Viongozi wetu wa dini zote, Tunawashukuru kwa kuendelea kuonesha mshikamano kwenye suala hili. Hakika Mungu awape nguvu zaidi katika kazi hii ya kutetea na kuungana na wananchi katika sintofahamu hii
@josephinewangwe1154 Жыл бұрын
AMENA
@josephkmarwa7425 Жыл бұрын
Wachungaji tusaidiani nchi ni watanzania wabunge wanawakilisha ccm tuwakilishwe kutetea wanainchi na mali ya watanzania😭😭😭😭😭😭🤔🤔
@MariamWilliam-z3v Жыл бұрын
Mungu awabariki viongoz wote keshen mkiomba dunia tunaisha watanzaania tunauzwa
@maribaisack2097 Жыл бұрын
Tunawategemea sana viongozi wetu wa dini.....simamieni haki kwa sababu ninyi na viongozi wa serikali wote mnatutegemea sisi kama rasilimali watu...
@chamzurykashamba1134 Жыл бұрын
Viongozi wetu wako timamu san
@brunotarimo7691 Жыл бұрын
Hongereni sana Viongozi wa dini... Mungu Awabariki kwa kusimamia haki ya Watanzania wote sio. Na mmetoa tahadhari nzuri ya kua wawakilishi wa wananchi, walio wengi sio wazalendo. Kwaiyo Maoni yao hayawezi kubeba uhalisia kile wananch8 wanataka kiwe...
@imma_billy Жыл бұрын
Padre huyu anafaa sana kutuongelea wananchi. Mungu ampe ujasili wa kuendelea kupenda kutenda haki.
@ayubungimba8292 Жыл бұрын
Inapendeza sana kama viongozi wetu wa kiroho inafika wakati wanaingilia kati maswala mazito mazito yenye maslai kwa kwa kwa jamii yanapoonekana kuleta utata pale selikali inapo taka kuyatekeleza bila wananchi kuelimishwa vya kutosha .katiba yetu inaonyesha kuwa wabunge ndo wawakilishi wetu.dhana hii si sahihi sana.kunahaja ya marekebisho ya katiba.
@estherkibajiro3480 Жыл бұрын
Anakufaa wewe fe
@bonifacegasper9508 Жыл бұрын
Umenena vema sana unatusemea wanainchi,wengine wanatetea tu ugali wao tu mbalikiwe wakuu wadini tunawategemeea.❤
@ShadhiliSwalehe-le6dh Жыл бұрын
Daaaa tanzania nchi yangu,asanteni sana kwa hekima ninyi ni zaidi ya viongozi wa serikali
@emmanuelbernard9552 Жыл бұрын
Padri Kitima hakika ww ni Mtumishi wa Mungu.Umenena vyema sana tena sana.Akili yako ni kubwa sana.Mwenyezi Mungu azidi kukulinda.
@dennisdereck7006 Жыл бұрын
Kubwa mnooo aiseeee
@lusungungimbudzi4265 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Rev. Dr. Charles Kitima always huwa hutuangushi endelea kupigania Jiji la Mungu hili kwa manufaa ya Sasa na vizazi vijavyo
@chrithicksambo2287 Жыл бұрын
Akili ya Mkristo mmoja ni waislam 100,000 ahsante Sana 🙏
@gasperdinna1206 Жыл бұрын
Acha lugha za kashfa ndugu!
@chrithicksambo2287 Жыл бұрын
@@gasperdinna1206 huo ndo ukweli ✍️
@charlesmwambinga4355 Жыл бұрын
Now Tanzania we are speaking, Viongozi wa Dini mmeonesha mfano mzuri sana..mmeonesha kwanini tunatakiwa kuwaamini..Safi sana.
