Рет қаралды 174
Naitwa Askofu John Said,nimekua nikiamini dini yangu kwa mda mwingi sana na niliamini kwamba wakristo wote walikua wamepotea na wanadanganyana,pamoja na kuamini dini niliyokua nayo bado familia yangu tulikaliwa kwa kuteswa na mapepo na majini.