UKHT ADILA BAADA YA DHIKI FARAJA OFFICIAL AUDIO

  Рет қаралды 14,890

YAMMY YAMI TZ

YAMMY YAMI TZ

Күн бұрын

TAFADHALI TUNAOMBA SKILIZA AUDIO HIII MWANZO MPAKA MWISHO.

Пікірлер: 41
@jamilaabeid3183
@jamilaabeid3183 3 жыл бұрын
Hongera Sana Dada yangu adila utafika mbali tuu kaza kamba dada
@adilaabeid5231
@adilaabeid5231 3 жыл бұрын
Asateni wa dau wangu wote muno nikubali mimi adila nitafanya vzr zaidi
@suleshmauwezo8523
@suleshmauwezo8523 3 жыл бұрын
Asant sana tunakupenda sana ukht adila mungu akupe umri mrefu ishaallah
@lutfiyaali2046
@lutfiyaali2046 3 жыл бұрын
Kaz nzur bestie mungu akuvue hili na jengn mamyyy
@hafidhali4336
@hafidhali4336 2 жыл бұрын
Huyu Adila Abeid mwisho sijapata ona mwanamke mwenye qaswida tam na sauti nzri nnayoipenda kama huyu yaani hana mbaya hata moja namfatilia toka alipoanza na nyakanga. Ujane hauna raha .kungwi .pendo LA wawili .subra eidl haj na nyengine Kali naomba namba yako nna zawadi yako nikupe
@santosthegenius1516
@santosthegenius1516 2 жыл бұрын
Mashallah una sauti hongera sister
@jemmymach9909
@jemmymach9909 3 жыл бұрын
mashaallah Adila allah akuzidishie kipaji
@jewelsofzanzibar9591
@jewelsofzanzibar9591 3 жыл бұрын
Tamm kama hoho
@tymerswaleh1
@tymerswaleh1 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah amekujaalia kipaji alhamdulillah... nasheed tamu sanaa 👌🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩😘
@muniranassoro3175
@muniranassoro3175 Жыл бұрын
Sauti yako tu, mash Allah
@suleshmauwezo8523
@suleshmauwezo8523 3 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie ukht adila kila hatua dua
@fabbykhan255
@fabbykhan255 3 жыл бұрын
Mauwezl
@nahedstationery3851
@nahedstationery3851 3 жыл бұрын
Mashallah kaswida nzuri sana kuanzia mashairi, melody na ujumbe uliobebwa. Ila jitahidi sana kuzingatia melody maana baadhi ya sehemu ingependeza ukazivuta ila wewe unafanya haraka hivyo hupelekea kutoka nje ya beat.
@habibasaleh1934
@habibasaleh1934 3 жыл бұрын
Mashallah
@fardosmohd565
@fardosmohd565 3 жыл бұрын
Mashallah ukhty Adila 😍
@suriamaalim6887
@suriamaalim6887 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah ujumbe wa uhakika tena wenye mafunzo ndani yake kwa atakae tafakari Asante ukhty Adila Allah akukuze katika kipaji chako
@ruuaida3980
@ruuaida3980 3 жыл бұрын
Mshllh😊
@zaynabomary2968
@zaynabomary2968 2 жыл бұрын
Nice Dada yake
@mulasdigitaltv131
@mulasdigitaltv131 3 жыл бұрын
mashallah kaz kubwa sana nimeipenda sana sana sana
@AlhajJuma-qy7xv
@AlhajJuma-qy7xv 5 ай бұрын
Mashaallah
@abdillahviera6091
@abdillahviera6091 3 жыл бұрын
Masha Allah chidila habbty wa mm wataelewa tu
@suleshmauwezo8523
@suleshmauwezo8523 3 жыл бұрын
Ukht adila hongera sana umetisha sanaaaaaaaaaaa
@chimaally1462
@chimaally1462 3 жыл бұрын
Mashalah
