Wimbo huu huwa unanibariki sana Mungu awabariki sana.
@ansamwibey87745 жыл бұрын
Wimbo wa uhamsho miaka 1970. Kila niusikiapo una ni kukumbushaka wapendwa wote walio kwisha kututangulia.akiwemo mzee MWAMBANO baba yangu alikua anaupenda sana wimbo huo. Jina la Bwana libarikiwe sana.
@angeliquetengeneza36794 жыл бұрын
Naomba ndugu zangu katika kristo munisaidie number ya wimbo huu katika litany cha u’hangya ( wokovu)naupenda sana
@utamulizajocelyne32673 жыл бұрын
Vraiment hii wimbo ina nikumbusha wa zehe wakwetu bubembe wakati wazamani na ile wakati Mungu alikuwa anasema na wabembe
@mfaumekitumaini21227 жыл бұрын
nice song
@AndréKitungago9 ай бұрын
Mungu akubari mchungaji nakumbuka kwetu wakati wazamani wamamazetu waliimba wimbo wakati yamikuta hapo zamani ubembe kulikuwa uhamsho wakati wamariamuw walutabula
@youboystt85116 жыл бұрын
Bwana awabariki sana wapendwa.
@elizalililove9193 Жыл бұрын
Ameeen 🙏🙏
@PabloKhan-vl3eu10 ай бұрын
Wimbo huu nahutaka sana naheza upata je ?
@japhetkakozi8505 жыл бұрын
Ubarikiwe sana muchungaji kwa wimbo, uwa una nibariki sana