Namshukuru Sana Mungu kupitia huu ushuhuda nimebadilika kupitia huu, Yesu ni Bwana
@ceciliaanthony206211 ай бұрын
Baba yangu wa kiroho Mungu akubariki Sanaa mtumishi wa Mungu
@MTEULEWAMUNGUTV11 ай бұрын
Ameeen ameeen, hallelujah hallelujah
@bahatishitindi11 ай бұрын
Napataje mimi niko songwe tunduma
@pastorpetermageta683311 ай бұрын
Kazi nzuri sana mama , Mch camera iko vizuri
@revojomo11 ай бұрын
Barikiwa pia mchungaji wasalimie watakatifu walioko kaisho
@tresorisi629011 ай бұрын
MUNGU akubariki sana Amen
@lovenesswalter665011 ай бұрын
Aiseh nmefurahi Sana tusichoke kuombea Revival Tanzania makanisani yale ambayo hayajakubal utakatifu kuna siku yatabadilishwa tu
@Nenolamaarifa11 ай бұрын
Amen
@violetakinyi-x6r11 ай бұрын
Amen, ninatamani sana tuwe na hili tawi huku babadogo Nairobi .kwa kweli nimechoshwa na makanisa ambayo hayaubiri kweli. Nilimlza mchunganji wangu, mbona haonyi wamama kusuka ni dhambi? Akajibu apendi kukwasa wamama kwa kuwa wanapenda kujiremba 😂😂😂😂
@lovenesswalter665011 ай бұрын
Revival Tanzania
@christinaisanguisangu29749 ай бұрын
Kinaweza nifikia shinyanga watumishi
@hilariogomesalmasse11 ай бұрын
Niko 🇲🇿 napata aje Mtumishi wa Mungu???
@HAPPYNESSROBERT-qo1we11 ай бұрын
Ameni, me nipo Dodoma nakipataje??
@asminetaba25311 ай бұрын
Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu, mm nko Kenya nitapataaje hiki kitabu,na na nina changia pesa ngapi liniipate huku Kenya,
@shuhudazakweli340611 ай бұрын
Tunaweza kutuma kwenye gari
@naturelle109711 ай бұрын
Kenya sehemu gani
@KalaboJeronimo11 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu naomba mje na copy za kutosha za vitabu mtakapo kuja Arusha .Ili nisikose na mm , pia mmenichanganya semina inaanza tarehe 20/3 au tar 24/3.Asante
@shuhudazakweli340611 ай бұрын
Tareh ni 24 mwezi 3 hapo arusha
@HenriqueBartolomeu11 ай бұрын
Niko Moçambique Pemba nitapataje?
@elishafakutunga255011 ай бұрын
Mi nipo kigoma kibondo kifula kinaweza kunifika nigepeda nigekuwa nacho ili kinijege kiloho mtumishi
@marcelinekahawara830411 ай бұрын
Mimi naishi Sweden 🇸🇪, ndapata kitabuhiki jee??
@Nenolamaarifa11 ай бұрын
Amen
@TheSuN_RiSe_0111 ай бұрын
Bwana awabariki!
@stephenmwanza690511 ай бұрын
Natamani sana kuigia niko Kenya
@Nenolamaarifa11 ай бұрын
Karibu sana
@christinaisanguisangu29749 ай бұрын
Kuna kitabu cha huu ushuhuda ninauliza watumishi wa Mungu
@niyibigiraesperence777211 ай бұрын
Natamani kusoma hicho kitabu
@yusuphPetro-mi8cf9 ай бұрын
Natamani nikipate hicho kitabu ila Mimi Niko dodoma nitakipataje sasa
@AngeNTAKIRUTIMANA-c5o11 ай бұрын
Sasa Mimi nitakipata aje ?mbona Niko Burundi .
@VINCENTONYANGO-no6gt11 ай бұрын
Niko Kenya na ningependa kupata hicho kitambu cha Adam Mbaya, nitasaidiwaje nikipate
@shuhudazakweli340611 ай бұрын
Kinatumwa kwenye gari
@nendeamisi218411 ай бұрын
Mubarikiwe sana, Na mimi niko AMereka (USA)nitakipateje kitabu? Mchango hupo.
@VINCENTONYANGO-no6gt11 ай бұрын
Asante, sasa kwa ujumla , kiwango cha hela kinacho hitajika ili nikipate ni ngapi. Niko Nairobi , Kenya.@@shuhudazakweli3406
@salmamrisho333011 ай бұрын
Kwahuku Tabora kuna kanisa ambalo lipo chini ya mtumishi Aston Adamu Mbaya ?
@Nenolamaarifa11 ай бұрын
Tabora vijijini lipo, wilaya ya nzega
@pastorpetermageta683311 ай бұрын
Safi sana, ila naomba kujua ni tarehe 24 au 20, manake kwenye tangazo la promover wanatangaza tarehe 20
@nurumwita903411 ай бұрын
@pastorpetermageta6833. Hawa ndo wahusika
@shuhudazakweli340611 ай бұрын
Safari yake itaanzia daresalam tareh 24 ndio Arusha