UFAFANUZI WA KISHERIA SAKATA LA YANGA MAHAKAMANI, "KUFOJI SAINI UNAWEZA KUFUNGWA MAISHA,WAKILI DEDAN

  Рет қаралды 40,922

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 106
@wilsonlevayoni2361
@wilsonlevayoni2361 3 ай бұрын
Magomaaaaa weeee pole sana mzee
@collectionline6055
@collectionline6055 3 ай бұрын
Huyo Mzee kayatimba
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 2 ай бұрын
Unatudanganya hujui sheria wew ,magom atashinda leo
@SantinaChale
@SantinaChale Ай бұрын
Jamani wengi hatujuwi sheria.hatujasomea sheria.tuacha waliosomea sheria wafanye kazi zao.Huyo.mzee na wenzake wanajidanganya sana .sheria inawabana .wache hizo njaa zao.mi nimemueliwa sana mwanasheria yupo.sahii kabisa.tungoje tu matokeo.ila tuombe sana Mungu atunusuru na haya majanga ya kulawiti watoto nakuwateka.tusikae tu kushabikia magoma.huyo ni njaa tu inamsumbua.
@ulicydickson6816
@ulicydickson6816 3 ай бұрын
Wamefanya udanganyifu, magoma na wenzake wawajibike
@LucasKazimoto
@LucasKazimoto 3 ай бұрын
Mzee kayakanyaga
@MbeziAmos
@MbeziAmos 3 ай бұрын
Mambo ya Simmba na yanga huwa ya kisenge saana
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 3 ай бұрын
Huyu mzeee amesema anapiga alubadili😮😮 sasa analoga mpaka mahakama
@AsmaKapaya
@AsmaKapaya 3 ай бұрын
Dedani kapingo kidato kimoja nakubali sana yanga oyeeeeeeeee
@isaacsimon3580
@isaacsimon3580 3 ай бұрын
Wafungwe hao mbwa
@BrighterStore
@BrighterStore 3 ай бұрын
unatumikia miaka saba then unatumikia kifungo cha maisha🤣🤣🤣
@mesuitozil1527
@mesuitozil1527 3 ай бұрын
Miaka 7 ukiwa umeghushi kawaida lakin ikiwa umeghushi nyaraka za mahakama, ndio kifungo Cha maisha
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 3 ай бұрын
Huyo mzee ametafuta matatizo aisee
@johnsonjuliusmassaka5519
@johnsonjuliusmassaka5519 3 ай бұрын
Miaka saba then maisha.au vyote kwa pamoja 😅
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 3 ай бұрын
Waliokutuma wamekuponza😂😂
@bsmonline8482
@bsmonline8482 3 ай бұрын
Mzee Kashajitevyenga huyo enheeh Samaki ukiwakaanga wengi sana lazima iwaunguze mikia😂😂😂
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 3 ай бұрын
Sisi waziima ila nyinyi ndiyo wasenge maji sisi simba tunaendelea mambo yetu
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 3 ай бұрын
Uyo mzee ni njaa tu
@Mwitamkunyimarwa
@Mwitamkunyimarwa 3 ай бұрын
Sawa
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c 3 ай бұрын
Magoma kajishenyenta
@mwangasonimwanga5850
@mwangasonimwanga5850 3 ай бұрын
Magoma jela ileeeee
@florencemeza6540
@florencemeza6540 3 ай бұрын
Simba acheni ujinga hebu pambanieni timu yenu mnaonekana wasenge tu
@simsotv2261
@simsotv2261 3 ай бұрын
yanga inatakiwa imuajiri Peter madeleka wakili tulie nae hajawahi shinda kesi
@deoselcom9701
@deoselcom9701 3 ай бұрын
Hii kesi viongozi wayanga naona dhahiri wanaenda kuferi lahasha wapite mlango wa pili 😢
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 3 ай бұрын
😂😂😂Mzee kayakanyaga,walokudanya wamekuponza,utamkumbuka Mandojo na Domokaya,imekula kwako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AbelKidungu
@AbelKidungu 3 ай бұрын
Kuna watu wanna umia na huu ufafanuzi kwani vp😂
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 3 ай бұрын
Taasisi kubwa mno hii unaishitaki huku Ina viongozi weledi aaaa sahau yule mzee
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 3 ай бұрын
Mbona wamehukumiwa na kupata ushindi
@MohamedMpeneka-og6sq
