#UCHAMBUZI

  Рет қаралды 16,582

MKENTU TV.

MKENTU TV.

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@FrankShaMazala-kt6gm
@FrankShaMazala-kt6gm Сағат бұрын
Big up Sana Simba. Mko vizuri. Ni bahati tu mlikosa.
@essammanyologa3934
@essammanyologa3934 55 минут бұрын
Bado usiwape moyo
@nyambuisuleimanmujaya1983
@nyambuisuleimanmujaya1983 2 сағат бұрын
Simba plays with Yanga with scared attitude
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 Сағат бұрын
Forward line ni mbovu kocha amefeli hapo. Simba hatutengenezi nafasi za kufunga.
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 11 сағат бұрын
Of course yanga yanga yanga team should be respected.
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 10 сағат бұрын
@@SalvatoryMtunga politically motivated not clean football team.. That's why not even in top 10 African club ranking... Mipangoo mingiii na majigambo kwa matokeo ya mchongo
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Сағат бұрын
​@@rexgodwill7353you are ahead with a difference of 1.5points with young Africans we are not worrying about your top ten the ready to your team to drop.😂😂😂
@fabianmihafu697
@fabianmihafu697 2 сағат бұрын
Eti hata shule hazifungwi kila siku
@fulltank6693
@fulltank6693 10 сағат бұрын
Kwa mpila mnaocheza ni LIGI yanga wanacheza kimataifa...Simba wanataka kuishi na lefa muda WOTE wanajibwaga utafikiri wamevunjika wakimuona lefa alekei wanavyotaka wao..wananuna usirazimishe kitu uonekane we star..yanga kipindi cha Kwanza wamepigwa sana viatu lefa kabalance mpila angewapa kadi mngelalamika
@BarakaRobert-j7g
@BarakaRobert-j7g 5 сағат бұрын
Bro nmepitia comment yako nmeona kuna kitu hata wwe umekiona ...mm binafsi kuhusu goal la kibu ile ilikua clear offside kwan kibu alitoka kabla ya hata mpira wenyewe haujapigwa Kibu vs boka nmerejea lile tukio kwa slow motion na nmegundua kibu alijiangusha Kibu vs Job madhambi yalifanyika nje ya 18 ila kibu alijitupa kuingia kwenye penalty box
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 11 сағат бұрын
Wapuuzi tu.
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 Сағат бұрын
Simba tutafute sababu za uwanjani kocha hanauwezo kutengeneza forward simba haitengenezi clear chance za kufunga.
@AljuhaniAllyy-dg4ld
@AljuhaniAllyy-dg4ld 8 сағат бұрын
Mashabiki wa simba tusiende uwanjani sasa waende wenyewe na marefa wao km inawezekana simba ijiuzuru kucheza ligi ya bongo ibaki timu wanayoitaka marefa wao
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 4 сағат бұрын
Eti Mnasusa Susaaa Susaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aliewaambia Yanga Ni Kikundi Cha Kuwachekesha Ni Nani?😢😅😅😅
@denishaule6314
@denishaule6314 Минут бұрын
Sisi yanga kwa kweli hatuwataki kwe ligi yetu muondoke tu…..kila siku tunawafunga tu…mnakera bana….mnajiuzulu lini sasa…tuwape point zenu msepe
@idylipika390
@idylipika390 11 сағат бұрын
Kolo tim mbovu
@georgegregory8414
@georgegregory8414 12 сағат бұрын
Kuweni kama wachamuzi au mrudi darasani
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 11 сағат бұрын
Wanadhoofisha mpira kwa lipi? Mmefungwaaaaaa
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 11 сағат бұрын
HAKUNA MWENYEKITI HAPO NI MZEE JINGA TU
@IndalesioHenery
@IndalesioHenery 4 сағат бұрын
Wekeni video tuwaone mnavyozungumuza sio aduo mnafeli wapi
@valentinemtei3588
@valentinemtei3588 11 сағат бұрын
Hakuna penalt,
@fargakoigip6029
@fargakoigip6029 4 сағат бұрын
Kuna tabia washabiki wa simba wamezoezwa maamuzi yasio ya kisheria mfano waandishi walipo toa maelezo ya kuhalalisha penalti ya simba dhidi ya Dodoma.....wachambuzi wanaharibu sana tafsiri za kimaamuzi ya mpira ya miguu ..... Sio rahisi tena kwa hata hao wachambuzi kutoa maoni yao kwasababu wameisha kengeuka kenye kanuni za mchezo
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 12 сағат бұрын
Pennati alizonyimwa simba za wazi nyinyi mnaona hazina maana... Hivi mnavyosifia ujinga hamuoni mnadhoofisha mpira wa Tanzania?
@francismbuji5584
@francismbuji5584 9 сағат бұрын
À
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 12 сағат бұрын
Mabeki wa yanga wanarukia wachezaji hovyo kwenye maeneo ya hatari hiyo hamuoni ni hatari na siyo mchezo mzuri kwa timu bora na maamuzi mabovu ya refa hiyo yote hamuoni what you know is yanga yanga yanga 🚮🚮🚮
@willsoniissaya
@willsoniissaya 11 сағат бұрын
Bod to bod iyo broo
@gilbertnday7449
@gilbertnday7449 10 сағат бұрын
Wanachambua kuendana na matokeo, always huwa ni vigeugeu sna
@MauBonde
@MauBonde 8 сағат бұрын
Nyinyi mnaijua total game uwanjani kama refa na wasaidizi hawako Sawa.
@errydeo8865
@errydeo8865 4 сағат бұрын
Yanga wanacheza kadri unavyokuja! Ukija PHYSICAL,utaumia ,wako fit balaa! Ukija na speed,watakuacha urukeruke kama maharage,then watakupeleka,again, fitness na stamina! Ukija kwenye pira la pass, hapo ndo kabsaa! So usifikirie kila game watacheza kama leo! Every game has a different approach na game plan! Jifunze mpira!
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 3 сағат бұрын
​@@errydeo8865Kwani wanajua basi😂😂😂
Alan Stubbs On His Football Career And Battling Cancer | Inside The Game Ep 11
2:37:57
More Than A Game ⚽️
Рет қаралды 163 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,7 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 31 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
GB 64 AMFOKEA KAYOKO KWA HASIRA, TUMEFUNGWA KWASABABU YAKE
12:26
Ngwale Sports HD
Рет қаралды 4,8 М.
BBC Presenter WRECKS Israel’s Spokesman, Video Goes Viral in Britain!
20:56
OpenmindedThinker Show
Рет қаралды 839 М.
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,7 МЛН