TWENDE TUKAE NA AFANDE SELE, MUNGU HATUTEGEMEI SISI KUTOA ADHABU TUNAKOSEA KUMHUKUMU"MCH MGOGO

  Рет қаралды 24,565

Pastor Daniel Mgogo

Pastor Daniel Mgogo

Күн бұрын

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo / revdanielmgogo
Instagram: Pastor Daniel Mgogo / pastordanie. .
KZbin : Pastor Daniel Mgogo www.youtube.co....
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

Пікірлер: 104
@marifaadolphine3571
@marifaadolphine3571 3 жыл бұрын
Mahubiri yako inafariji watu tena iko kwenye mstari, ubarikiwe pastor.
@shikowanjiku3609
@shikowanjiku3609 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu ...
@muslimgirl8053
@muslimgirl8053 3 жыл бұрын
huyu ndio kiongozi wa dini sasa sio mtu anahukumu mtu utafikiri yeye Hana dhambi
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 3 жыл бұрын
Mimi si Mkiristo lakini maneno yako ya busara sana.
@homeofvideos8893
@homeofvideos8893 3 жыл бұрын
Wengine waliwaza kimya kimya ila afande sele kawaza kwa sauti😂
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
Kabisaaaa yaan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 3 жыл бұрын
Kila mtanzania aliyekuwa anampenda Magufuli lazima aliwaza mengi kuhusu Mungu kama afande sele tu lakini Mungu ni Mungu tu na atabaki kuwa Mungu tu ata iweje hata afe nani yey ni Mungu tu.tupo pamoja sana mtumishi wa Mungu mgogo
@joyjilien5432
@joyjilien5432 3 жыл бұрын
Mimi mwenyewe hapa nishawahi kuyaongea yale aliongea afande sele,,mungu anisamehe sana,,,ila shida na matatizo ndo yanafanya mtu kusema maneno mengi 😭😭😭 lkn mungu hua haesabu mabaya yetu
@jefenggg3442
@jefenggg3442 3 жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣uyu poster ananifurahishaga sanaaa aiseee😅😅😂🤣🤣 kwanza Waca Ni subscribe maana ananitowaga stress zangu hatareee
@amisibilly5084
@amisibilly5084 3 жыл бұрын
Umeongea point nimekuelewa mimi ni muislamu
@newkelvcoltd4610
@newkelvcoltd4610 3 жыл бұрын
In kweli kabisa Mchungaji umetufariji
@estermathias8354
@estermathias8354 3 жыл бұрын
Mgogo nimeamin kweli ww nimtumishi wa Mungu🙏
@philiporobert9047
@philiporobert9047 3 жыл бұрын
Wewe unalijuwa neno
@ericirambona7272
@ericirambona7272 3 жыл бұрын
Mtumishi wamungu nyi munaongea ukwili kabisa
@richardkaula6847
@richardkaula6847 3 жыл бұрын
Ameen kubwa wewe ni Mchungaji hakika.
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 жыл бұрын
Kama hawapo watu wakukosea je mtamuhubilia nani?nimekuelewa sana ukovizulli kiupeo
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 3 жыл бұрын
Waambie baba sema baba
@kishimbaigobeko2297
@kishimbaigobeko2297 3 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu huwa nakulewa sana, ubarikiwe sana
@gabrielpott3325
@gabrielpott3325 3 жыл бұрын
Mgogo me napenda sana kuhubili lakn sasa sina njia yakuniongoza ili nipate nafasi yakulitangaza jina lamwana kondoo sasa mtumishi nifanyeje ili ndoto yangu itimie???
@williamandrew1788
@williamandrew1788 3 жыл бұрын
Dahh... Huyu mtumishi was MUNGU habalikiwe sana hakika hana unabii ndani yake na janamaono makubwa sana na hekima ya kubwa sana kwa kujibu maswali Yani hata chizi lazima hatulie na hamsikilize maongezi yake yanavutiwa sana hakika ni pasta wa kweli nacoment hii kwakuwa nimemsikiliza mwanzo Hadi mwisho
@mariyashadiashadia714
@mariyashadiashadia714 3 жыл бұрын
tuna pokea baba yani ata uki ojiwa tu sisi uku tuna barikiwa 🙏🙏🙏🙏🤲
@marympemba1829
@marympemba1829 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu Daniel mgogo.
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 3 жыл бұрын
Watu tusishabikie tu kumpongeza mchungaji kwamba ameongea vzr .. na kumpamba kwa sifa zote ..yuhali yakuwa nae kakosea pia ...mchungaji anasema ...Mungu ni dhaifu ....Mungu wetu wa rehema sio dhaifu na hatokuwa dhaifu milele na milele na ametakasika na mapungufu yote dhaifu na mabaya yote ya mbinguni na ardhini ...binafsi nakwambia ..Mchungaji Mgogo umekosea Mungu sio dhaifu haijarishi ulikuwa unamanisha nini na wala umetamka hivyo kwa wakati upi. ..kutumbuke neema za ukuu wake ...mfano ...Mungu angekuwa dhaifu asingeweza kuinuwa Mbingu saba pasipo nguzo hata moja na kutujalia uhai n.k ..narudia tena ..Mchungaji umekosea ..kifupi umetereza rekebisha kauli yako na umtake M/Mungu msamaha Mungu sio dhaifu ...hata kiongozi wa dini akikosea anatakiwa kukumbushwa ajirekebishe ...kwani hakuna mkamilifu ispokuwa Mungu peke yake ...Ameen ....
@Korakome
@Korakome 3 жыл бұрын
Mungu abaliki Kazi ya Mungu unayoyifanya pastor
@perpetuadalei2405
@perpetuadalei2405 3 жыл бұрын
Hahahaha ett Petro hakumkana Yesu alitaka kumsaidia
@zuberinyenzi1982
@zuberinyenzi1982 3 жыл бұрын
Point sana nimekuelewa mno 🙏🙏
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Mm na kuelewa saana lkn sio mkilisto nainjoi mno na hutuba zako
@victorieusefulano3130
@victorieusefulano3130 3 жыл бұрын
Ndiyo kazi ya watumishi wakweli ubarikiwe sana mtumishi mugogo
@halimamohamed6636
@halimamohamed6636 3 жыл бұрын
Kweli kabisa maneno yako nakupenda sana japo mm ni muislam ila hupendi kuskiza mawaidha yako
@amisibilly5084
@amisibilly5084 3 жыл бұрын
Kifo ni kibaya asa kwa mtu ilie kuwa unampenda niatari subira inaitajika wakati mwengine
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 3 жыл бұрын
Umewashauri vizuri sana viongozi wa dini, nafikili wamekuelewa, huwezi kumuombea kifo mwenzako.
@habilichenza1721
@habilichenza1721 3 жыл бұрын
Kwani una nifanya nizidi kupenda u kristo
@umojatunzwetv
@umojatunzwetv 3 жыл бұрын
Huu upewo wa huu Mzee, ndomwingine utakumbukwa. Mimi ningepata maongezi naye ningefurahi sana nimekutafuta mda mulefu hatanipate number yake .nimekosa kabisa. Niliwahi kukata tiketi nitoke huku CANADA nije tu nimuone ila nikambiwa kumuona tu nahitaji kulipa milioni 15 Tsh. Nikapiata nailisha safali
@hapynessmathias9653
@hapynessmathias9653 3 жыл бұрын
Ubalikiwe cna
@suzyjohn8940
@suzyjohn8940 3 жыл бұрын
Siyo kweli ni uongo we njoo tu utaonana naye
@vicklessa9662
@vicklessa9662 3 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe mzur
@upendoraphael4090
@upendoraphael4090 3 жыл бұрын
Siyo kweli mimi niko na namba yake wasikudanganye huu mchungaji nimuhubiri mzuri mimi niko nanamba yake
@LadouceurTony
@LadouceurTony 3 жыл бұрын
Sifikirite kwamba kumuona inabidi kiwango cha pesa oh no
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 3 жыл бұрын
"Mwenye afya hamuhitaji daktari Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu" Umenena vyema mtumishi Tuombeane tusihukumiane sio kazi yetu
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
Pole ndugu, umecomment sehem isiyosahihi, Lakini hata hivo Bashiru hajabadilisha msimamo ila watu ndo tumeshindwa kumuelewa huyu mwanazuoni..! Hebu mfuatilie alihojiwa na Azam TV na bwana Tido Muhando Dodoma.! Kaulizwa na kaliongelea vema hilo suala..!
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
🙏 ubarikiwe mtumishi...
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 жыл бұрын
Nakukubal Sana bishop,ww ni zaid ya bishop♥️♥️🙏🙏🙏
@ayoubsuleiman2581
@ayoubsuleiman2581 3 жыл бұрын
Yn mm nimwislam lkn kiukweli mashkh zetu wamekurupuka mno yn hivi kweli walishindwa kufikiria namna ya kumsaidia kweli jmn aibu bwn
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
Ni kweli kbs ayubu hata mi ni mwislam lakin cjapenda kile wamefanya mashekhe huwezi kumuombea mtu afe hiyo ni kazi ya mungu atahukumu mwenywe
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 3 жыл бұрын
Kuombea mtu afe eti nikwasababu amemkufuru mungu,ndoo obongo wawa islamu,bada yakumuombea msamaha na kuomba toba,wao nikumuombea afe,wanaonyesha uchawi kupitia korowani yao🤣😂😂
@immaculataroeser9094
@immaculataroeser9094 9 ай бұрын
Maneno yako Paster ni ya maana sana .Ubarikiwe sana kwa kuwaelimisha Watanzania, yanayojiri kuyaweka rohoni.🎉
@laurarose1521
@laurarose1521 3 жыл бұрын
Ivyo ndio inafaa sio kila kosa ulaani binadamu mwenzako
@danielimikaeli1408
@danielimikaeli1408 3 жыл бұрын
Mchungaji wewe ninoma kunywa soda nitalipa Mungu akubaliki
@habilichenza1721
@habilichenza1721 3 жыл бұрын
Aiseee mungu azidi kuku baliki
@wasajo
@wasajo 3 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@fridashekiao5893
@fridashekiao5893 3 жыл бұрын
Yani kiukweli nimebarikiwa tumuombee afande sele
@kennedymboma8268
@kennedymboma8268 3 жыл бұрын
Barikiwa mch mgogo
@nsengiyumvajano8359
@nsengiyumvajano8359 3 жыл бұрын
Ubarikiwe baba umetufunguwa hakili kuhusu afande sele we was so confused
@mwitamgeta9329
@mwitamgeta9329 3 жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi.
@hapynessmathias9653
@hapynessmathias9653 3 жыл бұрын
Mtumish nimekuelewa Sana ubalikiwe cn
@Kwazulu1
@Kwazulu1 3 жыл бұрын
Well said Pastor. Eliminating Afande Sele doesn’t solve anything. Pray for him.
@catherinejohn5157
@catherinejohn5157 3 жыл бұрын
Kichwa kingine icho busara kama zote
@saulikinahi6703
@saulikinahi6703 3 жыл бұрын
🙏 blessed Mgogo
@marrykimario5811
@marrykimario5811 3 жыл бұрын
Mungu kakupa hekima yapekee baba umejibu kiroho nadhan hata sele akiskia hiii atapona.
@omanabcd9249
@omanabcd9249 3 жыл бұрын
Kwani korona nipopo😅
@testerguy4101
@testerguy4101 3 жыл бұрын
AMINA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lydiamichael5509
@lydiamichael5509 3 жыл бұрын
Barikiwa sana MCHUNGAJI
@alenmnyasa2445
@alenmnyasa2445 3 жыл бұрын
Asante sana
@fridashekiao5893
@fridashekiao5893 3 жыл бұрын
Umeongea kweli mgogo munguakubariki
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 3 жыл бұрын
Astagfuru alla mugu abariki NA wewe unaitwa farida
@mariachales3283
@mariachales3283 3 жыл бұрын
Kusema kweri tumeumia Sana mimi nililia Sana nikiwa Omani
@gynae8407
@gynae8407 3 жыл бұрын
Asante mtumishi
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 3 жыл бұрын
Asante sana mgogo
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
🙏🙏
@mamarohosafi2046
@mamarohosafi2046 3 жыл бұрын
Amen very true👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏
@amanimanase8799
@amanimanase8799 3 жыл бұрын
Safi sana mtumishi
@tinukamlowe2134
@tinukamlowe2134 3 жыл бұрын
Pasta Daniel mgogo hakika uko vizuri Sana kazana usirudi nyuma,
@zachariazabronngussa7704
@zachariazabronngussa7704 3 жыл бұрын
Tutakiane kheri cyo mpango kuombeana kifo masheh apo kidogo wamechengwa
@ayoubsuleiman2581
@ayoubsuleiman2581 3 жыл бұрын
Siyo kidogo tu Maana kuna mashkh wakurupukaji wamekosea mno hawajui thamani ya kazi yao hasa huyo kishiki huwa anakurupuka saana
@joyjilien5432
@joyjilien5432 3 жыл бұрын