@zainabumohamed8541 Жыл бұрын
Usipuuze hili jambo ni kubwa sana juweni ni nyinyi ni watu wa mungu msiende kinyume Cha mungu muwe na msimamo wa kidini sababu serikali hii Kwa awamu hii ya 6 haimjui mungu kabisa Bali wako kimaslahi Yao zaidi kibinafsi hawajui haya ni ya duniani tu lkn Kuna kesho Kwa mungu
@mabugamussa2860 Жыл бұрын
Charles Kitima wewe ni mtu makini sana
@JumanneJohn-ls8jc Жыл бұрын
Baba M/Mungu azidi kukulinda na kukutunza Hakika wewe ni tunu ya Taifa na Kanisa kwa wachache walioamua kuwa sauti yetu sisi tusio na sauti. Naamini wengine wataendelea kukuiga, ahsante sana Baba Kitima
@JosephineElias-xz7ge Жыл бұрын
Watumishi naomba kwa Mungu azidi kuwatetea katika kazi zenu na maisha yenu. Mnamchango mkubwa sana katika Taifa hili. Mbarikiwe.❤
@berthatz Жыл бұрын
Asanteni viongozi wa dini..Ingekuwa vyema muwajulishe hao viongozi kuwa wananchi imani nao imekufa..Wangejiuzulu tu tuchague tunao waamini..😡💔
@tumainihilary6839 Жыл бұрын
😂😂
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Hajiuzulu mtu hapo
@wendomlahagwaolema6063 Жыл бұрын
Hamna haja ya kujiuzulu. Ngoja warekebishe kama kuna uwezekano wa kurekebisha
@deoluma1706 Жыл бұрын
Ahsante sana viongozi wetu wa dini. Huu ni mwanzo na iwe mwendelezo Kwan SS wanch tuna Iman na nyiny kuliko wale wawakilishi wetu na watunga Sheria,huku tukishudia mambo mengi waliopitisha yakiwa yakiiweka nchi katk Hali isiyoridhisha.
@amenmushi5945 Жыл бұрын
Hawa wanasiasa hawajui kama kuna. Kifo ,Wataaviacha hapa duniani
@erestizacharia4758 Жыл бұрын
Watu wa mungu mnastahili kuwa wabunge wetu sio wale wanaolipwa kwa fedha zetu af wanafanya kazi ya kuharakisha kupitisha mikataba ya ovyo bila tahadhari Wala kuwaza future ya vizazi vya tz vijavyo, our almighty God help our country.
@FulbertFisoo Жыл бұрын
Asanteee sanaaa viongozi wa nchi kwa busara zenu ❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰
@albertrugimbana Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kuwainua viongozi wetu wà madhehebu yote uliona hili na kushauri kuhusu mapungufu yaliyopo, na hii inaonesha viongozi wa dining mlivyo na mapenzi na nchi yetu. Mbarikiwe sana.
@sabinaleonce8243 Жыл бұрын
Asanteni viongozi wetu wa kiroho Mungu awabariki Mungu uibariki Tanzania
@JamesNgahy Жыл бұрын
We do appreciate for the initiative of TEC on this disturbing issue. Dr. Slaa too has expounded extensively on the same in his press conference with the journalists! Tanzanian citizens over 50 million have the right to know how such agreement can come about - they consent cannot be disregarded. NO SINGLE Citizen has absolute right to decide for the rest without their consent!!!
@nakanjemfaume3839 Жыл бұрын
It's a mad, and disrespect to our leaders otherwise it's a sign of discrimination
@jumadinya3796 Жыл бұрын
Nakushukuru Sana mchungaji kwa. Maneno mazuri juu ya mkataba huo tusiwe sisi kazi yetu kutuambia tuwapigie kura hata mikataba tunatakiwa tujue wasifanye kama mali zao hii in hi mbona tunaenda wapi kweli unajua kusimamia mali za Uma au ni kusimamia kutuumiza hata. Ajira kwa watanzania haitakuepo tena hapo bandarini mkae mkijua makubwa yanakuja lazima fikiri Sana kama unaona mbali huo mkataba haufai MWL. JK walisema watu wawili wakiwa kwenye in hi yako hiyo inchi itabaki masikini na watu wake watakua masikini sasa yanakuja hata kazi makosa
@mathiasmateru9977 Жыл бұрын
Kwa kweli Fr. Charles Kitima, asante sana kwa Elimu hii nzuri, natamani upite kila Kanisa, kila Eneo utoe elimu hii. Hili jambo ni tunu ya Taifa letu, damu yetu, nguvu zetu zilitumika katika Bandari yetu hii, hivyo niombe elimu zaid itolewe juu ya hili, bado halijaeleweka kwa wananchi walio wengi. Asante.
