Рет қаралды 4,481,073
Angalia webisode za msimu wa pili wa Ubongo Kids hapa hapa!
Ubongo Kids Webisode 37 - "Miraba Mingapi" - the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1!
Jifunza hisabati ya kujumlisha kwa kubeba kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa's clever new cartoon!
Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: www.ubongokids.com
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.
ubongokids.com
/ ubongokids
/ ubongokids
/ ubongotz
An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.