Mimi si mwanachadema lakini kipindi cha kampen haukuwa mchambuzi kati ya wagombea hao wawili ila ulikuwa unamchafua Lisu dhidi ya Mbowe
@MajaliwaYusuph-qb1xp17 сағат бұрын
Umeshasema wakati wa kampen.ina maana huyo lisu hakumchafua mbowe?acha kuegemea upande
@BoBo-kg1me12 сағат бұрын
@@MajaliwaYusuph-qb1xpLissu alikuwa mgombea. Na huyu ni mchambuzi
@DiwaniMwafongo3 сағат бұрын
Kipindi Cha uchaguzi wa CHADEMA alikuwa sio yeye au kiungo Cha kukalia ndicho kilochokuwa chatumika kumpa fikra!! I have never thought huyu kaka is a beautiful hypocrite kiasi hicho??
@johnmshana99923 сағат бұрын
Hongera kwa analysis nzuri. There is always something to learn from your videos. KEEP IT UP
@DeusRomanRomanКүн бұрын
Ulishindwa kuweka mizani sawa kati ya mbowe na lisu sasa hivi huaminiki chochote utakachoongea hakiwezi kuwaingia watu akilini
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
Mizania kwa sera ipi? Kwani CNN walipomshabikia Kamala Harris akashindwa na Trump walivunja kanuni gani? Jifunzeni mambo haya. Kuwa na maoni si dhambi. Ni haki yangu pia.
@steveanthon552320 сағат бұрын
Kama imekuuma sana kwa hayo mabadiliko ambayo bila shaka yamemtupa nje uliyekuwa ukimhitaji, basi subili mda ufike uchukue form ugombee wewe nafasi hiyo ya uenyekiti umtoe lissu, naona imekuumiza sana ila pole hiyo ndiyo demokrasia kubali matokeo acha kuchambuwa kwa kulenga mabaya tu.
@DonMooFILMES_Express20 сағат бұрын
@@AnsbertNgurumokinachokuokoa sana Mh ni HEKMA yako na NIDHAMU ktk mambo yako lakini ktk sakata hili umeyumba sana. Kitendo cha kutokuchambua malalamiko yanayotolewa na Lissu & Rose hakikuwa kitendo cha kiungwana hata kidogo. Kwakuwa tuhuma za Lissu alizisema hadharani haiwezekani jambo hilo liishie angani. Ni lazima waliofanya uovu ndani ya chama watangazwe hadharani na kupewa adhabu stahiki kwa mujibu wa katiba ya chama chao.
@MesiakiKayan-qm7tv16 сағат бұрын
Acheni maneno yasiokua na faida kuwa upande fulani sio fhambi mimi mwenyewe moyo ulikua upande wa mbowe ila matamanio yngu iko kwa lissu @@steveanthon5523 tuache makasiriko kampeni umeisha uwongozi umeoatikana tuungae kwenye mapambano
@saviomlelwa22 сағат бұрын
Unatolea mifano mibaya tu. Bado haupo upande wa huyo aliyechaguliwa. Bado una negative thinking kuhusu huyo aliyechaguliwa. Watu walihitaji mabadilko lakini mabadiliko hayo hayahusishi ukamilifu wa mtu kama Mungu.
@AnsbertNgurumo22 сағат бұрын
Kwani kuna upande mwingine?
@Theprincipalmboya21 сағат бұрын
@@AnsbertNgurumo jibu zuri sana
@januarysila156919 сағат бұрын
mimi niko pare
@MajaliwaYusuph-qb1xp17 сағат бұрын
Ina maana kwani ilikuwa lazima watu wamshabikie lisu?mbona watu mna mawazo mgando?
@LumolaSteven16 сағат бұрын
@@AnsbertNgurumo 😂 sijui kama kakuelewa?
@LumolaSteven16 сағат бұрын
Unajua sana Siasa mzee wetu
@mbwilizastanslaus4777Сағат бұрын
Leo umeongea vyema. Tofauti na awali uliegemea sana kwa Mbowe.