@milkabelias448 Жыл бұрын
Hao watu walitesa Sana mababu zetu hatuna shida nao
@ombenianton3611 Жыл бұрын
Huyu Padre ni mfafanuzi mzuri sana, ila pia pia anaonekana wazi kuwa ni peoples power, safi sana
@dennisdereck7006 Жыл бұрын
Anajua mno
@brilliantnicholous9154 Жыл бұрын
Bwana mungu atuepushie hila zote na kuilinda TZ ,Bwana mungu atuangazie nuru za uso wk na kutufadhili Bwana mungu atupe AMANI YK WATANZANIA DHIDI YA KILA OVU na baraka hz zikawe juu yt katika umoja wa roho mtakatifu, kwa jina la baba , mwana na roho mtakatikafu. Amina
@Globalpeace123 Жыл бұрын
Tunawashukuru viongozi wetu wa dini Mungu awabariki na kuwapa hekima na busara kila iitwapo leo.
@maclucky4149 Жыл бұрын
Huyu PADRE awekewe ulinzi. Ameongea vitu vikubwa sana ambavyo hawa walamba asali hata hawawezi kuvisema wala kuvifikiria... BRAVO
@dennisdereck7006 Жыл бұрын
Hakiii
@FaustinaWarioba-zq2tx Жыл бұрын
Ameeen! Mtumishi barikiwa sana, Bwana Yesu aingilie kati.
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Asante Baba Askofu kama kweli serikali ya ccm ina watu wenye hekima huu mkataba hautakiwi waufute kwa maslahi ya nchi na vizazi vijavyo wasijiangalie wao wakumbuke wapo hapo kwaajili ya wananchi bila ridhaa ya wananchi wao siyo viongozi wamuogope Mungu sasa hapo ndipo linapokuja suala la mchakato wa katiba mpya ili viongozi wawajibike kwa wananchi Mungu ibariki Tanzania
@rashidimaeda4505 Жыл бұрын
Asante sana Askofu Kitima, huo ndio ukweli halisi.
@renaldasilvery110 Жыл бұрын
Sio Askofi huyo ni padre
@tatoo0098 Жыл бұрын
Tunakushkur sana jaman padri
@yyprint8263 Жыл бұрын
Hamjajua kitu kinachotengenezwa kupitia haya mazungumzo
@hafidhnzota2142 Жыл бұрын
TEC mko vizuri katika kutoa kupaza sauti mnanikumbusha kule kwenye katiba ipendekezwayo mlivyoigomea na kutangaza jumapili kanisani MKAIPINGA NA WAUMINI WENU BRAVO
@malickabrahams7541 Жыл бұрын
I’ve never seen such a brave group of individuals in pursuit of truth.
@abuuabuu4831 Жыл бұрын
Makanisa yanapinga waislamu kuchukua hio Tenda
@victoriarwerengera4831 Жыл бұрын
Abuu..Toa uislamu na ukrito hapa...yanajadiriwa ya maana...kwa mustakbali wa watz wote...
@annakyande5790 Жыл бұрын
@@victoriarwerengera4831 w
@EdwinArobogast-uw7lu Жыл бұрын
Good speech padre Charles ni vema bunge lituwakilishe vema kama watategemea kuchaguliwa kwa haki Asante
@kunyaobelela4062 Жыл бұрын
Wao ndo wapo kwenye position na wao ni wazuri sana wa siasa. Labda viongozi wa dini km mlivyokaa hapo mwe wawakilishi wa wananchi, wabunge waachie madaraka maana ni wao wamesababisha hadi viongozi wa dini muishauri serikali, kwa maana nyingine wao wameshindwa kutetea hizo nafasi zao.Hiyo mikataba iwe inaandikwa kwa kiswahili, baba askofu uko vzr Mungu akulinde.
