TUNDU LISSU AKIONGEA MBELE YA VIONGOZI WA BARAZA KUU LA CHADEMA
Пікірлер
@bonaventurasheshe9614 жыл бұрын
Ni Yeye 2020. Lissu mbeba maono na manusura wa kifo lisasi 16 ambapo haijawah tokea na huu ni muujiza unaotembea. Ni Yeye 2020. Straight forward and brilliant Hon. Antipas Lissu.
@davidbochela14414 жыл бұрын
Mzimu uliobadiri umbo
@sasha-ri7tf4 жыл бұрын
Alhamdulillah Rabilallamin, Mwenyezi Mungu mkubwa, Allah azidi kukupa kila unalolitilia nia lenye heri na wewe pamoja na wananchi kwa ujumla.✌✌✌✌✌✌✌❤❤❤❤❤❤❤❤
@JibeMwaijibe-p1z19 күн бұрын
Amen.Yesu atatenda kwa lisuu🎉🎉
@ndogoroedson19919 күн бұрын
Kwa lip? Kwendeni zenu huko
@annethgloriousshoo242418 күн бұрын
Lisu Hana jipya
@alphoncewilliam432518 күн бұрын
😂😂@@ndogoroedson199
@alphoncewilliam432518 күн бұрын
Lisu hana jipya unapo msema magu huna akili
@michaelmwaluko28824 жыл бұрын
Kama wajumbe mpo gonga like yako
@mkubwakasim147018 күн бұрын
Kwakweli na mkubali lisu kuliko kiongozi yeyote nchi hii Mungu aendelee kukulinda maisha yako yote
@maxesh51354 жыл бұрын
Huyu Ndio Lissu sasa,,,,...., brilliant guy
@jokelimasamaki28004 жыл бұрын
Big up rissu rais mtarajiwa
@ngassajikwelo5 ай бұрын
😊..😊😊😊😊😊...😊 . 😊😊😊. 😊😊😊😊😊😊.😊...😊😊😊.😊😊😊
@ngassajikwelo5 ай бұрын
@@jokelimasamaki2800😊.😊.😊😊. 😊😊😊.😊
@ngassajikwelo5 ай бұрын
.😊😊😊😊😊😊.😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 😊😊 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊.😊😊😊😊😊.😊😊😊😊
@primostemba4 жыл бұрын
Lissu 2020 🔥💯
@rosemongi52734 жыл бұрын
Mta tapatapa sana ,labda urud ubelijiji lakn sio tzn,Jpm hoyeeeee
@kokombwana86254 жыл бұрын
@@rosemongi5273 Oyee! Lakini apewe nafasi kwenye vyombo vya habari kama anavyopewa JPM ili wananchi waamue
@barickmkenda640917 күн бұрын
@@rosemongi5273We're is him?
@MustaphaSeleman-z7c5 ай бұрын
Jamaa yupo vzr sana uyu
@danielmanyama45044 жыл бұрын
Huyu MTU anajiamini sana!
@hashimuhehwa37804 жыл бұрын
Mwanaume huyo
@abuufauzaanmohd4474 жыл бұрын
Tena sanna
@nurumohammed13105 ай бұрын
Hicho kidume haogopi kupotezwa
@jamesmapapara19 күн бұрын
Mungu tunakuomba umlinde huyu baba tuomba umpe maisha marefu na wale wote watakae jalibu kumzuru washindwe na wao ndio wazurike kwa kifo cha aibu sana,
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU5 ай бұрын
Mbeba maon tundu lisu✌️
@mongogwelaanthony686722 күн бұрын
Makusudi ya mungu uwe mwenyekiti taifa ,ishi maisha marefu lissu
@alphoncewilliam432518 күн бұрын
Hana jipya
@Georgemselyamwaluko19 күн бұрын
Mungu akubariki mheshimiwa lisu
@johnisrael19684 жыл бұрын
Mungu aliye kuokoa na wauaji wako Dodoma aatakupigania na kukutunza daima.you're the chosen person
@primostemba4 жыл бұрын
Ni yeye 2020
@obeidmpombwe99514 жыл бұрын
Anaakili mno
@messageofloveandhope42494 жыл бұрын
"What doesn't kill you makes you stronger"...Germany Philosopher ..Fredrich.
@JackMaganga18 күн бұрын
Tunakupenda lissu mungu akubariki
@alphoncewilliam432518 күн бұрын
Lengo la lisu sio zuri asee
@moseslaizer5384 жыл бұрын
Mungu akuongoze mheshimiwa pamoja sana
@issackchalahani12354 жыл бұрын
Yeah Hon. Tundu Antipas Lissu is the greatest strongly and confidence. Of course the good leadership.