@godfreynkhangaa198620 сағат бұрын
Hakika Mh Lissu ajiweke kando na wapambe uchwara, kulinda Demokrasia
@DonMooFILMES_Express20 сағат бұрын
Yaani ajiweke kando au asijiweke kando ameshajiweka kwenye kitanzi. 😂 Uchaguzi huu haukuwa kama chaguzi zilizopita zakina MTEI waliokuwa wanaachia madalaka kwa utulivu. Hapa atapitia changamoto kwenye makundi yite ma2 kundi lake na la MBOWE kuna watakao kuwa wanamyumbisha ili waseme UNAONA SASA, YEYE SIALISEMA ATAWEZA BANA 😂 Kwahiyo uongozi wa LISSU ni mgumu kuliko awamu zite zilizopita
@fadhilindunguru794620 сағат бұрын
Hongera sana kwa analysis nzuri.
@DiwaniMwafongo3 сағат бұрын
@@fadhilindunguru7946 ..Huyu majuzi kati alikuwa chawa wa Mbowe, Ile credibility ya kuwa an aubiased analyst Hana Tena huyu!!
@NyolobiNkalango-ve8ns7 сағат бұрын
Uko vizuri, lakini kipindi cha uchaguzi kilamtu anahaki yakuwa naupande,naamu hatawewe ulikuwa nahiyo haki,maana hiyondiyo demokrasia tunayoipigania kamachama,jambo lamsingi baada ya uchaguzi niwashindi kuwaponya maumivu walioshindwa,lakinipia walioshindwa kukubali kuponywa maana wasipokubali hilo nitatizo lingine, tunakujua wewe unaipenda Chadema tens kwasana tunaamini kwamba utampendapia kiongozi wake wasasa pamoja nakwamba haukuwa upandewake,maana unajua kwamba ameshinda kwa haki,haki huinua taifa, haki huinua chama.
@AnsbertNgurumo7 сағат бұрын
Nakubaliana nawe!
@richierobert71829 сағат бұрын
Baada ya mbowe kupigwa uchaguzi ulipotea kupoza machung😂😂😂😂
@TM.Sullusi8 сағат бұрын
😂😂😂
@allyshaban40621 сағат бұрын
Unachokizungumza hata eye ameshakikemea na hataki aonekane hivyo,
@ThobiasMarandu23 сағат бұрын
TIME WILL TELL
@franciscowilliam257520 сағат бұрын
True ,uko wapi mkuu tumekumiss sana
@leticialubala97219 сағат бұрын
Umesema kweli Marandu kaka yangu. Time will tell.
@juliuskitaluka12067 сағат бұрын
Ushauri mzuri sana
@MahyoroKalokola21 сағат бұрын
Hakuna anayekataa usimkosoe Lissu kwa yasiyofaa. Maana naye ni binadamu anakosea. Ila na wewe ukikosolewa kwa kumkosoa yasiyofaa tusitishane, tuvumiliane.
@TM.Sullusi8 сағат бұрын
😅
@ALESIACHIJOKAКүн бұрын
ASANTE❤❤ UBARIKIWE .
@kamazimakyaruz121920 сағат бұрын
Mnataka kuponywa majeraha ninyi mlipanda nini, Kama mlipanda amani mtavuna aman, lakini Kama mlipanda uharibifu mtavuna uharibifu.
@godfreyMwanande7 сағат бұрын
Kweli baba maranyingi sifa zikiwazidi ni kama mvinyo hulewa na mwishowe huharibu, ni hatari sana mtu kujiona kama hakosei.
@enockmwanyonga940314 сағат бұрын
Sio kweli hukumsikiliza sawasawa, kwa vile tayari ulishaamua mtu wako lazima apite. Bado Tusubiri miaka 2 tuone matokeo ya Chadema ya Tundu Lisu
@christosiadanieli65124 сағат бұрын
ushabiki ,umtu fulani nitatizo la watanzania fulani mara nyingi hawaanglii kesho ya watanzani wanangalia nguvu mtu ,chama na nk hata kama kuna mak'osa hili jambo ni jatari sana
@MzeeKigogo_18 сағат бұрын
Safi sana. Demokrasia ni pamoja na kuvumiliana
@EdwardMayila18 сағат бұрын
Umeongea kiungwana kabisa sana mkuu Ataendelea kuimarika ktk kauli Kila siku Hapa ni kusonga mbele tu Mchango wako pia si haba ktk kusonga mbele.
