Mashaallah mungu akuzdishie saut uko vzur na umependeza
@idatally38462 жыл бұрын
Umependeza mnoooooooo wallah mashallah
@khadijahemed8719 Жыл бұрын
namungo lyihef
@abilahirufai82692 жыл бұрын
Thnx bnt Jumaa pendeza sanaaa,Kaz imeonekana.
@vancde12312 жыл бұрын
Mashallah nawapenda
@shirahighqualityvideo84402 жыл бұрын
Mashallah
@directorgoodxpro45902 жыл бұрын
Haikuwa rahisi
@rukaiyasoudy62942 жыл бұрын
Hongera dada kaz muruwaaa
@mizzainallahwainailalhiraj85762 жыл бұрын
Jmn Asha wetu pambeeee mashaallah 😘
@jamilahria3302 жыл бұрын
Masha Allah habbty
@madrastistiqamakiteto71512 жыл бұрын
Naaam Mashallah
@rukiyarafiii35692 жыл бұрын
Mashallah dada asha mm natak kasida ya maulid ya mtoto nakupataje
@mamanurckham53842 жыл бұрын
Safii my
@swahibuqaswida25662 жыл бұрын
Congratulations mis asha kaz nzr
@milazomilazo64862 жыл бұрын
Hana ukht zaid ya kuuza sura na hawez akafika mbal huyo muuza sura tuu
@ukhtyashachannel550517 күн бұрын
Nauza sura alafu inauzika sasa😅
@milazomilazo64862 жыл бұрын
Tatiz hamusem ukwel,hebu sema ukwel yaan nyiye mukishapewa miambili na nyiye munasem uongo hawo km km
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Sichati na mwendawazimu mimi.nachati namtu mwenye akili timamu
@milazomilazo64862 жыл бұрын
@@ukhtyashachannel5505 asha nakuambiy ukwel usipaniki mbona dida hatumuambiy umezid kuuza sura una usister duu mwing Sana
@milazomilazo64862 жыл бұрын
@@ukhtyashachannel5505 asa usiambiw wacha mashauzi meng fanya kaz Dada yang hujawa star wakuwa nanmashauzi km ivyo maana hata hapa unguja hujulikan ustaa gan huwo fany kaz dada
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
@@milazomilazo6486 kwani nini ee zungumza unavojiskia ,fresh sijali wala nini au nikuengeze bando
@aminakamariza41802 жыл бұрын
Asanteni wakina dada 😘
@matongetz64672 жыл бұрын
Mashallwah
@mulasdigitaltv1312 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@al-khulqatrasuulmapape23122 жыл бұрын
Hawanachochote ispokuwa njaakali
@blazeking23312 жыл бұрын
Muogopeni mungu kuna na kufa huko kwa tisha wacheni mzaha
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Ok ahsante kwa ukumbusho .
@mwanamisihamisi3387 Жыл бұрын
❤
@kwekwetsuma3524 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@abratolisandro18172 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@lungusii2 жыл бұрын
🤔 hii pia kaswida?????
@mmangajuma83432 жыл бұрын
Huna mbay
@ebrahimosman54772 жыл бұрын
👍🙏🙏🙏
@mcmuba50152 жыл бұрын
Kiboko ya kinanani
@asiamohd55162 жыл бұрын
😘😘😘
@khatibchannel2 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@sumeyyaothman76082 жыл бұрын
Ukhty gani huyu anayeonyesha mapambo yake mbele ya w.ume hajuw km ni haram
@ramlaomar79232 жыл бұрын
Mmnh Kaz mungu atuongoze
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Kwaiyo ulitakaje au tukusaidie nini
@directorg_360tv22 жыл бұрын
KWA UFUPIBTUKUJIBU KUWA HAKUNA WOTE WATAKUJA NA KUKUPA GARI KILA MOJA NA KIPENZI CHAK UKHTY ASHA THE DON
@habiptyomar15322 жыл бұрын
Alafu wewe Asha mshari mbona ukitumiwa sms za pongezi hujibu ? unajibu za kukuponda tu wasanii wenzio wakina dida hawako ivyo mbona wanatumiwa sms chafu hawajibu ? jirekebishe hutooleka kwa maneno shombo
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Mh sitooleka kwa maneno shombo sio skiliza nikwambie kitu usione najibu watu coment ukahisi rabda ndio ntakuwa ivo kwakila mtu sawa kuna maisha yangu binafsi na maisha ya kisanii .kwaio kuhusu kuolewa sijataka tu mwenyewe upo nasio tatizo kwamba najibu ila mimi nnamalengo yangu ndio mana sijataka kuolewa.
@ukhtyashachannel55052 жыл бұрын
Alafu unasema kwamba mbona wezangu hawako ivo ,sasa nikujibu tu kwanza hatufanani, pila kila mtu na tabia zake,tatu kila mtu na life style yake ya kuishi .kwaio nahisi hiyo ndio sababu enyewe
@habiptyomar15322 жыл бұрын
jazakkaullahu kher kwa majibu mazur Allah akuongoze
@amneeabdalla79592 жыл бұрын
@@ukhtyashachannel5505 mashallah
@feisal65922 жыл бұрын
Tupekenii magarii mwazoo kishaa ndio Dowa musifanye harakaa na dowaa ndowaa sio muhimuu muhimu ni kumpelekaa mahsri kwa mkee tumshikenviszuri kishaa ndio tupangebharusii plzz tegenezeni magarii mwazoo mim sitotochskaa kwajiliinyenuuu kamaa kuzaa nimezaa ndio muhimuu nisaidiyeninkazinkupanda mikomaa