Nzurii San mashaallh onaa naomb ututumie vipimo Yan km ufuta ukiwa nusu n sukar inakuw nusu Yan saw sw ama inakuw vip kipenz
@nolimittvonline6822 Жыл бұрын
Yani wew ni moja ya watu wenye moyo mzuri sanaaaaa asntee Sanaa mziwanda IPO siku ntakutumia zawad yako
@witnessjames35483 жыл бұрын
Kwakweli mziwada mko vizuri sana,mnafunsisha na mtu anaelewa vizuri
@happymosha52533 жыл бұрын
Asante luv,kwa kweli.Mziwanda umebadilisha maisha yangu,Mimi ni mwajiriwa,before nilikuwa nategemea mshahara tuu..,but nowdays nina vibiashara kama zote.... Yaani Mungu Wa mbinguni akubariki sanaaa😘😘
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Amiin my darling ❤❤
@nasmaomary22072 жыл бұрын
Qq
@faridalupola49772 жыл бұрын
Asante nimejifunza💞
@khadijahaji63413 жыл бұрын
Mashalla asante kwa mafunzo
@housewifehomestead3 жыл бұрын
Ukitaka ziwe crunchy reduce the amount of sugar. Measure in the ratio of 1kg simsim seeds to 1/2 kg of sugar
@HadijaSheban3 жыл бұрын
MashaaAllah napenda sana ufuta kipenzi 😋shukran
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😘😘
@siriyangu47243 жыл бұрын
Mashallah shukran dda
@oliverchesco20643 жыл бұрын
Video imekuja kwa wakati kabisa,thnx so much
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Karibu dear
@vailethkinabo79613 жыл бұрын
Barikiwa dada
@janegeogre32343 жыл бұрын
waaaao! mziwanda nakupendaga sn ww mdada
@Georges.Kitchen3 жыл бұрын
Ubarikiw dada angu ❣️💪❣️
@tatually35653 жыл бұрын
Barikiwa sana
@fotunathapeter24213 жыл бұрын
Jamani wa kofia za graduation usimsahau maana anapambana kukukumbusha👏👏👏
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Sawa dear
@rhodawairimu63833 жыл бұрын
Asante sana nitajaribu pia mimi
@Sadedimples3 жыл бұрын
Mashaallah kashata😋
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
😋
@fatmahussein57323 жыл бұрын
Mashaallah
@witnessjames35483 жыл бұрын
😋😋
@irenelugano30062 жыл бұрын
Mngao unatengenezaje
@queentz83143 жыл бұрын
Shukrani mamii hivi ufuta hupatikana wp kwa wingi? Je huwa ina msimu ktk upatikanaji wake?
@nasramohamed84693 жыл бұрын
Masha Allah,kweli ni rahisi.. Ila Nina swali mziwanda,mie niliiacha wazi ikalala lakin nilikuwa nimeshaikata,sasa asubuhi nimeikuta inanata km sukar imenatia kwenye bakuli!! Kwa nn au lazima niweke kwenye sehemu isiyopiga upepo?
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Sukari haikuiva vizuri pia zinahitaji kukaa kwenye kwenye kufunikwa
@nasramohamed84693 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 oooh shukran sana,nilihofia isije ungua ndo maana nilivyoona imeyeyuka tayar yote nikatia ufuta.. Allah akubariki.
@edinamasunga74733 жыл бұрын
Asnte madam, somo letu sasa la kofia za graduu usisahau
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Hahahahaaa
@edinamasunga74733 жыл бұрын
Nasubir kwa hamu,msimu unakaribia
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Ni kweli
@beckahekimambogela48382 жыл бұрын
Mi nilitengeneza zikatawanyika nilikosea wap ndugu
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Sukari haikuiva kwa uzuri
@witnessjames35483 жыл бұрын
Dada samahani naomba kujua km unaweza kutoa ladha km vanilla