@Shilatu17 сағат бұрын
Chawa sana hili dingi 😂😂😂
@abdulazizmasunda41137 сағат бұрын
Wew mie stokuja kukuskiliza tena coz ulishaanza unazi tangia mapema.😢
@songombingo10823 сағат бұрын
Kila mtu ana TAFSIRI ya alichokiongea Lissu. Kwahiyo wewe ulitafsiri alichokisema Lissu ukidhani Kutakuwa na tatizo. Hata hivyo haipingiki kwamba wewe ulikuwa upande wa Mbowe kwenye mpambano ule😂😂😂
@hakimundabila794023 сағат бұрын
Hili jamaa hakuna aibu kudhani tumeshasahau kauri zake
@sammykateregga6238Күн бұрын
Karibu tena Bw. Ngurumo tuliku miss kwa kipindi na uchambuzi wako ni dhahiri na viongozi hasa upinzani wangeweza kuchukua ushauri wako ingekuwa bora zaidi Mungu akubariki.
@hakimundabila794023 сағат бұрын
Umeshabadirika mara hii. Jaribu kauri zako za hivi karibuni
@DonMooFILMES_Express20 сағат бұрын
@@hakimundabila7940😂😂😂😂😂😂
@MajaliwaYusuph-qb1xp17 сағат бұрын
@@hakimundabila7940wewe huna akili hata kidogo. Unajua maana ya wakati wa kampeni?kila mtu ana haki ya kuwa na upande na uchaguzi ukiisha tunakuwa timu moja acheni ushamba
@franciscomasungulwa357520 сағат бұрын
Hata wewe ulitaka kila mtu asimkosoe MBOWE
@unclepwechnov138121 сағат бұрын
Kuna wapumbavu wanalazimisha Ngurumo angekuwa anam-support Lissu before uchaguzi wao ndani ya chama wakisahau democracy mtu anachagua/ana-support anayemkubali zaidi na uchaguzi ukiisha y'all become one. Sasa hivi kuna chawa hawataki hata Lissu akosolewe, he is just a human being. Wanachotakiwa kufanya ni walioshindwa kukubali kwa moyo mmoja na walioshinda kuwajumuisha walioshindwa kwa namna moja au nyingine ili waunganishe nguvu na maarifa kupambania demokrasia.
@mtesigwamaugo820022 сағат бұрын
Nafikiri pande zote zijitaadhari na kauli zao. Nikiangalia mitandaoni kila upande una kasoro zinazochochea utengano. Ungewasemea wote ili kuleta amani na utulivu. Ni kweli Lissu anawahitaji sana wa upande wa pili kwani Kamati Kuu ina idadi kubwa yao.
@geniusplus858623 сағат бұрын
Chadema ya sasa ni ama inakwenda kuwa imara sana au kinyume chake.. Chadema ya sasa inapata ukosoaji wa waziwazi kutoka ndani tofauti na kipindi kingine chochote tangu kilipoanziahwa. Chadema ya sasa inapgwa spana kutoka ccm, vyama vingine vya upinzani na zaidi sana kutoka ndani yake yenyewe.
@FrancisThomas-jc8wq18 сағат бұрын
Uko sawa sana mkuu ila watu wengi humu wanataka tuwaze kama nyumbu yani wote tuwe ndiyo mzee.
@MajaliwaYusuph-qb1xp17 сағат бұрын
Hakika hawa watu wana akili za hovyo sana kiukwel.yaan wanalazimisha wakati wa kampeni ilikuwa lazima watu wote waunge mkono timu lisu?
@AlbinMsechu19 сағат бұрын
Naam!!!
@castromemba631118 сағат бұрын
Mzee we chawa. Ucjifanye mtabiri.
@MajaliwaYusuph-qb1xp17 сағат бұрын
Acha ujinga huo ina maana kumbe huyu ngurumo kuwa upande wa mbowe wakati wa kampeni ilikuwa dhambi?ina maana huyo lisu mlitaka aungwe mkono na watu wote?hv mnajua maana ya kampeni?au mnaropoka tu?
