Amen 🙏 kazi nzuri kwa kweli ila msiicheleweshe sana,hata nilikua nimeisahau.
@moureenkionga3745 Жыл бұрын
Kwakweli tumesubiri sana.. Mbarikiwe Sana na poleni kwa changamoto zozote zilizojitokeza kusababisha kuchelewesha.. Kazi yenu ni njema.. Tunajifunza mengi
@mattanmawella2657 Жыл бұрын
Amina amina asante sana
@foundationfaithtv Жыл бұрын
Tunashukuru kwa kazi hii Mungu atusaidie
@lucasmhula230 Жыл бұрын
Kazi iendelee Mungu awabariki ndugu zangu katika Kristo Yesu.
@veronicawilson4263 Жыл бұрын
Ameeeeeeen Ubarikiwe Mtumishi
@annachachage4931 Жыл бұрын
Tutapataje kupona tusipojali wokovu mkuu namna hii
@MarckDonat Жыл бұрын
Amen amen ❤❤
@denisjuliuspeter3171 Жыл бұрын
Amina sana..mtuombee tu, ili kusiwe na changamoto..