Samia angetekwa Habdul Inchi nzima ingesimama na polisi angefukuzwa wote. Lakini sasa wakina Soka Samia anajionea sawa tu.
@PhilipoMwita-b2x2 сағат бұрын
Wanawake wanamichambo sana ndiomaana mwanamke haifai kua kiongozi Sasa mambo ya kike anayaleta kwenye uongozi huyu mama anamipasho hatari
@williammwamalanga10654 сағат бұрын
Juzi Askofu William ameonya na kuwataka wawaridishe shoka na wenzake akaenda mbali zaidi akasema sauti yake iwe nyundo kwa masikio yasiyo sikia.....
@MohamedRashid-py7ro3 сағат бұрын
Na huyo Askofu anatumika kwa uvujaji wa sheria nchi ndio wachache
@bcozhenry269847 минут бұрын
@@MohamedRashid-py7ro au wewe ndiye unaye Soka? Naamini ukifanyiwa alichofanyiwa Soka hutatanua domo kwa kejeli hizi
@alphoncekagezi495052 минут бұрын
Suspects no one ni aliempigia simu mhanga .Wanashereria nguri mko wapi kwa hili?
@mussakilo49163 сағат бұрын
Yani wewe mhhh
@BenedictaMagantg4 сағат бұрын
Hayo ya mwanzo tinayajua. Yulo wapi?
@adelinelyaruu30363 сағат бұрын
Tunaomba warudishwe wakiwa salama. Mungu naomba ukawanusuru na yale yote mabaya ambayo yako mbele yao
@philomenastephen33643 сағат бұрын
SINA CHAMA, SI WAFAHAMU AKINA SONKA NA WENZAKE. HATA SABABU YA KUKAMATWA SIIJUI. LAKINI MIMI KAMA MZAZI WANANILIZA SANA. MUNGU AWATETEE KWA NAMNA IPITAYO FAHAMU ZA BINADAMU.