Huyu mzanzibar anatumia nafasi hii kutumbukiza nchi yetu kwenye mikataba ya ajabu
@godwinmwakibibi274 Жыл бұрын
Lazima tutambue Urais ni taasisi,🙏
@ManaseJubilate-kk2gz Жыл бұрын
Duuh tumepatikana!! Ee Mungu Fanya kitu kwa Tanzania😢
@KassimAlly-xp4dz Жыл бұрын
Unataka afanyaje ndugu
@hilmialjahdhami9787 Жыл бұрын
Manase jubilate@ acha chuki mama samia anapigania kuitoa nchi kwenye umaskini
@elifacestafordntilongwa603 Жыл бұрын
Mama unazingua Acha kuuza nchi yetu
@simonmajengo4025 Жыл бұрын
Duh!!!! Mungu fanya Jambo litakalotufulahishisha Watanzania tulio wengi
@djunction4127 Жыл бұрын
kwenye Bandari kukuelewa itakuwa kazi, ila ndo hvyo sijakuchagua mm ntafanyaje sasa umelisi na kama unavyojua mali za kulisi uwa haziumi dah tumalize mama😭😭😭😭😭😭
@Focusm-se2sd Жыл бұрын
Bandari ni ya watanzania mama maisha mnayoishi nyie ni tofauti na wanainchi ndiyo maana mnafanya mambo ya hovyo atutaki mambo ya kuamuliwa na mtu kama vile Yuko nyumbani kwake stop kabisa
@FranckDaniel-o2m Жыл бұрын
Hapa rais hatuna,tuna kibaraka
@kambamazig02024 Жыл бұрын
That is interesting!
@chiefndatu1895 Жыл бұрын
Washauri wa Mama wantaka kumuangusha 2025
@mimutiengungatimollel3794 Жыл бұрын
Mama kwa hili la bandari sijakuunga mkono Mimi "" bahati mbaya hiyo mkataba sijaisoma lkn tunasikiliza kwa wanaosoma "" mbona inatutisha xana
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Ukitoka hapo mama hamia kwenye treni nayo uza ubwa sisi lazima tushike adabu lungu kapewa ...
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Safi auze tu cc bandari aitusaidii k2 tuna bandari unakuja na gari umenunua dola elf 6.unachajiwa dola elf 10.sasa sibora wauze
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Serikali hatufanyi biashara, we have heard that before as part of the Africa economic adjustment program which did not get us anywhere! Of course governments have a business to do. Look at KLM, Air France, AMTRAK, and many others. We need to decolonize from the WB and IMF colonial doctrine! Government can do business and it has been done in many parts of the world!
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
Huyu bure tuu
@mohamedrobleh9105 Жыл бұрын
Good for the country investment
@samsondominick81 Жыл бұрын
Then wengi wanadaii kuwa DP world ndo hao hao waliowekeza kwenye bandari za Uingereza na nyingine nyingi duniani.ndio hatukataii...SWALI LA KUJIULIZA JE CONDITIONS ZA MKATABA WALIOINGIA NA WAINGEREZA NA HIZI TUTAKAZOINGIA/AMBAZO TUMEINGIA NAO ZINAENDANA !!?
@kheirahmad4064 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
No way bandari inaendeshwa na sector binafsi
@abednego3876 Жыл бұрын
Badala ya kuwa mkali usimamie bandari vzr unapelekea mwarabu , hovyo kabisa. 0Brain
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mjinga ww
@senyagwadickson9084 Жыл бұрын
Kauze bandari ya kule Zanzibar
@makelemohuya2723 Жыл бұрын
Wewe acha kutuharibia inchi kama umeshindwa please achia ngazi
@hilmialjahdhami9787 Жыл бұрын
UKIWA NA AKILI NDIO UTAJUWA MAMA SAMIA ANAIJENGA NCHI
@footballlove.2305 Жыл бұрын
@@hilmialjahdhami9787 anaijengaje hem tupe elimu
@clemencemkondya8561 Жыл бұрын
Mnamuonaya mama .Acheni kuzusha .Hiyo bandari inaendeshwa na,serikali lakini makusanyo yake utabaki unashanga hata kodi zipo juu Sana . kwanini kenya na Zanzibar kidogo kidogo . muswe na maono siyo kupinga tu.Alafu matusi ndiyo suluhisho???!!!