@sajadyusufu515020 сағат бұрын
Karibu Muleba
@richierobert71828 сағат бұрын
he he he he ndo hivyo hakuna kununua mzee
@samwelkavwanga449119 сағат бұрын
UMEANZA KUA NA AKILI SASA..KIPINDI CHA UCHAGUZI AKILI ZILIKURUKA KIDOGO 😢😢
@mugemainyas524112 сағат бұрын
MBONA KAMA UNAMSIFIA.MANENO UNAYOONGEA NI TOFAUTI . UNASEMA HATAKI MACHAWA HATAKI SIFA NA NI MZURI WA KUJIBU HOJA. ALIPOGOMBEA ALIKUWA NA TIMU ILOMPIGIA KAMPAINI NA HAO NDO MACHAWA WAKE
@donaldmaziku791510 сағат бұрын
miaka mitatu ilikuwa wazo la mbowe, sidhani kama ni sawa. Nafikiri wanahitaji kufanya kazi miaka yote 5
@JohnGadafi-x8j3 сағат бұрын
Wewe ulikua timu mbowe
@Zanijasy-hy7vm4 сағат бұрын
Mchambuzi anae chagua upande ni Mchambuzi FEKI! Uhaminiki tena.!
@swedystar797021 сағат бұрын
Kwasasa nahona ngurumo karudi kabisa nawala sio yule waupende mmoja
@MartineJoseph-u6i19 сағат бұрын
Sio Dunia ya sasa
@emmnuelpatrick172723 сағат бұрын
Big up mkuuu
@MDCISFORMALINYIPEOPLE-22 сағат бұрын
Ulikuwa biased na hii inavoendelea unaonyesha wazi unaitaka shari iwaandame hawa jamaaa, UBASHIRI WAKO WA MREMA ON LISSU UMEDUNDA, kusema Baraza kuu liliamuammiaka 3 , huu ni mwanzo wa kumyumbisha ,Baraza kuu hilohilo linaweza kubadilisha hayo ama kama watafanyanmabadilko rasmi yantenure mapema....Kaka umepotezaaa sanaaaa
@DonMooFILMES_Express20 сағат бұрын
Ngulingana na kauli yake inatakiwa wale watuhumiwa wote wachukuliwe hatua dhidi ya makosa yao na wawekwe pembeni kidogo maana 😂 watafanya juu chini uongozi wa LISSU ufeli ili waseme MNAONA? 😂
@DavidDanken-uf7kp22 сағат бұрын
Kaka kipind cha uchaguz ulikua tim mbowe ,sasa ukiendelea kumkosoa lisu hata kama ni kweli watu wanajua lisu halikua chaguo lako hivo unatumia nafasi yako kumchanganya ulikosea sana kuchagua upande bro saiz huaminik tena..! we❤u bro!
@YohanaNkhambi18 сағат бұрын
Mbona ulimkana mwanzo acha uchawa
@margarethsolomon982323 сағат бұрын
Kila press yako mpaka umtaje jembe Joseph Magufuli looooooooo😏😏😏😏😏
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
Anatajwa pale inapobidi. Hupendi?
@margarethsolomon982322 сағат бұрын
@AnsbertNgurumo Binafsi wewe unaona fahari gani au furaha gani kutaja mtu asiyeweza kukujibu kitu, au mtu aliyekwisha kufa? Huridhiki tu pamoja na kwamba kafa na hayupo. Unazidi Bwana, uwe na msamaha basi au kusahau. Looooooooo!
@richardnganya231122 сағат бұрын
Hata ingekuwa sululu ujue Historia haiwezi kuruka mtu.
@tanzanianakupenda22 сағат бұрын
Huyu hawezi kuacha hili maana ni kama issue ya uchaguzi wa CDM...hajui jinsi JPM kwetu alikuwa anatufaa haijawahi kutokea
@robertmasatu84239 сағат бұрын
Ongelea na rushwa wakati wa uchaguzi, hilo ni muhimu, usijizime data
@samsonsamwel878211 сағат бұрын
Ila wew mzee nmekushush nyota kpnd ch kampen ulkuw #ChawA_wMbowe
@felixmsengi108423 сағат бұрын
Nashukuru, ulisema Huwa mnawasiliana na Lisu na kushauriana, mambo menngine uwe unawasiliana na Hawa Viongozi na kuwapa ushauri wakikubali Jambo jema wakikataa waache na wachame live
@tam52628 сағат бұрын
Mood ya politics za sasa ni beyond your mifano ya TZ ya Mrema, nk. So tafuta mifano nje ya TZ. Ulidhani TL atashindwa na always uko negative against TL. The train has left!!
@ZainabuBakari-yb4vj20 сағат бұрын
Upo sahihi
@mathiaszakaria705214 сағат бұрын
Sisi hata usimuelewe Lissu ila sisi tunamuelewa maana tunamjua hana kigeu geu.Zama za Liyatonga Mrema na Lissu ni tofauti.Saivi tuna mitandao ya kijamii na watu ni wengi tofauti na miaka ya 90 kwa Mrema. Lissu hana Ndimi mbili anarekebishika ila hataki unafki.
@komuhsengo979622 сағат бұрын
Nani akutishe wewe labda ujitishe mwenyewe😂
@AnsbertNgurumo22 сағат бұрын
Umeelewa ulichosikia? Tulia kwanza!😀😀
@dassustephen73120 сағат бұрын
Ulikuwa unamponda Lissu wakati wa kampeni.Huna lolote
@xaixaiobrigado484615 сағат бұрын
Ngurumombona umeruka kuhusu ya bi chura,mama?
@HellenLemilya23 сағат бұрын
Big up
@kibbysaidi781320 сағат бұрын
Bado naamini Mbowe ndio mfadhili wako wa hii media yako vinginevyo mbona kakuteka sana. Hivi unachambua au unafundisha?
@DonMooFILMES_ExpressКүн бұрын
😂😂 nilikuwa napita kwenye channel yako kila siku kutafuta video mpya sioni 😂... Leo nimekuona ngoja nikusikilize kwanza 😂😂😂
@mongeza18 сағат бұрын
HAUAMINIKI TENA
@DiwaniMwafongo8 сағат бұрын
Ukageuka kimpigia debe Mbowe.... Sijui ulikula maharage ya wapi!!
@DonMooFILMES_ExpressКүн бұрын
😂 *LAKINI tuache unafki. Angeshinda MBOWE ungeendelea kumuandama Tundu Lissu kila hatua aliyoikanyaga awali na mbeleni. Nilitegemea ungeibuka kuzungumzia sakata la ROSE kwanza kwasababu sio jambo dogo alilofanyiwa. Ungechambua malalamiko au tuhuma zilizokuwa zinatajwa na timu ya Lissu kutaka kujua kama kuna ukweli wowote au uongo. Kinyume chake unasherehekea hutuba hii ya Tundu Lissu bila kutafakari VIPI TUHUMA ZA RUSHWA n.k Mbona hazijachukuliwa hatua kwa wanaodaiwa!?. Mr Ngurumo huu uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nifahamu upeo wako na uchambuzi wako upo kinafsi sio kihaki*
@TheprincipalmboyaКүн бұрын
Acha unafiki broo kampeni zimeisha punguza unazi. Maana ya strong together hujaielewa au hauko tayari kuuishi. Unaonekana ulikuwa na chuki na Mbowe
@songombingo10823 сағат бұрын
Don umesema kweli
@JumaDoce23 сағат бұрын
Huyu ni mchambuzi hana chuki na mtu
@DonMooFILMES_Express23 сағат бұрын
@@Theprincipalmboya watu wenye akili timamu tunaelewa kwa mapana zaidi. Usizani ushindi wa Lissu umefurahiwa na tim Mbowe hata kidogo. Na utapingwa kipindi chote cha madaraka ya Lissu huo ndio ukweli. Watafanya juu chini kuhakikisha hafaulu ktk uongozi wake.
@DonMooFILMES_Express23 сағат бұрын
@@songombingo108 🤝 kwahakika unaupeo mpana
@richardnganya231122 сағат бұрын
Jamaa ulishapoteza mvuto kwa kujikita kwa Mbowe badala ya demokrasia!! Itachukua muda kueleweka na kukubalika. Ama ikifaa upate kadi ya CHADEMA upate haki ya kikatiba !
@FrancisThomas-jc8wq18 сағат бұрын
Kumbe hata haumjui Ngurumo.
@joyceharris209322 сағат бұрын
Hongera sana unafanya uchambuzi mzuri. Ila ujagusia kabisa kwani viongozi wengi wa kamati kuu hawakuwepo na wale wengine wanachama tuliozoea kuwaona mara kwa mara kwenye conference naona chadema bado wana maumivu wale wa timu mbowe
@DonMooFILMES_Express20 сағат бұрын
😂😂😂
@mathiasmavanza60523 сағат бұрын
Huyu ndiye Ngurumo ninayemfahamu, sio yule wa wakati wa kampeni wakati wa uchaguzi wa CDM
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
Ni yule yule. Aliyemkataa Mrema licha ya umaarufu wake. Aliyemkataa Kikwete licha ya umaarufu wake. Amebadilika nini sasa?
