Nakushukuru Sana kwa mda wako kutazama,kucoment,ku like na kushare lengo kumwombea raisi wetu Dr John pombe magufuli Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki RAISI WETU
@irenen70065 жыл бұрын
Amen
@bahatiernest16615 жыл бұрын
Amen
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jKisgmZnatyfjc0 tunakuombea rais wetu
@atamubesetamukwate5 жыл бұрын
True Let Yehovah Bless Our President John P. Magufuli.
@aliyramadhani31955 жыл бұрын
SIFAELI MWABUKA(OFFICIAL LEBEL) Nice
@teresiahkiarie84403 жыл бұрын
May magufuli soul rest in peace 😭😭iam here after his death 💔💔wapi likes za magufuli
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
@catheraphael51125 жыл бұрын
Omenibariki sana kaka sifael kupitia hii nyimbo mungu akutie nguvu unapo fikisha ujumbe mzur popote awe pmj nawe tunao ungana na kaka kumshukur RAIS gonga like
@alonsoamini17605 жыл бұрын
Nimebalikiwa na nyimbo zako
@nabiiarusha77884 жыл бұрын
Mungu akubarik sanaa
@wiliminajustin76364 жыл бұрын
Safi
@paulomosson33465 жыл бұрын
Ni makosa makubwa waimbaji wa dini wakijikita kenye siasa ombeni mungu na mwombree taifa sio kuwaimbia viongoxi sasa ni sawa na kampeni ila mungu awasamehe sema mungu ibatiki taifa letu hata dunia kwa ujumla
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu Ni wajibu wetu kuombea taifa na viongozi wetu pia Mungu alimwambia Musa maneno haya yaweke kwenye wimbo ili wasije wakasahau wawe
@danielmwanga52315 жыл бұрын
Paulo Mosson kbsa hawana hoja wanajishika na andiko eti ni wajibu wao kuliombea taifa najiuliza mbona mengine hawayon?
@jesaminzo5 жыл бұрын
@@danielmwanga5231 Nimemkumbuka na mtumishi wa Mungu Emmaus Bandekile Mwamakula, ameamua kubaki kwenye neno la Mungu ambalo ni kweli hata kama hiyo kweli itamtenga na marafiki
@bahametaili76385 жыл бұрын
Unayebisha tupe aya inayokataza siyo kubwabwanja tu
@phannyshiggs11855 жыл бұрын
Mungu akubariki mr..Magufuli kwa hakika kazi yako ni mzuri much love from Kenya
@brillianthalisi22595 жыл бұрын
Kumbe wewe sio muongo uliniambia umepanda vazi jeupe tulilovaa siku ile uwanja wa taifa leo nimeona hapo hongera sana
@lenatiusjonas54645 жыл бұрын
daaaah noma sana mungu akubalkia pia kwa kumtia moyo laisi wetu jonh
@vitukok76984 жыл бұрын
Am Kenyan,,but napenda huyu rais wa tanzania tena sana
@janenabwire66294 жыл бұрын
From kenya rais wa Tanzania Magufuli endelea kusimama kwa mwamba usiyo tingizika yesu kristo mwana wa mungu.
Ooooh may God bless him am akenyan but I love Mr. Magufuli his one and only in Africa God keep him and all Tanzanians
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amen thanks
@abednegonzuve84045 жыл бұрын
Nice one, Tanzania nawapenda sana from kenya
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jKisgmZnatyfjc0
@davybuteyo5 жыл бұрын
Tanzania president is a good blessed leader. May He live long for TANZANIA to achieve best.
@StevenMunugwa5 жыл бұрын
Bila wivu Wala kinyongo, nami naungana nawe Kaka Sifael kumwombea Raisi wetu SHUJAA, kiingozi hodari tuliyepewa watanzania Kama ZAWADI ya PEKEE kutoka kwa MUNGU. Ambaye hayaoni yote yaliyofanywa na baba yetu huyo ni mnafiki na hafai kuigwa na mtu yeyote mpendamaendeleo.
Mwema Hupendwa Rais Pombe ur a loving focused father. May you live long dad i love you so much from Kenya..
@LawrenceYobuNdosi5 жыл бұрын
Tunakuombea rais wetu John Pombe Magufuli. Mungu akubariki na kukulinda na kukujaza hekima zaidi. Ubarikiwe rais wetu Mhe. Dr JPM Sifaeli hongera kwa Kazi nzuriiiiii #lawrencendosi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu barikiwa
@simonhussle-68335 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@sadaikuga40944 жыл бұрын
Amen
@teddymwageni17634 жыл бұрын
Mungu ambariki magufuli na Tanzania pia
@jobashikoye840311 ай бұрын
Nyimbo mzuri asante Bro napenda nyimbo zako zoote mm huziweka garini Mwangu ninapo safiri
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 ай бұрын
Asante sana barikiwa sana
@frankmichael8935 жыл бұрын
Kaka sifaiel tangu mwanzo wa nyimbo zako hujawahi kuniangusha songa mbele bro
@StephenKasolo5 жыл бұрын
Wazalendo Nawapenda watanzania
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina Asante
@zithalazaro62884 жыл бұрын
Yes
@hddhhddhdhhd74664 жыл бұрын
asante Mungu magufuli juu sana hakika Mungu ni mwema Mungu oyeeee
@immapeter76835 жыл бұрын
Honger sana rais wet 2020 kura ni zako baba yetu
@fadhirifadhiri28805 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa kwa kuwa mzalendo hata mm naomba sana kwa ajili ya raisi wetu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina tuko pamoja sana mtumishi nakushukuru
@mabaragwantaho68595 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kutunga wimbo wenye kutuunganisha kwa kutupitia Raisi wetu kipenzi Jpm, Mungu akubariki sana. Nimeupenda sana.
@jacklinekenya21634 жыл бұрын
Hongera sn kaka mungu akubariki too 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🤝🤝
@aqilbshf31494 жыл бұрын
Magufuri okoka ndaniyajinalabwana yesu kristo usij kuchokea bure#
@valentinamangula11285 жыл бұрын
Barikiwa kaka Mungu azidi kukutumia kwa viwango vingine
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Nakushukuru Sana kwa mchango wenu sijausahau
@valentinamangula11285 жыл бұрын
Amina
@theogenebanguwiha40244 жыл бұрын
Valentina Mangula ndagupenda jinarango nitheo
@valentinamangula11284 жыл бұрын
@@theogenebanguwiha4024 nakupenda pia barikiwa sana
@catherinenafuna54675 жыл бұрын
Wow so amazing to all tanzania mungu awabariki tanzania na pia na raisi wenu mm ni mkenya bt am proud of u tanzania,, 💪💪💪
@joharimloge79764 жыл бұрын
Thanks so much u welcome tz
@joycebaraka71324 жыл бұрын
Welcome cate
@lebahatisainyeye79495 жыл бұрын
Amina sana kwa wimbo mzuri iliyobeba maombi kwaajili ya Taifa letu ubarikiwe mr 🤝🙏🤝🙏❤️♥️
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina tuko pamoja nakushukuru
@augustinemachoka61884 жыл бұрын
Hae nyimbo zako zinabariki,nitapataje namba zako,mimi ni mwimbaji kutoka Kenya naitwa Augustine machoka.
@salvatorypeter40805 жыл бұрын
Napenda nchi yangu Tanzania,nampenda raisi wangu Maguu,ameonyesha mfano Bora Africa mashariki na Kati,ikiwemo Kenya raisi Uhuru Kenyatta akiiga mfano wake,kaka Sifaeli mungu akubariki Sana endelea kuombea raisi wetu pamoja na viongozi wa Africa mashariki Kwa ujumla
@cecilialucas76555 жыл бұрын
Mungu akubariki hatua zako zote Tuijenge Tanzania Nchi yetu.
@hawamaricca40034 жыл бұрын
Tuendelee kufunga na kumwombea aongeze miaka km ya mwl Nyerere
@graceahadi83785 жыл бұрын
Tuko pamoja tunamuombea! Kazi nzuri
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina Asante
@hasanomaryininga75205 жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Safi sani
@hasanomaryininga75205 жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Safi sani
@pstleilaciku71715 жыл бұрын
notification gang💪love from Kenya... Wimbo mzuri sana endeeleni kumwombea Rais
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jKisgmZnatyfjc0
@manabisadam91214 жыл бұрын
Mungu akubariki wewe ambiye umekumbuka kuombeya viongozi
@braxedeswafula58384 жыл бұрын
Watanzania nawashukuru Sana kwa huu wimbo mzuri Sana kwa kumpongeza rais magufuli, ni rais wa kipekee, kwa hakika ni rais WA kusema na kutenda, upendo mwingi Sana kutoka Kenya.
@barakamangia22095 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania
@marthalasoi82535 жыл бұрын
Waaaaauh good song, naipenda Tanzania sana pamoja na watanzania may God bless Tanzania. Much love from Kenya🇰🇪
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amen Asante sana kwa upendo tunakushukuru sana
@yusufubelias26935 жыл бұрын
Hello
@RoroRoserororo5 жыл бұрын
Pamoja 🇰🇪
@joycebaraka71324 жыл бұрын
We love u too
@lucysospeter76234 жыл бұрын
Haaaaaaaaiiii
@joycekoech21345 жыл бұрын
Congratulations Sifaeli magufuli twakuombea
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina Sana
@shujaanahanda735 жыл бұрын
Mbona munaaonyesha town zenyewe,amuonyeshi barabara za makere, sumbawanga......... kasulu, ila tuseme Asante raïs,
@salmahassan35214 жыл бұрын
Inatia Raha Sana, kila Kona watu wanamuombea kula, haijawahi tokea
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL God bless you my brother kwa kzi nzuri na woch nkiwa Bahrain ila ni mkenya ningetamani sku moja tuimbe ste mungu akipenda
@michealmasai30805 жыл бұрын
Mungu bariki.tz na watu wake mimi mtanzania from south Africa
@venantfesto41455 жыл бұрын
Mungu amjalie Rais wetu John Pombe Magufuli pia Mungu akubariki ww mtumishi wa Mungu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jKisgmZnatyfjc0
@davidjacobkministries12225 жыл бұрын
Ami a mungu aibariki Tanzania ya waimbajii wazuri mugufuli
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Aminaaaa Asante
@sarahamos85244 жыл бұрын
Nakupenda sana mtumishi wa Mungu ubarikiwe kwa kulitambua hilo Hata mimi nampenda rais wetu Amina
@neemalwesya425 жыл бұрын
Barikiwa mno kuhani wa bwana wewe ni mkali balaa wa kukufikia sijui
@chefjaji42255 жыл бұрын
From Kenya, m proud of TZ President John Pombe Magufuli. He has and is really trying. Tanzania's u r blessed to have such a person as a president who cares for his people... Hongera raisi Magufuli
@gofreymanyama88013 жыл бұрын
O87j7moi opinion
@jenyyusuph49735 жыл бұрын
Hoooooh tunakuombea Raisi wetu uishi Miaka mingi Amina
@evastesheni80245 жыл бұрын
hongera sana Sifaeli Mwabuka kwa wimbo mzuri, video nzuri natumaini watanzania tumepokea ujumbe na tutazidi kumwombea Rais wetu Mh.JPM.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amen nakushukuru Sana mtumishi
@marytwili40964 жыл бұрын
Waching in kenya,kazi poa
@vestinanchimbi30964 жыл бұрын
Saf sifael kwakumwombea rais wetu ampe nguvu zaid aangalie na vijijin
@maryann76844 жыл бұрын
Ubarikiwe ndugu for sure your my mentor
@rhinakiza5 жыл бұрын
Wow wow I was waiting for this video God bless you all tuna kuombea John Magufuli 🙏🙏🙏🥰🥰
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina Asante sana nakushukuru
@joharimloge79764 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Sifael ,ujumbe mzr sanaa
@paulomosson33465 жыл бұрын
Kwa sasa akuna utofauti wa bongo music na gospel
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu Ni wajibu wetu kuombea taifa na viongozi wetu pia Mungu alimwambia Musa maneno haya yaweke kwenye wimbo ili wasije wakasahau wawe
@danielmwanga52315 жыл бұрын
Paulo Mosson point Zaid wanasifu hawakemei tazama lissu kapigwa risasi ckusikia wimbo wa kumuombea apone Zaid wanatuingiza kweny siasa
@furahamwangonela95094 жыл бұрын
Amina pamoja kumwombea raisi ubarikiwe
@ibrahimwerejuma48165 жыл бұрын
Hapa Kazi Tu
@emmahazengaemmahazenga65315 жыл бұрын
Kali sana mfalme mwema lazima asifiwe
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina asante
@fredrickcheti67374 жыл бұрын
Hongra mtumishib kwa ujumbe
@robertgwelela65815 жыл бұрын
Kweli kabisa mtu wa Mungu,hongera kwa wimbo mzuri.
