No video

Uchambuzi Wa Kitabu Cha How To Stop Worrying And Start Living

  Рет қаралды 4,556

GODIUS RWEYONGEZA

GODIUS RWEYONGEZA

Күн бұрын

Kitabu: How To Stop Worrying and Start Living
Mwandishi: Dale Carnegie
Mchambuzi: Hillary Mrosso
Simu: +255 683 862 481
Utangulizi
Jina la kitabu hiki lenye maana ya Namna ya kuachana na hofu na kuanza kuishi. Ni kitabu bora sana kinachoelezea namna ya kukabiliana na hofu kwenye maisha yetu ya kila siku. Hofu imewalaza wengi katika vitanda vya hosipitali, hofu imewanyang’anya wengi afya, furaha, amani, utajiri, na fedha nk. Mwandishi wa kitabu hiki ametumia muda mwigi sana kufanya utafiti wa kina kwenye maisha ya watu wengi waliopitia nyakati ngumu zilizotawaliwa na hofu na kupata maoni yao na ndio kwa kiasi kikubwa yametumika katika uandishi wa kitabu hiki. Hiki ni moja ya vitabu bora sana kwa binadamu yoyote, hupaswi kabisa kukosa kusoma kitabu hiki, ni kama dawa na kinga endapo utayatumia yaliyoandikwa humu kukutoa kwenye aina zote za hofu ulizo nazo. Karibu kwenye uchambuzi huu muhimu.
Kusoma makala hii unaweza kubonyeza hapa
www.songambele...
Kupata kitabu bonyeza hapa
www.songambele...

Пікірлер: 21
@hakikajohn7688
@hakikajohn7688 2 жыл бұрын
Asante sana kaka kutulisha lishe ya akili. Mwenyezi Mungu akubariki.
@GODIUSRWEYONGEZA
@GODIUSRWEYONGEZA 2 жыл бұрын
Karibu Sana
@beastforever734
@beastforever734 11 ай бұрын
Kazi nzuri
@speranciacoelestine6697
@speranciacoelestine6697 8 ай бұрын
Kazi nzur sana, asanten kwa elimu nzuri
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 11 ай бұрын
Barikiwa sana
@Madmomy6266
@Madmomy6266 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏
@richardmisogalya9499
@richardmisogalya9499 10 ай бұрын
Mpangilio mzuri sana
@brendamassawe2712
@brendamassawe2712 Жыл бұрын
Am the new one🙌🙌thank you
@GODIUSRWEYONGEZA
@GODIUSRWEYONGEZA Жыл бұрын
Subscribe na share na wengine
@SAMBACHEFOUNDATION
@SAMBACHEFOUNDATION 5 ай бұрын
💯
@lightnesshilary2534
@lightnesshilary2534 2 жыл бұрын
ASANTE
@philipinashine837
@philipinashine837 Жыл бұрын
Uishi miaka mingi na kuendelea kutupa madini haya kwa lugha yenye ladha madhubuti 😊😊
@NgwesaPeter
@NgwesaPeter 9 күн бұрын
Mbon unaanza na manen mengi yaso husian na maada..bro yanamchosh msikilizaji na unamaliza bando
@amarislam1589
@amarislam1589 Жыл бұрын
Somo zuri. Jina la music?
@Msakatonge23
@Msakatonge23 Жыл бұрын
Nakubali Sanaa my friend❤
@enocknicholaus3258
@enocknicholaus3258 6 ай бұрын
❤️
@godfreynyakunga6513
@godfreynyakunga6513 2 жыл бұрын
Hongera sana
@hopesengo6972
@hopesengo6972 3 ай бұрын
Ahsante sana❤❤❤🎉🎉
@mwalimusalanga
@mwalimusalanga Жыл бұрын
Umetisha sana kaka
@petronila5734
@petronila5734 2 жыл бұрын
Thank you so much
@leotzatv8236
@leotzatv8236 Жыл бұрын
Kazi nzuri
How to Stop Worrying and Start Living by Dale Carnegie Animated Summary
15:57
How To Stop Worrying & Start Living Summary (Dale Carnegie) - ANIMATED
12:19
Successful By Design
Рет қаралды 9 М.
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 15 МЛН
THE ALCHEMIST - 1988 - PAULO COELHO
3:30:44
THE BOOK CLUB
Рет қаралды 3,5 М.
BILL GATES ANASOMA VITABU 52 KWA MWAKA
16:42
Success Path Network
Рет қаралды 9 М.
Uchambuzi Wa Kitabu Cha Rich Dad Poor Dad  (Hillary Mrosso &Fadhil Kirundwa)
17:44
3 Hours for the NEXT 30 Years of Your LIFE | Best Motivational Speeches
3:29:50
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 18 МЛН