Hongereni sana Mungu awabariki kwa utume na uinjilishaji mzuri🎉🎉
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Amina, tubarikiwe sote
@GeorgeShayo-b8k5 ай бұрын
🎉...keeka Feran....huna kazi mbovu yanii...daah..congoleeee
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@denismlimira135 ай бұрын
Namuona Kaka yangu Padre lyamuya anaimba na kuserebuka kama kijana!! Kumbe ndo Baba Gombera. Hongera sana Baba kwa kumpenda Yesu hivi na kuienzi Damu ya Yesu pamoja na wanao....!
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina Padre!
@raymondkisinga43744 ай бұрын
Hongereeeni saaana Kazi Nzirii🔥🔥🔥🙌
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Amina
@raymondkapwa69665 ай бұрын
Hakika ni Neema, Hongereni sana kwa utume wa kuimba, Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki mfikie malengo ya Haja ya Mioyo yenu, Utume mwema... Amina
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Ahsanteee sana
@MathiasAnthony-o3k5 ай бұрын
Hongereni kazi nzuri.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Ahsanteee sana
@mamaWayatima5 ай бұрын
Mungu awabariki kwa uinjilishaji mnzr wimbo mnzr 5:13 sana
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@HeriusMatiku-kp9iy5 ай бұрын
Dah brothers cna ata Cha kusema maana ctamalza bro kweka 👏👏👏
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Ubarikiwe sana mkuu
@ericalello57003 ай бұрын
Best song 🎉
@St.GasparMedia3 ай бұрын
❣️❣️❣️🙏🙏🙏🙏🙏
@CesiliaCharles4 ай бұрын
Waooh Hongeren Sanaa..
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Santeee sana dada yetu
@MaggieNorman-cl7pl5 ай бұрын
Hongereni sana❤❤❤ Mungu aendelee kuwatia nguvu katika utume
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@despinae.mdende4 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka zangu Mungu awaongoze vema.
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Amina sana dada yetu
@janethdimoso45725 ай бұрын
Hongereni kwa uinjilishaji kupitia wimbo huu ni kwa Neema tu hakika❤
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@hyasintamsolla48875 ай бұрын
Waoo safi sana Wimbo mzuri mno pongezi pia kwa Mtunzi wa wimbo.👏👏👏
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@festoj0hn9145 ай бұрын
Hakika ni neema kubwa katika Maisha yetu, Mungu wetu ni Mkuu sana kwa yote aliyotutendea, yatupasa kushukuru kila wakati kwani Baraka zake ni kubwa mno, nabarikiwa sana na wimbo huu, Hakika ni neema
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina amina ubarikiwe sana
@neemafranciskirway69515 ай бұрын
Hongereni sana ndugu,mpo vizuri sana,Mungu awalinde.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@luxcfordpares7285 ай бұрын
Kongole kwenu wapendwa hakika kazi yenu ni njema na iliyotukuka mbarikiwe sana see you again Kweka Lucas ubarikiwe mwalimu wangu wa kwaya
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Aminaa
@kelvinmwacha1295 ай бұрын
Frt Lucas Kweka pamoja na wengine wote barikiweni sana Kazi nzuri sana Pokeeni Maua yenu kwenu wote🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🥰🥰🥰🙌🙌🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥💥💥💥
@dativamtaresi19735 ай бұрын
Hongereni sana ❤❤❤❤
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Ubarikiwe sana dada
@srsuzanmaingu22535 ай бұрын
Hongereni sana wapendwa kwa uinjilishaji wa kina na kuitukuza Damu Azizi ya bwana wetu yesu Kristo.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Ahsante sana tumshukuru Mungu.