@fadhilahakim3001
@fadhilahakim3001 3 жыл бұрын
Mashallah nikweli usemayo
@AsmaAsma-rc2gq
@AsmaAsma-rc2gq 3 жыл бұрын
Mashallhaa h san ❤❤❤👌
@mulasdigitaltv131
@mulasdigitaltv131 3 жыл бұрын
kuna beti nahis kama umeniimbia mm walllah mpk machozi yananitoka duh hatar sana
@ahmedyakoub715
@ahmedyakoub715 3 жыл бұрын
I apreciate ur work Le beautifull Legend of mine Allah akulinde na akujaalie kila lenye kheri na ww Good work Sanaaaa zaidi ya sanaaaaaa MashaaAllah
@ameenajuma6400
@ameenajuma6400 3 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Adila wng
@twalibsuleiman4676
@twalibsuleiman4676 3 жыл бұрын
Nipe moja kali ya harusi una tisha ukhuty adila ila nisalimiy. Ukhuty mwanacha yopo very good
@directorbabdeo9502
@directorbabdeo9502 3 жыл бұрын
👍👍👍👍
@issaability6447
@issaability6447 3 жыл бұрын
Ujumbe huuu yammy yami hongereni sana kw kusifika unguja na PEMBA na tz kw ujumla
@hajrahussein3793
@hajrahussein3793 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuongoze vyema kupenz❤️
@fabbykhan255
@fabbykhan255 3 жыл бұрын
Mashallah yammy yami kila sk mtupa ile kit roho inapendaaa
@ameenajuma6400
@ameenajuma6400 3 жыл бұрын
Mashaallah adila wng😍😘
@jewelsofzanzibar9591
@jewelsofzanzibar9591 3 жыл бұрын
Tamm sana
@kibongekinene3268
@kibongekinene3268 3 жыл бұрын
Ww ni kiongozi Wa mabanati wote
@stuberjunior3855
@stuberjunior3855 3 жыл бұрын
Hawez kua mwengne zaidi ya DULIDO aliepika hik kitam
@MudyruAbdi
@MudyruAbdi 3 жыл бұрын
I appreciate ✌
@mariammbaruk9662
@mariammbaruk9662 3 жыл бұрын
Mashallah
@shughaibabdi5408
@shughaibabdi5408 3 жыл бұрын
Mashaallah
@hashyatkid1716
@hashyatkid1716 3 жыл бұрын
Mashaallah
Ukhty Adila AJA NA MPYA SALAMU ZA BIBI
10:56
YAMMY YAMI TZ
Рет қаралды 36 М.
UKHT ADILA RAMADHAN OFFICIAL VIDEO
5:25
YAMMY YAMI TZ
Рет қаралды 49 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 25 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 46 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
NYOYO ZIME FURAHIKA - LYRICS VIDEO
8:36
Khullian01
Рет қаралды 198 М.
UKHTY MWANACHA | YANA RAHA YAKE MAPENZI [OFFICIAL VIDEO HD]
8:44
Ibrahim Zancom
Рет қаралды 627 М.
Haya Haya Kuolewa
6:52
AHLU MTANGANA Ukhty Dyda
Рет қаралды 53 М.
UKHT DIDA ATOA WASIA HASHIR MUHDIN
9:00
YAMMY YAMI TZ
Рет қаралды 9 М.
Mudyru Abdi Furaha na kilio  yatanda Kurejea Kwa Uamsho
6:32
YAMMY YAMI TZ
Рет қаралды 16 М.
Brother Nassir - Nisamehe Mama (Forgive Me Mama)
4:28
Brother Nassir
Рет қаралды 492 М.
SUBIRA YA NDOA_SHKH HAFIDH FT CHID ZUNGU WA AHLUL MADINA
5:52
Tulivuma online
Рет қаралды 84 М.
UKHTY ADILA HAWEZI TENA KUSIMAMA NA KUSOMA QASWIDA
5:59
YAMMY YAMI TZ
Рет қаралды 11 М.
MUDYRU ABDI MAISHA OFFICIAL VIDEO officially subtitles  eng italy
5:43
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 25 МЛН