Mahali popote alipo chukuliwa Mme wangu, ninapo sikiliza ushuda huu nami bwana uni tendeleye Mme wangu arudi katika jina layesu christo amen
@sallysalamakenga6329 Жыл бұрын
Na haya ndio tutakayoyahubiri vijijini kwetu, lazima falme za dunia zigeuzwe kua ufalme wa MUNGU kwa jina la YESU AMEN Hallelujah
@nzambimunyao56652 жыл бұрын
Amen niombee my dad my and my sister warudi,alafu Niko na brother alipotea hatujui ako wako
@SarahSarahjohnson3 ай бұрын
Njooo kwa jina la Yesu
@serahmutemi3 ай бұрын
Njooo kwa Jina la Yesu
@auntiesarah43933 жыл бұрын
Askofu Gwajima Mungu anakuamini kuifanya kazi yake,akuongeze mafuta ili kuendelea kuisaidia jamii,
@ruthnyamoita99827 жыл бұрын
GOD is good all the time,Bishop may God give you power and do the miracles,let the devil and is agents continue to die with there powerless.This really The Power of Jesus Christ ,me I see practically agents send to try Bishop but they are powerless inJesus Name.me I believe God give us your power than the devil.
@gracezunda88045 жыл бұрын
MUNGU WA MBINGUNI ATATUSIMAMIE SANA MTUMISHI NABARIKIWA NA KAZI YA MUNGU UNAYOFANYA NIKO MUSOMA LAKINI NIMEUONA UWEPO WA MUNGU NA YESU BWANA NA MWOKOZI WETU,MUNGU AZIDI KUKUINUA NABII J.GWAJIMA, AMEN
@mwananyamalaz44273 жыл бұрын
Amen 🙏 God is awesome always thank you so much from Australia 2021 God bless 🙏
@winnievienda16234 жыл бұрын
Mungu hakutiye ngufu uendele hivio hivio
@sisterolivia98743 жыл бұрын
Nitampata wangu katika njina la yesu.
@lugendodaniel52662 жыл бұрын
Hii Ni kweli Wala sio masiala
@janekchannel50748 жыл бұрын
niki Saudi Arabia nimeshtuka kusikia haya BaBa Mungu nizingire na Damu ya Mwangi Yesu Kristo,Amen
@maulidmsangule1987 жыл бұрын
Yaan kweli nynyi kondoo muliopotea hivi kiakili zako ushasikia shekh wa Africa masahariki alafu muwe mnauliza hao wachungaji wenu kasoma chuo gani kamaliza mwaka gani huyo muongo kama mesoma madrasa kigoma ataje madrasa gan acheni dini za ubabaishaji cc ukija na kitu ktk uislam lazima tukuhoji vizuri na lazima utoe dalili za maandiko sio kubabaishana
@janetchildofgod12545 жыл бұрын
Uisilamu hautakupeleka Mbinguni
@christinedisii6268 жыл бұрын
Mungu asante hakuna ukristo bila Roho Mtakatifu
@esteramani15517 жыл бұрын
Mungu nikubuke namimi mubarikiwe nyiwote muojitowa kuobea watu
@esteramani15517 жыл бұрын
Munae jitowa kuobeya watu amen
@zainamastaki57897 жыл бұрын
amen ñaaà q11111
@ceceliawamboi36363 жыл бұрын
@@esteramani1551 1%QST r55r__&_(' _
@ceceliawamboi36363 жыл бұрын
@@esteramani1551 1%QST r55r__&_(' _
@esaiehakizimana57834 жыл бұрын
Yesu Kristo ni Bwana
@khairatzinzibar14348 жыл бұрын
Mungu anatenda kwa kweli ni maajabu makubwa baba unayoyafanya Mungu azidi kukupa uweza pastor
@sophynyabosh43862 жыл бұрын
Ameeen
@janegeogre32344 жыл бұрын
Amina sana!!!... dady nakupendaga sana!!!
@muaminhakizimana16714 жыл бұрын
Nakupenda bishop kwakaziyako nzuri
@hezronkangalawe13198 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Askofu Gwajima. Unanibariki sana. Mungu aimarishe kazi yako.
@danielwangiri75574 жыл бұрын
Kwa ushuhuda wa uyo dada wa Zanzibar iyo Ni chuma uletee na chuma ulete nijanga Sana kwa wafanya biashara ,kumbe Ni misukule ndio ndio inatumwa kuiba ???🤔🤔, Atukuzwe Mungu wa Bwana Yesu kristo ndani ya Mtumishi wake Josephat Ngwajima, 🙏, Mungu akutunze mtumishi, na Mungu atusaidie
@khairatzinzibar14348 жыл бұрын
jamani ni maajabu duniani pastor gwajima Mungu akupe maisha marefu na uzidi kuwarudisha walioptea hata kama na mm nimepotea bila kuja naomba kurudi
@mamatuishi-mamatuondoke88227 жыл бұрын
Mungu wetu yu mwema kila wakati
@maulidmsangule1987 жыл бұрын
Wewe khairat huna akili
@peninahkariuki11362 жыл бұрын
Ameen 🇰🇪🙏
@zlfamz35402 жыл бұрын
Nkuomba gwajima umuombe babngu anaitwa munga nimkenya anaeza kuwa alichukulwa msukule juu alipta ajali gafla
@reginarhina68378 жыл бұрын
nikweli pastor anae katakata nimchiwi huo apigwa kabisa Amen
@maryjane70436 жыл бұрын
Man of GOD
@sarahsonny92402 жыл бұрын
Please learn how to write God in capital letters if u r write in small g it's mean something else thanks for understanding
@devidmuseveni43232 жыл бұрын
Muzili,sana
@lazaruskevo35993 жыл бұрын
Ameen
@davidodaking42697 жыл бұрын
ubarikiwe baba
@liliansanga27376 жыл бұрын
Mti wenye matunda hupigwa mawe,Mungu awe nawe katika huduma yake mtumishi wa Mungu usiogope wanadam
@marynjeri85008 жыл бұрын
Mungu mkumbuke mahali alipo.
@nancyisoyi8164 Жыл бұрын
MTAJEEEEEEEEEE!!!!😅🥳🥳🥳🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐
@reginarhina68378 жыл бұрын
wapigwa wachiwi wana subuwa sana wachiwi
@goodluckchuwa73837 жыл бұрын
penda sana we we mtumishi
@valentinandukuvalentinandu47794 жыл бұрын
Amen
@lugendodaniel52662 жыл бұрын
Wachawi wapo nanihatari sana
@davidodaking42697 жыл бұрын
Ee mungu baba tusaidie jehova nishi uishie milele...! zidi kutuokoa juu ya jaribu hili..uimidiwe mungu baba muweza wa yote...!?
@rithersospeter23227 жыл бұрын
Amen.
@Zefaniaonline3 жыл бұрын
Hayo mambo yapo hata kwetu ilisha wai kutokea mtu alikufa miaka mingi alikuja kuonekana akiwa msukule alifanyiwa maombi mpaka Leo ni mzima kabisa
@acci651610 ай бұрын
Huwa wanafanya tendo la ndoa?
@lazerpacer1894 жыл бұрын
this pastor dude is asking leading questions..he shouldah let the musukule vibe without prodding..watanzania kweli mwapenda mambo za kishirikina sana..lakini, ndio hivyo..
@lugendodaniel52662 жыл бұрын
Kinga kubwa Ni kuokoka tu.
@wolfugangtesha57246 жыл бұрын
Mm ninapenda sana mafundisho ya Askofu Gwajima kwa kiasi kikubwa yamenibariki sana....lkn suala kusema huyo mtoto alikuwa amekufa na akafufuliwa na haikuwa habari kabisa kwenye nyakati hizi za teknolojia inaingia akilini kwa shida sana...