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Bandari nyingi duniani ziko mikononi mwa serikali, hata hapa Maraekani kuna Port Authority hata siku moja Marekani haitauza ama kumwajili foreigner kuendesha bandari yake. Na hawa ndio capitalist wakuu wa dunia! Think about it!
@kipupwefedede7130 Жыл бұрын
@@kambamazig02024 👍👍👍👍
@elifacestafordntilongwa603 Жыл бұрын
Usiuze bandari yetu urithi wa watoto wetu sisi kama wananhi hatujapenda
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Mbona cc tumeikuta na aitusadii ki2
@KasubiArexander Жыл бұрын
Mmesaini alafu mnapiga polojo vip bandali ya Zanzibar nayo imetaifishwa au na kwanini
@makelemohuya2723 Жыл бұрын
Kauze mashamba yako na family yako usiuze boundary ya watanzania
@hilmialjahdhami9787 Жыл бұрын
Nani alikwambia anauza bandari acha kauli za kipumbavu
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mshenzi we acha kumtukana na kumzarau kiongozi wa nchi Mbona mama ako humtukani
@machintangachibwena5922 Жыл бұрын
Bandari ni Mali ya Wazaramu nyie wameru rudini kwenu mukagombanie mbuga huko
@TeamKRX Жыл бұрын
Mimi mzanzibar ila kwa hili mmmm anazingua tungekuwa tunafaidiaka si si wanzanizbar basi poa tu nanyie si mumetuibia Moana Leo hatutaji mungano mumengangana Leo yamewarudia Ila muondoweni atawamaliza 😎
@kabilamassawe4379 Жыл бұрын
Ila chonde chonde mama! Angalia huo mkataba usije kutuua, au kutufunga, au kutuingiza katika fidia
@ibrahimujohn6028 Жыл бұрын
kama kweli huo mkataba una manufaa kwa wananchi wa Tanzania wenye hali ya chini,kwanini bandar ya Zanzibar aipo? wanachi wanateseka,maisha magumu lakini bado hamuthamin Mungu alivyovibarik kwajil ya watanzania ila Mnajali masilah yenu inauma.asilimia95 ya biashara za kimataifa nchini ni bandari kavu ya Dar es salaam,utasema nn or utaamua nn siku zijazo? or utakua na uhuru gani kuihusu bandari kavu ukiwa umeishasaini mikataba ya kipumbavu kwenye pointi kuu inayochangia asilimia kubwa ya uchumi wa Tanzania.diligent hands will Rule but laziness ends in forced labour😇
@mathiasmanonga3939 Жыл бұрын
Imeisha iyo zingine kelele tu , Ngoja tunyoshwe mpaka tunyosheke
@kheirahmad4064 Жыл бұрын
Nihatar sana. Ibaki Nusura ya Mungu tu.
@ameirzapy1318 Жыл бұрын
Kazi iendelee 😂
@ZanzibarAfrica-p6j Жыл бұрын
Mama nakupenda Mm nipo nyumba yako
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
tutajikwamua vp kiuchumi nawakati kunaviongoz hawana huluma na lasilimai zetu
@dullahkalanjedullahkalanje1422 Жыл бұрын
nakumbuka Mseveni alisema nchi yake ingekuwa na bandari mambo yangenyoka ila uku tz tunakodisha kweli kitu cha kupewa una uchungu nacho 1:30 1:30
@LusajoMwajeka-tf1nj Жыл бұрын
Jaman kwanini hatusikilizwi kilio chetu wanachi wa Hali ya chini hat tungepewa matilion shida kwetu hazitaisha si magufuli alisema hawa watu wanakuja kimasilahi yao Leo wanataka sehemu nyet waitawale jaman tujiulize hivi tutakua na saut wakivusha vitu vya magendo kwenda njee daa naumia moyon japo Sina saut majonzi yanaishia moyon,
@mbelwajeremiahpaschal390 Жыл бұрын
Kila kitu wawekezaji Tunauaa Elimu zetu ,Ni Lini Na sisi Tutadhubutu na kujaribu jmn Hyu Mama anatumiwa Na Wazungu ndo Maana kila sehemu anawapa wao Tuwe Macho Jmn
@dullahkalanjedullahkalanje1422 Жыл бұрын
ifike mahali kila nchi rais atoke kwenye uzawa wake mbona Zanzibar atujaona makamu au rais anatoka Tanzania
@samsondominick81 Жыл бұрын
"How the development will be brought brother when the leader who have entrusted in power are corrupt"-DEVELOPMENT POWEN BY KUNDI FARAJA...HAYA MASHAIRII YANA MANA SANA KWA KWELI HAWA WASHAIRII HAWAKOSEII MPAKA UNAELETEWA DARASANI TUYASOME YANA MAANA KUBWA SANA ONA SASA KINACHOENDELEA
@saidasimba9979 Жыл бұрын
Kweli katiba ibadirike mtu mmoja tu anaweza kuamua tuuzwe jmn duuuu bongo bahati mbaya
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Ndugai alisema ipo siku hii nchi itapigwa mnanda mkabisha sasa oneni ngorongoro kikowapi na bandari kwa heri
@emmanuelmpuya8164 Жыл бұрын
hv mama vp banadari ya Zanzibar
@kheirahmad4064 Жыл бұрын
Ile inawenyewe ndugu. Hili letu tulipokee tu.
