Рет қаралды 25,793
Jambo lolote ili uweze kusogea mbele lazima uwe mwaminifu.Je,unafahamu kuwa hata Mungu hupima kwanza uaminifu wako kabla hajakusogeza katika viwango vingine? Na hata kwa wanadamu pia ni ngumu kukusaidia kama huna uaminifu.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
#SunbellaKyando#Uaminifu#SundayService