Ndugai kaa ukijua haya ni maisha tu na kila mmoja atalipwa ujira wake asubuhi na mapema sanaaa
@sirkingsky108 Жыл бұрын
Leo imekuwa
@emeldamulukuzi8883 жыл бұрын
HIVI SPIKA WETU ANA KIWANGO GANI CHA ELIMU?.. MBONA MWEUPE SANA.
@datiusseba13443 жыл бұрын
@ emelda mulukuzi hapo ndo unapokosea ufahamu au maharifa hayamuondolei mtu upumbavu and tambua kiwango cha elimu sio kipimo tosha cha how good you are at thinking hii vita kati ya mmoja ni educated fool anaewaongoza wenzake kwa matakwa ya executive na mwingine ni knowledgeable person anaejenga hoja zenye fikra nzuri. mwisho aisee ni kitu kibaya sana ukiwa maskini wa fikra.
@emeldamulukuzi8883 жыл бұрын
MNAWAPELEKA WATU MAHAKAMANI ..USHAHIDI WA UONGO ...MAMBO YA KUTUNGWA...AIBU.
@janguboitz43163 жыл бұрын
Uyu spika kweli Zuzu,Sasa ww Kama Nani Hadi upangie Watu Cha kuongea,Unajiona umefika,kumbe cheo ni dhamana,na shukulu ancle magu alikupitisha bila kupingwa,Bunge limekushinda Watu tunataka Katiba mpyaa
@rahimmarions57123 жыл бұрын
Ipo day utakuwa raia tu kawaida sana tena sana..
@emmasonanjawe90423 жыл бұрын
Mh.Tanzania yangu inapoelekea 🙏🙏🙏🙏
@abubakarsuleman19833 жыл бұрын
Uyu ndugai hafai kanisani wala msikitini
@fabyboy_tz55623 жыл бұрын
Ndugai ni zuzu full stop,,
@saidpazi66203 жыл бұрын
Hii Nchi WATu wengi wanaelewa kwa hivi SS Bunge linavoendeshwa na Utaratibu wake Wakitokea WATu wanavojua KUSEMA Basi wanaonywa kwa kutishwa
@ibrahimkibira99433 жыл бұрын
Usipende kutisha watu ww spikaa simnasemaga inchi hii ya uhuru waachen waaongee ..mnapenda kuonenea watu nyieee
@ReactorsWatcher3 жыл бұрын
Yaani Viongozi uchwara Wanaona Ubabe ndo suluhisho la kila kitu. Acheni ujinga Watanzania wanataka Katiba Mpya na tume huru. Ili waweze kuwaondoa Madarakani Viongozi mnaojiweka Madarakani kwa Kutumia vyombo vya dola.
@edwardmizambwa2373 жыл бұрын
Hujielewi Umuhimu wa kuwa na katiba mpya lazima utokane na madhara ya katiba ya zamani. Mtu wa kawaida anaweza sema, sioni Umuhimu wa katiba mpya kwani napata mahitaji yote ya msingi (maji umeme hospital barabara shule nk). Hapo unahitaji zaidi ya jibu la msingi ili wende nae. Nyimbo tu itaimbwa, maantiki yake ni kutawala hata na kichaa.
@ReactorsWatcher3 жыл бұрын
@@edwardmizambwa237 Mm na ww nani Hajielewi ?? Inamaana ww mpk leo hujui madhara ya Katiba ya Zamani?? Katiba ya Zamani ni Katiba ya chama kimoja nw Kuna vyama vingi. Just logical tu utawezaje kuendesha inchi kwa Katiba ya chama kimoja kwenye wakati wa sasa wa vyama vingi?? Unasema eti unapata maji, umeme. Hivi kweli ww unapata umeme na maji ya uhakika kwenye miaka 60 ya utawala wa ccm?? Pumbavu kabisa, ccm wanajua Katiba mpya itawatoa madarakani ndio maana wanang'ang'ania Katiba ya Zamani ya chama kimoja.
@kennyrogers47343 жыл бұрын
@@ReactorsWatcher Changamoto ya kuwa ccm inasababisha kufunikwa akili uelewa anaelewa sana umuhimu wa katiba mpya ila changamoto moja yupo chama cha madikteta wanajua kbs katiba ya sasa inawabeba kwa kias kikubwa tume yao wenyewe wanajua ikiwa tume huru hatuna chetu kbsaa kwaio usibishane nae acha aseme ila ashajijua yeye ndo hajielewi uyo
@essaumakariusmbunda3703 жыл бұрын
Fanya kazi ndugai polojo za nini kama unakosea unakolewa tu wewe sio mungu
Hii nchi kila MTU anayo haki ya kuongea bali asivunje Shelia ulimwengu yuko sahh. Wewe ukiwa mbovu lazima usemwe vibaya ili ujirekebishe.
@bahatjuma74583 жыл бұрын
Umpe onyo wewe nanii
@manchalijob96003 жыл бұрын
Ww ndugai ni mnafiki sanaaa
@aminamodi89273 жыл бұрын
Ulimwengu toka anyimwe tenda ya mabango na awamu ya magu basi kila mtu serikarini ni MBAYA kuimba nikupokezana
@Werema37603 жыл бұрын
ULIMWENGU alizungumza fact mbona!
@tabasamtv67283 жыл бұрын
Ukiongea ukweli bhs itabidi ushughulikiwe sabb una dharau🤕🤕.
@othmankhan43933 жыл бұрын
Huyo jamaa wa hovyo sana mshuhulikie apate tabu ssa😁
@emeldamulukuzi8883 жыл бұрын
SASA ACHENI MTINDO WA KUWAMBOWE WA TZD. MNAYOYAFANYA YANA MWISHO.
@aminamodi89273 жыл бұрын
ULIMWENGU sasa hivi waya umempiga hanna pesa hivyo anadhani hiyo itamssidia ni MPUMBAVU saana HANA JIPYA yeye na bibi hake muendesha midahalo mitandaoni
@anastahiliutawala38793 жыл бұрын
Huyu ndugai kuma tu
@btsanime61383 жыл бұрын
Ndugai hafai kabisa
@georgesongo36173 жыл бұрын
Wewe ndio tatizo ndungai
@emeldamulukuzi8883 жыл бұрын
ULIMWENGU ANAONGEA UKWELI. SASA KAMA KAWAIDA MNATAKA KUMBOWE.
@zuleyvendor65773 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@paschalpaul38623 жыл бұрын
Jamani katiba inasemaje kuhusu watu wa nje ya bunge kuzungumzwa bungeni na raia wa kawaida anapomzungumza mbunge nini kinapaswa kufuatwa je ni Kama spika alivyosema
@MultiMbongo3 жыл бұрын
Ndugai kipindi kile kimepita huwezi kumtisha mtu tena fala wewe
@zubeirsalum1283 жыл бұрын
Mara paaa watu wasiojuilikana washakushughulikia jeneral wangu Bora Kaa kimya
@anuaryally61773 жыл бұрын
Sio kila mtu mzima anaekima kuna watu wazima ovyooooo pia
@natafutamatatizo43823 жыл бұрын
NDIHAI ZUZU NA WABUNGE MAZUMBUKUKU, YANABURIZANA NA HAYAJIELEWI KAMA MASHETANI👺👺👺
@omaryally97353 жыл бұрын
mazuzu
@frankremishoy57783 жыл бұрын
Ni bungeni sehemu ya kutunga sheriya lakini wameonyesha kufunja katiba yao hiyo mbovu eti hakuna uhuru wa kuongeya. Ndungai hii inchi mmeona ni ya kwenu hii nchi siyo ya mamaake mtu acha usenge ndugai.unatuona cc mazuzu alafu wabunge mpo bungeni mnasikiza hoja za fala.
