Uchawi wa Mvi (Maisha Ughaibuni)

  Рет қаралды 24,888

Swahiliwood

Swahiliwood

Күн бұрын

Nywele za Kasim zinakuwa kwa kasi sana. Kwenda kwa kinyozi itamsaidia yeye kutopoteza siku yake nzima kukaa kwenye kioo na chuchana nywele. Mambo yalikuwa tofauti kidogo miaka 5-10 iliyopita. Fuatilia hapa..
Sieh Mchawala Presents Uchawi wa Mvi.
SUBSCRIBE: goo.gl/cR0mA

Пікірлер: 22
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 4 жыл бұрын
Poa sana mzee baba
@seifsalum8693
@seifsalum8693 6 жыл бұрын
jamaa ni noma
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 7 жыл бұрын
nakuona kassm upo zako ughaibuni
@kassimdinno
@kassimdinno Жыл бұрын
Mambo Diana
@BillysFamily
@BillysFamily 8 жыл бұрын
@Swahili Wood jionyoe acha kupoteza pesa kama inakuuma. wengi tunaoishi hapa tunajifunza penda usipende. by the way nice video. Nina channel yangu please watch if you like. I have been watching you're channel for long. God bless you. Napenda kusikia watu wakiongea kiswahili mana sina wakuongea nae .
@kassimdinno
@kassimdinno 8 жыл бұрын
Nimekusoma dada 😂
@BillysFamily
@BillysFamily 8 жыл бұрын
+Kassim Dinno kaka unajua pahali wanapouza majani ya chai ( i mean chai bora ) na kahawa ya kitanzania ile ndogo ya kwenye kopo kama unapata. ooh anyone knows where I can find this two things
@kassimdinno
@kassimdinno 8 жыл бұрын
+Billy's Family, wewe si uko USA? Mie niko Australia, kuna chai bora na africafe hapa.
@BillysFamily
@BillysFamily 8 жыл бұрын
+Kassim Dinno waweza nipatia link ya store naweza nunua. tafadhali na kama wanauza pia kahawa ya nyumbani. shukrani kwa kunijibu
@BillysFamily
@BillysFamily 8 жыл бұрын
+Billy's Family yes niko USA kaka
@hassanmusyoka5139
@hassanmusyoka5139 4 жыл бұрын
Am Hassan from kenya talented barber can i get the help to get job pls
@aminaamina-ky5qm
@aminaamina-ky5qm 7 жыл бұрын
toa helen kaka
@favourkind3746
@favourkind3746 6 жыл бұрын
Whaaaaat??????? 30 dollars???? Acheni utani aseee, 75000??
@user-po1xu8kr1k
@user-po1xu8kr1k 8 жыл бұрын
mmi sijuikucut my hair alone maybe unishow ntalearn haraka ,,,, kwani mnataka wa2 wa kinyozi wale wapi ka si ww kuwapelekea pesa wakunyolewe
@aishamashaka7935
@aishamashaka7935 8 жыл бұрын
daaah bora ukujage nyumban unyoe mara kwa mara dyuuh brother unakipil pil chaukweli ahahahaaa nwele ngumuu dadeq natania bana akin napenda vile unapiga ngeli
@kassimdinno
@kassimdinno 8 жыл бұрын
Haha matusi hayo, kipilipili cha ukoo hichi 😂
@aishamashaka7935
@aishamashaka7935 8 жыл бұрын
+Kassim Dinno ahahahahaa bro kazi ipo
@kassimdinno
@kassimdinno 8 жыл бұрын
+Aisha Mashaka haha wewe acha kukashfu kazi ya Mungu. Hii nywele inakula coconut oil mpaka basi 😂😂😂
@aishamashaka7935
@aishamashaka7935 8 жыл бұрын
+Kassim Dinno ahahahahaaa nimecheka sana bro unadhani nakashif bas??yaan sijui tumezaliwa baba mmoja yaan nywele zetu zinafanana sana broo
@dianamalingumu4516
@dianamalingumu4516 5 жыл бұрын
kasimu nakuona
@mahfudhrashid3873
@mahfudhrashid3873 4 жыл бұрын
Iyo dawa ya mvi inaitwaje bro
@yassindeffu88
@yassindeffu88 6 жыл бұрын
Kasim dinno
Kazi Ndogo (Maisha Ughaibuni)
5:05
Swahiliwood
Рет қаралды 12 М.
Maziwa Fresh (Maisha Ughaibuni)
5:21
Swahiliwood
Рет қаралды 10 М.
Kero la Mvi
3:08
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 6 М.
The Academy - Sehemu ya 1
8:31
Swahiliwood
Рет қаралды 24 М.
Je, ushatumia tiba za asili?
1:42
BBC News Swahili
Рет қаралды 82 М.
Vipodozi na urembo kwa wanaume
43:50
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,2 М.
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 500 М.
The Academy - Sehemu ya 4
8:28
Swahiliwood
Рет қаралды 10 М.
Ngoma ya Roho Trailer
2:03
Swahiliwood
Рет қаралды 21 М.
The Academy - Sehemu ya 3
7:07
Swahiliwood
Рет қаралды 9 М.
Tamaa (Bongo Movie)
8:04
Swahiliwood
Рет қаралды 24 М.