@MohamedMpeneka-og6sq 3 ай бұрын
We unaelewa lakin? Au kichwa Chako ni ​ pambo la kupendezesha mwili? Kamsikilize mwanasheria wa yanga alafu urudi hapa@@zuhurajabiri3900
@mazaramatucha
@mazaramatucha 3 ай бұрын
Yaani kwa jirani msiba,halafu uitishe disco lazima ndugu tunune
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 3 ай бұрын
Na mama kashawakana huko sasa chupi lazima ziwabane
@rafikiyako6697
@rafikiyako6697 3 ай бұрын
Nimatumaini sheria zikichukuliwa kama inavyotakiwa na kubainisha vyote hivi sio kweli hii ndio itakuwa mwisho kwa watu wenye njaa zao kuvuruga hizi timu ..imagine timu kama Yanga hiko hatua 20 mbele anatokea mtu anajaribu kurudisha nyuma tena kisa kwa njaa zake binafsi its insane
@salehegiza3305
@salehegiza3305 3 ай бұрын
Mzee magoma cc watu simba tunasema upo sahihi na tupo pamoja na ww jino kwa jino😅😅😂
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 3 ай бұрын
Kashawaponza😂😂😂 poleenii
@jacksonelphas7256
@jacksonelphas7256 3 ай бұрын
basiiiiii
@abedysteven4930
@abedysteven4930 3 ай бұрын
Yan we Mzee magoma umeyatimba ikigunduliwa umefoji cjui yanga watakufanyeje Yan we unabishaba na wa2 weng Tena wananch heeee nakuonea huruma!😂😂😂
@hamisrahul6067
@hamisrahul6067 3 ай бұрын
mzee magoma ana hali gan kwasasa
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 3 ай бұрын
dah mbona sasa mambo yanataka kuwa magu
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 ай бұрын
Ni magumu halafu yatachukuwa Muda aise😢,sasa Sijuwi wakati wanafanya mambo YOTE hayo,Hawa wanaotakiwa kuondoka kwenye nafasi zao,watakuwa wanaendelea na kazi au laa?
@robertzamani5612
@robertzamani5612 3 ай бұрын
Msikilize Magoma vizuri ndio utamwelewa aliowashitaki ni akina nani,utajua uongozi bado upo madarakani au la
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 3 ай бұрын
@@robertzamani5612 nimeona HAWATAKIWI KUWA MADARAKANI WITH IMMEDIATE EFFECTS
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 3 ай бұрын
​@@israelkisaila8401Hamna mtu anaondoka hapoo we tulia tubebe makombe kama tulivozoea
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 3 ай бұрын
Aisee yule mzee atazimia akisikia hii taarifa
@badymedia9648
@badymedia9648 3 ай бұрын
😂😂😂😂
@saidimgina8299
@saidimgina8299 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@delphinatemba1736
@delphinatemba1736 3 ай бұрын
Na iwe funzooooooo😂
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 3 ай бұрын
Aanze kuandika urithi wa wtt wake kabisaa 😅
@saidimwanyiro5147
@saidimwanyiro5147 3 ай бұрын
Hakuna cha kufoji magoma sheria alikuwa nayo msituzuge kukanusha tunaakili zetu timamu hapo magoma mmemtuliza tu
@LucianaJoachim
@LucianaJoachim 3 ай бұрын
Waacheni wajitekenye wajitie vidole wenyewe magoma anawasibilia mtoe makalatasi yenu mumpe ofisi
@gabapentin8070
@gabapentin8070 3 ай бұрын
Wanasema Kujua kwingi kulimponza nani !!?😂
@ChefasNganda-pl5yj
@ChefasNganda-pl5yj 3 ай бұрын
Magoma umeyabananga
@AronAnselemi
@AronAnselemi 3 ай бұрын
Huyu ajui kitu😂
@gregory6165
@gregory6165 3 ай бұрын
we unaejuwa tueleze basi amekosea wapi
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@amosmahona433
@amosmahona433 3 ай бұрын
yanga Mnatakiwa muwe na mwanasheria kama huyu anafafanua hoja taratibu kabisa mpaka unaelewa.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 3 ай бұрын
MAGOMA ANASEMA KM WANASEMA SAHIHI WAMEIBUSHI BASI WAENDE MAHAKAMANI SASA KWANN MSIENDE MAHAKAMANI?
