UKHTY ADILA ATOA QASWIDA YAKE YA MWISHO YA KUWAFUNDA WARI WA KISASA NA YEYE KUELEKEA NDOANI SOON

  Рет қаралды 247,310

Comex Media

Comex Media

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@yasalaam590
@yasalaam590 2 жыл бұрын
Asante kwa ujumbe kutoka kwa kungwi inaelimisha sana wapo wenye akhlaqi kama hizo mtu kutwa vijumbani kwake kumedodaa
@Nanahshubayra
@Nanahshubayra 11 ай бұрын
Swadaqtaa 👌 2mekuckia na kukuelew dada❤🎉
@faqihmbarouk6880
@faqihmbarouk6880 2 жыл бұрын
Pongezi zangu zimfike mshair au mtunzi wa mashair wa kasida hii. Dula Massanja hongera sana Allah azid kukuengezea kipaji chako. Na uhongere sna msomaji Ukht Adila hakika umeyatendea haki mashair haya.
@mbaroukame2834
@mbaroukame2834 2 жыл бұрын
Qasida au nyimbo
@mo1288
@mo1288 2 жыл бұрын
Mabrouk ukhty adila kua kutimiza nusu ya dini na nakutakia kila la kheri kwenye ndoa yako na maisha yako mpya ameen
@aminaali792
@aminaali792 2 жыл бұрын
Masha’ALLAH salam zimetufikia wati wako somo🥵🙌🏾♥️♥️♥️from UK
@hadijatambwe9194
@hadijatambwe9194 Жыл бұрын
This qaswida will be sung for my daughter inshallah
@abassyakoub1464
@abassyakoub1464 2 жыл бұрын
Daaah I cant explain the message sent in this lyric. So lovable big up Adila nakukubali weweee hatar👏👏👏
@raheemaal-hady9328
@raheemaal-hady9328 2 жыл бұрын
Sauti ya Ukht Adila ni ya pekee sana❤ Tabaarakallaah ahsanul khaaliqeen
@habibalbadashi
@habibalbadashi Жыл бұрын
Jamani punguzeni kuimba nyimbo mana hiyo sio kawaida hi matusi jamani mumejisahau kama kuna kufa😭😭😭 jamani ila mumeweka tamaa ya pesa mbele Subhanllah mutamjibu nini mwenye zmungu 😭😭😭
@FatemaHassan-t2k
@FatemaHassan-t2k Жыл бұрын
MashaAllah ukhty kaswida nzuri Na sauti yako mororoh
@habibasalum2054
@habibasalum2054 2 жыл бұрын
Mashallah adila mngu akuzidishie kipaji nakupnda sana dada angu
@iddiadam5602
@iddiadam5602 2 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuzidishie love you so much ukhty adila
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Nzur mashaalah ana sauti
@shuwekhahamdan9296
@shuwekhahamdan9296 2 жыл бұрын
Pambeeee
@najlabaseif8644
@najlabaseif8644 2 жыл бұрын
MA SHA ALLAH.......LADIES ON FIRE.....MOB LOVE FROM MOMBASA
@AliKtmn-et6tu
@AliKtmn-et6tu Жыл бұрын
Qqqqqq
@huweiy6587
@huweiy6587 2 жыл бұрын
Tena ukayafanyie Kaz ayo adila 🤭🤣🤣usiwe unafuza wezio tu 🥰❤️
@ruwailasalum4091
@ruwailasalum4091 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😃😃😃
@aishamohd8338
@aishamohd8338 2 жыл бұрын
Ukhty adila unasauti nzr sn mashaalh mung akuzdishie
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass haya uko vizur mashaalah
@haibaothman6702
@haibaothman6702 Жыл бұрын
Mashallah ukhty Adila 💯
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mashaalah mungu akuzidishiye🙏🙏🙏❤️🌹😍👍💕💕😅
@suushehassan8227
@suushehassan8227 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah 👌👌mungu akuzidishie💓💕
@SiwemaMuhidini
@SiwemaMuhidini 9 ай бұрын
❤❤ dada adila
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 жыл бұрын
Hapo bado kuwepo Khadija omar kopa tu naona Mambo yatanoga hizo sio kaswidah ni taarab tuu Innalillahi wainnaailai raajiuun. ..halaf eti jitu lapoteza mda anaenda kukesha maholini ..Allah tusamehe waja wako na mila hizi za kikafiri
@aminahamad1113
@aminahamad1113 2 жыл бұрын
Ujumbe wa kungw tumeupata ahsant alaf nkupend xxn nyie mkiwa pamoj mnafany kaz nzur ogomv n jambo la mpto rudshen mmoy yen nyum muwe kama mwanz🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@zanzibarchanalkaswida6629
@zanzibarchanalkaswida6629 2 жыл бұрын
Mashallah ❤️ 💋 mzuri nimependa 👌
@aminakamariza4180
@aminakamariza4180 2 жыл бұрын
Asanteni wakina dada 😘❤❤
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Nzuri mashaalah
@MustafaHamad-j6g
@MustafaHamad-j6g 4 ай бұрын
Safi
@zabibuomari-bi5gu
@zabibuomari-bi5gu Жыл бұрын
Mashaallah!
@NuruMohamedi-gy8fl
@NuruMohamedi-gy8fl 2 ай бұрын
Jaman
@huweiy6587
@huweiy6587 2 жыл бұрын
