Jaman Leo nmekuwa wa kwanza kuitazama piten hp nalike zenu zote.😍😍
@geofreylucas94694 жыл бұрын
Huyu jamaa mwenye swaga kama za Yesu ni creative thinker big up sana
@shaphyvuai68054 жыл бұрын
Hahaaah u see that
@rahmamlela4 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@simbasimba35664 жыл бұрын
Yesu wa kitanga uyooo
@amanmozilla87664 жыл бұрын
Jmaa yko vzur sna
@abdulazizimkoloka16204 жыл бұрын
Huyu jamaa hatari hata movie zake angalia nzuri sana
@deogratiasyagomba2874 жыл бұрын
Hawajamaa ni creative sana ni best comedy in Tz,script wanapita nazo vizuri,sound na picha quality safi na wanavaa uhusika kwenye scene pia lugha ya Kiswahili kilicho nyooka kwa kifupi kwa wanajua mambo ya saana nikisema hivi wanaeleawa
@Lumegilemukata3 жыл бұрын
Huyu jamaa ananifurahisha Sana Is big talented 🙏🙏
@salumbaa73784 жыл бұрын
Ndoa ya kwenye kiti haifanani na ya mkeka 🤣🤣, na Mungu wa Mo dewji na bakhresa ndio mungu wetu Me na wewe... ❤️
@Jastus1004 жыл бұрын
Mmehamasisha amani wakati wa uchaguzi, Hongereni sana ndo maana napenda hiki kipindi kinafurahisha na kutoa elimu kwa wakati mmoja
@KingHenry884 жыл бұрын
This is comedy, the production quality pia ni nzuri!
@samoocoolingsystem934 жыл бұрын
Nani amegundua Mr Magufuli kapigiwa promo ya uchaguzi 😁😁🔥🔥🔥🔥
@Kimlaslyrics4 жыл бұрын
Hallow, kimlas here... Nime subscribe kwa Channel yako, kama hautojari naomba support yako pia kwa channel yangu, vist na u subscribe pia
@HassanALI-wb4kp4 жыл бұрын
mna fanya vizur kwel wa kuuu
@luqmaneme91054 жыл бұрын
Hili nifunzo kuelekea uchaguz vzur vijan kwa kuhamasisha amani.
@tadashaclassic77664 жыл бұрын
Nini maning'ining'i Kama haiwatoshi moameze kolokwini naomba like yangu Kama umeisikia apo
@eliarichard92184 жыл бұрын
Tadasha Classic kikuku cha mama loda
@chrischleopa77384 жыл бұрын
Anayemjua huyu jamaa mwenye swaga za Jesus move zake
@countrywizzkid61294 жыл бұрын
Sijackiaga utam walike leo nipeni🔥🔥🔥
@Kimlaslyrics4 жыл бұрын
Hallow, kimlas here... Nime subscribe kwa Channel yako, kama hautojari naomba support yako pia kwa channel yangu, vist na u subscribe pia
@brajurajise94734 жыл бұрын
Tuna cheka na kujifunza elim safiii sanaa
@josephmateru82544 жыл бұрын
Mbona mna haraka kama watoto mapacha wanaogombania kutoka😂😂😂😂😂
@robinmbele24814 жыл бұрын
you are best comedian bro...congratulations to you!!!!
@eliarichard92184 жыл бұрын
haaah kiba na mond na dareen mungu wao ni mmoja jamani mama lodaaaa huyu jamaa ni shiiida Sana'a.
@BigZhumbe4 жыл бұрын
Mungu wa Ali Kiba ndio huyo huyo Mungu wa Diamond...... Eeeh Mungu muinue Kiba km ulivyomuinua Diamond.... AMEN
@geofreylucas94694 жыл бұрын
Sawa ila mwenye juhudi zaidi ndo huinuliwa
@TopTalentVoices4 жыл бұрын
Ngonga like kama umeikubali mungu wa diamond ndo huyo huyo wa ali kiba
@officialkinatamc16194 жыл бұрын
Muko vzr xanaaaaa
@eliaspaulopaulo94054 жыл бұрын
Nawakubali yaniiiiiiii sanaaaa
@shabanimwinchea26964 жыл бұрын
This is more than ability, wanajua mnoooo
@salim02tv244 жыл бұрын
Nikiwaonaa 2 .. Nafrah na siku yang inakwenda fresh .. Mnajuaaa mpk mnakelaa.. Magogonii we dodoma
@eliarichard92184 жыл бұрын
salim 02 tv kikuku cha mama lodaaa
@phellysianponsian30044 жыл бұрын
Iko gud sana yan powaaaaaaaaaah
@dannielpaul37264 жыл бұрын
Jaman me ndo wa kwanza kuiona na ku coment ..like hapa
@raynaeafrica94644 жыл бұрын
Nampenda huyo sauti ya yesu😂😂😂😂😂😂😘😘😍
@nuratamir67054 жыл бұрын
Nawakubali sana hawa hasa huyu mtoa methali
@shaphyvuai68054 жыл бұрын
Hahaaah daaaaaaah huyu jamaaa ni nomaaaaaa... MUNGU wa Ali kiba ndio MUNGU wa Diamond jpo.... Queen darlin
@mgayamuya57184 жыл бұрын
Uyu muhuni
@obojoh7434 жыл бұрын
Kumbken mungu wa alikiba na ndo uyo mungu wa diamond
@eliarichard92184 жыл бұрын
ugomvi ndemwa na chamaa mmetisha sanaaa.
@princeprotector8633 жыл бұрын
R.I.P magufuliiiii daaaaaah nakumbuka ilikuwa uchaguziii 😥😥😥😥😥😥
@leonardtangazo35594 жыл бұрын
Gud work
@ABDISTARFILMS4 жыл бұрын
Mmetishaaa wakubwa tu
@footmobonline4 жыл бұрын
Enyi kizazi cha Bonobo. Mungu wa Ali Kiba ndo wa Diamond, japo wote wanamjua Queen Darleen😀😀😀.
@muddyaforeal11454 жыл бұрын
Huyu jamaa ana maneno sana Daaah Yana fundisho ndani yake
@chiefokonkwo25174 жыл бұрын
Wote wanamfahamu queen Darleen
@ahmadkhattar67604 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃eti kizazi cha gonobo
@officialkamdudu4 жыл бұрын
waomba like naomba niwafute... sijui mnawazaga nini kenge nyie
@shyfettymtunda49354 жыл бұрын
Enyi kizazi cha politic, amini amini nawaambieni kikuku cha mama Rhoda kimekula mtama wangu 😂😂😂😂😂🙌
Duuuh yani uyu mwamba kama yesu wa kizaramu vile yani ni anamisemo kama hadija kopa vile hahahahaha
@fakhially98264 жыл бұрын
Mkojan
@salumbaa73784 жыл бұрын
Ndemwa wa tano kucoment😂😂😂
@kiddmokerog32614 жыл бұрын
Dah
@hanifaabdallah94874 жыл бұрын
Watatu leo
@issaomary80644 жыл бұрын
Ha ha ha daah mmetishaa
@Wamburamedia64684 жыл бұрын
Subscribe channel yetu itwayo Gucci wambura Na follow my Instagram @Gucci_texas texas
@athumanhemed15734 жыл бұрын
Bata batani kwa viongozi 😂😂😂 nyie mnashikana mashati, hawajamaa noumaaaa
@denisngoinde36934 жыл бұрын
Ivi wanarushaga lini na lini wasafi tv na sangap plz jmn
@goodluckymartin3344 жыл бұрын
Nawakubaliii xnaaaaa
@masenga59784 жыл бұрын
Elimu kupitia sanaa
@mubarakmohamed11094 жыл бұрын
Wish kila mtu aone hii
@MenTPL4 жыл бұрын
Ubunifu sana
@hamidyakoub68654 жыл бұрын
Huy jamaa kiboko
@atambamaonesmo37334 жыл бұрын
Nice
@boeihongoa14364 жыл бұрын
Vipa ra....vipa raa😂😂. Ile ya gerezani para.
@amanijolam41404 жыл бұрын
kweli duu
@fathiasaed96414 жыл бұрын
Nyinyi mna Jenga nyumba moja kwann m na gombea fito
@Kamikomaiko4 жыл бұрын
Iko saw kabisaa
@johnylwambaga79004 жыл бұрын
Uyu jamaa wa kuvaa ka myahudi ananogesha sana sjui jina lake nani wadau
@alexmichael89504 жыл бұрын
ayubu
@issanyoka56414 жыл бұрын
Wakurungwa
@weremawangwe69224 жыл бұрын
Mbona hii nchi INA watu wanaakili sana huyu mtu anamaneno ya kujenga,tena kuna na nabii mswahili bado kuna msiba bado na wengine wengi kama Denis mpagaze yule jamaa wa simulizi watu wa namna hii wakiwa wengi nchi iyaelimika sana
@bruceclassic71274 жыл бұрын
Kizazi cha bonobo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mrishorajabu9984 жыл бұрын
Munaharaka kama mapacha wakati was kutoka tumboni😁😁😁😁
@goodlucktemu31494 жыл бұрын
Mungu wa diamond ndio uyo Mungu wa alikiba japo wote wanamjua queend_doreen
@mfaumemohamed87534 жыл бұрын
Noma sana
@alledymaimbosikaz12974 жыл бұрын
Daah!!!! Aise
@sospetermilobo4 жыл бұрын
Team Magufuli tujuane
@emmanuelmushi54 жыл бұрын
Kikukuu cha mama roda😂😂
@juliaayieta25784 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 japo wote wanamtambua queendarling 👸🏽👸🏽👸🏽 🤣🤣🤣🤣😍😍😍😍😍😍
@yazidmahrez59494 жыл бұрын
Chumaa kama chumaa
@getrudejeremia48244 жыл бұрын
Hahaaaaaaaaaa nouma
@safarikikaadrien1084 жыл бұрын
Adam na Alex 😆😆 Adam na hawa
@chrissjoel77524 жыл бұрын
*Huyu MTU tumepigwa za uso 😂😂😂😂😂😂😂😂 Anachamba balaaaa*
@pogbabundala6874 жыл бұрын
penda sana huyu yesu
@tzunimagazine32734 жыл бұрын
mabata 3🤣🤣🤣
@athumanijuma76914 жыл бұрын
Nikamaa
@stansilauseliasi78834 жыл бұрын
Mimechelewa
@bennyprosper90504 жыл бұрын
Enyi kizazi cha donobo
@alledymaimbosikaz12974 жыл бұрын
Mbele ya bata Kuna bata
@michaelstanslaus84294 жыл бұрын
Double impact 🤣😂
@peterbujuchinyo57254 жыл бұрын
Wa 4 leo
@mtedewede224 жыл бұрын
Alex like Yako hapa
@malilimayenga2614 жыл бұрын
Enyi vizazi vya bunogo
@farajachitema98514 жыл бұрын
Duh! Mme tisha
@doreensamwely87403 жыл бұрын
Magogon haah haah haaah
@awadhimminge92754 жыл бұрын
haha ety dabo impact 😀😀
@saidyussuf52454 жыл бұрын
Duh
@fidelisgambishi53774 жыл бұрын
Unaigiza km bwana yesu wakristo wamekaa kimya wengine wangetafsiri km dhihaka kwa dini,na wewe ni muislamu je ingekuwaje mkristo john angeigiza km mtume mohamad halafu azungumze vitu ambavyo hakuzungumz mtume je wenye dini yao wasingekuja juu kweli kwa niijuavyo hali halisi ilivyo..amani iendelee kutawala na busara iendelee kutumika
@tonyspencer19284 жыл бұрын
Nawewe ndo wale kizazi Cha bonobo Sasa hapo kaigizaje Kama yesu!!? Au ndio fikra finyu!?
@nassoroally60934 жыл бұрын
Kama Yesu au kama yule mwamba aliyeigiza filamu ya Yesu.?
@daudimgositz1774 жыл бұрын
Bara two Hawa jamaa
@dionisjabir28634 жыл бұрын
Wapi like za yesu
@stevenimateza39443 жыл бұрын
Zuchu Sukar
@guccij35494 жыл бұрын
😁 Double Impact iyo ya Van Damme 😂
@Kimlaslyrics4 жыл бұрын
Hallow, kimlas here... Nime subscribe kwa Channel yako, kama hautojari naomba support yako pia kwa channel yangu, vist na u subscribe pia