@davidmalogo7100 Жыл бұрын
Haya ndo madhala ya katiba katiba ibadilishwe ,
@mohamedkhalfan3553 Жыл бұрын
Asante mama wanaopinga hao ni mijizi ww ndio Rais wa kwanza Tanzania kuwa na maono ya kimaendeleo
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
Eti maendeleo yanakuja kutoka kwa wawekezaji what a stupid statement !!
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mie nahisi kila sekta ambayo walipewa watanzani wakashindwa kuisimamia ipasavyo Mam samia binafsisha sekta iyo Maana hawa watu washazoea mazoea
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
Huyu Mwanamke aliyerukia madaraka amewatangazia wananchi kuwa hana uwezo wa kuongoza.
@dullahkalanjedullahkalanje1422 Жыл бұрын
nakumbuka Mseveni alisema nchi yake ingekuwa na bandari mambo yangenyoka ila uku tz tunakodisha kweli kitu cha kupewa una uchungu nacho
@samsondominick81 Жыл бұрын
Pia tukumbuke kuwa hawa "WAARABU" hawajawahi kuwa na huruma hata kidogo WAARABU ni moja ya watu kiukweli wana nnjaa kali kweli I don't kumkaribisha kwenye uwekezaji nyeti kama huoo aje akufaidishe kama kitakuwa ni kitu rahsi kiivo...They will come here and do a very decisive exploitations.
@maulidmnukwa3171 Жыл бұрын
Hakuna mwenye afadhal ndugu wazungu wametuachia mashimo migodini, wachina wamejaa kariakoo wanafanya biashara Za maskini, wahindi ndo usiseme.. Msingi wa hoja ubaki kwenye mkataba and not the races..
@hilmialjahdhami9787 Жыл бұрын
Asante sana maulidi
@henrychambabenje888 Жыл бұрын
Duu R.I.P MAGU..Utakumbukwa milele kwani tusinue hivyo vifaa tufunge kuliko kuuza bandari sasa naona inchi inauzwa kdg kdg kazi indelea naona inaendelea sasa
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Umeamka sasa
@saeedally268 Жыл бұрын
Hawa ndio waliomuhujumu magufuli namuomba Allah Awaangamize mmoja mmoja kuanzia wewe
@sultansallah8772 Жыл бұрын
Hahahahaaha
@hilmialjahdhami9787 Жыл бұрын
UNA UHAKIKA NA KAULI ZAKO?
@Davio123 Жыл бұрын
@@hilmialjahdhami9787 mbna unatetea matacall ww
@armandonappa435 Жыл бұрын
Tunataka uelezee Kinaga ubaga huo Mkataba Uliosaini kweny birthday yako Dubai.. Mbona una utata.. We maliza mda wako usepe Tanzania hata Mwalimu nyerere alikuwa Alipukii Mambo.. Mwambie kikwete mda Wake uliisha ... Kama nchi imekushinda Mkuu wa majeshi anaweza kuamua..kuiokoa Tz Wewe uende kwenu kwa BABU ZAKO DUBAI...
@chavdamaluchila-cd9hk Жыл бұрын
kwenye bandari ni ngumu sana kwanni mnakua ivi
@PanAfricanistmawesa Жыл бұрын
Endeleeni kabisa sioo kuuza Izo bandari ikiwezekana na Muuze hii nchi kabisa ndo mnalotaka,kama mnajijua hamuezi kuongoza nchii achien ngazi na mjiuzulu kabisa,,,mnatutia Aibu sisi kama Raia
@gastonntabalezi5371 Жыл бұрын
Wewe inaweza kuwazidi ujanja waarabu kweli utakua unasoma lakini lazima tu changa la macho tupigwe
@SuleymanSirngunda-j1o Жыл бұрын
Ww mama mwandazimu
@cosein Жыл бұрын
Magufuri aliwahi kusema mtanikumbuka naisi tunamkumbuka sanaa
@hamisimkoma7380 Жыл бұрын
Mmmmh kweli ikulu awamu hii iko na Mzigo😢😢😢
@4hestatecompany20 Жыл бұрын
Haki elimuuuuu!!!!