Asante adila 🌹❤️❤️🥰
@hajizahra521
@hajizahra521 2 жыл бұрын
MashaAllah
@naifatkhamis2120
@naifatkhamis2120 2 жыл бұрын
Mashallah maneno sadakta
@swahibuqaswida2566
@swahibuqaswida2566 2 жыл бұрын
Nice keep on adilla u've done good
@swalhahamid3748
@swalhahamid3748 2 жыл бұрын
Mashllh🥰🥰💯
@MasoudIssaMasoud-vu8fl
@MasoudIssaMasoud-vu8fl 8 ай бұрын
Nawakubl sana adila n ukhty asha munaimba vizur xana
@AlhajJuma-qy7xv
@AlhajJuma-qy7xv 8 ай бұрын
❤❤❤
@zanmedia5225
@zanmedia5225 2 жыл бұрын
Kazi kazini
@zuwenahilali5492
@zuwenahilali5492 2 жыл бұрын
Nawapenda nyotee Allah awazidishie pumzi mzidi kughani
@shabanikigaru3724
@shabanikigaru3724 2 жыл бұрын
Mashallah
@AishaTosh
@AishaTosh 9 ай бұрын
Pambee ❤
@fatmaali4561
@fatmaali4561 2 жыл бұрын
Hongera
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass haya
@muzidalfasamwel6555
@muzidalfasamwel6555 2 жыл бұрын
Maashallaa
@ataifutv3402
@ataifutv3402 2 жыл бұрын
ASTAGHFIRUALLAH MBONA MNAMTANIA MUNGU NYINYI ASA HII NI QASDA AU TAARABU JAMANI MBONA MNAFANYA MZAHA NA DINI KUMBUKENI HII DUNIA NI MAPITO TYU JAMAN
@ashurakachuro7643
@ashurakachuro7643 2 жыл бұрын
Ni taarabu hiii hakun qaswid y hivi
@ataifutv3402
@ataifutv3402 2 жыл бұрын
@@ashurakachuro7643 wallah m mungu atunusuru
@hamisali3244
@hamisali3244 2 жыл бұрын
Wallah hizi Qaswida za ckuiz ni taarabu bhn mpk uku tuliko Kenya tuna dharaulika wazanzibar kwa hizi Qaswida zao bhn
@AlhajJuma-qy7xv
@AlhajJuma-qy7xv 8 ай бұрын
Sasa nyie mwambiwa n za harusi nini mwashangaa nharusi hyo ndio mambo yake
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusom kuandik gusa picha yang hapo kama hautojl
@munajuma5497
@munajuma5497 2 жыл бұрын
Shoga ang ayo unayo yasema na weh uyafanyie kaz maan na wew ushaingia kweny chumba Cha mtihan na watu wanasubir majibu so itunze ndoa yako by miss munnah kutoka bububu
@rabiajuma8292
@rabiajuma8292 2 жыл бұрын
Kasida au tarab iyo sasa?
@halimaathumani3261
@halimaathumani3261 2 жыл бұрын
Mashalla 🙏🙏🙏🙏
@asiamwinyi3320
@asiamwinyi3320 2 жыл бұрын
Hongeraa
@issakarim4413
@issakarim4413 2 жыл бұрын
Yaani ww
@hajjiabdallah8430
@hajjiabdallah8430 2 жыл бұрын
Jembee kushalionaa nanatumai linalima vizuri
@shabanikigaru3724
@shabanikigaru3724 2 жыл бұрын
🥰🥰
@dashuusalim3767
@dashuusalim3767 Жыл бұрын
Apa mlikya hamjagombana????
@mwanashazingas6684
@mwanashazingas6684 2 жыл бұрын
Mwanamke kajaliwa sauti huyu
@AsmahHussein-b1z
@AsmahHussein-b1z 8 ай бұрын
Tutayafanya tusirudi makwet maan waume hakuna
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
😅😅❤
@Videoprodu
@Videoprodu 2 жыл бұрын
💥🙌
@comexmediatz
@comexmediatz 2 жыл бұрын
💯
@hajjiabdallah8430
@hajjiabdallah8430 2 жыл бұрын
Dada unayafanya sass kazi kwako
@asiamohd5516
@asiamohd5516 2 жыл бұрын
Kwani vepe
@nourathoney3702
@nourathoney3702 2 жыл бұрын
😆😆
@efraimuburukadi4268
@efraimuburukadi4268 2 жыл бұрын
Was sw
@Amina-ic6vw
@Amina-ic6vw Жыл бұрын
M
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mimi. Kambare siongi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Nikijua anaacha kuimba😒😒😒
@abdibanda1656
@abdibanda1656 2 жыл бұрын
Did
@badriyaally3253
@badriyaally3253 2 жыл бұрын
Mm
@salminibakarisilima3477
@salminibakarisilima3477 Жыл бұрын
Hongera
@AliyMtumwa
@AliyMtumwa Жыл бұрын
Mashallah
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass haya
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 жыл бұрын
MashaAllah
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Bass haya
UKHTY ADILA AMFUNZA BIBI HARUSI LIVE HOLINI - NI FURAHA NZITO KWENYE HALI.
10:57
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 8 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 1,9 МЛН
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Qaswida Mpya ya dufu kutoka kwa Ukhty Dyda (MASOMASO) 2024
10:55
Elrikesh Nassor
Рет қаралды 36 М.
UKHTY RAUHIYA  ASOKASORO HAKUNA
18:17
salum kanuni
Рет қаралды 73 М.
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 8 МЛН