OMG but mama shifuna ako sawa kimaombi wakiwa pamoja na team raff kama unawapeda pita na like
@markkemboi5301Ай бұрын
Raf empty handed surely?
@RuthKibiritiАй бұрын
Aki ako sawa sana kiimani❤❤❤🙏🙏🙏
@NaomiWaweru-r5kАй бұрын
@RuthKibiriti aki mungu amulinde na familia yake
@AshaMaria-tx8qmАй бұрын
Maskini kumbe MMama Shifuna anajuwa kuomba 🙏🙏🙏🙏Eee Mungu musaidiye apate Mtoto wake🙏🙏
@FfGg-bf6mfАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@harrietajiambo229Ай бұрын
Shetani husumbua mtu anajuwa kuomba
@davidkariuki7951Ай бұрын
I like Sarah's prayers 🙏🙏 it's great you are winning the battle, keep it up guys, it's wonderful 🥺 🥺🥺🥺
@joycekisa7142Ай бұрын
🎉 I'm happy my sister ameokoka hongera sana
@frankomondi5114Ай бұрын
Shifuna mpaka apatikane in Jesus Holy Name..
@janetmugure234Ай бұрын
Mtume Azizi your boys are suffering come help
@PhaustineNamasakeАй бұрын
Where is hero chisaka nah 😢😢
@joycewafula935Ай бұрын
Mungu awatangulie tunajua mtashinda Kwa jina la yesu kristo 🔥
@dorcaswairimu697Ай бұрын
Raff unafaa kuwa na Bible na holy water kama chupa mbili
@everlynemutaye5464Ай бұрын
true
@JacintaJohn-vz4kvАй бұрын
Mama shifuna mungu akubariki amukurudishia nyota yako ya maombi usirudi nyuma soma isaya 43.1.7 mungu amekuchagua usiogope
@leah5307Ай бұрын
Amen
@queenyakinangop4096Ай бұрын
Mungu wetu awarinde there I s blsng in front of God
@annnjane1697Ай бұрын
Kumbe ni watu hujidharau, Yesu alisema hata tukiwa na imani ndogo kama mbegu ya hadarati tutaangusha milima, sio kila saa pastor, tukiwa watu wa maombi na kusoma neno na kulitii tutawexa kupigana na nguvu za shetani.
@ZinabAlzinabАй бұрын
Mama shifuna uko na Imani sasa
@samuelarapmbuviАй бұрын
Kwani King mwenyewe ni Kevo Ala, ama ni macho inanidanganya
@ropmercy5980Ай бұрын
Labda spirit imeingia kwa kevo juu huyu anakaa kevo
@PoulineWanyonyiАй бұрын
Pia Mimi naona ivo
@GracekarimimwonjaАй бұрын
Naona hadi nguo ni za kevo... Mashetani yaani hawatumii Gari wanapurushwa
@nancymoraa6491Ай бұрын
Huyo ni kevo
@susanmetrine9660Ай бұрын
Hata mimi
@JacklineNyabokeOsiangoАй бұрын
Mtume azizi c akam asaidie tupate shifuna ,,tena tutapandilisha jina aitwe blessing n c shifuna
@joymuema8191Ай бұрын
Haezi toka Eric akiwa though inaeza kua anatumia mwili ya Eric atakama hajakuja
@annmwikali5439Ай бұрын
Round hii...itabidi kila m2 kujifunza kuomba bila kutegemea nwezako...imani yako ikuponye cox n last days bt in God we trust
@ElizabethTata-gb8zoАй бұрын
True
@jacquelinemalobawande7156Ай бұрын
Mkipata ata hizo vioo mvunje kabisaa hizo ndio vitu wanatumia kujiongezea na kuitishia nguvu kutoko kusimuni.
@abdullahalanazi2714Ай бұрын
Labda King anatumia mwili ya Kevo shindwe shetani
@AminahMuhammad-e5qАй бұрын
I don't know how to explain how happy I'm to see mama shifuna like this, GOD IS GREAT
@SHARONCHEPTOLO-n1sАй бұрын
Ala si huyu n kevo am macho yangu aioni poa Jesus Christ 😮😮😮
@everlineeverlinewamalwa243Ай бұрын
Huyu ni kevo Kwan yy ndo king tena🙆🙆🙆🙆
@user-ph6mz9qc8zАй бұрын
Ni powers tu ndo amepewa ili azubaishe mission ya kutafuta shifuna
@shiroliz8627Ай бұрын
Nakuna mutu mwingine amejificha na muti
@evalyneacheing-ow2ewАй бұрын
Hata mm nashanga😢
@claudinandonde3835Ай бұрын
Mama shifuna naye kumbe ataweza taja jina la yesu❤kweliiiiiii, Mungu Ana nguvu hakika.
