UFALME WA MUNGU NDANI YAKO

  Рет қаралды 59,434

MAHUBIRI TV

11 ай бұрын

Пікірлер: 122
@elizabethmwaka4731
@elizabethmwaka4731 11 ай бұрын
Amen amen pastor mm niko na ushuhuda na hili fungu juzi nilitoa nyumba ya konokono mdogo wale wa baharini kwa mkono wangu wakulia kulikua kama jibu nikakamua nikatoa hicho kinyumba chake na niko saudi nafanya kazi amen amen kupitia mafunzo yako nimesimama na mungu zaidi kukaa ndani yangu
@dorcusmusombi3646
@dorcusmusombi3646 9 ай бұрын
B😮j
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 6 күн бұрын
Mungu wa ajabu
@flavianamayutta4619
@flavianamayutta4619 2 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na somo hili! Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa somo hili nzuri na la baraka sana.
@gombanirombalejames8958
@gombanirombalejames8958 11 ай бұрын
Huu ufalme unao kuwa ndani yangu uniongezeye Imani. Mungu akuzidishiye kwa yote,amina
@faustermtavangu8212
@faustermtavangu8212 13 күн бұрын
Amina Leo nimeuona upendo wa Mungu kuna jambo nilimwomba Mungu amenijibu sifa na utukufu ni Yesu.
@IsackAugustine
@IsackAugustine 8 ай бұрын
Aminaaaa sana pastor ,Mungu akubariki sana na azidii kukutumia popote palee ulipoo,kupitia ujumbe unaotamkika kinywani mwako .....umeimarisha maisha yangu ya kiroho na kiuchumi piaaah!!!! Jina la Bwan lihimidiwe mileleeee.
@olphanyamweya3154
@olphanyamweya3154 Ай бұрын
AMEN MCHUNGAJI umenipa ujasiri, mume Ako lakini Mimi ndio mke mume sitawai lalamika.YESU nisamehe.
@rodachaula626
@rodachaula626 4 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu najifunza vingi sana kupitia mafundisho yako from malasyia🇲🇾
@user-hy2zt5nq4x
@user-hy2zt5nq4x 11 ай бұрын
Mungualie ndaniyako nibabayangu sasakila mahubiri tumahewani munitumie ibrahimpopina kutoka Congo bunia
@scolastikapeter5892
@scolastikapeter5892 Ай бұрын
Pastor ... Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi Mbaga. Mungu kaa nami leo na hata milele
@eduugikundi
@eduugikundi 10 ай бұрын
Nashukuru sana mchuganji,mola akuzidishie hekima zaidi
@WinnieJumanne
@WinnieJumanne 9 ай бұрын
Amen 🙏 pastor mungu akubariki ahsante Kwa haya mafundisho tangu nijue nguvu za mungu ndani yangu nashuhudia kuna mambo siyafanyi ambayo hayakuwa yampendeza mungu
@linethowire7031
@linethowire7031 11 ай бұрын
Pastor ushuhuda WA swala la ada limeniyokea wiki chache zilizopita pale MUNGU aliponilipia ada kwa muda wa masaa mawili tu..ada ya mwanangu wa std seven 2023...amount ilikuwa milioni moja kasoro....Hakika MUNGU huyu anaweza KULIKO chochote..ukuu wake kwangu HAUELEZEKI
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 6 күн бұрын
Wow. Mungu atukuzwe
@harunibernadi
@harunibernadi 11 ай бұрын
Ahsante Sana Sana mchungaji kwa neno
@user-pw7di6vp3n
@user-pw7di6vp3n 10 ай бұрын
Asante pasta, kwa mafundisho
@aumamadina7100
@aumamadina7100 25 күн бұрын
Amen amen thanks pastor mmbaga thanks a lot and glory go to GOD
@flavianamayutta4619
@flavianamayutta4619 2 ай бұрын
Asante mtumishi kwa somo lenye nguvu.
@richardsafari2871
@richardsafari2871 10 ай бұрын
asante mtumishi kwaku neno la kujenga
@sarahsamatwa3211
@sarahsamatwa3211 10 ай бұрын
Asante.mchungaji MBAGA.NINAENDELEA KUBARIKIWA KILA IITWAPO.LEO
@WinnieOwiti
@WinnieOwiti Ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi
@boazmusumba7949
@boazmusumba7949 10 ай бұрын
Nashuhudia uwepo wa Yesu ndani yangu. Roho mtakatifu atufunze zaidi.