@Globalpeace123 Жыл бұрын
Tatizo wabunge wanajali tu matumbo yao yaani ni wabunge uchwara
@samwelcharles1349 Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mnatumia nguvu nyingi sana kujieleza, kiufupi hapa tumepigwa, ukiingia katika maswala ya ulinzi bandari nisehem kubwa sana ya adui anaweza kuingiza vitu vya kuhatarisha usalama wa nchi nanakuja kugundua tiyar umeshaisha, mwenye navyo ataongezewa acha wajinufaishe
@happynesstillya881 Жыл бұрын
Pamoja na mjadala kuendelea,ushauri wangu kwa serikali ya muungano wa Tanzania..... MIKATABA YOYOTE ITAKAYOFANYIKA IFANYIKE NDANI YA KIPINDI CHA MUHULA WA UONGOZI HUSIKA USIVUKE HAPO NA KWA MUHULA MWINGINE UHUISHWE KWA UPYA IKIWA UTATAKIWA KUENDELEA.....Na hili lingetungiwa sheria ya kulinda.
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Kila mwenye mdomo aseme lakini mikataba ya kimataifa huwezi kufanya kwa miaka 10 na muda wa Rais Tanzania ni miaka 10. Angalau mkataba huu umeonekana kuna mikataba mingapi ilipitishwa kimya kimya au kwa kuwa Rais Samia au kwa kuwa anatokea Zanzibar? Muungano huu haufiki miaka 10 utavunjika ikiwa anaemdhulumu mwenzake sasa nae analalamika.
@DollelaMtemachechee-he5gw Жыл бұрын
Asanteni sana watumishi waa mungu tutauzwa vita hatujazoea tuteteeni huko jamani kwaa Nini asipeleke bandali Yaa Zanzibar huyu raise nawabungewake hovyo
@suleymanally1465 Жыл бұрын
Hongereeni sana viongozi wetu kwa Hilo nadhani wameelewa.
@gaudinamosnchobe4909 Жыл бұрын
Numekuelewa sana Padre Kitime mungu akulinde sisi kama watanzania tunasema twende taratibu aina aja ya haraka kweny huu mkataba
@nicolauswandao8988 Жыл бұрын
Tunawaamini sana Mapadri wetu na ndio maana Kila sehemu ilipo Roman Catholic ni ngome (Ni lazima pawe na maendeleo), pia kwa nafasi ya pekee tunawashukuru sana viongozi wa dini zote kwa kusimama katika kweli na haki. Mungu awabariki sana kwa kusimamia maslahi ya Taifa. TUMSIFU YESU KRISTO
@ronniebertin3563 Жыл бұрын
Milele amina
@mcdoubleatv306 Жыл бұрын
This priest is very brave
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Amen
@ahz6907 Жыл бұрын
Bcoz our govts made us to be worried too much and we find him very brave..infact its our right to enquire to the govt in such issues....
@esthersiamalya6323 Жыл бұрын
Asantee sanaa Baba. Mungu azidi kukulinda kwa moyo wa utu na uthabiti. Umemaliza kila kitu. Asanteeni sana kwa kutuwakilisha
@gilbertkalanda9354 Жыл бұрын
Am crying for motherland 😢😢😢
@salymusuleymanbloger9962 Жыл бұрын
Hongereni sana viongozi wa dini ila ya kikristo kwa upande wa pili sie waisalamu mungu ndo Shahid kwa tunayoongelea kuhusu ili swala
@anithashembilu7732 Жыл бұрын
Hongereni sana viongozi wetu wa dini zote. Bunge letu ni dhaifu sana.
@milkabelias448 Жыл бұрын
Mmeona hayo Ni macho ya wengi hapo vip
@milkabelias448 Жыл бұрын
Haya wengine roho zao zawasuta Ila tamaa tu
@josephmoyo5617 Жыл бұрын
Asante TEC, pia Asante sana Baba Padre Kitima kwa Speech Bora.
@idrissaallybakule2484 Жыл бұрын
Huyu mchungaji Nimekuelewa sana upo vizur sana
@josephinegravasiano8860 Жыл бұрын
Mungu awatunze Sana viongozi wetu wa dini kupitia kwenu tuna imani mambo yatakuwa sawa, Asante Fr Kitima.
@mfwimiekayuki8692 Жыл бұрын
Bravo viongozi wa dini kwa juhudi mlizofanya.