@wolfgangmsigwa94Ай бұрын
Hongereni sana kwa uinjilishaji mwema wana Damu Azizi🎉🎉👏🏾👏🏾 Tunabarikiwa kwa utume wenu. 🙌🏾🙌🏾🙏🏾😇
@tumusiimeomukama31515 ай бұрын
Bravi❤️🙏
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@gonsalvachristianmatembo80415 ай бұрын
Hongereni sana ndugu zangu. Kazi ipo vizuri.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@FESTODMWASENGA4 ай бұрын
combination ya FRT. BWIRE na Kweka safi kabisaaa.. hapo Bwire hajagusa kinanda
@St.GasparMedia4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@baraeeddie-pg6qj5 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri na wenye ujumbe mzuri🔥
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Amina, tubarikiwe sote
@deogratiuskasimili91495 ай бұрын
Hongereni Sana kaka zangu👏👏Mungu Azidi kuwabariki katika utume wenu,Hongera Kwa mtunzi kaka Lucas kweka🎉🎉
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@albertmaneno5 ай бұрын
Safi sana.... Ni neema tupu
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@veronicavalentine94325 ай бұрын
Hongereni kwa utume, Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki zaidi.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@Sarafina-u3r5 ай бұрын
Thanks for a very nice song 💯
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@gedariamandele53345 ай бұрын
Wow wimbo mzuri
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@AnnaDaudi5 ай бұрын
Hongereni Sana Damu azizi mnajua kuinjilisha nikweli kabisa nikwa Neema tuuu ya Mungu .
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@ChrisMakesa4 ай бұрын
Kaka Lucas. Nakuona. Upeww maua yako😂🎉
@St.GasparMedia4 ай бұрын
🤣🤣🤣💥💥💥💥💥💥💥
@ChrisMakesa4 ай бұрын
😂😂😂🙏🙏
@joanesmnyeke3805 ай бұрын
Pongezi nyingi kwa Uinjilishaji mzuri. Mwenyezi Mungu Atukuzwe.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Asante
@margaretikongo17825 ай бұрын
Ni neema asante sana wanangu
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@peaceaminiel5 ай бұрын
Padre Doctor Lyamuya pamoja na St. Gasper Choir MUNGU azidi kuwafanikisha
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@bonifacekiprotich62665 ай бұрын
❤very nice song again from Lucas Kweka.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Maestro 💥💥💥💥
@DavisShirima5 ай бұрын
Saf sanaaa
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@YasinthaPhilipo5 ай бұрын
Baba na wana kumbe! Hongereni sana🎉🎉🎉Hii seminari inapatikana wapi jamani mambo ni 🔥🔥nimekuwa nikiangalia mara kwa mara. Maisha murua ndani ya Yesu❤
@AgrinahMdugo5 ай бұрын
Morogor nanenane chuo cha jordan wapo hapo
@YasinthaPhilipo5 ай бұрын
Waooooh! Asanteni sana Mungu awatunze , awakinge na hila za mwovu shetani mfikie hatima ya wito wenu,
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Morogoro. Ni Seminari kuu ya Wamisionari wa Damu Azizi ya Yesu
@YasinthaPhilipo5 ай бұрын
Ooh! Asante sana kwa kunijuza
@happinessgabriel42525 ай бұрын
Asante Yesu kwa neema😢
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina sana
@GemmaJoseph-j1g5 ай бұрын
Hongereni sana,itukuzwe damu ya yesu.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Milelle amina.
@davidmwangi2715 ай бұрын
Sijui nisemeje ,naskiza kwa mara ya kumi sasa🎉 mungu awape neema tosha wote
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Muziki mzuri
@mathiaskunyanja41435 ай бұрын
Hongereni Sana kazi nzuri kwaajili ya utukufu wa Mungu.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina.....Tumshukuru Mungu
@TERESIAANGELO-t9s5 ай бұрын
Hongeren sana kwa kutuinjilisha kwa wimbo wenye ujumbe mzuriii 👏👏👏👏
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Aminaaaa
@NICASMBORE5 ай бұрын
Asanten sana watu wa mungu
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@EvansKibetMusic5 ай бұрын
Safi sana❤❤❤
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve5 ай бұрын
Waah 🤗🤗❤️❤️❤️
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@augustinofidelis70835 ай бұрын
Congratulations Keep Moving
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@apebanotetz5 ай бұрын
Hongereni sana Wakuu🎉 Kazi nzuri...
