028
@salimmashjary8028 6 сағат бұрын
Hapo waongo hakuna kitu itakuwa risasi mtu period
@b.9811
@b.9811 4 сағат бұрын
U are a fool How did the 2017 elections started 😢😢 Just like that I can happen Coz of the crazy 😧 trabalism we have in Kenya One will feel coz of u Ur leaders voted No Ilianza na kila MTU ahame arudi kwao 😢 Be very careful My wisdom not let u down 😢
@JaneStelzer-lk9gl
@JaneStelzer-lk9gl 10 сағат бұрын
Police inafanya kasi gani
@stephenkaranu8542
@stephenkaranu8542 10 сағат бұрын
You just eat money for nothing
@sugoimafia
@sugoimafia 8 сағат бұрын
Hawa n wajinga kabisa gachagua haez chafua kenya ...ingekua ruto ama raila maybe...wazee wajinga nyinyi
@pastorpeter4420
@pastorpeter4420 5 сағат бұрын
You have been asleep.
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 7 МЛН
India Bids Farewell to Ratan Tata | Vantage with Palki Sharma
10:12
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН
小路飞嫁祸姐姐搞破坏 #路飞#海贼王
00:45
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 29 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
National Assembly hands over DP Gachagua’s charges evidence to Senate
1:21
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 606 М.
Ruto: Miaka tisa nimekuwa nikisafiri kama naibu wa rais sijawahi kuzuiwa
5:03
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 8 МЛН