@paulpastory8267 Жыл бұрын
Hakika Mungu awabariki viongozi wote wa dini
@mangulimanguli3974 Жыл бұрын
Baba Askofu uko vizuri, Viongozi wa dini mko vizuri, aiwezekani Nnchi inaongozwa na wahuni wachache wanafanya mambo kwa maslai yao, co ya Taifa, ao wabunge wengi wameiba kura enzi ya Magu akuna mwananchi alio wachagua
@benjaminjoseph1747 Жыл бұрын
Viongozi wetu wa dini asanten saana kwa hatua mlochukua. Tuko nyuma yetu tukiomba jambo hili liweze kupata utatuzi mzuri na kuiacha nchi yetu ktk amani na utulivu. Tunaomba mshauri pia serikali wahusishe wanasheria. May the God continue to inspire you all and show the way to lead his people in the right direction 🙏
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
Masha allah viongoz wadin tunawashukr pia kufatilia kinachoendelwa tunashukr sana hongeren sana
@mussakulanga9513 Жыл бұрын
tunataka sisi kama wananchi tumeamua bunge letu liwe viongozi wetu wa dini.maana hawa ndio wameielekeza vzr serikali
@annambossa9202 Жыл бұрын
Safi sana inatia moyo sana ,hongereni sana kwa hatua hii
@israelherman4984 Жыл бұрын
Watumishi wa Mungu mbarikiwe sana ni kweli walioingia bungeni bila kupingwa ni hatari kwa taifa letu maana hawawezi kuwa na uchungu maana hakuna anayemwakikisha
@onesmomlinga2739 Жыл бұрын
Wewe padre kitima upo perfect sana haumung'unyi maneno
@maidafrancis45 Жыл бұрын
Tusiridhike tujitahidi kuomba hekima ya Mungu katika nchi yetu maana mikataba ya uwekezaji Tanzania imezidi nachelea siku nchi ikabinafsishwa kwann tunashindwa tz kwann tunawekeza sana Mali zetu😭😭😭
@nailaty Жыл бұрын
R.I.P magufuli hapo hakuna haki wala amani kwa watanzania 😭😭😭😭
@orgenesslema8768 Жыл бұрын
Hivi mwenye chakula na mpishi nani mwenye amri au mamlaka ni yupi? Bandari yetu ije Kampuni iwe ndo say! Mbona tunauzwa tukiangalia! Viongozi wa dini hongereni sana ila msipakwe mafuta kwa mgongo wa chupa jamani
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Nchi yetu ime laaniwa kwa kweli😢
@EliasYohana-d6k Жыл бұрын
Asanteh sana fr watanzania tuliowengi hatuna tunachojua tunashukuru umetufungua masikio weli wamasai wale jmn mungu tusaidie
@francofrederick972 Жыл бұрын
Mungu awabarikieni Sana, Hekima zenu pia ni rasilimali MUHIMU kwa nchi hii, Mungu awatumie zaidi
@YohanaWanday-ye2mo Жыл бұрын
Ahsante padri wetu kwa kusema hivyo kwani uliteuliwa na mungu kuwakilisha jamii ya binadamu
@mountoftransfigurationchur2879 Жыл бұрын
Huyu Padre Tumsifu Yesu kristo.
@peterdaimon-ug6fd Жыл бұрын
Yaani Tanzania tuwe watumwa Tena Mambo gani haya Kama sisi tumeshindwa kusimamia Mali vizazi vijavyo wataweza
@incredibleafricaadventures Жыл бұрын
Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu,,,kiongozi yeyote anaepuuza hili ataumiza taifa zima. Asante saana viongozi wa Dini kwa kusimamia sauti za watu,,,Wabunge hawa wanaowakilisha chama flani wameshindwa kuwa sauti zetu hasa kiongozi wao yule wa mchongo.
