UCHAMBUZI AMBOKILE; YANGA WAKIFUNGWA NA TP MAZEMBE WAMETOKA | SIMBA NJIA NYEUPE ROBO FAINAL

  Рет қаралды 9,833

SANGA TV

SANGA TV

Күн бұрын

Пікірлер
@Esther-v9s8n
@Esther-v9s8n Күн бұрын
Eehee mwenyezi mungu leo timu itakayo tumia UCHAWI MUNGU ulieziumba mbingu na nchi na unakataza UCHAWI basi atakae tegemea UCHAWI leo afungwe goli nyingi na asfuzu kabisa amen
@BerahinoAlimasi
@BerahinoAlimasi Күн бұрын
Leo wanagawana point
@BaruaniJeanpierre-fn9hk
@BaruaniJeanpierre-fn9hk Күн бұрын
Mungu saidia yanga hingawe utamu kwa mazembe
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Күн бұрын
Atacheza lakini kama kawaida ni kwa shindano Tuu
@MalikiKaluma
@MalikiKaluma 2 күн бұрын
Waache wagawe utamu vyura haooo😅😅😅😅😅😅
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood Күн бұрын
Kbs blood 😂😂😂😂
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm Күн бұрын
Kuma tu wewe 😂😂😂😂 Maliki kaluma this is Young Africans! 🎉🎉🎉🎉🎉
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood Күн бұрын
@@MalikiKaluma imemuuma jamaa mpk anatukana 😂😂😂😂
@amosdaudi9793
@amosdaudi9793 Күн бұрын
Mara ya elf 2 kwa lisaa naiombea Yanga ifungwe goli 2 kama ccm na chadema nilidhike nianze mwaka kwa raha😂
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Күн бұрын
Kwani yanga iliyo Fungwa na Hall hilali SI ya Gamondi huyo huyo Kwa sababu yeye mwenyewe ndiye aliyeiporomosha yanga na kusababisha Ramovik akabiziwe timu unasemaje ilikuwa yanga Ramoviki ikiwa yeye apewe malawama
@Esther-v9s8n
@Esther-v9s8n Күн бұрын
YANGA WAKUMBUKE IBENGE NI MKONGO KAMA CONGO ILIKUA NA UHAKIKA WAMESHA FUZU LAKINI WAKATUBANIA TANZANIA..KIKUBWA YANGA WAPAMBANE TU
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Күн бұрын
Usimanie hapo hapo Kwa huyo nabii wako mpanzu
@SeifRajab
@SeifRajab Күн бұрын
Wachambuz hebu mmuige salee jembe
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n Күн бұрын
Co mzee wa data
@BerahinoAlimasi
@BerahinoAlimasi Күн бұрын
Hesabu zilivyo yanga hawezi kupita makundi huyu ndo mwisho wao wajipange mwakani
@GodlistenSamwel-r8p
@GodlistenSamwel-r8p Күн бұрын
sawa caf
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 Күн бұрын
Embu tueleze yanga Kwa Sasa tushajaza uwanja mara ngapi na mbona Sasa mashabiki WA simba awajazi viwanja alafu amuongei? Yanga pamoja na kufungwa ila Bado mashabiki walisafiri na timu kwenda Kongo pia ata tuliifata Namungo mbona hayo nayo uongei unaikandia tu yanga mashabiki wanafki mashabiki wanafki shida Nini chuma Cha mjerumani mbona kama Kuna kibunda mbele yako kimepita
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Күн бұрын
vyura nyie ni wavivi kujaza uwanja sindano Fc
Beyond Tech Podcast Episode 5 With Mohamed Elsherif
2:15:59
Framework Labs | Wesam Abousaid
Рет қаралды 1,1 М.
GB 64 KWA HASIRA AMVAA MCHOME, ANASEMA SINA AKILI?
20:24
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 108 М.
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
SHETANI LA YANGA: NIKATWE KICHWA KIWEKWE KWENYE FRIJI
2:07
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН