No video

TUMPOKEE-M C Mabogo |John Paul II Mbeya Choir (JMC) |

  Рет қаралды 19,327

John Paul II Mbeya choir

John Paul II Mbeya choir

Күн бұрын

Kwaya ya Mt John Paul II Mbeya inawaalika wote Kusherehekea sikukuu ya christmass kwa kusikiliza wimbo huu "TUMPOKEE" ambao ni wimbo mmojawapo uliomo kwenye albam yetu ya "KITOTO CHA MBINGU"
Wimbo: Tumpokee
Mtunzi: M.C Mbogo
Waimbaji: John Paul II Mbeya Choir (JMC)
#rajoproduction #johnpaulmbeyachoir #nigusebwana #kitotochambingu

Пікірлер: 33
@John.Nchimbi
@John.Nchimbi 8 ай бұрын
JPII kwenye moto wenu katika kumtukuza Bwana
@user-kp1hl6mk1g
@user-kp1hl6mk1g 7 ай бұрын
Kazi nzr mungu awabariki
@wrightoseko4667
@wrightoseko4667 5 ай бұрын
Thanks for the clear video Mbarikiwe
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 7 ай бұрын
Hongereni wana kwaya❤
@user-nc5un8df6o
@user-nc5un8df6o 8 ай бұрын
Jamani kuna mdada nampenda sana cheza yake sijawahi mwona akicheza kanuna please naomba namba yake, somebody Catherine
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 8 ай бұрын
Egla rafiki yangu sana
@johnmutua217
@johnmutua217 8 ай бұрын
I can see my best friend Cate doing her best❤
@innocentmakoi462
@innocentmakoi462 8 ай бұрын
Wakombe on fire🎉🎉🎉
@AdrianTumain-gr1bg
@AdrianTumain-gr1bg 8 ай бұрын
Mziki mzuri na umeumbwa Kwa ustadi mkubwa hongeren sana Kwa uinjilishaji
@aloyciaaloyce4654
@aloyciaaloyce4654 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@FAUSTINEMSIGWA-vw4jp
@FAUSTINEMSIGWA-vw4jp 8 ай бұрын
Best song ...proud to be christian🙌🙏💯
@mapendoglory16
@mapendoglory16 8 ай бұрын
Eeeeee. Watoto wa Mungu na kanisa wamefika aliiiiiiiiiiiiiii aiiiiiiii, ai, asanteni wanakwaya Kwa kuutendea haki Huu wimbo. Tumpokee jamani
@paschaledward4681
@paschaledward4681 8 ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri ya utume
@user-wf5uc7es3z
@user-wf5uc7es3z 8 ай бұрын
Misimu milele katika utume uwo❤❤❤❤
@user-sq9td7xm3j
@user-sq9td7xm3j 8 ай бұрын
Hongereni sana Mungu aendelee kuwatunza
@user-nc5un8df6o
@user-nc5un8df6o 8 ай бұрын
Love u, endeleeni kumwimbia Mungu katika roho na kweli❤❤🎉🎉
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 8 ай бұрын
Amina, tunakupenda pia👏👏👏
@user-nd6ew3jr9i
@user-nd6ew3jr9i 8 ай бұрын
Jaman mungu awabariki sana katika utume wenu nawapenda saaana 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 1:29
@user-dn3bl5yb1i
@user-dn3bl5yb1i 8 ай бұрын
Nawapenda sana. Hongereni kwa utume. Mzidi kuinuliwa na Mungu ❤
@EdaPaul-tk3ic
@EdaPaul-tk3ic 8 ай бұрын
Wimbo mzuri hongereni
@jacksonmwangangi2380
@jacksonmwangangi2380 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana.
@kwayayamt.donboscovijana
@kwayayamt.donboscovijana 8 ай бұрын
Hongereni sana . Mko vizuri 🥰🥰
@tempochoir
@tempochoir 8 ай бұрын
Wow,! Great job 👏
@silvertimoth5497
@silvertimoth5497 8 ай бұрын
Watu wa Mungu!!
@BikiramariaMshindaji
@BikiramariaMshindaji 8 ай бұрын
Kazi nzuri sana❤❤
@free-starpro
@free-starpro 8 ай бұрын
Bale mpya hii
@mkapakalikene9042
@mkapakalikene9042 8 ай бұрын
JMC ❤🎉
@erickmbena7757
@erickmbena7757 8 ай бұрын
Awesome
@justinambrose3577
@justinambrose3577 8 ай бұрын
Traditionally 🎉
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 8 ай бұрын
Dr. Nzwili, Dr Magonya mlinitorika mkaenda mbeya mkaniacha Bugando hata sikupenda 😂😂😂, ningekuwemo
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂 karibu sana @jumanneenos
@charleslinda8320
@charleslinda8320 8 ай бұрын
Mbona Dkt Nzwili cjamwona hapa jamani
@Simon-mw7yx
@Simon-mw7yx 8 ай бұрын
Mlikuwa mmezifichawapi?
GLORIA-Vicent Mtavangu | John Paul II Mbeya Choir (JMC) |
8:25
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 14 М.
ASHUKURIWE MWENYEZI
3:08
RAJO PRODUCTIONS
Рет қаралды 2,6 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 13 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 77 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 14 МЛН
SHANGWE TU Na D.Nkoko (JMC Official Video)
8:11
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 31 М.
LUTENGANO umbili
7:24
EBEN ONLINE TV
Рет қаралды 229 М.
Holy Trinity Studio - Nampenda Mungu ( Official music video )
6:05
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 1,4 МЛН
FURAHINI Na P Mtuka (JMC Official video)
6:30
John Paul II Mbeya choir
Рет қаралды 138 М.
MBARIKIWA MTEULE YOHANE PAULO II
6:59
George Ndikwe
Рет қаралды 177 М.
TWENDENI TUKAMTOLEE - TMY // Mtunzi: Tumaini Swai
4:52
KWAYA YA MT THERESIA MARUKU
Рет қаралды 90 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44