Рет қаралды 108,935
This is a Reggae Cover of the Original Bwana ni Mchungaji Wangu by Reuben Kigame.
STAY CONNECTED:
SUBSCRIBE: www.youtube.co....
WEBSITE: tunedemband.ba...
INSTAGRAM: / tunedem_band
FACEBOOK: / tunedemband
TWITTER: / tunedemband
Video Shot and directed by;
Davy Barbz & Kepha Charles
SINGERS
Kepha Charles
Dynamizo Lion
Bernard Oyalo
Dinah Ndombi
CREDITS
Bass - Samuel Mbeche
Drums - Kennedy Wando
Guitars - Renato Taimes [Brazil/Christafari]
Keys - Bernard Oyalo
Mark Safari -TuneDem Band
Kevin Blackman - TuneDem Band
George Otieno - TuneDem Band
#reggae #gospel #Africa #Kenya
Production Studio - Checkron Music
Producers- Adel Chiggah/Kepha Charles
LYRICS
Verse 1
Bwana Ni Mchungaji wanguSitapungukiwa Kitu,
Hulaza kwenye majani mabichi
Hunongoza Kwa maji Matulivu
Hunihuisha nafsi yangu
Huniongoza kwa njia Za Haki
Nipitapo bondeni mwa mauti
Sitaogopa wewe u nami
Chorus:
Hakika wema nazo fadhili
Zita nifuata mimi
Nitakaa Nyumbani
Mwa bwanaSiku zote za maisaha yangu
Verse 2:
Gongo lako na Fimbo yako
Vinanifariji mimi
Waandaa meza
Mbele yangu
Machoni pa watesi wangu
Gongo lako na Fimbo yako
Vinanifariji mimi
Waanda meza
Mbele yangu Machoni pa watesi wangu
Dynamizo:
Na kwa imani Mwokozi wangu nishapendezwa tu na wewe
Dhambi zangu nikiwa nawe nisamehewe
KIivulini mwako nijifiche tu milele
Kiongozi wangu,
mwokozi wangu,
mchungaji wangu
Maishani mwangu
Yesu niwe nawe
Hakika wema nazo fadhili
Zita nifuata mimi
Nitakaa Nyumbani
Mwa bwana
Siku zote za maisaha yangu