#UCHAMBUZI

  Рет қаралды 18,733

MKENTU TV.

MKENTU TV.

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@UmmukulthumAbdalla
@UmmukulthumAbdalla 12 сағат бұрын
Kayok hafai kuchezesh mech za dabi anatunyima usingiz mbwa mkubw wee kayok wanasimb tun kwambia laan itkupt wey hap hp dunian km ulihongw uko ss subir kitachofta❤❤❤❤❤❤
@msabahakashindi6539
@msabahakashindi6539 6 сағат бұрын
Mechi ya ngao ya Jamii simba kabebwa tumekaa kimya lakin sasa hatar jamani
@DomnHppy
@DomnHppy 4 сағат бұрын
Hachezesheeeeee ngazii ya wilayaaaa huyoooo nyokoo kayokoooooooo
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h Сағат бұрын
Upat usingiz kwa shida zako, kwan kayoko ndokabeba kitanda chako, laana haiwez kumpata ww sio mungu wa mzazi wake
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 16 сағат бұрын
Kwakeli kayoko aliharibu daby kabsaa anafaa afungiwe
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 7 сағат бұрын
Shafii mara zote ni Yanga na hajifichi
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 7 сағат бұрын
Huwezi kumlaumu moja kwa moja. Basi ngoja tumlaumu mbili kwa mbili
@ramadhanichubi9139
@ramadhanichubi9139 18 сағат бұрын
Kayoko hakufanya kwa sababu hakuna,kufanya ili apate sifa za kuiona yanga ni Bora Sana haiwezi kufungwa na timu yoyote.Ndiyo maana tuna taka hatua zichukuliwe ili wajifunze na haki itendeke.
@PetroFaida-g6k
@PetroFaida-g6k 7 сағат бұрын
Hapa hata wachambuz hatuna kabsa sjui wanapewaj kaz za kuchambua mpr
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h Сағат бұрын
Shida ya simba ni kuona imesajil wachezaj wazur na bado wanafungwa, ila hawajuw kuwa yanga wapo bola kuliko wao
@jamesjacobo9383
@jamesjacobo9383 16 сағат бұрын
Shafiii unaakir sana maana ata mm hayo ndo yalikua mawazo yangu iwekwe tv haki zipatikane
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 5 сағат бұрын
Mchambuzi ambaye anaongea ukweli kwasababu sio njaa kali ni mayayi tembele tu.sio nyinyi njaa kali . wachambuzi wanafata upepo wa GSM
@NicholasNgendwa
@NicholasNgendwa 12 сағат бұрын
You are very mindful person wazo zuri sanaaaaaa🎉🎉🎉 at least hat kuwe n video or tv room za kumsaidia refer
@saidothman4527
@saidothman4527 16 сағат бұрын
Var hazitofanya kaz had yanga achukue ubingwa mara nne mfululuzo maana iwe kama amewalipa simba..
@MohdFundi-i9b
@MohdFundi-i9b 5 сағат бұрын
Ww shafi muongo kayoko matokeo yote aliyaona
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 17 сағат бұрын
Hiyo straight red card ya hamza ingefuatia baada ya boka kupata second yellow na kuwa red card mwanzo
@NassibAbdalla
@NassibAbdalla 13 сағат бұрын
Kayoko na wasaidizi wake waliona lakini tayari wlikuwa na matokeo wamepewa na wakubwa pamoja na roho mabaya kwa simba
@dottojoseph8562
@dottojoseph8562 6 сағат бұрын
Yanga ni timu ya vigogo wengi selikalini ndo mana marefa wanakuwa na presha na yanga
@BeniLaizar
@BeniLaizar 17 сағат бұрын
Xawa je matukio yote ayaoni jamani taifa ifikie xehemu xaxa ixeme bac kwakweli hatakama atujui mpira ila tunaona jamani
@MusaMagida
@MusaMagida 14 сағат бұрын
Hivi kumbe shafii huwa unongea pumba hivo
@suwedwakil4392
@suwedwakil4392 15 сағат бұрын
Kutokutoa straight red card kwa hamza alitaka kuiridhisha simba baada ya kuidhulumu penalt 3 na goli 1 halali
@khalifakatobo4184
@khalifakatobo4184 3 минут бұрын
Mwil wa Kibu aujabalance
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 8 сағат бұрын
Tunaangalia afcon. Refa hawana VAR ila hawafanyi makosa ya kipumbavu vile
@NassibAbdalla
@NassibAbdalla 13 сағат бұрын
Lakini mkataka mistake kina karia mujue kuwa Simba ndio mkombozi wa ligi ya Tanzania na mutaona hukumu kutoka kwa mungu
@bahatimshali2731
@bahatimshali2731 7 сағат бұрын
Simba ilifungwa 5-1 hakuna aliyemlaumu Arajiga. Yanga walipewa pia penalt.