@seraphinengowi3187 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana viongozi wetu wa dini kwa kutusemea wananchi
@paulshija7632 Жыл бұрын
Safari hii viongozi wa Dini mmetutendea haki, Wabunge wameshindwa kabisa kusimamia maslahi ya Umma, Hongereni sana
@josephngweta7033 Жыл бұрын
Powerful speech ✊🏿
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Dr.Kitima sisi wananchi tunawashukuru, Mungu azidi kutukuzwa kwa jinsi mlivyo simama zamu yenu kututetea Mungu awabariki. Hawa wabunge wanajijua kwamba kiwatokacho ndicho kilichomo mioyoni mwao lakini wajue wakifurahi wakati wengine wanalia, ipo siku nao watalia kuliko kawaida,na viongozi wa serikali wasimamie kweli na haki kama walivyoapa. Mungu ibariki Tanzania.
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Lipokuja swala la nchi uwa tunaweka mbali mambo ya udhehebu wala udini tunasimama kama nchi kama watanzania one love Tanzania
@jonasmpita2206 Жыл бұрын
Tunawashukuru sana viongozi wetu wa kiroho, bila shaka mapungufu mliyoyaona hata wawakilishi wetu bungeni watakuwa wameyaona na Serikali itayafanyia kazi mapema
@ramadhanimmana3829 Жыл бұрын
Hii nchi sauti yetu naona imekua ni viongoz wa dini sio bunge tena 😢😢😢😢😢😢😢 daaah my country 😢😢😢😢😢
@saidipara4134 Жыл бұрын
Bora kk maana hao wa Bunge wameoneka wezi wa wazi wazi.
@salma0000 Жыл бұрын
Ndio watawala hao
@RedBelt-m2k Жыл бұрын
Dah
@dicksonwanyama1689 Жыл бұрын
Daaaaaah aibu kwa bunge letu
@StephenLetta Жыл бұрын
Umejieleza vizuri sana. Haya ndiyo tumekuwa tukiyatarajia kutoka kwa viongozi wa dini kwa muda mrefu. Msogope kusema mnapoona mambo hayaendi vizuri
@andersonchongoma1723 Жыл бұрын
TEC nawaamini sana ..... Hawa ndio waliomlea DR Slaa ....
@amanmalima940 Жыл бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-19).
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu ni mwema mmefanya kazi nzuri sana. Angalau mmekuwa faraja kwetu.Maana niliwasikia baadhi ya Wabunge na hata Spika mwenyewe akishambulia sana mjadala wa Mkataba huu katika mitandao ya kijamii.Tulionekana kana kwamba wananchi tunaosikiliza mitandao na kuandika maoni yetu kama wenda wazimu vile.Wabunge wetu walijiona wao ndio wenye SAY ya mwisho kuhusu haki za milki za nchi yetu na uhai wetu. tulishambuliwa sana. Nyinyi mmekuwa wawakilishi wema wa maswali yetu Serikalini dhidi ya Mkataba huu.Mwenyezi Mungu aliyewapa ufahamu wa kuunda chombo chenu hiki apewe sifa Milele na Milele Amin.
@masoudmasoud8138 Жыл бұрын
Hahahhaa ajiuzulu siooo? UTAJIUZULU WEWE
@samsonhamery3809 Жыл бұрын
@@masoudmasoud8138 Nani kasema ajiuzuru?Jitahidi kusoma na kuelewa ujumbe
Mwenyezi Mungu awabariki nakuwapa ujasiri katika kulitetea taifa na watuwake
@maidafrancis45 Жыл бұрын
Huu mkataba una walakini Jamani taratibu Samia atatukimbia kwenda kwao zbar wakati watz na wazbr wametengana na pale wazungu wanatuharasi yaan binafsi na elimu yangu siufurahii huu mkataba yaan tutalia mweee😭😭
@muddyso1953 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atusimamie Daima na Atusimamie Daima
@shadrackmasokola3810 Жыл бұрын
Well said ,,,,,for our land we are strong and together
@monicamwita7865 Жыл бұрын
Asante sana kiongozi dini kuwakilisha vizuri. Wabunge wengi waliingia bungeni waliingia bungeni pasipo kuchaguliwa, ndiyo maana hawana uchungu na maslahi ya wananchi kwani Wana uhakika na goli la mkono,watapita kwa kishindo
@jebellwallace3509 Жыл бұрын
Amezungumza vizuri sana na kutufunua kama Mali zetu zinapangishwa bila ya kujua
@marianmartin7483 Жыл бұрын
Asanteni sana viongozi wa dini, ufuatiliaji huo umetuma mwanga sana. Hongereni kwa hilo.
