Katika chumba Cha Siri Cha roho mtakatifu kuna nyimbo Nzuri na tamu na ambazo hazijawai imbwa ,acha roho wa Mungu akutoleange moja baada ya nyingine uzidi kutibariki🙏
@edwardmwankemwa3877 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@lilianomari4830 Жыл бұрын
Hiyo wimbo inanibariki sana imegusa rohoo yangu mungu amekuinua
@BurtonKingBK Жыл бұрын
Asante sana 🙏
@getrayasiko88459 ай бұрын
Jere 44:3-4 3 “For I will pour water on the thirsty land and streams on the dry ground; I will pour out my Spirit on your descendants and my blessing on your offspring.
@elizabethmutanu3890 Жыл бұрын
Wonderful worship song
@kagoromaureen163 Жыл бұрын
Amen
@huddleymusamali656210 ай бұрын
Profound. Well done bro
@mpendaradio2164 Жыл бұрын
Sijawahi kuwa makini kusikiliza nyimbo zako lakini leo hii nimepata fursa nzuri ya kusikiliza nyimbo zako kwa makini I say zinanibariki na kunigusa nafsi kaka, unabariki.
@edwardmwankemwa3877 Жыл бұрын
BARIKIWA SANA KWA UTUMISHI MWEMA
@lilianvihenda6834 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@njeryhcheghe9718 Жыл бұрын
Nifunze sifa za Malaika Wewe uliyejawa na upendo wa Hakika🙏🙏
@BurtonKingBK Жыл бұрын
Ooh yes Amen
@faithshiyuka1526 Жыл бұрын
ohh Burton King... I lack what to say... May the Lord never ashame you for you to continue blessing me and many others....Ubarikiwe Baba... ohhh nooo
@BurtonKingBK Жыл бұрын
Thank you! God bless you
@polinekilengelu9163 Жыл бұрын
Imagine imagine! Oooh! Abarikiwe kabisaaa!
@brianakhonya60 Жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@irenendeleku1990 Жыл бұрын
Zidi kunifuga kwa wema....huichukue nafsi yangu eeh baba...
@NeekeLugoye-s6o9 ай бұрын
Amina
@Wakhayavincent Жыл бұрын
Nifunze sifa za malaika, oooh God my heart yearns for you Jesus. This song carries power!!
@kithekasammy309 Жыл бұрын
Hi
@annnafula175 Жыл бұрын
Waah, nyimbo zako zabariki moyo wangu. Naomba Mungu akuzidishie neema hii ili uwabariki wa wengine pia.
@polinekilengelu9163 Жыл бұрын
Oooooooooooooh! King again???? You really touch my heart .....am humbled b4 God ...you're songs are just amazing.
@nicemsokwa9774 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huduma yako Mungu azidi kukutumia kuwahudumua wengi.
@syokauchristine Жыл бұрын
Uchukue Nafsi yangu unifunge kwa wema eeh bwana umejawa na rehema za daima😭
@BurtonKingBK Жыл бұрын
Ooh yes, Amen Amen 🙏🙏
@hanningtonmuliofficial Жыл бұрын
My role model on it again. May the Lord continue lifting you up for me 🙏