@saimonntani6831
@saimonntani6831 7 сағат бұрын
Kwenye mpira mwamuzi hatakiwi kufanya kosa zaidi ya mara2 ile ilikuwa mipango imesha fanyika ili yanga iwe bingwa tena.sababu tff walishapewa pesa ya udhamini wa gsm uleee ulio kataliwa na Babra gonzalez zilepesa zilichukuliwa na viongozi wa tff hazikurudishwa.Makusuudi yazilepesa ndizo zinawatesa Simba.
@piussimtala5111
@piussimtala5111 11 сағат бұрын
Malalamiko FC,sajirini timu,acheni kulalamika
@ThadeyMawope
@ThadeyMawope 10 сағат бұрын
Wewe ni msenge tu
@FaustineTango
@FaustineTango 5 сағат бұрын
Kwani waliokwepo siyo wachezaji au ni wanakwaya
@RebeccaAndrew-dd4kj
@RebeccaAndrew-dd4kj 35 минут бұрын
Kwahiyo wanajidondosha dondosha hili wapate penati kweli Simba hakuna timu 😅
@omarykabebwaveve7023
@omarykabebwaveve7023 2 сағат бұрын
Wachambuzi wenu ni waongo awataki kusema ukweli fungini tu redio zenu kwa uongo
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 5 сағат бұрын
UPO SAHIHI SANA NAMUNGO WALINYIMWA PENATI MI NILIONA HUYO REFA ALIKUWA ANAKIMBIA TUU UWANJANI BILA KUANGALIA KINACHOTOKEA UWANJANI. NDY MAREFA WA NCHI YETU. MAREFA NI WA OVYO SANA
@NassibAbdalla
@NassibAbdalla 13 сағат бұрын
Shafii pamoja na uyanga wako lakini sema ukweli mpira sote tumeona dhulma kubwa ilipita kwa simba lakini atakulipeni kwa Kila mwenye kuunga mkono dhulma hii
@ajiaally3269
@ajiaally3269 9 сағат бұрын
Mbna mnalalamiki kwa upande wenu vipi kuhusu kwetu
@marystambuli8045
@marystambuli8045 7 сағат бұрын
Hawa makolo Wamesahau jinsi Yanga ilivyodhulumiwa kwenye Ile dabi iliyofanyika kule Tanga. Yanga walinyimwa magoli mawili. Wala haikutakiwa kuwa draw Hilo hawalizungumzii
@reubensimon7015
@reubensimon7015 13 сағат бұрын
Kwann waamuz wasiwe wanafungiwa..ili iwe funzo hata kwa wengine? Haya mambo yatakua hivi mpaka lini?
@emmanuelnkinda3924
@emmanuelnkinda3924 9 сағат бұрын
kwa nn walimpa kayoko mtu mwenyewe ovyo kabissa hajui yuleee, hata waliomppa hiyo mechi hawafai tu simba inaonewa sana kwa ujinga ujinga tu
@EzekielAlex-r9k
@EzekielAlex-r9k 11 сағат бұрын
Kichwa Cha habari Sasa 😅😅
@SuleimanMuhammed-g7q
@SuleimanMuhammed-g7q 8 сағат бұрын
Hafai bwana kua refa ndio maana tuna timu mbili simba vs yanga zinatuwakilisha lkn haijawah kupata fursa refa wa kitanzania,kwa sabab hizi mechi zinaangaliwa mbali kwaiyo waona caf hakuna haja kutoa refa tanzania
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h Сағат бұрын
Fatilia mpira ww acha kuongea usiyoyajua, kayoko na alajiga wameteuliwa kuchezesha afcon under 17
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 15 сағат бұрын
Mwamumuzi.hafai
@elikanabugumba4552
@elikanabugumba4552 12 сағат бұрын
Mimi nawashangaa tff kayoko kila mechi ya simba na yanga huwa anakuwa upande wa yanga 6:45
@bonifacesendu2983
@bonifacesendu2983 7 сағат бұрын
We kayoko Wacha hiyo Tabia utajiaribia ugali wako utabaki kujezesha mazoezi ya hao utopolo
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 7 сағат бұрын
Kayoko hafai huyu ndo anawapa Yanga ubingwa kwa miaka mtatu mfululizo
@SaidiSaidi-o6r
@SaidiSaidi-o6r 10 сағат бұрын
dauda unafilwa we
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 5 сағат бұрын
JAMANI TUSEME UKWELI KUBU D ALITAKIWA APATE PENATI. KAYOKO AMEIFANYIA VIBAYA SANA SIMBA. SASA HUYO MWAMUZI WA PEMBENI ANGESEMA NN WAKATI WALIKUWA NJIA MOJA? KAYOKO NI BURE KABISA.