@stewartsylvester2353
@stewartsylvester2353 3 ай бұрын
Nasikiliza nacheka 😂😂😂😂😂😂 haki matatizo mengine ni ya kujitakia
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 3 ай бұрын
Ukweli unaujua? Aja mapenzi ya kijinga
@stewartsylvester2353
@stewartsylvester2353 3 ай бұрын
@@bakarithegeoinformatician7406 dunduka aka kolo Pole kijana 🤣🤣🤣🤣🤣
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 3 ай бұрын
Na cha ajabu zaid yey mwenyewe anakir kuwa hajawapatia yanga hiyo karatasi ya hukum tangu ameshinda kesi mwaka jana labda yey mwenyew kwa kugundua kuwa hakuwashirkisha yanga badala yake almuweka mtu na akajifanya anaiwakilisha yanga magoma mwenyew imekuwa vigum kwake kuwasilisha hyo hukum kwa yanga maan anajua alipita mlango wa nyuma hakufata sheria
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 2 ай бұрын
Sio jukum lake kuwap nakal ya hukum ,
@salwasuleiman8943
@salwasuleiman8943 3 ай бұрын
Kidomodomo huwa sio kizuri sasa litamkuta jambo kidomo magoma
@mussakilo4916
@mussakilo4916 3 ай бұрын
🙊🙊 dah magoma wee kama kweli ume gushi 😢😢mhh
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 3 ай бұрын
Kwa kutolea maelezo ya Kila siku nn walikuwa wanafanya ndani ya mwaka mzima, itakuwa muujiza kuvuka kiunzi hicho hasa ukizingatia upana wa mawasiliano ya timu husika. Pili. Sijajua kama mahakama hutoa hukumu za kesi kwa ajili ya mitandao ya kijamii. Hivyo tuwe wapole tujifunze kwenye hili
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 3 ай бұрын
Umeambiwa yanga hawakushirikishwa na pia magoma mwenyew ameshasema mara nyingi kuwa hajawapa yanga hayo makarasi ya hukum mpka leo tena yey magoma anasema ana shangaa kuona mtandaoni na wakati yeye nakala zote za hukum anazo hajazitoa sas nikuulize wew kama yanga magoma hakuwapa hiyo nakala ya hukum na mpka leo anasema hajawapa yanga wangeota kama kuna hukum imetoka??
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 3 ай бұрын
@@NeemaAkyoo-s4s soma vizuri na elewa nichoandika. Kama hujaelewa ni hivi, upande unaokataa hukumu ndio watakuwa na wakati mgumu kuishawishi mahakama kuwasikiliza.
@NeemaAkyoo-s4s
@NeemaAkyoo-s4s 3 ай бұрын
@@Shafikimanga7 hapo sawa nilifikir unasema yanga watapata wakati mgum et na wakati magoma mwenyew anajinadi kuwa hakuwapatia hyo hukum mpaka leo🙏🙏🙏🙏
@personpeter2221
@personpeter2221 3 ай бұрын
Nyny wanasheria mnashndwa kufafanua vfungu vya vya sheria kwa mafisadi mnahangaika na upuuz
@iddkessy
@iddkessy 3 ай бұрын
Yaan acha tuu
@AmisiAloisi
@AmisiAloisi 3 ай бұрын
Wewe muongo sana mumekula pesa
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 3 ай бұрын
Ikimbukwe mambo ya kimpira hayahukumiwi na Mahakama yoyote zaidi ya Mahakama kuu
@SadickHusein
@SadickHusein 3 ай бұрын
Wee umesoma wapi
@Fred-Ma
@Fred-Ma 3 ай бұрын
Hii sio kesi ya Kimpira ni ya Kikatiba😅😅
@Dopa7MC
@Dopa7MC 3 ай бұрын
We nae amnazo sasa km mahakama kuu yeye kaenda kushitaki wapi fifa au mahakama kuu?
@yakobokuzenza6837
@yakobokuzenza6837 3 ай бұрын
@@Dopa7MC ww ndo mpuuzi mkubwa.Hiyo kesi ameifungua mahakama ya hakimu mkazi,siyo mahakama kuu.Unakurupuka tu na ukolo wako.Mtazidi kujianika tu msiotumia akili ipasavyo
@Mrmakavu
@Mrmakavu 3 ай бұрын
Yanga apewe hakizake💚💚💚💚💚💚💚💚💚
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 3 ай бұрын
Eti Yanga ipewe haki yake. Sema GSM aendelee kutupiga wewe.