@MichaelThomas-tc8sf
@MichaelThomas-tc8sf 10 ай бұрын
Nimekubari sana
@shimwekagwiza2300
@shimwekagwiza2300 10 ай бұрын
Asante pr aliye upande wetu ni mkuu kuliko waoo 🤗🤗🙏
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 9 ай бұрын
Amen pastor hapo ni kweli kabisa uko na mume na wewe ndio baba na tena wewe ndio mama barikiwa pastor
@user-ir1np7xn8y
@user-ir1np7xn8y 10 ай бұрын
Amen mchungaji tunabarikiwa sana na huduma zako kwetu
@sophiatitokalinga1405
@sophiatitokalinga1405 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana sana! Ckujua haya ahsante
@perisbosibori8524
@perisbosibori8524 11 ай бұрын
AMEN 🙏🏻 🙌! Ufalme wa MUNGU uko ndani yangu. Thank you Pastor for the blessings of the word.
@hopemakangale1596
@hopemakangale1596 10 ай бұрын
ubarikiwe Mch.nimepokea
@teresakemunto5479
@teresakemunto5479 10 ай бұрын
Namshukuru mungu akubariki pia pastor
@janelulambo3957
@janelulambo3957 10 ай бұрын
Mungu tulie nae nimkubwa kuliko wakwao.
@jacquelinesalugole6400
@jacquelinesalugole6400 10 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji umenifundisha mengi kupitia mahubiri yako
@bernadettemuzaliwa8373
@bernadettemuzaliwa8373 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa bwana kwa neno la nzuri .
@rachelraphael1355
@rachelraphael1355 10 ай бұрын
Mungu akubariki sanaa
@NellyMusiwa
@NellyMusiwa 8 ай бұрын
🙏 Amen
@user-tr6vq5ld5o
@user-tr6vq5ld5o 10 ай бұрын
Yesu nisaidie Niongezee Imani
@kevinigendi6080
@kevinigendi6080 8 ай бұрын
From Kenya l real enjoy your teachings
@SolanzaMwasanyage-hq2jy
@SolanzaMwasanyage-hq2jy 10 ай бұрын
Asante mchungaji lakini Mimi nashida ya masikio hayasikii vizuri naomba uniombee nisikie vzr mafundisho yako mtumishi was mungu.Amina
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 6 күн бұрын
Ninakuombea
@ruthondieki8567
@ruthondieki8567 11 ай бұрын
Mungu hakushidishie neema nimebarikiwa sana ila Tu Kwa siku mbili
@user-gs1ld5vd6e
@user-gs1ld5vd6e 9 ай бұрын
Ubarikiwe baba siku zako ziwe nyingi nipone siku hadi siku
@raelsarange638
@raelsarange638 11 ай бұрын
My mentor ,yaaani Pastor you don't force things, faith works,niko middle east God has done for me ❤❤I stay strong and positive in Jesus name 🙏
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 11 ай бұрын
Mungu akuzidishie mtumishi uzidi kutufundisha ameeen
@kissanselu8569
@kissanselu8569 10 ай бұрын
Amen nimebalikiwa
@mecksondeoneclassic8635
@mecksondeoneclassic8635 11 ай бұрын
Unanibariki sana sana Mchungaji Mbaga sina Mchungaji nabarikiwa nae zaidi yake isipokuwa wewe natamani siku nipate kukufikia ulipo nihudumiwe Kwa karibu zaidi ndo shauku yangu
@KelvinKimario-fu8hk
@KelvinKimario-fu8hk 10 ай бұрын
Mkubali yesu
@GraceMimbi
@GraceMimbi 4 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu Naomba namba Yako
@MalongoRichard-md5dv
@MalongoRichard-md5dv 11 ай бұрын
Pastor ubarikiwe sana
@joyikaya7429
@joyikaya7429 7 күн бұрын
AMINA PASTOR. ZIDI KUBARIKIWA.
@user-or1ds3hm6t
@user-or1ds3hm6t 8 ай бұрын
Barikiwa sana mtu wa Mung
@faustinajili4164
@faustinajili4164 10 ай бұрын
Amen Amen amen
@user-xb6dg9uc8x
@user-xb6dg9uc8x 11 ай бұрын
Mungu akuzidishie hekima kila siku, zamaisha yako
@esterkaogo2390
@esterkaogo2390 11 ай бұрын
Nabarikiwa sana
@user-dz6wb3vd9c
@user-dz6wb3vd9c 11 ай бұрын
Nashukuru ufalme wa Mungu uko ndani yangu, amen pr. Mmbaga
@user-pw7di6vp3n
@user-pw7di6vp3n 10 ай бұрын
Nimeongezewa jambo
@taimumwaibako8385
@taimumwaibako8385 9 ай бұрын
Najiungamanisha na maombi haya Mungu nisaidie
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 10 ай бұрын
Amen, nmerudi kuangalia tena linikumbuke vitu fulan ubarikiwe pastor.
@PaulKariuki-fh6yd
@PaulKariuki-fh6yd 11 ай бұрын
God bless you mtumishi
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 10 ай бұрын
Amen and amen from Lusaka zambia
@margaretwanjiru9096
@margaretwanjiru9096 11 ай бұрын
Kubarikiwa kweli hua unanifundisha mengi sana sana barikiwa sana Pastor Mbaga 🙏🏻
@everlyneiminza5722
@everlyneiminza5722 11 ай бұрын
Hallelujah
@YohanaLazaro-rj7cp
@YohanaLazaro-rj7cp 11 ай бұрын
Mungu akulinde
@user-lb6sx3vn4d
@user-lb6sx3vn4d 11 ай бұрын
Amen
@linethowire7031
@linethowire7031 11 ай бұрын
MUNGU atukuzwe Kwa hubiri hili,,,nimegundua ni kwa sababu gani BANDA LANGU LA KUKU lote lilipatwa na ugonjwa WA ajabu..biashara ya kuku 300 sikufanikiwa kuingiza hata shilingi laki sita kwa mauzo maana walikufa karibia nusu ambao walikuwa ni 150.... Nimepata kitu kikubwa Sasa kutoka Kwa hubiri hili na sasa ninaanza Tena biashara RASMI...Ee MUNGU nisaidie....
@user-sk8sm2rx2f
@user-sk8sm2rx2f 7 ай бұрын
AMEN MTUMISHI
@user-qt2pb6tr5t
@user-qt2pb6tr5t 10 ай бұрын
Wow very powerful teachings be blessed glory belongs to jesus, In fact you've made my inner 🎉 person feel revived again 🙏🙏🙏
@user-fi9ef2rd8k
@user-fi9ef2rd8k 11 ай бұрын
Kweli Mungu anakutumia kwa viwango vya juu sana mwanangu ,Zidi kunyenyekea chini ya mkono waMungu ili akukweze kwa wakati wake
@user-pq8xy3tv7l
@user-pq8xy3tv7l 11 ай бұрын
Asante sana kwa mahubiri
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 11 ай бұрын
Katika wachungaji wanaonibari ki MChungaji mbaga wewe ni no Moja Mungu akubariki Sana Sana. 🙏
@tatually9055
@tatually9055 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana unanitia moyo sana
@dawhiteschola8847
@dawhiteschola8847 11 ай бұрын
Amina haya ndyo mafundisho syo pokea gari lanani Hilo gari. Mm siyo msabato ila Huwa siangaliii dini naangalia Neno la Bwana hakika huyu mchungaji Mungu wambinguni ana mtumia sana
@faustermtavangu8212
@faustermtavangu8212 11 ай бұрын
Mungu akubariki Mchungaji Mungu amejibu maombi yangu Asante Mungu Asante Mchungaji Mungu akutunze
@dismashurbertshirima3241
@dismashurbertshirima3241 10 ай бұрын
​@@tatually9055❤❤❤❤❤
@iranzi6788
@iranzi6788 11 ай бұрын
Ubarikiwe saana pastor. ... Naweza pata contact za pastor hata kama ni za social media?
@ReubenKihili-mn7zs
@ReubenKihili-mn7zs 9 ай бұрын
Ahahahah paster umenifurahisha Leo umenifundisha kitu nayabwaga yote kwa mungu shetani ataisoma no...
@alidnyalusi5710
@alidnyalusi5710 11 ай бұрын
Ufalme wa MUNGU upondaniyangu
@jameskirwasang4353
@jameskirwasang4353 11 ай бұрын
Amina Amina
@rebaccaewoi8882
@rebaccaewoi8882 11 ай бұрын
Amen happy Sabbath day pastor 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@eunicekalamakalama3263
@eunicekalamakalama3263 11 ай бұрын
Amen Amen Amen
@solangemaniriyo5497
@solangemaniriyo5497 11 ай бұрын
Amen 🙏
@sauud2some471
@sauud2some471 10 ай бұрын
Ameen barikiwa sana mutumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
@JM-en2vu
@JM-en2vu 11 ай бұрын
Amen, Pastor 😇
@raheljose9524
@raheljose9524 11 ай бұрын
Amina Pastor 🙏 ubarikiwe.
