Ubarikiwe sana mungu amefunguwa milango yako sasa kubitiya jina la mung amen
@annarichard8077 Жыл бұрын
Amen Amen nashukuru
@baj4559 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe,umenibariki mungu akuweseshe kwa kz ya mungu unayo ifanya ,umenifanya nitowe chozi kweli mungu anatupiganiya vyamingi tu,uendelee kumwimbia mungu na akupiganiye ili ushinde vita vya imani na akuinuwe uzidi kutenda kz yake