@MwangalaEverlyneNelimaАй бұрын
Kwanini mama wa qatar aliwacha huyu kevo at first
@FaithMutheu-m1gАй бұрын
Kevo hawezi uliwa juu ya lazma aone mamake
@CeliyKilobiАй бұрын
God awaprotect sn mtapata shifuna katika jina la yesu christ mama shifuna tunakuombea aky mungu atatenda
@kadzokengaАй бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@ZiX-o8wАй бұрын
Congratulations mama shifuna wewe sio wao tena I believe hata mbingu zashangilia kwa kumurudia yesu
@PaulolobiisАй бұрын
muweni uyo mtu
@sylvestermusyoki1118Ай бұрын
Mama shifuna Ako sawa kimaombi God is great kaa anakemea mapepo
@rachaelosiche121Ай бұрын
Wow am impressed by dada Sarah asante Yesu kumuokoa
@eunicefaida8977Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 hizo pete na mauchawi zao zichomeke 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@magdalinewalter5081Ай бұрын
May the Lord be with yuo
@Warda-w3kАй бұрын
Holy ghost fire 🔥
@MaryMuthoni-rf2quАй бұрын
My heart is bleeding for chisaka 😭 chisaka where are you
@CeliyKilobiАй бұрын
Amefanya nini pliz
@jerrycaroline7330Ай бұрын
Raff kuua sioyo maombi ndio suluisho mkishika ombeni kwa Imani mungu Yuko nanyi
@lilianmbeyuАй бұрын
Msikate tamaa,Mungu yuko na nyinyi mtashinda,msichoke kuomba mkihisi kuchoka iteni Jesus BILA kukoma mtashinda
@VyetteGorretyАй бұрын
God take control, kevo ameburukaa
@theywillachero3893Ай бұрын
Ni kama mama shifuna ameingizwa mapepo tena, It could be so interesting, ati baada ya haya yote raff warudi step 1. I can't wait to see it 😂😂😂😂😂😅
@WeddyKathambi-b6gАй бұрын
Interesting?????? Like seriously???
@didj9315Ай бұрын
@@WeddyKathambi-b6g labda hajui maana interesting misusing of vocabularies
@MariamNakoaАй бұрын
Aty interesting weww unaongea vipi
@theywillachero3893Ай бұрын
These episodes zimekua so Real life story in every twist it add urge to watch the next episode, Ni kama movie series
@RuthshauriАй бұрын
Wewe unajua kweli English or do you know what you are talking ama pia wewe uko kwa masheto
@lizanasambu2125Ай бұрын
Shindwe katika jina la yesu Kristu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aisharophus1414Ай бұрын
King kavaaa jeans kwa kazi😅😅😅😅uyu n kevooo ametumwaaa
@beatriceogolla2211Ай бұрын
Hamnge waacha juma woiyeeeh
@marynyambura7889Ай бұрын
Mungeombea hiyo kiyo then muivunje juu inawaona kwenye muko
@jacquelinemalobawande7156Ай бұрын
Hiyo pete msiende nayo kwa gari mchome tu huku huku
@MaryVick210Ай бұрын
May Hod send angel,,fire of Holly spirit cover u, let them b blide in jesus name
@janetMuhonja-s7vАй бұрын
We serve our living God mama shifuna kuokoka hao wengine wataokoka na ataokoa wengi kwa ushuhuda
@johnndunguMbuguaАй бұрын
Mungu ni wamaajabu kama ni mama shifuna anakemea wachawi na waganga, kweli shetani ni muongo na hana uwezo kwa Jina la yesu
@josephmuleАй бұрын
Achini mungu aitwe mungu kama mama shifuna ameokoka
@BariisSamatarАй бұрын
Walahi hawa vijana nawa penda wanaume kamili Allah bless you
@luckiestmeckson2222Ай бұрын
Mungu awapiganie na awaongoze Eric mkishika huyo vua sweta yake iyo black
@emaseeuniceАй бұрын
Haki dada Sarah unapendeza ukiwa Kwa mungu 👍👍👍👍
@LucyNdunge-yy4nbАй бұрын
Mana sifuna ujui vile nafurahi nikiona unatumikia mungu uko ulikua hakukufai hata kidogo unaona vile shetani alikua anakudanganya une raff n'a eriki unaona vile wanakupenda
@dorothykerubo5862Ай бұрын
Wow erick umemutega vizuri sana
@ggfwtgg1652Ай бұрын
Mbona anakaa kama kevo mi naona muzidi kuomba mastetani ni mengi na shifuna mutamupata mungu atasaidia