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 3 ай бұрын
​@@GibsonNtamamilounataka na wewe upewe mshahara kama wachezaji PERIOD!!!
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 3 ай бұрын
​@@GibsonNtamamilowewe so yanga bwanaa😂😂😂
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 3 ай бұрын
Je waliposhitakiwa, mahakama iliwapa barua yanga African? Na je Kuna ushahidi wa dispatch inayoonyesha walipelekewa? Pia hyo document iliyompa huyo muwakilishi WA yanga awawakilishe wengine je ilihakikiwa kivipi? Mahakama ilikuwa na uwezo wa kuamua hyo kesi? Kwann mahakama haikujua kuwa Kuna mwanasheria wa club?
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 3 ай бұрын
Pia, ilipofungukiwa kesi . Mahakama ilipeleka barua wapi ya kuwajulisha waliofunguliwa kesi?
@mesuitozil1527
@mesuitozil1527 3 ай бұрын
Na ndo maana inaitwa ni kesi ya upande mmoja watu walijigawa
@MRJ1308
@MRJ1308 3 ай бұрын
Injinia tuchukulie huyu mwanasheria asaidiane na Simin Patrick
@bbanyikwa
@bbanyikwa 3 ай бұрын
Ni kwa nini Kesi inayohusu mipira imepelekwa kwenye mahakama ya kiraia badala ya kushughulikiwa na vyombo vya vinavyohusika na mpira? Hili nalo sio kosa kweli kwa mpira wa tanzania kama FIFA wakilinasa?
@EligiaMligo
@EligiaMligo 3 ай бұрын
Umeambia sio kes ya mpira ni ya katiba ko mamlaka za inch znahusika na sio tff wala fifa jana ulimwelewa yule wakil tena mahakama ya kisutu tu
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 3 ай бұрын
Ikiiiii Simbaaa kinaonekanaaaaa
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 3 ай бұрын
Je, wakati hizo kesi zikiendelea Viongozi wa yanga watakuwa bado ni Viongozi au watakuwa nje ya ofisi? Mawakili hawajafafanua.
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs 3 ай бұрын
Kwenye Shtaka Hilo Hakuna Kiongozi Aliyepo Yanga Katajwa Ktk Kesi Hiyo
@swedywamba5535
@swedywamba5535 3 ай бұрын
Shida yako wawe nje ya office???? Vip umetumwa???
@Mwafrika2021
@Mwafrika2021 3 ай бұрын
Magoma sio mjinga, pale Simba Kigwangala alikuwa anakosoa zile bilioni 20 za Mo lakini alipuuzwa kwasababu Simba ilikuwa inafanya vizuri lakini ikaja kuaminika baada ya simba kupoteana, Yanga nao watakuja kuamini wakianza kufanya vibaya, nyie mtukaneni tu huyo mzee lakini ipo siku mtakuja kumshukuru, tunzeni hii
@totolanyakiwope8817
@totolanyakiwope8817 3 ай бұрын
Yanga isifananishwe na vitu vya kijinga
@alhajjsimba8833
@alhajjsimba8833 3 ай бұрын
Umeombwa na nani ufafanuzi huu
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 3 ай бұрын
😂😂😂
@Asamtz360
@Asamtz360 3 ай бұрын
Babaako ekumama zako
@ErastoOmari-ij1zs
@ErastoOmari-ij1zs 3 ай бұрын
Mo
@IvanChrisantus-hz4cv
@IvanChrisantus-hz4cv 3 ай бұрын
Political cheat code , kupoteza attention ya wananchi kuhoji meli ya kijeshi ya china !!! think big , amkeni !
@UrassaPaschal
@UrassaPaschal 3 ай бұрын
Inawezekana😢
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo 3 ай бұрын
Mambo ni mengi ase😂😂😂 mara kupotezea attention ya taharuki ya kenya mara meli khaaaa kwaajili ya yanga tyuu duuh maashaAllah very funny😂😂
@fadhiliabasi6585
@fadhiliabasi6585 3 ай бұрын
MAGOMA hawezi Kuwa na akili mbovu kiasi HICHO cha kugushi saini
@consorathajames2693
@consorathajames2693 3 ай бұрын
Magoma wamemtoa chambo nyuma yake kuna mtu
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 77 МЛН
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 122 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 16 МЛН