Uje Roho Muumbaji, utazame Roho zetu jaza neema za mbinguni, ndani ya viumbe vyako. Unaitwa mfariji, paji la Mwenyezi Mungu, Chanzo cha uzima, moto, pendo, mpako, wa Rohoni. Mtoa wa vipaji saba na kidole chake Mungu, Mwahidiwa naye Baba, na msemesha ndimi zetu. Tia nuru akilini na upendo mioyoni, Tegemeza miili yetu kwa imara yakudumu. Ufukuze mashetani na amani tupe hima; Hivyo uwe kiongozi tuepuke ovu lote. Umjulishe kwetu Baba, tukamjue pia mwana, Tukakusadiki wewe, Roho na tokaye kwao. Atukuzwe Mungu Baba na Mwanawe Mufufuka, Pia Roho Mtakatifu kwa milele na milele Amina
@organistsskills49212 жыл бұрын
God Bless you Forever!
@felistanjelu48322 жыл бұрын
Amina kubwa sana 🙏🙏🙏🙏
@alexmbalamwezi15403 жыл бұрын
Amina kubwa kitovu cha mziki wa kanisa
@edwardmizambwa2373 жыл бұрын
Kwaya ina sauti nzuri sanax2 ila naomba maneno yanayoyamkwa yaonekane kwenye kioo