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 11 ай бұрын
Ameeen Pastor 🇹🇿🇴🇲
@user-rq8rz4md5x
@user-rq8rz4md5x 11 ай бұрын
Amen Mungu akubariki uzidi kuinuliwa Kwa viwango
@queensusany8078
@queensusany8078 11 ай бұрын
Natamani niwe na Imani kubwa kama hii !!ee Mungu nisaidie!!
@ainebyoonabolis9880
@ainebyoonabolis9880 11 ай бұрын
Asante sana Mchungaji kwa neno la Bwana. Lakini ninachangamoto ya ugonjwa wa ulcers, nimejaribu madawa mara kadhaa lakini bado sijapona, naomba nawe uniombee . ( Jina langu ni Bolis Ainebyoona kutoka nchini Uganda)
@Jastus100
@Jastus100 11 ай бұрын
Mungu akuponye, nenda kwa prophet kakande yupo uganda utapona
@RahmaRahma-ie6ey
@RahmaRahma-ie6ey 11 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe Mutumishi wa mungu Mimi nipo Oman ninaitwa Rehema ninachangamoto ya kichwa naomba uniombee
@callmemaggie254
@callmemaggie254 11 ай бұрын
@@Jastus100 kakande ni mzanii tu mungu ndiye mponyanji tu bora tu akuwe na imani kidogo kama mbunje ya haratani
@josephatodimary3633
@josephatodimary3633 11 ай бұрын
Ukimsikiliza Pr mbaga utaweza kuomba mwenyewe na Mungu atakujibu msidanganywe na ma prophet
@joycelanda8987
@joycelanda8987 11 ай бұрын
Amini tu Mungu atakuponya mpendwa!!
@rehemanashon3739
@rehemanashon3739 11 ай бұрын
Aminaa kubwaaa, Mungu anaishi ndani yangu 🙏🙏🙏
@KendiLydia-tf2ii
@KendiLydia-tf2ii 2 күн бұрын
🙏🙏🙌
@callennyanchama4014
@callennyanchama4014 11 ай бұрын
Amina
@nellukay7194
@nellukay7194 11 ай бұрын
AMEN 🙏🏽
@papabishopmusic8844
@papabishopmusic8844 11 ай бұрын
Ameen
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 11 ай бұрын
Suala la kupendezwa na mahubiri ya pastor Mbaga, ni nyeti sana. Sisi tumuombeeni yule mwovu, asije ruhusiwa akamdhoofisha kama vile pastor Mhando.
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 9 ай бұрын
😅🎉
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig 11 ай бұрын
AMINA
@user-qw1wp7vc5i
@user-qw1wp7vc5i 10 ай бұрын
Pr.mimi kwavile sikujua na niliolewa namchawi ameni angaisha akunakitu naweza Fanya ifanikiwe mi nimwanabiashara tangu nimweleze mikono tangu yoteinagandaikiuma nanimefika sikuiziroho yamaombi sina na nikisikia kuomba mwili inakuamzito na uchofu siwezi omba nisaidie mtumishi ninateseka
@upendomaduhu1310
@upendomaduhu1310 7 ай бұрын
Hata choon inawezekana?maana mili nikienda uani huwa nasukumwa sana kusali lakin naogopa
@nishimwedanny4691
@nishimwedanny4691 11 ай бұрын
Live? Mala ya kwanza Amen
@GebosEliakim
@GebosEliakim 6 күн бұрын
Mchungaji niaomba namba yako ninashida ya kitu kinanisumbua sana
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 6 күн бұрын
+255 755 932 283
@jennysabina8696
@jennysabina8696 5 ай бұрын
Amen
@judithnjalambaya2450
@judithnjalambaya2450 11 ай бұрын
Amen 🙏
@JacklineKwamboka-jf6vw
@JacklineKwamboka-jf6vw 8 ай бұрын
Amen
@emilyasati2357
@emilyasati2357 9 ай бұрын
Amen
@user-gp5vc7cb7i
@user-gp5vc7cb7i 11 ай бұрын
Amen
@rachelraphael1355
@rachelraphael1355 11 ай бұрын
Amen
@Worship396
@Worship396 11 ай бұрын
Amen
@PatrickSanka
@PatrickSanka 10 ай бұрын
🎉
@esthersimuli9952
@esthersimuli9952 11 ай бұрын
Amen
@faustinajili4164
@faustinajili4164 10 ай бұрын
Hello
@toshalulinda1493
@toshalulinda1493 11 ай бұрын
Amen
@monicaphabian3908
@monicaphabian3908 11 ай бұрын
Amen🙏
@joshuangimba-qh4dl
@joshuangimba-qh4dl 11 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa kujua hili somo
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 9 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 35 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 209 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН