TUNDU LISSU AANIKA MADUDU YA CHADEMA

  Рет қаралды 6,695

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@IddiAdamu-y3e
@IddiAdamu-y3e 6 сағат бұрын
Tundu lisu big up
@MunirDaniford
@MunirDaniford 4 сағат бұрын
Mnatia maneno alikua hana maana iyo😅
@AdiaAhmad-s5o
@AdiaAhmad-s5o Сағат бұрын
Nawashauri wanachadema mupige chini tumuone tangu l😅ini mnyaturu akaongoza chama halafu mgonjwa anatembea risasi kwenye nyonga
@nicholasmkama2877
@nicholasmkama2877 2 сағат бұрын
Huko wasafi kuna wapiga kelele tu.hakuna waandishi wala watangazaji wa habari wenye hekima na utulivu.
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 2 сағат бұрын
Lisu ni mtu na nusu hana konakona
@AdiaAhmad-s5o
@AdiaAhmad-s5o Сағат бұрын
Hiyo pesa ya ruzuku yote itaishia hospitali kujitibu huo mguu
@juliasmtundu442
@juliasmtundu442 6 сағат бұрын
Tumefika.sehemu.ya.kuchukua.dora.hatutaki.fadhira.ya.mtu..tumebembelezana.watanzania.wamechoka..tuna.washa.mwendo.kasi.Anti.pass.Tundulisu..hoyeeee🤜💟
@christermlewa8471
@christermlewa8471 Сағат бұрын
Ulisomea wapi mbona hujui matumizi ya alama za uandishi😂😂
@abeidkilamlya
@abeidkilamlya 5 сағат бұрын
Hawa jamaa kama noma
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 2 сағат бұрын
Ccm media katika ubora wao ,yakwao hawayasemi,mungejadili uchafuzi wa serikali za mitaa au munaogopa kufutwa kazi,,kwa Habari yenu chadema ni imara
@ChristianLimo-k8t
@ChristianLimo-k8t 5 сағат бұрын
Ahaaaa noma san
@AdiaAhmad-s5o
@AdiaAhmad-s5o Сағат бұрын
Huyo anakibomoa chama wsmfukuze tu
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 4 сағат бұрын
Lisu kanyooka sana
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 2 сағат бұрын
Lisu oyeeeeeeee
@MkungwaNgwarumbwa
@MkungwaNgwarumbwa 6 сағат бұрын
Bila maridhiano serikali ya kikaburu ya south africa isingetoa nchi.
@OmarSeafood
@OmarSeafood 5 сағат бұрын
Lisu ni mtu alochanganyikiwa na hio Imemfanya kukosa busara , Taasisi yoyote inakuwa na utaratibu na michakato ya kupata viongozi ila huyu mwezetu kwa sasa naona hayuko sawa
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 4 сағат бұрын
Sasa kugombea ni kosa au kosa lake ni nini?
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 4 сағат бұрын
Kosa lake liko wapi au kugombea ni tatizo
@SephaniaMsigwa
@SephaniaMsigwa 2 сағат бұрын
Kama akili zako hazijakomaa usichangie maada
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 6 сағат бұрын
2025 CCM OUT CHADEMA IN
@christermlewa8471
@christermlewa8471 Сағат бұрын
Siku utayokunya bogaa ndio utaona CCM haipo maradakani
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 26 МЛН
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 35 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 43 МЛН
RICH MAVOKO APOKELEWA NA SHANGWE MTAANI AKIGAWA CHAKULA BURE
10:35
🔴LIVE: JANA NA LEO NDANI YA WASAFI FM  13/12/024
16:35
Wasafi Media
Рет қаралды 351
LIVE: Mjadala Afrika Leadership Debate 2024
Azimio TV(Official)
Рет қаралды 3,3 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 26 МЛН