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@simonmathew76894 ай бұрын
Nashindwa kuacha kuskiliza huu wimbo, sijui mmeweka nini!😂🙌🏽🤦🏽🔥.. Asanteni sana ndugu wanaDamu Takatifu Ya Yesu. Majembe! Salamu kutoka kwa Wasalesiani!..
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Mbarikiwe sana Ndugu zetu, hakika Mungu ni mwema
@DominicaNjauАй бұрын
Thanks for a good song! mbarikiwe mno...
@cornelmbuna86475 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ kweli ni Neema
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@MzikiWaMbinguni5 ай бұрын
Hongereni sana mafrateri wetu hongereni sana tumewapenda bure
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Aminaaaa
@kevooshowina28675 ай бұрын
Nyimbo nzuri Sana. Hongereni Kwa utume.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Aminaaa
@JoyceIgnace5 ай бұрын
Hongereni sana jeshi La Mungu
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@MaryselinaKassian5 ай бұрын
Nakuona kaka angu Alex kwa kaz nzuri
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@Lugunya5 ай бұрын
Kongole sana kwenu Vijana wetu Mafrateri wa Damu Azizi,Sauti safi,Video safi.zaidi ya yote Frt Alex mwakilishi wa Wafupi Media katisha sana apewe maua yake😊☺
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@zaujatmkwaya3705 ай бұрын
Amina
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@OscaThomas-vq5qi5 ай бұрын
Wimbo mzuri
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@YasinthaPhilipo5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🌹🌹🌹mmetisha ndg hongereni sana kwa kazi nzuri,mkanywe tu soda ntalipia👏👏
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Woyoooooo santeeee dada yetuu
@DesderyJoseph5 ай бұрын
Wimbo mzur sana. Hongereni.
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Ahsante, Tumshukuru Mungu.
@Emmanuely9725 ай бұрын
Amina mkuu...
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@PATRICKMSWAZI5 ай бұрын
Jambo jema sana makaka........❤❤❤❤
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Aminaaa
@FrolahDoela5 ай бұрын
Kakaangu Tony kama mfadhiri jaman😂
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏
@elizachela5 ай бұрын
This is magnificient 🤲kweli ni neema
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@m.mmarckus62985 ай бұрын
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Amina
@BaraeRomeez5 ай бұрын
Hongereni sana vijana barikiwe🙏
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Amina
@PioEzekiel5 ай бұрын
Wanautume wa Damu takatifu hongereni sana
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Barikiwa sana
@paulmagafu75474 ай бұрын
Alooo
@St.GasparMedia4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣💥💥💥💥💥🙌🙌🙌🙌
@ezrahvanger35535 ай бұрын
Team yangu hioooo
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@VelenaMgaya5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 nice song and there is good dancer😂😂😂😂
@St.GasparMedia4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@augustinekabuba8489Ай бұрын
WONDERFUL.A CATHOLIC EVEN IN DEATH
@St.GasparMediaАй бұрын
Amen
@TheresiaPyankati28 күн бұрын
Blessed 🙏🙏
@St.GasparMedia27 күн бұрын
Amina
@jameshirima5 ай бұрын
What a nice song... nicely done 🎉💯🙏🏿
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Thanks bro
@GemmaJoseph-j1g5 ай бұрын
Complimenti🎉🎉🎉🎉
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@MaryselinaKassian5 ай бұрын
Be blessed 🙏 🙏
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Amina
@IreneMashallo-un8zy5 ай бұрын
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@St.GasparMedia5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@BerthaBenedict-x9x3 ай бұрын
Sauti inapenya hadi kwenye moyo dah kwel ni Neema...
@St.GasparMedia2 ай бұрын
Hahha Asante Sana, Tumshukuru Mungu Dada Bertha.
@Sauti_yangu5 ай бұрын
Nice song
@St.GasparMedia5 ай бұрын
Thanks bro
@MaryselinaKassian5 ай бұрын
Hongeren sana
@St.GasparMedia4 ай бұрын
Amina
@AlbartTeophil5 ай бұрын
Namwona mwanangu Cornell mbuna anajituma kuliko wote😅