Sheikh kishki yule filmason wamejificha kwenye kivuli cha ALLAH ukitaka kuamini hilo mfatilie rafki yke anaitwa chief godlove
@medimisi693028 күн бұрын
jazaka llahu khair.
@ChudiOmi23 күн бұрын
Kishq vita huiwezi... kila neno unalotoa linaonyesha unawatetea wachawi... tunakhof... naww usije ukawa mchawi.... allah akuongoze.
@jumakumala133721 күн бұрын
Sheikh kishki nakupenda kwa ajili ya ALLAH , lkn pia nimefurai kuwaambia wana habari mn hao ni wachonganishi kweli , ALLAH akuifadhi na kulipe jannatul fridhausi , lkn pia ukweli unauma sharifi wa mchongo na chawa wake waadhiri wa njaa ukweli umewafikia
@jumamigindu763925 күн бұрын
Shida iliyopo kwa jamii yetu ya kiislam hatuachi kuvunjiana heshima halafu mnajinasibu kumuiga mtume
Kwa muislam asie muelewa shekhe kishiki basi kakosa radh za Allha
@FatimeOmari22 күн бұрын
Tumeumbwa kutegeameana wanadam tuache kuchafuana
@abdurahimabdulkadir392623 күн бұрын
Wajitokezee challenge hyo watu wa habari walifikishe hilo
@DalaAbdallah27 күн бұрын
Masharif feki wana fanya tiba hadharni
@jumamigindu763925 күн бұрын
Kuna masharifu feki na makishki FEKI. Tatizo ni Roho mbaya zimetujaa mioyoni mwetu.
@AishaIssa-ld8lw23 күн бұрын
Kwani mtume.alikuwa anafanya dawa zake kwa kufichaa sio hadharani sheee wee vp nahuyo kishik akil Hana din hairuhusu anavyofanya kumuanika mwenzie mitandaoni SI amfwate alipokosea amulekebishe
@AbbMotors-pc4rx23 күн бұрын
Majambazi wa kuaminiwa.toka lini sharif akatoka kisemvule ni sw na mwamposa anjiita mtume mnyakyusa mazunge tunamuamini sn lkn anapokwendea sipo km nimaisha anayajua vzr lkn cjui kipi kinachomfanya atetee mauzo
@AishaIssa-ld8lw22 күн бұрын
Wéwe akil huna Kwan sharifu anatokea ardhi kasome acha kufwata mkumbo sasa wewe unajifananisha na mazinge hata Dua ya tweiletí hujui@@AbbMotors-pc4rx
@alllymkanjima153626 күн бұрын
Hapo Kweny sifa ya sita,ibn taymiyya hakua na mke na alifany kaz ya kuwatoa masheitwan,je hapo inakuaj Ktk hukmu?
@alhadajjmohammedsmith904226 күн бұрын
Aliwahi Kutamka kwamba hataoa (aitaji Mke/Wake) Hadi atimize/afike Umri was Miaka 70 ya Kuzaliwa?
@abdurahimabdulkadir392623 күн бұрын
Fatilia kila akishika microphone akiongea hasomi hadithi wala aya
@onesmothimos263526 күн бұрын
Mimi ni mkristo Ila uyu shehe ni tunu ya waumini wa kii islaam wote uli mwenguni
@alhadajjmohammedsmith904226 күн бұрын
Aaaamin
@TwahirBurhan26 күн бұрын
SHEKH TUNAKUUNGA MKONO PALE HAKUNA TIBA BALI NI KUTAFUTA PESA NA UHUNI TU
@FatimeOmari22 күн бұрын
Kuna wanaojua kuisoma km unavyotaka na wasiweze kufanya wagonjwa tiba ,Mola humruzuku anaemtaka
@StephenOmoit9 күн бұрын
Utazungumza baadhi ya maneno uone hayana uzito yakuingize motoni futi sabini Unamtetea sharifu feki anayezulia mtume uongo? Ole wako ndugu
@omarishabani524911 күн бұрын
Sheikh dini sasa mmeifanya kama vile mchezo mashabiki wa yanga na simba..mambo mangapi yakutuusia manayaacha mnafaharishana elim zenu
@RamadhanRamadhanmaulid24 күн бұрын
Kishiki hao masharifu wasikusumbue wee msom mkubwa kama wao wapo fit wake mezan tuone japo sii sawa kufanya hayo
@onesmothimos263526 күн бұрын
Niwe mkweli kishk ndo anae weza kula bandle langu Kwa mashehe wote
@Jumasalumumembajumasalumumemba26 күн бұрын
Kwani kishki tabu yote hizo wazipata juuu ya nini shekhe mh wateseka muda wote kubishana hebu kueni walimu mashekhe wenye busara na hekma mbona munatia aibu sana mashekhe na walimu wakisasa munanini jamani Hebu Acheni mungu Afanye kazi yake na nyinyi fanyeni yanayo wahusu
@HamisiNyanga-s1j25 күн бұрын
Ilo ndio linawahusu kukemea maovu maan wataulizwa hamkuwaona masharifu fake
@AbuuAyubu-t7c24 күн бұрын
Je hiyo kazi yao ni ipi?
@sadikiissa775627 күн бұрын
Kusema kweli Sheikh ulitakiwa uende kwao au utume mtu Kwa hao wasomaji Wa dua Kwa ajili ya kujifunza usahihi Wa dua hizo. Nasisitiza Tuma mtu akajifunze bila Shaka hatokuja kukuambia Kuna shirki ndani ya dua za hao wahadhiri. Mimi nilipeleleza na kujifunza mengi kupitia wao na Tawhiid ikiwemo Quran,Adhkar na dawa za kissuna ndo Siri ya ushindi wao. Kama Kuna makosa ni Yale madogo madogo ikiwemo kujiita Sharif, kusema wanawake wawaroge waume zao, maji ya upako wakati ingetakiwa Waite Jina maji ya dua n. K. Mambo haya ni ya kupewa nasaha tu na si haramisha dua halali kabisa zisizo na shirki ndani yake. Na huu ndo Uislam Sasa na si kurushiana vijembe kwenye mambo madogo ya kupeana nasaha.
@MgazaMhina27 күн бұрын
Sasa kama kusoma Quran kwenyewe hawezi hiyo dua anayoyaombea ni ipi
@MariamGhorra27 күн бұрын
We mbona hujaenda kupew iyo dawa nenda uwone
@sadikiissa775627 күн бұрын
@@MgazaMhina Kwa taarifa yako hata adhkar zinatosha kabisa kuangamiza uchawi na kufukuza mashetani. Hata neno Bismillahi linatosha kabisa. Nenda kajifunze kuhusu Ruqya ya Kisheria na uhudhurie panapofanyika hiyo Ruqya ndipo utaelewa nisemayo. Na Allah keshasema ikiwa jambo hujui basi Kaulize wenye kujua. Kwa hiyo ushauri wangu ndo huo hivyo msikurupuke bila Utafiti.
@sadikiissa775627 күн бұрын
@@MariamGhorra Acha kukariri. Kajifunze kuhusu Ruqya ya kisheria. Na kingine endapo Kuna kitu kakosea basi apewe nasaha na si kupakaziwa na kuitwa Mshirikina n. K.
@MgazaMhina26 күн бұрын
@@sadikiissa7756 sasa wanaosema ni ushirikina wanajua mizan ya kutambua jambo hilo,unajua shirki ni jambo linataka utulie sana ukienda tofauti utajikuta unaifanya bila kujua kuwa hapa nafanya shirki
@jakuabdull3427 күн бұрын
Mimi nahisi shekhe ungejikita kutuonesha ushirk wa Tiba za huyo jamaa na pia hutba yako imejaa dhana jambo ambalo c sawa
@DIETTHERAPYTV-927 күн бұрын
Rudi ukasome huenda ukazinduka
@alhadajjmohammedsmith904226 күн бұрын
Wapi ktk Uislamu inafundishwa Kumwaga Mafuta na Kukanyaga Mafuta Ardhini/Sakafuni na Kuyakanyaga sio Ufujaji/Isilafu?! Kwanini asiwaambie/asiwagawie Kiasi wakapake/wakachuwe wakiwa Majumbani kwao yatakuwa hayafanyi Kazi?! Wapi Allah amesema/amefundisha Sharifu atakuwa Sifa na Uwezo (Karama) ya Kujuwa Vitu/Mambo yalofichika Sirini (Ya Ghaiyb). Mfano; Kujuwa na Kuona/Kuvumbuwa Uchawi ulofichwa /Ulofukiwa Ardhini au Sakafuni Eneo la Mbali/Karibu ktk Mji/Mti nk?!
