Ni bora kwenda kwa mganga wa kienyeji kuliko kutegemea haki katika mahakama.
@Mohamed-kx2ij10 ай бұрын
Jaji Mkuu anaongezewaje mda wa kuhudumu, kwa mbovu za utoaji wa haki ama kulipwa fadhila.
@gasparyephraimmwakatuma95429 ай бұрын
Sasa hii Nchi inaenda wapi ikiwa vyombo vya Sheria vinakiuka Sheria?
@kakawataifa675210 ай бұрын
Tunawapata vizuri,Mzee Generali umeandika kitabu juu ya hizi tawala za kimangungo ili wajukuu wetu wapate kuvisoma?
@ahmedomar302010 ай бұрын
broo mpokii ndugu yangu kisco yupoo , ni miakaa sijamuona
@lazamwa110 ай бұрын
Msikilizeni huyu wakili, eti amefanya kazi kwa miaka 30 tangu 1889...?? Wakili anakosea hata mwaka😂😂
@aliyageorge679410 ай бұрын
You can see frustration from wakili Mpoki jamani....
@passianmaningi847910 ай бұрын
Ifike mahali watu waache kumsifia Raisi ila cha kwanza Raisi asikubali kupewa sifa utekelezaji wa majukumu yake hasa panapokuwepo na utaratibu bayana wa mtiririko wa mipango na majukumu yalivyoainishwa na katiba. Ninaamini siku moja Raisi awe na ujasiri wa kutamka Hadharani kuwa fedha sio za kwake binafsi
@kamalabuberwa200110 ай бұрын
Mahakama ni tawi la CCM, unategemea kupata haki hapo? Ndo maana majaji wakistaafu wanagombea vyeo mbali mbali kupitia CCM
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Budget imepangwa, kwa nini tunalipa kodi
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Kwa kweli tulianza kuwa watumwa tangu wakati wa Nyerere ingawa alijifanya fanya kwa kutufanya watumwa na sasa hivi wachawa wanajipendekeza tu. Jizo pesa ni kodi letu kwa nini waseme pesa za Samia.
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Kama Samia anatoa pesa zote kwa nini tulipe kodi
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Hivo vyombo hata hivyo wote wals rushwa tena zaidi kuliko hata hao mahakimu na majaji
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Hata nigekuwa mimi ningejikuta katika hali hiyo. Amesema amefanya kazi zaidi miaka 30 kwahiyo unaweza kujua 1989
@majidukalokola725310 ай бұрын
Ameteleza ulimi, ni 1989
@bobwangwe74810 ай бұрын
🔥🔥🔥
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Kila kitu Tanzania ni yanayofanyika ni uhozo tu wanainchi ni watumwa HASA.
@JustineWangi-j2t10 ай бұрын
Kwa wakili kusema hivyo sio ajabu
@elibarikimollel714910 ай бұрын
Baba Jenerali na Wakili msomi Mpoki,andikeni kijitabu kidogo cha kuihimiza serikali kutoa elimu kwa jamii hususan mashuleni ili watu wajue vyombo vya kwenda kutoa malalamiko yao ili vijulikane viko wapi,na njia za kupita kufika viliko....
@ponsianodamas598110 ай бұрын
1989?
@TheOby7610 ай бұрын
TOKA MWAKA 1889 KWELI?
@knight675710 ай бұрын
🇹🇿😢
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Ni hapa Tanzania tu unaweza kuona mauza uza kama haya. Mahakama hapa kwetu inaongozwa na raisi aliyeko Ikulu. Na ukipata mtu mwenye roho ya kutu basi ni hali mbaya sana. Mbona wizara zote zinatoka serikalini na bado wananya kazi angalau? Ee CCM WATAKATAJE MBONA HATA KUBADIRISHA KATIBA HAWATAKI NA MARAISI WOTE HALI HIZO ZINAWAFA KUWA NA KIBURI SANA!
@christinenyagiro666210 ай бұрын
Kuma simamisha mtu bila hata kufikilia anaishije? Huko majaji mnauwezo ya kuchots mapesa ya serikali. Sasa huyu wakili wa kijitegemea mnataka hangaike ili aje kukulia wewe jaji. Mpaleo raisi aliyepo kila pesa zilikipelekwa kufanya kazi fulani zilizokuwa zimepangwa anasema nimewaletea.
@PhilibetLadislaus10 ай бұрын
Mimi binafsi kama muhmili wa mahakama unafanya kazi za watanzania au ni watiifu kama Bunge tulilonalo.Hamna mapendekezo kupeleka ndani ya Bunge kulingana na mabadiliko ndani ya jamii ila wanasubiri katiba mpya.Huu ni muhimili unaoua ndoto za watanzania.Hatuwezi kuandika katiba mpya huku mali zetu ziko mikononi mwa nchi nyingine au wawekezaji wa nje hatuna budi kufuta mikataba hiyo na kuanza upya.Ni kwa nini nchi baada ya kupata UHURU tumefuatilia fuvu la mkwawa na mali zingine za Asili utamaduni wa mtanganyika (MR Mwakiembe anajua)Suala la katiba wataalam wa katiba waishauri Serikali.si suala la kuvamia kama ugawaji wa viwanja kuendeleza mji NO
@rommelmauma808110 ай бұрын
*Sehemu hii ifuatayo imetundkwa hapa kwa kosa; sio jibu kwa aliyoandika @user-zl3le1wz2u hapo juu. Bali ni mchango "independent".* *Mambo matatu:* *Moja, kwanza sahihisheni kosa la kauli ya wakili mwandamizi Mpoki kuwa alianza kazi hiyo ya uwakili wa Korti Kuu tarehe 15 Desemba, mwaka 1889!*J *Mbili, linapokuja suala la haki za binadamu, kila nchi ulimwenguni, inajigamba au inadai kulinda heshima ya haki za binadamu. Mantiki hii ilijitokeza sana katika mijadala ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa miongo ya miaka ya 1970 na 1980. Umoja wa Mataifa ulikuwa na mijadala ya kusuka upya mifumo ya uchumi [new world economic order]; habari na mawasiliano [new world information and communication order]; na matumizi ya bahari kuhusu maliasili yaliyomo baharini [the law of the sea conference]. Umoja wa Mataifa ulibaini kuwa tofauti zilizojitokeza zinahitilafiana na wapi pa kuweka kipaumbele.* *Kwa nchi za Kimagharibi au za mkono wa kulia [nyingi zikiwa ni nchi za Uropa-Marekani], kipaumbele ni ubinafsi [the sanctity of the individual consciousness]. Ukweli ni kwamba Tangazo la Kimataifa la Haki za Binadamu liliandikwa na nchi zilizoshinda Vita ya Dunia ya Pili kwa shinikizo la Marekani, chini ya Mwenyekiti wake, Eleanor Roosevelt, aliyekuwa ni make wa rais Marekani [Franklin D Roosevelt].* *Kwa nchi za mkono wa kushoto [nyingi zikiwa ni za dola ya Kisovieti na zile zisizofungamana na upande wowote - zilikuwa ni makoloni], kipaumbele ni umma au jamii [the sanctity of the communal consciousness].* *Nyingi zilichelea kutia saini Tangazo la Kimataifa la Haki za Binadamu. Tanzania ilikuwa ni mojawapo wa nchi zilizochelewa kusaini. Zilisaini wakati wa vuguvugu la demokrasia na kusambaratika kwa itikadi ya ukomunisti huko Urusi ya Usovieti.* *Tatu, nchi kama Marekani, japo mihimili mitatu ya dola wanasema haiingiliani, Rais hutunga sheria, kupitia "executive orders or powers" [kazi ya Bunge]; husamehe wahalifu kunyongwa au kuwasamehe madhambi yao - rais Richard Nixon alisamehewa [kazi ya Mahakama]; na kusema kweli majaji wa Korti Kuu huteuliwa na rais [kiitikadi] na kupitishwa na Bunge na mara nyingi Korti Kuu hutengua baadhi ya sheria, kiitikadi.*