@AbdullahKilindo
@AbdullahKilindo 24 минут бұрын
Acha kumtetea kayoko alikuwahaangalii mtu yeyote
@alimzee5526
@alimzee5526 10 сағат бұрын
Acha mambo ya kitoto Refa England inafanya hivyo
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 12 сағат бұрын
Kayoko hatutaki achezeshe mechi za Simba
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h Сағат бұрын
Kachezeshe ww
@AbuuNasir-q9w
@AbuuNasir-q9w 16 сағат бұрын
acha uongo hiyo penati
@SimonSamson-f4d
@SimonSamson-f4d 6 сағат бұрын
Usibabaishe Hao waamuzi wote walipata mgao hawawezi kuamua tofauti muwe wakweli kayoko amejihalibia Kalia yake ya uamuzi uwezi muda wote usione matukio Na wewe uko uwanjani hakuna chochote Ni pesa tu
@SuleimanMuhammed-g7q
@SuleimanMuhammed-g7q 8 сағат бұрын
Nikimpata kayoko nampidy
@HamisiMaro-d9t
@HamisiMaro-d9t 12 сағат бұрын
Kayoko na TFF wajitathini
@ThadeyMawope
@ThadeyMawope 10 сағат бұрын
Nyie wachambuzi ni wasenge,, unaanza kuingiza ubinadam kwenye makosa,hivi mnazani hata mahakama zingekua zinaangalia mambo ya ubinadam kungekua na wafungwa jela mnaongea upuuz tu
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 11 сағат бұрын
Hivi alichofanyiwa musonda na dube ni halali?
@MussaKanoni-r9o
@MussaKanoni-r9o 11 сағат бұрын
Hakuna unachoongea
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 5 сағат бұрын
KAYOKO AFUNGIWE MAISHA HAFAI KUWA REFA.
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h Сағат бұрын
Uzur ww ata tff hawakujuw kwahy utaongea na yataishia apo ulipo
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Mbona mtafukuza hadi washabiki uwanjani ukiona unadhulumiwa nawe uache kudhulumu wenzio ndo haki itapatikana
@rwegoshoramichael3144
@rwegoshoramichael3144 7 сағат бұрын
Hatumtaki achezeshe mechi za Simba
@AlfaCharles-e8h
@AlfaCharles-e8h Сағат бұрын
Kachezeshe ww
@emmanuelnkinda3924
@emmanuelnkinda3924 9 сағат бұрын
Makosa ya wazi tena zaidi ya moja anachujulia. kirais tu acheni kuretea ujingaujinga bora mech kama hizi wawe wnaleta marefa kutoka nchi zungine siyo wbongo wenye njaa za kijinga
@saidinamalenda
@saidinamalenda 8 сағат бұрын
Dauda wewe ni shida sana,Kayoko yupo mita 3 kutoka kwenye tukio kweli asione?Na kwanini alipeta?
@HenriquesRichadeSelemane
@HenriquesRichadeSelemane 8 сағат бұрын
Sijawahi kuona mchambuzi mukundu kama huyu
@msabahakashindi6539
@msabahakashindi6539 6 сағат бұрын
Mbona simba kapewa penalt na Dodoma jiji kapewa magoli ya offside dhidi ya Azam lakn mpo kimya Yanga ndo kelele nyingi sana shida wengi walitaka yanga afungwe
@BobNasa
@BobNasa 16 сағат бұрын
Nyinyi wachambuzi acheni uchochezi wenu wa kijinga, hapa Tanzania hatuna marefarii wenye taaluma hii ya uamuzi, njia pee VAR itumike.
@rosekaseswa5781
@rosekaseswa5781 9 сағат бұрын
Wapo sahihi ila yanga wanabebwa sana wamezidiwa na Simba
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 11 сағат бұрын
Lofa mkubwa wew kisa wewe shabiki wa simba mpumbavu kachezeshe wewe basi mbona offside ya ateba hamsemi paka wewe
@InnocentLongRiver-rb6bt
@InnocentLongRiver-rb6bt 15 сағат бұрын
Kumbe hata nyie wachambuzi ni wabovu sana Kama huyo shafii dauda hakuna kitu mnawatetea waamuzi TU kwani KAZI ya waamuzi nini kila siku hamuwezi kuwaalamu wakati wanafanya vibaya shafii acha ujinga hata sisi mpira tunauangalia
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 6 сағат бұрын
Yanga wamebebwa sana sana tena. Yanga alizidiwa mpira
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 5 сағат бұрын
Huyo shafii chawa tu wa GSM hakuna mchambuzi hapo upumbavu tu
@bernardmboma1461
@bernardmboma1461 5 сағат бұрын
GSM anatoa sana pesa lzm muwe machawa wa GSM.
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 15 сағат бұрын
Funguni.var
@abdallahomaryabdallah
@abdallahomaryabdallah 15 сағат бұрын
T.f.f.vungani.v.a.r
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 48 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 130 МЛН