UFUGAJI WA NGURUWE

  Рет қаралды 17,104

Tumaini_Tv

Tumaini_Tv

Күн бұрын

Пікірлер
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 16 күн бұрын
Asante madam. Umeelezea vizuri sana
@lucasluvanda2250
@lucasluvanda2250 8 ай бұрын
Tunawashukuru sana kwa elimu mnayotupatia hasa kutokana na uzoefu ila tatizo la nchi hii hatuna wataalamu compitent wanaoweza kutusaidia katiks mazingira yetu
@kimongemalyawere
@kimongemalyawere 8 ай бұрын
Hongera sana mama. Mimi naitwa Magreth Kimonge naomba kujiunga nanyi wafugaji wenzangu
@wanyonyijoseph2052
@wanyonyijoseph2052 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana. Hongerq
@scholasticamchokopa6515
@scholasticamchokopa6515 8 ай бұрын
Tunashukuru kwa somo nzr, Ila Sasa najiuliza chakula hiko mfano 4,000 kwa CK Ina maana kwa mwezi 120,000 Sasa kwa miez 7 ili umuuze inakuja Kama 840,000 inapita hata Bei ya Nguruwe ukimuuza, ,, nielekeze vzr hapo kipenz labda sijaelewa vzr
@maliselimsoka7062
@maliselimsoka7062 9 ай бұрын
Hengereni Sana mama, nyie mnapatikana wapi ? Na mawasiliano yenu
@agripinamatinya3436
@agripinamatinya3436 9 ай бұрын
Hongera sana mama
@frankyeye
@frankyeye 9 ай бұрын
Hongera san mama
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 9 ай бұрын
Ahsante sana mama
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 10 ай бұрын
KAZI nzuri
@SamwelBupilipili
@SamwelBupilipili 5 ай бұрын
Hata Mimi hapo nashidwa kuerewa 3600 ni hesabu kubwa nihara kwa mfungaji 30:04
@kimongemalyawere
@kimongemalyawere 8 ай бұрын
Kweli kabisa mama kuanguka kupo sana .Jamani tusaiduane mwongozo
@CreshaRevelian-wb6ky
@CreshaRevelian-wb6ky 8 ай бұрын
Mama wewe ni mentor wetu unafunguka kwel ila chakula Cha concentrate mbona husemi mama angu kama vile dodoki, cowardice nurscience nk
@ConfusedBeachHammock-hq8fr
@ConfusedBeachHammock-hq8fr 8 ай бұрын
Uko sawa niurize Hivi nipozi kwa watoto inaweka urefu gani kwanzia chini
@PetroLogani
@PetroLogani 3 ай бұрын
Kiukweli kukisha high bride ni kipengele Sanaa..... Ni galama uko kwa wambulu hawana kulisha mnyama wala hawana time ya kuchanja wao wanafuga kama kuku wakienyeji utamwambia afuge high bride kununua mbegu tuu ni kisanga chakula ni ada ya mtoto shule unategemea ataweza vip Hapa kila mtu apambane n part yake Mimi nimefugA local kwa makombo wanaweza kukupa mtaji ila tuuu ukuaji wao ni wachini na local ndio wanakupa mtaji Na hawa local kanyaga twende 😂😂😂 hawa high bride ni lazima jicho liwe wazi laa sivyo hawatakuwa na tofauti na local kwa ukuaji Kama upending nguruwe unapenda pesa yake fuga local unalisha chochote ilaa watakuchukua mda kukupa matokeo high bride matoke chanya ilaa uache kazi ufanye kazi Sio uchukue kijana tuu umpeleke shambani Leo kesho tiali umemuamini unamuacha mwenyewe utoboi ukitAka kufuga kwa tija usimame mwenyewe MKE/Mme au mwanao na awe na mapenzi na nguruwe
@nerrykawonga347
@nerrykawonga347 9 ай бұрын
Mkowapi mama
@ConfusedBeachHammock-hq8fr
@ConfusedBeachHammock-hq8fr 8 ай бұрын
Dawa nazo hazihusiki(?)
@Juliana-fx8tr
@Juliana-fx8tr 6 ай бұрын
Mayofali yamejengewa ya nchi ngapi
@GichoNyachore
@GichoNyachore 6 ай бұрын
Sio kilo 4000 amesema mlo 4 kwa ck kg 12 sikiliza vizuri
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН
Симбу закрыли дома?! 🔒 #симба #симбочка #арти
00:41
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 6 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
Charles Hilary wa Ikulu Zanzibar afunguka Kuhusu kwao na makuzi yake
4:00
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 87 М.
Kuku wenye Uzito stahiki , mayai makubwa na kiini cha njano.
3:36
Falcon Animal Feeds Ltd
Рет қаралды 1 М.
Ufugaji wa nguruwe kisasa.
34:35
ITV Tanzania
Рет қаралды 66 М.
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
ITV Tanzania
Рет қаралды 27 М.
Long Nails 💅🏻 #shorts
00:50
Mr DegrEE
Рет қаралды 18 МЛН