Mama dame ndani kwa ugai gai 👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️🤲🏻 kz nzur mkojani Gang
@dashuu52952 жыл бұрын
Mama dame kamuelewa kamugisha mi mwenyew nmemuelewa mana mstaarab balaaaa
@allymohammed73232 жыл бұрын
Yaani wanawake pengine gari kanunua mwengine shukrani anapewa alosaidia kuiwasha wanawake saluti mmeelewesha jamii
@rashidabass56692 жыл бұрын
Mama nimemkubali kaicheza vizur sean yake akitoa shukran za kupata msaada kutok kwa kamugisha huku akionesha dalili flan ivi zinazosomeka kwa mbali nimependa sn hongera
@mugheiry2 жыл бұрын
Its Scene not Sean
@pacitozi76122 жыл бұрын
Love from weezynational 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮
@hajimuhammed44422 жыл бұрын
Ugaigai iko poa sana hongera kwenu kwa burudani nzur 👍🔥🔥🔥🔥
@yasodishonest97922 жыл бұрын
Sisi wenyewe sio maostazi wala nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@boyiddy93232 жыл бұрын
Hahahahah yaani mambwende ananimaliz kbsaaaa
@prospermango65262 жыл бұрын
Mkojani bhana unatucheleweshea sana bhana hii kazi.
@alhimnamussasaid36192 жыл бұрын
😆😆😆😆 yaani najikuta tu nacheka na kamugisha si kwa jimama hilo wallahi
@halimagheo1702 жыл бұрын
Mambwende ananichekesha eti we are together tunawakilisha😂😂
@aliabdallah89082 жыл бұрын
Mi napenda tu ili goma la ugaigai nainjoy kwa kweli
@ahmedsdk67362 жыл бұрын
Mbona kama Mnalazimisha Zali la Mentali kwa Kamugisha
@falmaliciousfoods46382 жыл бұрын
Kamugisha usidondoke🥺 we love you 😍 unatuachaje Sasa 😪😭😭
Hapo ndipo utaona ubingwa wa nagwa katika ukatili.bendera chuma mlingoti chuma.Huyu kijana mwenye sauti nyororo anatuzingua tu.kumvisha kibukta na kumuiga nagwa mmefeli sana Kwa hilo
@allyfrolence75692 жыл бұрын
😀😀 yaaaan anajarib saana lakin bado kwa ngoma nagwa
@ramsheysweetcakes19632 жыл бұрын
Hii nyimbo ina itwaje jaman na ipnda san ana vyo imba huyo kaka
@ausijafu78862 жыл бұрын
Daah! mambwende best speaker wa English language 😂😫
@officialsaddmfalme53812 жыл бұрын
Mabwende tusimchukulie poa uyu Atari
@tabithafrank7148 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 eeeh ukiwaa na ndugu kama haaaaa shdaaa
@timothysirengo1 Жыл бұрын
Love it
@gyeong59722 жыл бұрын
Alooo aloooo alooo hongereni sanaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@eliyanorobeth85672 жыл бұрын
Kiukweli sarim ukovizur saana kwenye kuingza. Nimekua nikifatilia move zako nying hasa kwenye seen uliyohuska unaicheza poa saaana kiukweli...! Naiman ukiendelea hvo utafika mbali saaana Tena saaana unawezakua kanumba ajaaee
@zuweinaalhabsya87732 жыл бұрын
👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻
@anatolendikuriyo15292 жыл бұрын
Chumvi uko na hakiri timamu kwl eti mkongomani aliye firsika😀😀😀
@abelfrancis84372 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@omarbosiomar86082 жыл бұрын
Pa1 daima
@saidiamiri79632 жыл бұрын
Kamugisha mzee wa mazal
@lilianwaithaka2702 жыл бұрын
😂😂😂😂ety naye kamgisha ana taka kukata kwenda kwadada ety ana ogopa🤣🤣🙌🙌🙌
@issamsodoki67822 жыл бұрын
Iyo nyimbo nitaipataje ugai gai
@halimaahadiahadi192 жыл бұрын
Ila chumvi nyingi na mambwende balaaa
@pepetuampole11522 жыл бұрын
😂😂😂😂yani chumvi nyingi eti usimsifie uko mbali Sana
@anatolendikuriyo15292 жыл бұрын
😀😀😀
@athumanmgissasimbadamu33162 жыл бұрын
Si Unajua Tena mashemeji 😀😀😀😀😀😀😀
@tafboy91462 жыл бұрын
Naipataje iyo nyimbo
@jafarimakenzi53532 жыл бұрын
Nawakubalii sanaaa
@mrsammmukendi25642 жыл бұрын
Mtupe 17 haraka
@saidtundamnyamwezi52632 жыл бұрын
Hatari kamgugisha mzee wa mademu
@husenrashid39882 жыл бұрын
Yan mwanz mwisho
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
🔥❤️🔥
@nishrash36372 жыл бұрын
Huyu vp mbona siku hiz anaongea kama anabana pua🤣🤣🤣 chumvi nyingi salute
@abelfrancis84372 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@selemankishuga9482 жыл бұрын
Uko mbali sna we uyuu ni mkongo man 😂😂😂
@saidtundamnyamwezi52632 жыл бұрын
Watu namashemeji si unajua tena🙈🙈🙈🙈🙈😂😂😂😂kamgisha hatar🏃🏃🏃🏃
@fettytaph80932 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Chumvi anataka kumpiga Chado🤣🤣🤣🤣🤣
@jeremiasausi2982 жыл бұрын
Unyamaa mwingi 🔥💪💪
@emmanuelkhisa84532 жыл бұрын
Pitia frm 254💥💥
@wilondjarama14272 жыл бұрын
Nawakubali sana 😂😂
@karimabdoul8164 Жыл бұрын
Nc mouve
@harunaferuzi89042 жыл бұрын
Mambwende 🤣🤣🤣kinyamsisii
@sayyidaliy59252 жыл бұрын
, mhmmmmmmmm co pia yani
@saadataj53172 жыл бұрын
Ugaigai wa kiwango cha juu
@omarjuma29372 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@halimaahadiahadi192 жыл бұрын
Wakwanza hapaa
@LewisDeus-ii2gk11 ай бұрын
Yaani wewe baba unajua aisee
@officialmaasai46022 жыл бұрын
Kweli patamu mama vadme ndani ya nyumba
@saidtundamnyamwezi52632 жыл бұрын
Kweli huu ugaiugai
@mbuvamedia1952 жыл бұрын
Nissan Murano ya mke wa Mkojani🤣🤣
@hidayamgeni49382 жыл бұрын
kamugisha kibenten kipya mjini 😂
@johnbernad39902 жыл бұрын
🤣🤣
@yasodishonest97922 жыл бұрын
Chumvi jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🤝
@amenaamena5453 Жыл бұрын
Mkojan uko wap 🤣🤣🤣🤣
@mohamedmkape6982 жыл бұрын
believe me or not, mambwende ndio master wa hii game
@madarakaempire47442 жыл бұрын
Iwe klasiku bhn
@swalehebakari84002 жыл бұрын
Mkojani kauponza itakua akikamatwa mh😆
@dawiyamtangi14032 жыл бұрын
Yan chumvi nyingi ananichekesha
@adamtawete58652 жыл бұрын
Chumvi hana akili hata mmoja
@hajimuzz2 жыл бұрын
Good movie 🎦
@fadhilaiddi5352 жыл бұрын
Chumvi ulikuwa waelekea kupika jikoni au vp mbna masufuria tena😃😃🤣😂
@hamisahamisa58962 жыл бұрын
Nimeitafuta hii
@mcmgondepx2 жыл бұрын
Kizazi
@issaamirishenkarwa33912 жыл бұрын
Sema kimeumana
@safiasaid45632 жыл бұрын
Salimu umeokota dodo sasa
@njungujames75012 жыл бұрын
Naomba like
@emmanuelchejo71542 жыл бұрын
Baada ya hii toeni ingine mctucheleweshe jamani
@vurilyrics30042 жыл бұрын
Tunaomba mutuwaahishie episode
@ramashemngindo57192 жыл бұрын
Moto mkali
@othmanmazuri13652 жыл бұрын
ugaigai moto
@khairatfarid50562 жыл бұрын
Iy nyimbo ya matapel inaitwaje?
@vicentgwijuma51492 жыл бұрын
First
@loganpoul2 жыл бұрын
Tarehe 24 mshahara ndio watoka
@patrisami84052 жыл бұрын
Wa pil
@loganpoul2 жыл бұрын
Tutumie namba tukutumie mshahara
@GBOY_PRODUCTION2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@ndollazephania38522 жыл бұрын
Bala bala ya vumbi haina zebra
@suleimankatana39092 жыл бұрын
😂😂😂😂😂much love team mkojani
@falmaliciousfoods46382 жыл бұрын
Thanks a lot 🙏 💓
@rugendorunene5452 жыл бұрын
Mkojani 🤣🤣🤣🤣!
@kapondamsita4762 жыл бұрын
Vichekesho
@hafidhissa44052 жыл бұрын
Mambwende 100%
@issaamirishenkarwa33912 жыл бұрын
Kamugisha kapata zari tena
@danielyared48802 жыл бұрын
Hariiii
@omariamiri55562 жыл бұрын
Mama dame ndani
@amishbby85492 жыл бұрын
Kamngisha sugarmumy kakuzimikia 🤣🤣🤣🤣
@hamidmweusiii352 жыл бұрын
Kwel apo asifny pupa tu ajiandae kupikiwa na kupakua t ndo mazari ya mjni Ayoo