@onesmothimos263526 күн бұрын
Kishk wewe ni kiongozi wao wanao kuginga usi wachukie sababu ni wafuasi wako wote
@AishaIssa-ld8lw23 күн бұрын
We kishik akil huna mfwate mwanaume mwenzio umuelekeze sio kumuanika mitandaoni hiv una mambo yakike sana wewe unajiona umekamilika moja kwa moja anae hukum mungu sio wewe
@Burange66626 күн бұрын
Wajitokeze wewe nani ?
@MaulaHussainMaula27 күн бұрын
Wale wasikuumize kichwa shekhe kishki ni matapeli tu kur an hawaijui vizuri na dawa hawazijui ni matapeli tu😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hayahaya masharifu wote mjitokeze msome tuwasikie
@abdulrahmankafuku344926 күн бұрын
Masheikh wote kama mnaona muislamu mwezio amekosea mfuate na umkumbushe na hiyo ndio sunna ya mtume (s.w.s) na sio kutafuta kiki kwenye media😭😭 tumeacha mafundisho kabisa ya mtume (s.a.w) hapo Temeke ulipo na huyo sharifu sio mbali nenda sheikh kamuusie
@alhadajjmohammedsmith904226 күн бұрын
Na waendao Kwa Shariff atawapata/atawafuata Wote (mmoja mmoja) Majumbani kwao?!
@abdulrahmankafuku344926 күн бұрын
@@alhadajjmohammedsmith9042ndiyo Sunna na ndiyo uislamu
@TunauzaSimu-fn2ff26 күн бұрын
@@alhadajjmohammedsmith9042 Na
@TunauzaSimu-fn2ff26 күн бұрын
Naungana na anaesema mctudhalilishe Waislam imekuwa km ugomvi na hali tumeambiwa tukatazane mabaya na kuusiana mema. Jee huku ni kukatazana au kugombana? Dini yetu haitaki magombano inataka maelekezeno kwa njia ya haki ya ALLAH. ACHENI hii kadhia ijadilini kwa njia njema
@abdulrahmankafuku344925 күн бұрын
Jazzakallah@@TunauzaSimu-fn2ff
@saidakiwale922723 күн бұрын
Mbona kaka yako ni mganga
@yusufjuma328827 күн бұрын
Acha unafiki ww kishki ww sindo waatubia wagonjwa wko na makombe kuwaekea kama drip za hospitalini......😂😂😂tunazo habari zako
@alhadajjmohammedsmith904226 күн бұрын
Kama Unao Ushahidi Useme na si Kutowa tuhuma. Utaingizaje Kombe ktk Mehipa wa Damu iwe kama Drip Water ilhali Drip Water hufanyiwa Usafi/Utakaso (Sterilization) ya Hali ya Juu mno Kuepuka Masmbukizi (to Avoid Information) ktk Damu na Sehemu nyengine/Mhimu za Mwili kama Moyo, Mapafu na Ubongo ?! Watu /Wagonjwa Si Wangekuwa Wanakufa Fasta Kwa Masmbukizi (Infection) ?! 🙌🤫🙆 Unapotowa Tuhuma Uwongo uangalie na Watu wa Kuwsongopea.
@hilalkhalfan145225 күн бұрын
Sawa LKN kishki hajakataa kutibiwa mtu, kishki amekataa kuitwa uchawi ni sunna. Tusisikilize kwa ushabik tutashindwa kuwa waadilifu. Kishki sio fani yake tiba na ana makosa yake ila tutakuwa NAE kwa atakalo patia. Mie najuw masharif wapo, karama zipo, lkn sana mahaba yanatulevya mara nyengine. Yule alioandika barua ya kishki alielezea baadhi ya ahad za uongo za sharif huyu na hio inamtoa MTU katika ukweli, jee sharif ana ahad za uongo?!. Hili suala ilitakiwa lijibiwe na kufikiriwa kabla WAISLAMU kutukanana. Au njaa inawasumbua ni jambo JENGINE