@GabrielMwakasituКүн бұрын
Aminaa ngurumo
@emanuelpiniel527712 сағат бұрын
Ila ulikuwa upande wa mbowe kabla ya uchaguzi
@malinzirutta339122 сағат бұрын
Lisu amewafundiaha kutukana, kusema uongo, kubeza, kudhalilisha, kubagaza na maovu mengine lama hayo. Mwalimu wao hao wabangaizaji.
@EzekieliBuyenze21 сағат бұрын
Wivu utakua
@DonMooFILMES_Express20 сағат бұрын
Lakini kipindi Lissu alipokuwa anawasema CCM mlimuona yupo sawa 😂 Aliwataja majina mazito mazito, aliwadhalilisha kila namna. Kafatilie hutba za Mbowe akiwasema CCM. Kafatilie video za BONI YAI n.k 😂 Huko kote walikuwa sawa lakini kugeuza kibao kwa wao baada ya kutokea makosa hayupo sawa 😂 MKUKI KWA NGURUWE KWA BINADAMU MCHUNGU. Kwahiyo CCM hawana haki wenye haki ni CHADEMA tu 😂
@tanzanianakupenda21 сағат бұрын
Duuu bado mzee...unaongelea hofu yako zaidi na uko pale pale...unaongelea udhaifu wa wengine unaowataka bila kujua ndicho ulichoshinda ukifanya kipindi cha campaign...ulikuwa unamuongelea TL ni kama yy ni shetani fulani na kurusha clip za watu wakimkebehi....demokrasia unaiongea pale inapokufaa lakini isipokufaa unaivua kama nguo....wewe ulikuwa team Mbowe na hautaki awe challenged au kusemwa kwa lolote
@JumaKatara-r2b19 сағат бұрын
Bado ujarizika na uwenyekiti wa lisu
@MDCISFORMALINYIPEOPLE-22 сағат бұрын
Mie ni shabiki wako ila niko CCM vyemaaa , kaka unayo kazi ya kuirejesha imani , na nafahamu unayo nafasi ya kuipanTanzania maarifa yale ya Ngurumo, usiyumbe tenaaa, leo umeanzaaa komaaa na njia hiiiiii
@OctavianMniko21 сағат бұрын
We fara TU huna jipya
@FrancisThomas-jc8wq18 сағат бұрын
Acha matusi
@ThobiasMarandu19 сағат бұрын
BADO MIMI NITAENDELEA KUMWONA LISSU NI MPUMBAVU NA MTU WA OVYO... HUWEZI KUFANYA SIASA ZA MATOPE HALAFU BAADAYE ATI UJE UJIFANYE UNAUNGANISHA... LISSU TO ME IS USELESS YESTERDAY... NOW AND FOREVER...
@mathiaszakaria705214 сағат бұрын
Pole kwa kuumia..Channel yako ilipata umaarufu enzi za Magufuli saivi umeumia ndg.yako Mbowe kuvuliwa uenyekiti hili limekuuma sana kumbe mpo upinzani kwa maslahi yenu binafs na syo kutetea wengne huu mpango wa Lissu kugombea umewavua nguo.
@yaronaWilliam23 сағат бұрын
Lissu ameukana uchawa mapema, amesema Yuko tayari kukosolewa kuliko kusifiwa, siaamini kama Lissu ataingia kwenye huo mtego.
@margarethsolomon982323 сағат бұрын
Wewe nawe mara ingine una mifano ya utabiri wa maanguko anguko kwa mtu, au vijembe jembe hivi. Jaribu kukaa kimya mara ingine
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
Hoja haipigwi rungu!
@MsabahAli-d6u23 сағат бұрын
Ngurumo tupe uchambuzi uchaguzi umekwisha tuendele mapambano
@JohnBosco-d3g21 сағат бұрын
Timu mbowe bado unaweweseka 😢😂😢
@DonMooFILMES_Express20 сағат бұрын
😂😂😂
@mbelechimakobola883523 сағат бұрын
Zamani Chanel yako hii ilikuwa ya maana ila kwasasa naona kama ifungwe tu
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
😄 🤣 Kwako "maana" ni nini? Njoo na hoja inayokosoa hoja yangu, tuipime. Hisia si hoja. 😀😀
@mbelechimakobola883523 сағат бұрын
@AnsbertNgurumo hatuwezi kusikia hoja yoyote ya kumkosoa Lissu maana ndiye pekee tumaini la watanzania
@DavidDanken-uf7kp22 сағат бұрын
Kaka levo Yako ni muandishi wa wote binafsi nilikupenda lkn hoja kpind Cha uchaguz zilionesha upande Kwa mbowe na saiv ukimkosoa lisu hata kama ni kweli watu wanajua ni Kwa sabab halikua chaguo lako, so uliharib kaka we ❤ u!
