Karibu kuusikiliza wimbo huu mzuri kutoka kwaya yakanisa SHUNU SDA CHURCH, KAHAMA-SHINYANGA, JOMBO LA UKANDA WA DHAHABU (NBGF)
Пікірлер: 9
@happyhongerasinana15202 жыл бұрын
Amen
@hellenekeya81832 жыл бұрын
It's a wonderful songs God bless you all... Amen
@rorianemuhindo82462 жыл бұрын
Amen 🙏🏿
@restutavenant9427 Жыл бұрын
MUNGU awabariki kwa huduma njemaa inayoleta wokovu kwa wengine
@jamesmisita79502 жыл бұрын
It is a good message
@jenipherlaurent44042 жыл бұрын
Amina
@shunusdachoirkahama56602 жыл бұрын
Karibuni tubarikiwe
@emmanuelngewa88942 жыл бұрын
hii ni moja ya kwaya ya kualika kwenye makambi, natamani kama kamati ya makambi ya mtaa wetu wa yombo dsm iwaalike mwaka huu wa 2022, mnabariki sana style yenu ya uimbaji, piga kazi wajori mnatubariki sana
@dayananicholas20852 жыл бұрын
Kazi nzuri wapendwa.Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu!!! Pamoja na Mungu hakuna kizuizi.