@thomkaro74323 жыл бұрын
Yb
@therkilamlya68818 жыл бұрын
nimepata.kitu.baba
@aishaothman43484 жыл бұрын
Uongo mbaya hiyo yote ni kutafuta pesa tu
@sweetlisious2 жыл бұрын
hapo ni jina la Yesu tu.. mmekuja wenyewe kushuhudia mliyonayo huko kwenu hamjaitwa ukumbuke...mnajiletaga wenyewe.
@maulidmsangule1987 жыл бұрын
Kua mkweli Gwajima washawishi watu wako kwa maandiko sio kwa uwongo wa namna hiyo eti namjua lakini simfahamu ah kweli unakondoo umewaongopea unafufua watu umeona haitoshi sasa unatafuta kiki katika uisilamu wetu kama wewe ni mkweli mwambie ataje vyuo alivyosoma yaan kasoma ktk Nchi za kiarabu hatakiarabu hajui hata watoto wa madrasani kwangu hawawezi kwa kiarabu
@sweetlisious2 жыл бұрын
watapigwa kwa jina la yesu huyokaka mbishie yeye aliyekuja kusimulia humu tabia zenu.. tuachie gwajima wetu kwa mamlaka ya Jina la Yesu
@sweetlisious2 жыл бұрын
Gwajima mkweli na ukweli humuweka mtu huru kwani hao watu waliitwa...
@christinedisii6268 жыл бұрын
Yote hi ni mali ya dunia tafakarini itakufaa nini ukose mbingu
@evaliliansonzaro90357 жыл бұрын
Christine Disii
@shukraninapatachakurachana84077 жыл бұрын
unawaogopeya makafiri wenzio
@saidiabaheya68016 жыл бұрын
shukrani napata chakura cha nafsi Harun kivipi
@abdulpaku50517 жыл бұрын
Huyo mwanamke kuhusu pemba muongo sana maana kwa mtu mwenye akili hata km anaimani sana anashtuka
@resbesa21937 жыл бұрын
thank u god
@resbesa21937 жыл бұрын
Abdul Paku
@sweetlisious2 жыл бұрын
mtajua wenyewe... tunayaweza yote katika yeye atupaye Nguvu. Yesu ni jibu
@mrsanjeet6558 жыл бұрын
mnajua kutafuta pesa...hehehe
@sallykanze7 жыл бұрын
Shindwa in Jesus name
@jp28826 жыл бұрын
Mr Sanjeet Fear God
@sweetlisious2 жыл бұрын
mmekuja kushuhudia wenyewe mambo yenu mfanyayo... hakuka hakuna mwanaume kama Yesu na mnajua hulo.. sisi ni Nuru na nyie ni giza
@marynjeri85008 жыл бұрын
Huyo mtu wa kwanza.kifo alichokufa kwa maji ni kama couzin alikufa alikuwa anafanya kazi kwa kampuni ya chuvi, darsalamu.wakiwa kazini wa kasikia mlipuko wakitoroka wa kisema ni bomu.eti my couzin alitorokea kwa bahari akaliwa na mamba nusu.tulimzika miaka miwili sasa.
@elizabethmwandu2877 жыл бұрын
Ee Yesu pigana na watu wanaopigana nasi okoa watu wote wanaoonewa bila hatia
@salimalmarhoobi56757 жыл бұрын
pesa mbaya iyo yote kutafuta pesa
@simonshija24764 жыл бұрын
masala kolangwa!!! yeneyako
@sweetlisious2 жыл бұрын
Yesu ni Jibu ... there is [power in the name of Jesus.
@wolfugangtesha57246 жыл бұрын
Mm ninapenda sana mafundisho ya Askofu Gwajima kwa kiasi kikubwa yamenibariki sana....lkn suala kusema huyo mtoto alikuwa amekufa na akafufuliwa na haikuwa habari kabisa kwenye nyakati hizi za teknolojia inaingia akilini kwa shida sana...