@anicethfuatanyuma3288 Жыл бұрын
Mungu inusuru TANZANIA!!!
@patrinraura1397 Жыл бұрын
ASANTE Sana Mheshimiwa Padri Umeletwa na Mungu Yote unayofanya umegusa sauti ya Wananchi ambao ndiyo wamiliki wa Raslimali zote katika nchi
@IMANIMWAITEGE-ve8gr Жыл бұрын
TumepigwA Sana yatosha watoto.wenu wanazunguka na vyeti vyao.
@bigbrightentertainment9498 Жыл бұрын
Hatimae Tumaini kuu laonekana hapa.. NAMSHUKULU MUNGU
@stewartdyamvunye-wz6rn Жыл бұрын
Padri Kitima na viongozi wenzako wa dini mmejitahidi. Masuala ya mikataba ni masuala ya kisheria. Sheria, siku zote ni ngumu kuzitafsiri si kwenu tu ila wananchi sote. Ni muhimu pamoja na juhudi hii mliyo onyesha, mpendekeze jopo la wanasheria wakereketwa waweze kutusaidia jambo hili. Tukisema tumeelimishwa na serikali na tumeelewa, ni bado. Ni lazima wanasheria wachimbe neno hadi neno ndo wajiridhishe na wao watuelimishe, tukiridhika ndo masahihisho yafanyike. Pili kuna sehemu baadhi ya wabunge walitetea kwa nguvu sana msimamo wa wananchi, ilitakiwa tamko la kuwapongeza. Na wale wabunge waliotamka kuwa wananchi wameshaelelewa na hawana hofu tena na mkataba, mlipaswa mtoe tamko la kulaani viongozi wa aina hiyo. Kwa yote mmejitahidi, ni mwamzo mzuri.
@masanjanyanda9775 Жыл бұрын
Father kitime yy mwenyewe ni mtaalamu na amebobea ktk sheria au haujui bro ndio maana anaongea kwa kujiamini toka alipotoa utangulizi asubuhi na ndie aliweka amaangalizo yote
@gloryenock9473 Жыл бұрын
Viongozi wadini pia sheria wanajua vizuri sana
@augustinejohnnyakatoma8591 Жыл бұрын
Amesema watatumia wataalamu wao. Hapo ana maana ndefu
@muddyso1953 Жыл бұрын
Hakika Mwenyezi Mungu atuinue Daima watanzania wakati ni sasa tusihofu na huu ni wakati wetu tusimame pamoja Katika Mungu kwa hakika tutasimama Daima kwa uwezo wa Mungu na kusimamisha ufalme wake kutoka hapa Tanzania na afrika na Dunia Mwenyezi Mungu atuokoe na kutulinda na kutusimamia Daima saa ya ukombozi ni sasa
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Yes muddy nchi kwanza patriotism first kwa kweli.Mimi nchi za kiarabu I trust them with a pinch of salt kbsaaa.Halafu Deputy CEO mhindi yaani ni suala la kuliangalia kwa umakini mkubwa.Nchi zao wenyewe controversies kila kukicha.Mimi uwasilishwaji wa Prof mbarawa nimependa napendekeza wapewe probation period pia ili tuone ufanisi wao clear wakiwa vizuri waendelee na execution.Kbsaa Bishop kitima National security priority number one.Nyerere left us a better country we should protect it at any cost.Tuwe na good partnership.Bishop may God guide you your argument is clear.
@josephmoyo5617 Жыл бұрын
Amina, Asanteni sana viongozi wa Dini kwa kufuatilia jambo hili.
@Globalpeace123 Жыл бұрын
Napendekeza Tulia na bunge lake wajiuzuru kabisa kwani wameonyesha kabisa hawaitakii mema nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿. Wameshakula kiasi cha kutosha na matumbo yao kamwe hayatashiba kwa ajili ya ulafi wao Wabunge wa Tanzania shame on them.
@lusajomwaipopo5042 Жыл бұрын
Kabisa yaani
@josephpetro2968 Жыл бұрын
Hata hao wabunge wanaotuwakilisha huwa hawatushilikishi wanatumia mawazo yao huwa hawarudi kutuuliza ina maana tukimchagua mbunge awe anaenda kuamua vyovyote anavyoona hiyo siyo sawasawa wawe wanarudi jimboni na kuchukua mawazo yetu wakatuwakilishe hayo wanayopitisha niyao kwa tamaa zao.
@mariej6962 Жыл бұрын
Hawafai duniani wala mbinguni
@sabraham5308 Жыл бұрын
Tanzania ni nchi inayoongozwa na kanisa,maamuzi makubwa yote ya nchi hii yanaongozwa wakristo,Mikoa ya pwani inakandamizwa katika maendeleo,viongozi wa makanisa isiwe ndio muongozo wa wananchi wote,Magufuli alipopoteza mabilioni kujenga uwanja chato bila ya idhini ya bunge,hatukuona kanisa ikikemea hilo,kwa nini?,wakristo hawapendelei mikoa ya pwani kidini,ikija katika principally likuhusu Uislamu linaekewa ngumu,Bagamoyo ni lazima gati ijengwe,kampuni za wazungu zipo mpaka leo,zinachimba migodi,na kubabaisha,waislamu wataendelea milele nchi,mkoloni mzungu wadachi na waingereza walitawala kwa mateso,wamisionari walichangia kwa kiasi wao wakiwa wakoloni wakubwa ,waliopita mateso makubwa kwa watanzania wa wakati huo,lakini hilo limefunikwa,kwa kuwa linahusika na kanisa na ukristo,ifike iwe kikomo ya haya,kuna kila aina ishara zinaOonyesha suala limeingizwa kidini.
@stephenndagalla8183 Жыл бұрын
@@sabraham5308 POLE SAANA.
@gwantwajoseph5564 Жыл бұрын
Asante Mungu kupitia watu wako hawa naomba uwabariki pia uwalinde
@onesmolwambano9349 Жыл бұрын
Ntasimama na kanisa takatifu katoliki Daima
@gracemsalila7735 Жыл бұрын
Haàaàhaaaaaa
@dicksonwanyama1689 Жыл бұрын
😢😢🙏
@bettermkyando372 Жыл бұрын
Mungu awabariki viyongozi wadini tuko nyuma yenu mungu atawaripa
@fredrickjoseph6545 Жыл бұрын
Viongozi wa dini, hakika mmesimama katika ukweli. Mungu awabariki.🙏🙏🙏
@tumainindunda1033 Жыл бұрын
Hongera sana kiongozi
@isamony58 Жыл бұрын
HATUTAKII HUUU MKATABAA WATANZANIYA TUMEONEWA SANA MAMA SAMIYA MDA MFUPI UTATUKIMBIYA WW TUWACHIY UMASIKINI WETUU
@ngalukomcharo9841 Жыл бұрын
Hongereni sana watumishi wa Mungu kwa hatua hiyo kwa kujali maslahi ya Watanzania.
@getitdoneright1938 Жыл бұрын
Mungu hakuumba nchi yetu ya Tanzania kwaajili ya waarabu
@mobilespecialschool4216 Жыл бұрын
Mdini wewe
@ikrahamadi8880 Жыл бұрын
Wachungaji mkosahihi mungu awabariki sana wajungaji wote kwakuguzwa nahilijambo
@hamidabarraball3162 Жыл бұрын
Wabunge wanachojali ni maslahi yao tu Hawajali wanaichi Wanasemaje asanteni sana viongozi wa dini kwa kutetea nchi yetu
@FrancesJohn-q1s Жыл бұрын
Tunawashukuru cn viongoz wadin Kwan mungu yupo
@simonmchali662 Жыл бұрын
Tukienda hivi naamini wanasiasa wataanza kuwaheshim wananchi, viongozi wa dini mmechelewa sana hiki kitu, wananchi wamekuwa wakiwa miaka mingi sana
@silaskojwando2450 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,uwazi wako una mwanga mkuu
@godlovengonde6636 Жыл бұрын
Hakika nina imani na viongozi wa Dini kuliko wabunge wetu. Nakumbuka vzr uchaguzi wa mwaka 2020, daaah.........!!