@franktangeki9342 Жыл бұрын
tuna wasomi wengi hawana kazi tuna rasilimali rasilimali fedha za kununua miundo mbinu ya kisasa ya bandarini.Kwanini tusipeleke wasomi wetu wakasomee miundo mbinu ya kisasa na kununua vitendea kazi vya kisasa bandarini ili tuiendeshe bandari yetu sisi wenyewe kuliko kuwauzia Waarabu ? nasikia hakutaruhusiwa mtu kukanyaga pale ni kama waarabu wameuziwa bandari ile tayari
@senyagwadickson9084 Жыл бұрын
Hakuna kutoa bandari
@chacha-255 Жыл бұрын
Haya ndio madhara ya kuchagua mtu ambae hana uchungu wala hana cha kupoteza kwenye mali za Tanganyika.... Mtu kakulia Zanzibar huko maisha yake halafu nae ana kitambulisho cha uzanzibari, Ghafla bin vuu kaja eti kuiongoza Tanganyika! Ni dhahiri hata mlima Kilimanjaro ukiuzwa yeye hawezi kujisikia uchungu maana kwao ni Zanzibar, na ndio maana kailinda bandari yao isiguswe ila hajaona taabu kuigawa bandari yetu watanganyika.
@berthatz Жыл бұрын
Huyu hajachaguliwa amekuwa hapo kikatiba.
@machintangachibwena5922 Жыл бұрын
Hakuna kijiji kinacho itwa Tanganyika
@festokitule9727 Жыл бұрын
Kwanini tusinunue vifaa vya kisasa kuendeleza bandari tuache mitazamo duni
@titorunigangwe2963 Жыл бұрын
Hoja ni ile ile mbona Zanzibar haimo ni Tanganyika tuue
@jitabojilala6162 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@ShomiLove-he4kw Жыл бұрын
Tukutane 2025 apa akuna rais apa
@TeophilBuilding Жыл бұрын
Kwa wenye akili wanajua kua eneo nusu la Tanzania lushazwa kasor zanzibar yani ni saw na mtu kununua nyumba yako alaf anakuacha uendelee kumlindia anakutumia km mbwa ndo Tanganyika ilipo kwa sas alaf hain rais inawapigaji tu vyovyote itakavokua
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Жыл бұрын
Mi naona ni sahihi kazi ya serikali ni kukusanya kodi. Biashara iwe secta binafsi. Very good my president
@alfredibrahim7085 Жыл бұрын
Walamba asali kwa makofi mpo juu
@saidiamiri7898 Жыл бұрын
MKATABA HUU SIO KWA MASLAHI YA WATANZANIA BALI KWA AJILI YA MASKAHI YA WATU WACHACHE.
Mama kuhusu bandali tuliza akili ili utoe mamuzi mazuri isije yakatugalimu baadae
@babudicky Жыл бұрын
Maisha ndio haya magum tena kuuza bandali Eee jamani tuhurumiane
@festokitule9727 Жыл бұрын
Auze bandari na za zanzibar
@FrancoisKabala-lq8vy Жыл бұрын
Ata wewe ukifikilia bandari hiyo toka tuliko toka na mpaka sasa inamanufa gani kwa nchi yetu ya Tanzania inafaida ngapi kama haina ilifaa utuambie ututafasilie kwamba haina faida kuepo nchini mwetu toa sababu za maana inamanisha wazee wetu hawakufikilia kubaki na hii kitu huu ni ulevi flani vitu vingi vinaingia pale vinapokelewa pale wewe nini unawaza
@salimuiddi5344 Жыл бұрын
upuuzi 🤮🤮
@dadamuebrania1539 Жыл бұрын
Mkebe mtupu 😢
@shaffymoneypower4227 Жыл бұрын
WANAONIKERA ZAIDI NI AWA WAPUMBAVU WAJINGA WASIO JIELEWA HAWAJITAMBUI KABISA KAZI KUPIGIA MAKOFI UPUMBAVU UNAOONGELEWA APO