@judithphiliptvKenya5 жыл бұрын
Kila asubuhi lazima nisikize nyimbo zangu, napenda nyimbo zako kutokea ni heri lawama kuliko nimwache mungu, umebarikiwa sana mtumishi...... Songa mbele.... Napenda watanzania...... NI NYUMBANI UKO
@saidmponda23165 жыл бұрын
Safi nimeipenda sana
@eliasamweli28505 жыл бұрын
Mungu baruki afrika mungu bariki Tanzania.
@theresiangunda22985 жыл бұрын
JPM ni mzee baba
@dianamsigo45314 жыл бұрын
Wewe huna mwenzako ila mungu peke💪💪🙏🙏🌹🌹
@sabamohammed34385 жыл бұрын
Nakuombea baba LA baba usitoke madarakani mpaka mwisho wa uhai wako Amina
@mercynelima4659 Жыл бұрын
My favorite artist ❤️, be blessed 🙏, much love from kenya
@EliasMatias-r4p Жыл бұрын
Wimbo hunitoa huu hunitoa machozi Kila nikisikia jina mugufuli😭😭
@candidadilemile58825 жыл бұрын
Amen! Uzalendo first ubarikiwe mtumimishi.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina
@davidjames51574 жыл бұрын
Hogera kwa wimbo mzuri
@Brotherbonge5 жыл бұрын
My brother God bless you for your good blessed songs
@shirorose30874 жыл бұрын
Napenda nyimbo zenu Wa Tanzania licha ya kwamba nipo Kenya na wavulia kofia
@deosechu22244 жыл бұрын
OOH Mungu ibariki Tanzania Mungu Mbariki Mh RAIS Magufuli,
@sebastianallymage5 жыл бұрын
Nyimbo Ni Tamu, Mpaka Mpaka Nasahau Shida Nilizo Nazoo Asante 🙏🙏🙏🙏
@brillianthalisi22595 жыл бұрын
MUNGU BABA akubariki Sifaeli nimefurahi kukuona tulikutana uwanja wa taifa ktk tamasha
@lindajoan83784 жыл бұрын
Hongera mungu azidi kulinda
@petrolima86124 жыл бұрын
Mmmhh wapo sina la kusema sijui ni mahali pake ama siyo mahali pake Mungu wa Mbinguni ajua Una nini wewe umuhukumu mtumwa wa mwenzio?
@salomemlay83094 жыл бұрын
Safi sama.Ubarikiwe Mtumishi. Wimbo mzuri sanaa
@mycletaitas96875 жыл бұрын
kiki hizo ombea waliopotea katika uvuli wa dhambi wapate kuijua Neema ya wokovu wa Yesu kristo
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Thanks again for your comments
@winnerschapelintlsingidata31975 жыл бұрын
Kama aupo tayari kuombea nchi au wanao ongoza nchi hata hao unao wasema vita ikiwemo huwezi kuwapata hekima muhimu sna
@johnsonkamolemwabukaoffici3065 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu Ni wajibu wetu kuombea taifa na viongozi wetu pia Mungu alimwambia Musa maneno haya yaweke kwenye wimbo ili wasije wakasahau wawe
@danielmwanga52315 жыл бұрын
mycle r taitas Taitas kbsa wanajishika ka vipengele vidgo eti ni wajibu wawo kuliombea taifa ni kweli lakin mbona hawakemei km uhuni kweny chaguz kutekwa kwa watu kupigwa risas kwa lissu wawo kusifu cjui mungu yko hv?
@onesmokabia804 жыл бұрын
@@danielmwanga5231 mtu yeyote akilala na kuwaza aliombee Taifa kwa nyimbo acha afanye ivo kwani yy kaguswa ivo pia kumbuka kila binadam na utashi wake,hlf hapa kwetu pekee ndo watu wamepigwa wakati dunian kila kukicha watu wanapigwa na si kila anaepigwa bac unajifanya unamjua ukiitwa utoe ushaidi utasema lolote?embu tujali familia zetu siasa isikusababishe ukaisahau familia yako,unakuta mtu mwingine familia yake inamatatizo chungu nzima baada ya kukaa na kutatua maisha ya familia yake anapoteza muda mwingi kuwaza mtu ambae hampatii hata hela ya kuisaidia familia yake,ndugu shituka amka fanya kazi kwa bidii upate chakwako ili familia yako isiishi kwa shida.