@mkalimwenziotz56964 жыл бұрын
Dah! Wewe ndo Rais tunayemuhitaji
@JosephGeorge-k5e18 күн бұрын
Saf sana kamanda
@onesmomasala-rg2wd Жыл бұрын
Nakuelewa tundu lissu
@JosephMasawe-q9z18 күн бұрын
Mungu ni mwema kila wakati na wakati ndio huu
@AlexBonifacechonko17 күн бұрын
Lissu tunakupenda sana kamanda wetu
@mchunguliechibwa19811 ай бұрын
Huyu jamaa hana akili nyingi Sanaa, jinsi alivyoanza hutuba yke ,very creative mind kuwaita viongozi instead of wajumbe chawa amewakataa ,,,The future president ..God bless u and ur family always 😊😊
@nicasissa29 күн бұрын
Ondoa neno hana
@massengamassenga70927 күн бұрын
Kweli kiswahili kigumu 😂😂
@dullahdullah54994 жыл бұрын
Tunakuamini kaka
@masoudsalum95144 жыл бұрын
Lissu ni chuma lazima kivunje jiwe lile
@AnnaWiliamuАй бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉Tundu lissu mbelee
@annakullaya767818 күн бұрын
Mwkt mbowe kwa heshima kubwa pumzika kwani naomba kwa sasa Lissu achukue kiti🎉
@eliudmahali36193 жыл бұрын
Congration to you
@hajimjaja1163Ай бұрын
Mwamba hapindishi maneno 😊😊
@FocusmachumuMwizarubi2 ай бұрын
Mungu anakulinda sana kiongizi wetu
@JonasEmmanuel-l8p18 күн бұрын
Very good 👍
@BarakaMwaisumo27 күн бұрын
Mwamba wangu lissu ❤
@JuliusMboya-y4c28 күн бұрын
Kaka mungu akupe nguvu
@primostemba4 жыл бұрын
Wajumbe like za kijumbe
@MakameAly5 ай бұрын
Lissu upo vizuri
@edwindezidery6325 ай бұрын
Ila makamu hiyo hotuba ilitikisa Dunia mungu akutangulie
@HamisiKungongo-z6r18 күн бұрын
Mutakua sana watumwa wa wazungu😮😊
@jamesmapapara19 күн бұрын
Mngejua viongozi mngetengeneza kiki ya kuwazingua wana ccm ili kuwa nyinyi mneweza kugombana kumbe hakuna
@alphoncewilliam432518 күн бұрын
Magufuli kiongozi bora alie wai tokea tanzania
@JuuTz-u8nАй бұрын
Hongela
@danrappergangamaa11904 жыл бұрын
Ilove u TUNDU LISU
@DulaMudi6 ай бұрын
rove baba tupo pamoja Yani mpaka vifo njetu mungu akituncukuwa baba mimi na wewebaba
@AlexBonifacechonko17 күн бұрын
Mimi pia ni✌️✌️✌️ Kwa hisia zangu
@paulmwangokaАй бұрын
huyu mwamba tundu lisu hanichoshi kumsikiliza hakika lisu ni chaguo la wapenda haki
@RodgersNyaganiАй бұрын
The lion of Tanzania
@jacobkajeje79202 жыл бұрын
Pamoja sana
@allygregory86824 жыл бұрын
Nafkri anafaa kuwa rais
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU5 ай бұрын
Pambanen viongz kamwe msikae kmy ✌️✌️✌️✌️
@jamesmapapara19 күн бұрын
Kazi ipo hapa ni kuomba hata mataifa ya inje yaje kwenye uchagu mkuu safali hii afe beki afe kipa
@migombaelinest350026 күн бұрын
Lissu Anatosha mpeni uenyekiti.
@AlexBonifacechonko17 күн бұрын
Maombi yangu Sasa yamekamilika ongela sana muheshimiwa lissu Kwa ushindi apo Bado uraisi tu
@robbyman6213Ай бұрын
Lissu ✅✅✅
@GasperRichard-d1pАй бұрын
pigeni kazi Bira kuogopa mAkamanda
@chezariboyАй бұрын
Lisu bomba kubwa,, "mim siyo yule atakaesema tumwachie mungu"" safiii sana zaidi ya mkemea mahalifu.
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU5 ай бұрын
Pambanene viongz uwepo wen✌️✌️✌️✌️ inamaan kubwa san
@NdomaSamwelАй бұрын
Tundu lisu ni yeyeeeeeeeeeeeee
@Tanzaniawildcats4 жыл бұрын
Awesome meeting
@JOHNNYAMHANGAMACHUGU5 ай бұрын
Nakuombey kw mung akup afya njem uendre kupambn nahaw ccm✌️
@LiniMsoffe18 күн бұрын
Lisuu ❤❤
@alfredmwaswenya5 ай бұрын
Mkutano Mzuri sana sana Tundu Lisu ni Kiboko yuko Viziri sana.
@arafamohamed281916 күн бұрын
Hunabaya mzee
@rithaurassa5 ай бұрын
MUNGU mjalie afya njema huyu Raisi WETU mwuepushie na kila Hila za maadui wabaya.
@JohnS.mwafubo10 ай бұрын
Tundu lissu namkubali
@MUSAMWAMBENE19 күн бұрын
Safiiiiii lissu
@MonicaTimotheo25 күн бұрын
Lissu pekee ndiye anafaa kuwa mwenyekiti chadema maana anayo haiba na hadhi kabisa hakuna mwingine
@MonicaTimotheo25 күн бұрын
Lissu ni shujaa na jasiri sana, ni muwazi ni mkweli sio chawa