@PhilipoMwita-b2x23 сағат бұрын
Ahhh ila mnateseka jamani polen ngurumo
@mbelechimakobola883523 сағат бұрын
Hatuwezi kusikia chochote kutoka kwako, wewe mzee mwenye Chanel hii, unacheza eeh?
@ananiamwatebela315919 сағат бұрын
Timu mbowe usituchanganye tu hapa
@MajaliwaYusuph-qb1xp17 сағат бұрын
Wewe ndo huna maono una akili fupi sana.kwa hiyo watu wote walitakiwa kuunga mkono timu lisu pekee?
@saidikindole6914Күн бұрын
😂😢😂😮
@HimidMkuya12 сағат бұрын
Mnafiki Mmoja wewe wewe yimu mbowe hulajipya
@asacconlinemedia53439 сағат бұрын
Lazima pia tuwe wakweli, wewe pia kama mwandishi ulifeli kabisa kubaki katikati kama mwandishi. Ulikuwa na upande. Kama mwandishi ulitoka kwenye mstari.
@kiliantereba650223 сағат бұрын
Mmm wamechaguliwa kihalali kwa nini wakae miaka 3 tu. Hiyo hamna wakae term nzima. Mwenzao amekaa miaka 21 sasa wao kwa nini kamati kuu. Wata kaa na wao kipindi chao sio mitatu tu
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
Ni mkakati wa kiuchaguzi. Baada ya miaka 3 watachaguliwa tena kama watakuwa bado wanahitajika.
@richardnganya231122 сағат бұрын
@@AnsbertNgurumo ilitakiwa hoja hii iwe kwenye uongozi uliopita..
@wilsonletiet7852Сағат бұрын
ww mwenyewe ulikuwa mpambe wa Mbowe kwahiyo kila moja ana haki ya kuchagua upande wake unaoupenda na uchaguzi umeisha tusonge mbele hizo ni lugha ya aliyeshindwa
@sonnyr189923 сағат бұрын
Ngurumo watu wamesha kujuwa wewe ni chawa mtiifu kwa Mbowe na ni kosa kubwa ukisha kuwa mchambuzi na kuruhusu watu kugunduwa upande wako ni dosari kubwa. Kwa sasa utafanya kazi kubwa kujisafisha ila wafuatiliaji wakuone kama mchambuzi huru.
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
Asante kwa maneno yako. Kuna kanuni imevunjwa? Itaje.
@JumaDoce23 сағат бұрын
Huyu ni mchambuzi hana chuki na mtu
@warakawayohana289623 сағат бұрын
Hakuna anayekuamini kigeugeu wewe
@AnsbertNgurumo23 сағат бұрын
Nimegeuka katika lipi? Au unajadili hisia tu? 😀😀😀
@simonrusigwa302421 сағат бұрын
Achana nae. Upo kwenye mstari. Hao ndo wsle wagonjwa kaka@@AnsbertNgurumo
@petroyohana112622 сағат бұрын
We don't trust you anymore
@OctavianMniko21 сағат бұрын
Huna uchambuzi ni wajinga waliongwa
@AntonyKawage11 сағат бұрын
Ktk vitu vinatutesa waafrika ni undumila kuwili.yaani baada ya mbowe kushindwa saizi umerudi kwa ,tl ,
@gasparyephraimmwakatuma95426 сағат бұрын
Nimefurahi kusikia na wewe umerudi kwenye uchambuzi maana ulikuwa likizo kuuguza madonda
@exseviangaeje115811 сағат бұрын
Ww umepotea na auna mvuto tena
@0diraWilson10 сағат бұрын
Sikiliza usitufundishe cha kusikiliza. Ulikuwa wapi enzi za MAGUNGULI?. Hatutaki kauli ZAKO, kaa pembeni, Acha ulimbukeni. Je Unajua watanzania tunamaumivu gani mioyoni mwetu. Kaa uache siasa ZAKO za kichawa hizo