Mch. Kimaro, nakuombea sana maisha marefu ili Ukuu wake Mungu uenezalo liwafikie wakubwa kwa watoto kwa maisha yao ya baadae ya nyumbani kwa Baba huko Mbinguni.
@judithkabunduguru9491Ай бұрын
Barikiwa saana mtumishi wa Mungu.mafundisho yako yanatuponya.
@HappyNkemboАй бұрын
Kila iitwapo Leo nazidi kujifunza zaidi baba,uzidi kubarikiwa
@MelinaGallaАй бұрын
Mungu akupe maisha marefu Mchungaji.
@christineneolife212Ай бұрын
Amen 🙏
@RahelIbrahim-id2liАй бұрын
Nashukuru mimi nimejifunza sana ,unanitoa sana kitk kila ujumbe wako ninaousikia
@mr.yahzadochuno7914Ай бұрын
My prays every day emungu walinde watoto wote dunia kote 🙏🏿😍
@mr.yahzadochuno7914Ай бұрын
Mungu akulinde mtumishi wa mungu
@abigaelwangama6439Ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji kwa mafundisho Yako.Amen
@FridaRichardMageziАй бұрын
Be blessed🙏
@forminaformina7694Ай бұрын
Amina❤
@WisonZawadiАй бұрын
Amen
@estherlemburismollel5901Ай бұрын
Kuna usemi unasema "mtoto hakumbuki unachompa bali hukumbuka muda uliotoa kwa ajili yake". Juzi kijana wangu alinipa ushuhuda live kwenye graduation iliyofanyika mahali fulani mwezil huu. Kuna mama mmoja alimpa mtoto wake zawadi ya gari, mtoto akakataa, huyu mama alimwacha mtoto kwa; bibi yake akiwa na miaka tisa anarudi baada ya miaka 14 akiwa anapata shahada ya kwanza mtoto akakataa na kusema " nina gari ambalo ni bibi yangu, hailinganishwi na zawadi yoyote, uwepo wa bibi kwenye maisha yangu ni zawadi tosha" Mchungaji wewe nakuombea Mungu akupe kiti jirani na Yesu kwenye ufalme wake. Ubarikiwe kwa ujumbe mkubwa huu, familia zitapona tukikubali mabadiliko na kuwa walezi.