Uchambuzi Wasafi FM 🚨: Usajili mkubwa wa YANGA 🔥🔥 Afrika Kusini | Eng. Hersi amemaliza kazi

  Рет қаралды 83,001

Spoti kila Saa

Spoti kila Saa

Жыл бұрын

Huu ni uchambuzi wa Wasafi FM leo Mei 16, 2023 ambapo wachambuzi George Ambangile na Nasri Khalfan wamejadili kuhusu tetesi za usajili za klabu Yanga ambayo ipo nchini Afrika Kusini. Yanga inahusishwa na kumsajili Khama Billiat kutoka Kaizer Chiefs na Khanyisa Mayo kutoka Cape Town City.
#afrikakusini #yanga #usajili #enghersi #wasafifm #khamabilliat #khanyisamayo #tanzania #simba #yanga #cafcc #jemedarisaid #geofleah #uchambuzi #pesa #soka #tanzania #tff #kariakoo #wamachinga #raissamia #wazirimkuu #kariakooyetu #mgomo #lemutuz #mazishi #biashara #mwanafa #nchi #maisha #daresasalaam #arusha #jinsiya #ninimaana #hakuna #afrikakusini #mamelodisundowns #marumogallants #uza #nunua #youtube #youtubevideos #tanzaniayoutuber #online #simu #computer #zanzibar #feitoto #gari #mkojani #kingwendu #mweusiog #joti #masanja #mpoki #daiamondplatinumz #alikiba #marioo #harmonize #rayvanny #mbosso #zuchu #kingkiba #juakali #uchambuzi K

Пікірлер: 25
@DeeperTheSea
@DeeperTheSea Жыл бұрын
Noma sana 🔥🔥
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
🔥🔥
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Yangaaaaa
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
Hongeraa
@JalalaAthumaniSagwe
@JalalaAthumaniSagwe 6 ай бұрын
❤❤
@WahidaMohamed-lr3wb
@WahidaMohamed-lr3wb Жыл бұрын
Mmhh hata kocha hamna !!
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Wananchiiiiii
@AbdulDengwa-wh9xm
@AbdulDengwa-wh9xm Жыл бұрын
Yanga hii raha
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
Hongera
@TEAM-lq3ve
@TEAM-lq3ve Жыл бұрын
🔥🔥
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
Unaionaje Yanga msimu ujao?
@CalvertJoseph
@CalvertJoseph 6 ай бұрын
Yangaatasajili, wachezajiwangapi?
@jordanngonyani1389
@jordanngonyani1389 Жыл бұрын
❤❤❤bonge la m2
@jeanbashigebihogo
@jeanbashigebihogo Жыл бұрын
Biliat kasha Isha ule
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
Kikwetu kwetu bado atasaidia sana
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Жыл бұрын
Pitso Mosmane akitua YANGA ndiye coach wa makombe ya klabu bingwa Afrika wataisikilizia wasiotupenda
@parrotonline
@parrotonline Жыл бұрын
Hii yanga itawatesa sana watu hii 😃😃
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
Watu gani hao?
@hamisimchuzi9218
@hamisimchuzi9218 Жыл бұрын
Sasa ivi munapamba wachezaji mwisho wa siku munawakandia apo ninayemkubali ambangile2 nlickia mjadala wa jana kuusu dumbia wakati anasajiliwa mmempamba sana lakini leo hii munamkandia
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
Kumbuka usajili ni kama kamari wanapatia na kukosea
@rafalee171
@rafalee171 Жыл бұрын
Wapi Ranga Chivaviro?
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
Afrika Kusini 😃😃
@donaldmasamaki8730
@donaldmasamaki8730 Жыл бұрын
Magoli matatu ni lazima leo
@joackimumalya7138
@joackimumalya7138 24 күн бұрын
Uchambuzi wa mchongo
@SpotikilaSaa
@SpotikilaSaa Жыл бұрын
TUNAOMBA SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UPATE HABARI ZOTE NA UCHAMBUZI WA MICHEZO
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 187 МЛН
PENATI WALIYOKOSA TS GALAXY DHIDI YA YANGA, FT GALAXY 0-1 YANGA
2:39
DICKSON JOB AFUNGUKA KUTOONEKANA NA MZAZI MWENZAKE MARA KWA MARA
4:57
Ronaldo Benzema Link Up
0:43
Foot Passion
Рет қаралды 1,8 МЛН
Messi & Garnacho💔🇦🇷
0:18
SkillerHome
Рет қаралды 7 МЛН