@mosesbarnabas33793 жыл бұрын
Huyu jamaa anajiona Kama hii nchi ni baba yake
@larickmtui28523 жыл бұрын
Uhuru wakuongea kwahio naww spika punguza mdomo wako na humuwez
@ramadhanchenga46063 жыл бұрын
Ww spika kiwango chako cha kuelewa ni kidogo sana ww umekua nani
@oyay28213 жыл бұрын
Mbunge mwenyewe alijidhalilisha alipo sema yeye ameokotwa jalalani. Na bunge ni kweli walisema Magu apende asipende ataongezewa miaka na hivi karibuni watasema tena mama aongezewe miaka kinyume cha sheria. Siku uvumilivu wa wananchi ndio mutajua tz ni ndogo sana
@cottamanywele92793 жыл бұрын
Ndugai wewe. Na chama chako cha ma ccm ni mazuzu hamjielewi ulimwengu ni camanda ww. Ni nani mbele ya general ulimwengu. Huo ni udicteta. Na mmeshazoea kuteka teka watu. Ovyo ovyo.
@willabryton26233 жыл бұрын
Ulimwengu ni miongoni mwa watu wachache wenye akili kubwa waliobaki Tanzania. Bahati mbaya sana nchi nyingi za kiafrika ukikosoa unaonekana unavunja sheria
@johncharles94393 жыл бұрын
Taabu hata wewe utaipata tu kwani mungu hazihakiwi mkiambiwa ukweli mnakuja juu
@hamzasuleiman96052 жыл бұрын
Hili jamaa lilijisahau hiliii , wacha tusubirie taarifa za kifo chake tuenjoi
@cottamanywele92793 жыл бұрын
Mmezoea kuteka teka watu ovyo ovyo. Baadae mnssema wasiojulikana kumbe Leo mmejitokeza hazarani kumbe wasio julikana ndo nyinyi akina ndugai
@charleswilson90983 жыл бұрын
Yaani nyie mkikosolewa mna sema watu Wana lopoka wewe nimwana dam huna lolote ikosiku utakinywea
@adaboychibu16593 жыл бұрын
Ukweli unawauma nyie ni kweli mazuzu kwani uongo ?😂😂
@revocatuspaul424 ай бұрын
Mbona bado anaendelea?
@KADALAtv2553 жыл бұрын
Hiyo ndiyo kazi ya bunge? Kumjadili Ulimwengu?
@ramadhanmahongole56633 жыл бұрын
Nyie wabunge fanyeni kazi yenu,msisikilize maneno ya watu taasisi yoyote lazima isememwe ndipo ijirekebishe sasa nyie kina nani msiependa kusemwa mtafanyaje kazi yenu kwa ufanisi kama hamkosolewi? Utawala wa Magufuli umeisha sasa tupo utawala wa kukosoana wa Samia Suluhu Hassani sasa kama nyie mnahisi bado mpo utawala wa Magufuli mtasubiri sana
@jenistabukoko91823 жыл бұрын
Kuna vtu vnapta umo ndan havelewek
@hoseamligula80923 жыл бұрын
Mmebaki kutishia tishia tu watu
@issakazi65363 жыл бұрын
Ulimwengu mwendawazimu kingine siyo mtanzania
@annamrsmoses74133 жыл бұрын
Uongozi hekiza sio matamko ya kij kama hayo wewe unachozungumza ni pumba tupu wapo watu wa uzito zaidi ya huo ulio nao lakini hauluwasaidia kitu hatuko nao we unajiona boooora kumbe hovyo
@hamsndengu63813 жыл бұрын
Watuwasi semeukwe saivi unashikwa
@noahlarapho34113 жыл бұрын
😁😁
@MzeeMkoloni3 ай бұрын
Ndugai acha kiburi cha madaraka kesho yako huijui
@zuberikupaza11843 жыл бұрын
Jenerali anasahau kwamba alipiga magoti ili kupata uraia wa Tanzania. Kweli anakashfu viongozi na hii nitabia yake tangu awamu ya tatu.