@jacklinerudisi5116Ай бұрын
Dada Sarah mungu azidi kukupa hiyo kipaji aki shetani wewe muongo kabisaa ulikuwa umetuibia mama wetu mwenye kipawa lakini mungu ni Nani, halinganishwi na ni mkuu na mwenye nguvu kushinda yeyote. Mungu azidi kuwalinda na kuwa protect na damu yake yesu Kristo, shifuna mahali ulipo tunatumia damu ya yesu ikakuzingiri🙏🙏
@MariamChedegoАй бұрын
Nendeni na pastor hii mission ombeni sana wanatumia nguvu za giza
@rachel0073Ай бұрын
Kwani Kevo ndio king tena😮😮
@MwangalaEverlyneNelimaАй бұрын
Kwanini muliwaacha mama yenu kwani hamuonangi hidden ni sisi ti munawekeanga
@LLBOnlineАй бұрын
Hyu mama sifuna wachawi walimuona ako na nyota yamaombi akachukuliwa atakuwa mitumishi
@janetmwale6127Ай бұрын
Pepo ashindwe
@shinehusnah6572Ай бұрын
So kevo. Ndio king weee....kuna mambo huku
@DelphineWanjalaАй бұрын
Mama Shifuna has great faith, thank you God protect her and her kids
@adhiambolaureen1898Ай бұрын
Kwani kevo ndio King...zile nguvu za mama shifuna zilimuendea akawa na cheo...Mungu pigania mama shifuna hasiwai back slide tena.....Team Raff,Erick na Mum mungu awaongoze siku zote🙏🙏na Guys Tuombee pia our Hero Chisaka mahali aliko malaika wote wa mbinguni wamzingire
@KilandeSylvia-kn2bxАй бұрын
God protect you all Team Raf and Eric
@mercyshany6400Ай бұрын
Shetani atashindwa kwa jina la yesu 🙏
@annnjane1697Ай бұрын
Msiuwe Kevo hata mama Shifuna hajauliwa ameokolewa Yesu hakunja kuuwa na mjue hivi anaye uwa kwa upanga atakufa kwa upanga, kama mama Shifuna ameokoka hata nguku wa nguli ataokoka.
@arieyajacqueline9980Ай бұрын
This is great ,God you are great awesome
@ZolufaMas-ie4unАй бұрын
Mungu upo pamoja nanyi 🙏🙏🙏
@JanetKenyattaАй бұрын
Me munanijanganya kwan kevo ndio King ama n nani ameona vile me nimeona c uyu n kevo
@LydiahMoraa-c9jАй бұрын
Mama shifuna alishaokoka🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@chebetdebrahАй бұрын
Nikikumbuka mama shifuna alikuwa amekatwa shingo akii pepoo😂😂😂😂😂😂
@NzulaElizabethnАй бұрын
Kevo very soon hatauliwa na madam wa Qatar
@marrieauma5807Ай бұрын
Erick uko sawamay you be protected with the blood of Jesus Christ
@damariskathure2162Ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 in Jesus name
@RaelnamaromeАй бұрын
Dada Sarah keep going ,imani yako iko juu jijaze zaidi utashinda
@hellenngala-o2lАй бұрын
Kwan Kevoo ndio aliwekwa King
@PhilisKunduАй бұрын
Amen mungu anaweza
@MwangalaEverlyneNelimaАй бұрын
Kwani hamukuenda na holly water mingi
@violetoketchАй бұрын
Mungu awasaidie
@rebecarael-t9iАй бұрын
Shifuna n jina gani surely,,acha tumpate azaliwe upya na jina jipya
@ReemaM-i5tАй бұрын
Namuna weka masaa mingi ak nanyinyi sijui nikwann navyenye nahamu yakuona hii video ak
@dorcasofficial1698Ай бұрын
Raff nimuoga sana mapepo inapenda mutumuoga
@ElizabethTata-gb8zoАй бұрын
Waaaa dada Sarah mungu ni mwema
@janetmugure234Ай бұрын
Bona namuna bible nyinyi wazee
@harrietajiambo229Ай бұрын
Si mshike huyu kijana mchinje Raff ukifika mahali kama hapa ombeni kwa bidii iteni yesu sana mtashinda kila kitu
@zipporahkemunto4409Ай бұрын
Mbona madam wa qutor akaachilia hii ghasia
@sendi565Ай бұрын
Mm naona nkm ule mganga anatumia kevo
@leah5307Ай бұрын
nguzu za giza tunazikemea kwa jina la yesu kirsto
@CharityChaoАй бұрын
Kwani kevo alkua mganga ama naona yangu
@geofreymulei5695Ай бұрын
Wachani vita za kimwili guys venye pastor aliwaonyesha kupitia mama Sarah njia ni iyo Tu wakombolewe bila kuuliwa please 🙏🙏h