@@ayoubsuleiman2581 yaani ni wahuni tu kama wahuni wengine hawana utofauti sasa walimpa afande sele wiki moja ivi sasa alikufa??? Kwaiyo ukiona mtumishi wa mungu anafanya kama walivyofanya wale ma sheikh ujue ni wahuni tu kama wahuni wengine hamna mungu,,,,ivi nashindwaga kuelewa kama afande alimtukana nani na alitaja jina la Nani?? Ma sheikh walipanic kwasbb afande kasema dini za kuletewa na waarabu sasa ni uongo?? Si ni kweliii lkn?? Mungu ambariki sana huyu mchungaji
@somaiyahslim6142
@somaiyahslim6142 3 жыл бұрын
Uko vizuri sanaaa Kumsomea Dua mbaya bado hujamsaidia? Akisha kuwa kichaa au kafa ndo tutapata nin?siku zote kumwelekeza mwanadamu kwa hekma ni ibada tosha ila Kuwa na jazba kusoma dua sio solution ?tukumbuke anawatoto wanamtegenea anawatu nyuma wanamsubiria kimsaada ?kumtia ukichaa haita saidia
@latiphajackson4901
@latiphajackson4901 3 жыл бұрын
Well said Baba 💕💕💕
@dazawadi1896
@dazawadi1896 3 жыл бұрын
Asante sana pasteur ☺️
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 3 жыл бұрын
Umenifurahisha Mchungaji kwa ufafanuzi Jambo la afande sele.
@elibarikielikana1824
@elibarikielikana1824 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mch mgogo umeongea point sana Maombi kwa Madam president Samia afate nyayo na ujasiri kama, Magufuli
@samwrisimon671
@samwrisimon671 3 жыл бұрын
Huyu ndeye mutumishi wa mungu sahihi kuliko wengine kabasaaa
@aderickfrank4611
@aderickfrank4611 3 жыл бұрын
Ahsante mtumishi jamii unanielewa Sana🙏
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 жыл бұрын
Umeongea point sana ,kwani Mwenyezi mungu akumpa mwanadamu kuukumu bari Mungu ni mwema sana ila tusitumie wadhifa wa kusomea hitu ukadhani unakarama sana kwa Mwenyezi Mungu
@kitengeleemanuel9645
@kitengeleemanuel9645 3 жыл бұрын
Hakika wewe nimtumishi wapekee sana, ubarikiwe baba
@saitawilson7307
@saitawilson7307 3 жыл бұрын
♥️♥️
@habilichenza1721
@habilichenza1721 3 жыл бұрын
Pastor mgogo mungu ali kuumba kwa oder special
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 3 жыл бұрын
Ameni Ameni
@maggykavata9439
@maggykavata9439 3 жыл бұрын
he was dady to many.
@nadinemasengo9970
@nadinemasengo9970 3 жыл бұрын
Amen baba
@abelymembe2334
@abelymembe2334 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 3 жыл бұрын
Wesh les réf
@neemakimario4638
@neemakimario4638 3 жыл бұрын
Hakuna hbr ya hela wanakukatisha tamaaa
@brightonsospeter5100
@brightonsospeter5100 3 жыл бұрын
Kwan corona nipopo
@alexfestoni5152
@alexfestoni5152 3 жыл бұрын
Uko sawa mgogo
@wadyanali900
@wadyanali900 3 жыл бұрын
Amen
@marymwasantaja3393
@marymwasantaja3393 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@christinewabiwa1932
@christinewabiwa1932 3 жыл бұрын
👍👍👍👍
@habilichenza1721
@habilichenza1721 3 жыл бұрын
Asante kwa kunifundisha
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 3 жыл бұрын
Hatuko machawa wa Mungu aaaaaaah
MUNGU AKIKUIBUA PUNGUZA KIBURI ANAWEZA KUMUINUA YEYOTE "PASTOR MGOGO
53:22
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 14 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 262 МЛН
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
The joker favorite#joker  #shorts
00:15
Untitled Joker
Рет қаралды 30 МЛН
🔴#LIVE:MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM | 03-10-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 147
Think Fast, Talk Smart: Communication Techniques
58:20
Stanford Graduate School of Business
Рет қаралды 40 МЛН
Swahili Worship Gospel Mix | Best Nonstop Swahili Worship songs Video Mix 2024
1:02:44
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 262 МЛН