@dennisouma63084 жыл бұрын
Magufuli Tosha..hamna kutilia doa
@lenathapatrick3885 жыл бұрын
Nice 😁 good song Rais wetu MUNGU amtunze ..tunampenda sanaaaaa
@brandinansolloh23203 жыл бұрын
Jamani sijui nikuombeaje sifaeli wewe
@luhekelondelwa97143 жыл бұрын
R.i.p. Rais wetu tulikupenda lakin Mungu alikupenda Zaid 😭😭
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@immanada92963 жыл бұрын
Mtumishi fanya remix sasa, mungu amlaze pema Rais wetu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@mektildalutambi77465 жыл бұрын
Nimeupenda sana wimbo huu. Hongera sana mtunzi
@sofiamwashioza22414 жыл бұрын
Barikiwa sifaeli
@paulineitenyo11705 жыл бұрын
I also lov u Raise Magufuli.Ur wak is wonderful.4rm kenya in middle east.May tha Lord bless n guide u wherever.Bro Sifaeli God upon ur lyf 4 ur gud messege.
@hajingimbudzi90034 жыл бұрын
Wimbo huu safiiiiiiiiii Mimi mwenyewe Nina muombea maisha mema pamoja na familia take
@irenen70065 жыл бұрын
Be blessed man God of God,you are my mentor.Amen.from Kenya.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amen thanks again
@rosewoiemitau83764 жыл бұрын
Akika huyu rais ametenda kazi nzuri.+49
@paulinacosmas63555 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@eliasaalex94014 жыл бұрын
Barikiwa sana mngu akubariki
@sundayevansi7653 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana,R.I.P Magufuli Mzalendo wa kweli,Kazi ya Mungu haina Makosa,2022
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@janethmkwiro52814 жыл бұрын
Nice my Kaka napenda Sana nyimbo zako
@alexkaswile90334 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki Sana kwa nyimbo nzuri
@christinawatson43125 жыл бұрын
Amina, Mungu ibariki Tanzania, na raisi na wananchi sote kwa ujumla
@drreginamdede68415 жыл бұрын
Hongera Sana sifael. Tumuombee rais wetu aendelee kulitumikia taifa letu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amina
@jonathanluginalugina86465 жыл бұрын
Safi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amen
@samuelnduati97925 жыл бұрын
Hongera sana kaka.
@veronicamnico47735 жыл бұрын
Siku hizi mipasho hadi kwenye nyimbo za dini, akina Nani wanaosema achana nao! Sifa ni kumtaja Yesu na kazi zake, basi, hizo tunaita kiki.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu Ni wajibu wetu kuombea taifa na viongozi wetu pia Mungu alimwambia Musa maneno haya yaweke kwenye wimbo ili wasije wakasahau wawe
@jesaminzo5 жыл бұрын
Pamoja na kwamba wengi wamemsifu huyu baba kwa kuimba vizuri, wacha mimi niwe tofauti, naona kama huu wimbo umekaa kimipasho zaidi,WANAOKUSEMA ACHANA NAO. WEPI HAO?
@lechoaidan84164 жыл бұрын
Uelewa tatizo duniani kila mmoja ANA adui KWANI wewe wote WANAKUPENDA? So wimbo unafundisha HATA wewe KUNA watu wanakupiga vita HUWEZI KUMALIZA KAZI BILA KUKUTANA NA VIKWAZO, MUNGU AKUBARIKI SIFAELY
@theresiangunda22985 жыл бұрын
Tunga wimbo kisha record na kwaya ya Makongorosi chunya yaani itanoga sana
@ipyanamwakyeja32615 жыл бұрын
Kweli aandae wimbo collabo na makongoros,itapendezeje!!wale watu hatariii!
@theresiangunda22985 жыл бұрын
@@ipyanamwakyeja3261 Wale tisha sana Yaani wahenga
@kathykimberly35385 жыл бұрын
Noma sana! Kazi nzuri mtumishi. Awesome choir!!
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL5 жыл бұрын
Amen
@sarahadam48125 жыл бұрын
God Bless you my Brother Sifael MWABUKA. Nyimbo nzuri Sana inatubariki wa Tanzania wote