This is the real Gospel of God. Itakayorejesha MFALME YESU mara ya pili.
@Gerald-hh1dq8 ай бұрын
MUNGU Akubariki ,hayo madini mtu atayapata , akibarikiwa kwenda Makumila
@tumainigeofrey97028 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, Mungu aliye juu sana, sina lugha ya kushukuru kwa somo hili la ufalme wa mbinguni. Namwomba Mungu akuongezee ili uweze kutupakulia mengi zaidi. Sifahamu kifanyike nini, lakini nasikia ndani ya moyo wangu kuwa, hili ni somo ambalo kila mwamini, bila kujali madhehebu anayotoka, analihitaji kwa sasa. Mungu ajalie hili katika jina la Bwana Yesu Kristo.
@petermichael18745 жыл бұрын
upo sahihi
@tausijuma38425 жыл бұрын
mungu azidi kukuinua pastor josephat gwajima
@marykibali75685 жыл бұрын
Aaaamen napenda sana mtumishi wa mungu Bwana yesu akubariki na miaka 💯 na ufunuo wa mungu akupe
@ghhfgbgfhh19805 жыл бұрын
AMEEN napokea KWA JINA LA YESU
@petermwidima83578 жыл бұрын
Aleluyah. Hili ni NENO LA MUNGU. Ni maombi yangu kila asikiaye afahamu Ktk JINA LA YESU KRISTO. AMEN
@Philipo-zn6gi7 ай бұрын
Mtumishi be blessed
@ibrahimraphael6728 жыл бұрын
Hakika yake mimi ndie mwana na niko katika familia ya kifalme ohhhh, ahsante bwana MUNGU kwa kuniweka ktk familia hii nzuri.Amen
@prudancekabe15 жыл бұрын
God bless you more man of God I like your teachers
@costvangazazaidi62085 жыл бұрын
Asante sana Mungu azidi kukuinua👏
@jimwekesa58004 жыл бұрын
Mafunzo mazuri sana baba. Mimi ni mwana wa ufalme. Natangaza haki, sina madeni!
@fridambwambo6008 жыл бұрын
amen niko ndani ya ufalme hakuna umaskin tena ni neema tu
@julianajoseph22137 жыл бұрын
hili somo nzuri saaana ee Mungu nisaidie
@adelmwajupatient16417 жыл бұрын
Amen baba askofu.tunakupenda sana baba yetu
@ufufuowarohonitv59005 жыл бұрын
Nakupenda sana gwajima mtu wa MUNGU
@shohamuwokovuhalisi.26488 жыл бұрын
I am Blessed. mimi ni mwana wa MFALME. Niko na HAKI ya vitu vyote vilivyokuwa ndani ya UFALME. HALLELUJAH
@edsonlugaimukamu9438 жыл бұрын
baba nafanikiwa sana! ubarikiwe!
@lubuvamartine22678 жыл бұрын
God bless u man of living God
@freddyntezi3626Ай бұрын
Mchungaji umenibariki sana kwa Neno basi nakupenda sana ikiwa vema naitaji number yako ya Sim tuongee tu